Kazi nzuri mbwela pia mimi nawachukia wasaliti Monila aliataka mwenyewe
@Zeldaommy7 ай бұрын
Pia mm nimewahi Leo wa pili jamani nawakilisha team strong gonga like kama unamkubali mbwela ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉one love from gulf😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@AminaOnesmus7 ай бұрын
Tuko pamola team mbwela kutoka gulf
@FarizanaRichard7 ай бұрын
Congratulations my brother mbwela one love from Kenya 🇰🇪
@HabibaHabiba-z6g7 ай бұрын
Pamoja sanaa mkenya mwenzangu
@mwalisuleih11647 ай бұрын
Mbwela nkupenda wee mkaka ww ak ❤❤❤❤Masha'Allah unabusara xn katk movie zako🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@HabibaHabiba-z6g7 ай бұрын
Congratulations bro mbwela❤
@Mbaraka-u4g7 ай бұрын
Oya minakukibali sana bro unajua
@fortunegerishom18277 ай бұрын
Yani Mbwela nakukubali vinoma sana,,, napenda kazi zako,,, toka kenya
@Fundissa-sj5ts7 ай бұрын
Kz nzuri broo bwela
@XtMash_77 ай бұрын
Mbwela una Moyo wa Utu kwa kweli...Hii ni filamu ya Pili umempa mwanamke usiyemfahamu malazi bila matumaini ya Kumkunja...Wanaume kumi kama wewe wanaibadilisha Dunia kwa kweli
@mwalisuleih11647 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂Bila kumkunja etieee
@mwalisuleih11647 ай бұрын
Ulitak akunjwe avunjike mbavu au mgongo❤❤❤🎉🎉😂😂😂😂😂😂 Hatari i say😂😂😂
@FidelisNzuki-w5c7 ай бұрын
Good work mbwela watching from kenya
@FrankKengwa7 ай бұрын
Wa kwanza mm jamani naomben like hata kumi
@WollfitOntomu6 күн бұрын
Salute sana🎉🎉🇰🇪🇰🇪
@XtMash_77 ай бұрын
Hii filamu imenifunza ya kuwa, "Akutoaye Chozi siye Akupangazaye na kukutuliza"..
@AminaRai-u4t7 ай бұрын
Congratulations for the good work,nice movie... thanks for the pieces of advice you gave us through this movie
@AminaOnesmus7 ай бұрын
Wa mwisho nipate like hata 2 😂😂
@livelivenadecaptain7 ай бұрын
Unyama sana
@BarakaJoramMajenda7 ай бұрын
❤❤🎉🎉
@muhandyjuma24957 ай бұрын
Najivnia ku0na kazi yng pia imeingia ktk kazi yak0
@NajmaSaid-sb2lh7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@Zeldaommy7 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@GHgh-hq3zj7 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@FaustinaAngelo-d4d7 ай бұрын
Mnaoomba like mnajikutaje
@Mulhat-w4t7 ай бұрын
Mulhat oyeeeeee
@mahmoudmchiu53693 ай бұрын
ni movie ila daah huyo bint aliejuwa umenikera sana ulichomfanyia