Mshungaji wa kweli tu ni Yesu, ku kaa shini ya maombi yake Lina tumaini kabisa wala hakuna kupiga hewa,na furahiya sana ushuhuda yako na mafundisho yaku onyesha ubora ya Kristo
@NURU-YA-BWANA-TV10 күн бұрын
Ameeen, Mwana wa Mungu.
@fetyalmas6988 күн бұрын
Mungu atusaidie tu yaqn tunapita mapito magum sana😢😢😢
@AnaIlomo7 күн бұрын
Nashulu Kwa maombi yenu naona ndugu zangu wanaachana na mafuta ya upako na maji asanteni sana
@neemadaud53375 күн бұрын
Mtumishi nahitaji maombi nahangaika na shida hiyo
@glorymiko68307 күн бұрын
Hizi ndoto zimekuwa zikinisumbua sana.
@jefwakalama43369 күн бұрын
Ooooh,
@محمد46-ش6ك11 күн бұрын
Ameeen
@DogoFredy8 күн бұрын
Ok
@glorymiko68307 күн бұрын
Tunaomba watumishi mtuombee. Wengine tunaishi kwenye nchi zisizo na dini.
@kakanicodemus36326 күн бұрын
Pole, chukua Siku za kufunga walau kila ijumaa Massa 12 halafu omba toba kisha jifarakanishe na ndoa za majin, utafunguka
@Titomtumishi3 күн бұрын
Upo wapi mpaka nchi Haina mungu
@TeclaCassianoTeodoro11 күн бұрын
Mimi niliteseka sana kuota ndoto ya kuzini umeniponya mtumishi ubarikiwe
@Mamas-06k11 күн бұрын
Uko wapi wewe mpendwa, ata mie ni miaka sita Sasa,,tangu nilianza hayo mateso
@Mamas-06k11 күн бұрын
Mi ni mkenya mpendwa
@AyubuKikoti-gu5mb6 күн бұрын
Daaaa Bora ww umefunguliwa yaani mm ndo hatari,
@JudithTEO-k2b10 күн бұрын
Mtumishi mm huwa naota nafanya mapenzi na mwanamke mwenzangu ila anakuwa na maumbile ya kiume hii nayo ni nn?
@MTEULEWAMUNGUTV10 күн бұрын
NI mara Kwa mara unaota ivyo
@geofreymulei56958 күн бұрын
Huyo ni jini Jambo monja unafaa kujua jini Hana jinsia ila anaweza kunjivalisha ubile lolote