MBWADUKE:Ohoo! Huyu Ikangalombo Yanga ana balaa/Kwa anavyotupia akisajiliwa kina Dube lazima wakaze!

  Рет қаралды 46,273

Mbwaduke Stats

Mbwaduke Stats

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@GloiSa-of6vo
@GloiSa-of6vo 8 күн бұрын
Ahsante mzee wa data kwa ufukuzi wa data zandaaaaaaaniiii. Huyu Kapela ana kasi sana, atatusaidia sana.
@DominicMakamba
@DominicMakamba 8 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mbwaduke ni Mmoja tu Duniani.
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f 8 күн бұрын
Weka picha nyingi mbwaduke
@erickmalipesa1018
@erickmalipesa1018 8 күн бұрын
Uko vizuri sana kaka hongera
@MbwadukeStats
@MbwadukeStats 8 күн бұрын
UFAFANUZI Fainali zilizopita za CHAN zilifanyika Algeria na siyo Ivory Coast. By Mhariri - Mbwaduke Stats "Spoti Next Level"
@beneficialbeneficial2378
@beneficialbeneficial2378 4 күн бұрын
Mwamba mzee wa analysis
@BetsonMhanze
@BetsonMhanze 8 күн бұрын
Good idea, big up
@shukurumgaya5950
@shukurumgaya5950 8 күн бұрын
Gonga like kwa mzee wa data
@PAAKWAMEPAA
@PAAKWAMEPAA 7 күн бұрын
Wanapenda wazi dada Asante sana
@AMINIELIHAALI-xv1rd
@AMINIELIHAALI-xv1rd 7 күн бұрын
Mwadukee atengweeeeeee 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@JosephChrisant
@JosephChrisant 8 күн бұрын
Mzee wa data safi sana kwa udadavuaji wako kwenye futiboli.
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 6 күн бұрын
Usisafiriee nyota ya Mbwaduke utaumiaaaa😂😂😂😂
@babuumaeda7671
@babuumaeda7671 6 күн бұрын
Yanga CONGO wanapewa mchezaj yeyote sio kama Simba huwa wanabaniwa sana YANGA WEEEE koffie Olomide
@RickboyTz-w4n
@RickboyTz-w4n 8 күн бұрын
🙌🙌🙌🙌
@ClaudManyanda
@ClaudManyanda 8 күн бұрын
Mbwasukehuwanakukubari sana kwauchambuzi haimanishi simba au yanga
@DaudSemkuya
@DaudSemkuya 8 күн бұрын
Tabia ya wabongo hata Amasi anaweza kusema Cupa kwakua inatoka Tz
@JumaKibou
@JumaKibou 7 күн бұрын
Hiyo mechi yanga anashinda gori 1 bila tu mpaka mechi hinaisha
@festokemibala5832
@festokemibala5832 7 күн бұрын
Napata shida kidogo na matumizi ya neno balaa, au ndo "Fantastic" kwa lugha ya kwetu? Kama ndivyo basi kiswahili kina umaskini wa maneno!! Balaa ni namna ya mikosi na linatumika kwenye mambo hayo yanayonasibishwa na shetani. Iweje sasa litumike kwa kazi nzuri afanyayo mwanadamu?
@SultanSuleiman-qf7cx
@SultanSuleiman-qf7cx 8 күн бұрын
Mungu amlete salama haraka
@daudkondo4069
@daudkondo4069 8 күн бұрын
Huyu ndo mchambuzi kati ya wachambuzi bora waliozariwa tz
@errydeo8865
@errydeo8865 8 күн бұрын
Hakuna mingine! Waliobaki waganga njaa! Sifa ya mzee wa data kuu NI kutojua BIASED UKIACHILIA MBALI KUCHAMBUA!
@HalidiSaidi-l7m
@HalidiSaidi-l7m 5 күн бұрын
Wamekwisha
@FestoNdunguru-v3b
@FestoNdunguru-v3b 8 күн бұрын
We unajuwa
@wapancraswapancras6955
@wapancraswapancras6955 8 күн бұрын
Sasa mchezaji kacheza shilikisho tayari maana yake kimataifa hawezi kutumia mpaka msimu ujao😅😅😅😅
@errydeo8865
@errydeo8865 8 күн бұрын
Kakwambia Nani!?
@SojaWaBrazil
@SojaWaBrazil 8 күн бұрын
Shida analeta wazee na vilema kama wakina dune sasaivi wanazalilika tyu yanga
@DoreenMlay-e8g
@DoreenMlay-e8g 6 күн бұрын
uyu mchambuzi na jastin kesy na mzee mwenda hua nawaelewa sana huwa hawabadilki kama vinyonga haha siku moja kwanye nyeusi ni nyeusi sio akina friji bovi bendera fata upepo
@shomarisangari-rt6le
@shomarisangari-rt6le 7 күн бұрын
Unajua mpaka unaboa
@AllyMasangaluka-bm5ib
@AllyMasangaluka-bm5ib 7 күн бұрын
Akijakweli yanga atafute ushangiliaji mwingine nasi kuvuajezi lvyotu
@PAAKWAMEPAA
@PAAKWAMEPAA 7 күн бұрын
Asante
@MuhamadiSalum
@MuhamadiSalum 7 күн бұрын
Kaka unajua kuchambua mpira vilivyo we akuna anaekuweza apakwetu tanzania
@danyboy571
@danyboy571 8 күн бұрын
Sasa mbona ana makengeza huyu??😂😂😂
@MwanaBaloz-ij6es
@MwanaBaloz-ij6es 8 күн бұрын
Anaona vzr uyo
@RaulentRaulent-q5f
@RaulentRaulent-q5f 7 күн бұрын
Wewe ni mwalimu wa wachambuzi
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 8 күн бұрын
Huyo ana makengeza ? Na wewe una kibyongo ?.
@JohnMwale-m1e
@JohnMwale-m1e 5 күн бұрын
Npenda wewe nimchambuzi nbora
@hafia.056
@hafia.056 6 күн бұрын
Wananchi mmpo lakini eee hayaa kamaTupoo one billions supporters basi mguuMbele.mguuRihgt.MguuLeft.mbele kwaMbelr allowed us Youngs Africans vipi apo lakini Aaaaapo swaffy tuu eee sugar muwaa 😅😅😅😅😅
Как Я Брата ОБМАНУЛ (смешное видео, прикол, юмор, поржать)
00:59
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
MBWADUKE: Fahad Bayo Yanga? Angeweza?
16:13
Mbwaduke Stats
Рет қаралды 1,9 М.