Bado tupo na Yanga yetu haturudi Nyuma tujipange kwa awamu ijayo matokeo tumeyapokea
@AdamRamadhan-k8n12 күн бұрын
Ayo ndo mashindano yalivyo bingwa siku zote ni mmoja
@victordanistan747012 күн бұрын
Mpaka dk ya 90 mtu anakamata Hoho?😂😂
@chidyfadhil502712 күн бұрын
Safi chama langu
@peterezrom519412 күн бұрын
Tunaumia sana wana Yanga tunapata pressure tu. Ni bora tuwe kimya tu maana mnatuaminisha uongo tu
@gehartuhagile51787 күн бұрын
Nikwel mnatia aibu yuko sahih
@mussandikumana356112 күн бұрын
Jama anajuwa soccer saana
@djnyosoofficial30512 күн бұрын
Jamaa anakera huyu sio poa
@FaridaMwamlima-b9l2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ezekielpaul-tf4yr12 күн бұрын
Acha ujinga wewe
@AdamRamadhan-k8n12 күн бұрын
Uyo choko tuu anaongea nn
@AdamRamadhan-k8n12 күн бұрын
Imeleta nn iyo simba,na kila mwaka mnajenga timu mwisho wenu lobo tuu.mpila haujui ww malefa wanawabeba tuu choko ww
@bone1026 күн бұрын
choko mwenyewe wewe umefanya nn kama sio kuishia makundi mtu unamiaka zaidi ya 27 unaingia group stage mara mbili club bingwa wewe ndo timu pekee Tanzania uliyefungwa goli 6 Kwenye club bingwa hakuna timu yeyote Africa mashariki iliyofungwa goli nyng kama nyinyi Mna Ulivyo kichaa Malefa wa Club bingwa wanaibebaje Simba Timu yenu mbovu tutelee ujinga wako hapa Mtu hata kuandika neno MPIRA hujui unaandika MPILA ndo utaujua sheria zake