Mch Moses Magembe - JINSI YA KUTUNZA MOTO USIZIMIKE

  Рет қаралды 21,085

Rev Moses MagembeTv

2 жыл бұрын

Ibada ya Jumapili Asubuhi 22.05.2022 katika kanisa la Gospel Campaign Center - TAG Majumbasita Ukonga Jijini Dar es salaam, chini ya Mch Moses Magembe.

Пікірлер: 50
@AthaKonzo
@AthaKonzo Жыл бұрын
Asante Baba Kwa somo zuri nimebarikiwa na Mungu akubarikie
@0689TAG
@0689TAG Жыл бұрын
Amina baba nabarikiwa sana na mafundisho yako
@PIUSCHIWANGA
@PIUSCHIWANGA 8 ай бұрын
Napenda sana ujasiri wa namna hii. Hakika tungepata watu hata 100 wa namna hii TAG!!!! Kanisa lingepona haraka. Tatizo ni nidhamu za kishetani ndani ya kanisa la leo. Mkubwa asiambiwe hata kama anawakosesha watu wa Mungu!!!! Hasha. Baba pambana.
@fmbihengo8463
@fmbihengo8463 11 ай бұрын
Ubarikiwe sana, Mtumishi wa Mungu.
@PIUSCHIWANGA
@PIUSCHIWANGA 8 ай бұрын
Baba Mungu akubariki sana kwa matibabu unayotupatia kanisa la leo. Mungu aendelee kukutumia. Ila upunguze kuwafokea hao wahudumu mbele za ulimwengu mzima unaona.
@IsayaSchone-kt7uq
@IsayaSchone-kt7uq 9 ай бұрын
Mungu akubariki sanaa
@StephenButotoMbarato
@StephenButotoMbarato 8 ай бұрын
amen Baba. Mungu akubariki sana.
@antiaelizeus-jn5rx
@antiaelizeus-jn5rx Жыл бұрын
Amina🙏🙏
@LawrenceNdauka-in7cr
@LawrenceNdauka-in7cr Жыл бұрын
Mungu mwema
@meissylai5985
@meissylai5985 Жыл бұрын
Amen
@KefaZakayo
@KefaZakayo 3 ай бұрын
Kwakwer nafulaiyaa sana injiriyako🎉🎉🎉
@lightnessdaniel4679
@lightnessdaniel4679 Жыл бұрын
Nakuelewa Sana mzee wangu
@isayabaraka7405
@isayabaraka7405 2 жыл бұрын
Mungu akuzaidie sana baba yangu upo vzr unatimiza mapenzi ya mungu amen
@yusuphmwashabwa1465
@yusuphmwashabwa1465 Жыл бұрын
Najawa na furaha kwa sababu ya kusikia habari za uwezo wa Mungu
@rosemongi5241
@rosemongi5241 Жыл бұрын
Ubarikiwe Mtumishi. Endelea mbele
@happnesskitumbo5713
@happnesskitumbo5713 2 жыл бұрын
Baba Mungu akubariki mno.
@jacksonwilliam5093
@jacksonwilliam5093 2 жыл бұрын
Mungu akubariki baba nabarikiwa sana na mahubiri yako
@mernasjohnston1984
@mernasjohnston1984 2 жыл бұрын
Moto utatunzwa uwake juu ya madabahu daima usizimike, nakupenda baba wa kiroho Mungu anajivunia, natamn moto wa Roho mtakatifu usizimike
@japhetntabala363
@japhetntabala363 2 жыл бұрын
Amina kubwa babangu kila mara roho mtakatifu ananifunza mengi kukupitia wewe baba Mungu atulindie nakwa mwisho useme kama paulo 2 Timothée 4:6-8
@desirengenerwasobanuka9015
@desirengenerwasobanuka9015 2 жыл бұрын
Nimebarikiwa mutumishi wa Mungu. kUTUNZA MOTO USISIZIMIKE. Uniwezeshe ee YESU!
@samwelhhaway1145
@samwelhhaway1145 2 жыл бұрын
Amina baba barikiwa sana
@nicoraulency7185
@nicoraulency7185 2 жыл бұрын
Kwa kweli somo hili ni mhimu sana maana wengi tumekuwa wiki hili ni moto wiki nyingine vuguvugu roho wa Mungu ametuona
@amanimwakalomba8511
@amanimwakalomba8511 2 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana na kukuinua utukufu hadi utukufu.
@chanzoninini6818
@chanzoninini6818 2 жыл бұрын
Amen Baba ubarikiwe saana
@orestkibiki7528
@orestkibiki7528 2 жыл бұрын
Amina Baba
@raymondngeze3461
@raymondngeze3461 2 жыл бұрын
Ameeen Baba🙏🙏🙏🙏🙏
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 2 жыл бұрын
Nakupataje kwa ushauri maana mengine no mazito
@mernasjohnston1984
@mernasjohnston1984 2 жыл бұрын
Jaribu kubwa ni kushuka viwango nmekuelewa
@deogratiuslimu1393
@deogratiuslimu1393 2 жыл бұрын
Be blessed pastor
@cornelgwarda3849
@cornelgwarda3849 2 жыл бұрын
Amina
@honorinanoamba3602
@honorinanoamba3602 2 жыл бұрын
Amen
@nancynandago3235
@nancynandago3235 2 жыл бұрын
amen Pst barikiwa sana
@davidkagoss8329
@davidkagoss8329 2 жыл бұрын
AMEN
@saudakabogo
@saudakabogo 2 жыл бұрын
Pneumatology pure kabisaaaaa
@sophiamakani6133
@sophiamakani6133 2 жыл бұрын
Amen and Amen 🙏
@philemonsamson833
@philemonsamson833 2 жыл бұрын
AMEN🙏🙏🙏
@dorisgesare7707
@dorisgesare7707 2 жыл бұрын
Glory and honour be onto our Lord yeshua amessiah
@lucasnjole8803
@lucasnjole8803 2 жыл бұрын
Amen 👏
@phabianmathew9484
@phabianmathew9484 2 жыл бұрын
Tusaidizaje wapendwa
@nnkv1480
@nnkv1480 2 жыл бұрын
Amen,tumebarikiwa kbs.Hivi ni lazima """"" kunena kwa lugha mpya mtu akijazwa Roho mtakatifu ? au ni kalama ya mtu mmoja mmoja?answer..........................
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Si wote wanaongea kwa lugha wakijazwa lakini waeza omba Mungu akupe lugha mpya katika hiyo nguvu ya roho..
@laurentemmanuel2242
@laurentemmanuel2242 2 жыл бұрын
🙏
@honorinanoamba3602
@honorinanoamba3602 2 жыл бұрын
👍
@phabianmathew9484
@phabianmathew9484 2 жыл бұрын
Nataman kuijua bibilia kama baba mchungaji ni ninashindwa nianzie bibilia ipi ya kiswahili au kingereza
@chrismassawe326
@chrismassawe326 2 жыл бұрын
Kila kitu kina msingi wake wengi msingi wake ni theolojia na shule za biblia sio msingi wa KRISTO anaesema mkinipenda nitakuja mimi na BABA tutafanya makao kwako MIMI NITAKUWA WAKO NA WW UTAKUWA WANGU..kwa hio siri ipo kwenye kumpenda na kumpenda ni kushika maagizo yake huko ndio kumpenda
@injiliyakuponyaroho1382
@injiliyakuponyaroho1382 2 жыл бұрын
Phabian Mathew Mtafute kwanza Roho mtakatifu yeye ndo atakuongoza katika kweli yote.
@joackimmbonde4125
@joackimmbonde4125 2 жыл бұрын
Amina
@munguanaishitv
@munguanaishitv 2 жыл бұрын
Amen
@prayerwomen3444
@prayerwomen3444 2 жыл бұрын
Amen 🙏
@fidemikaeli8145
@fidemikaeli8145 2 жыл бұрын
Amina