Mungu akutunze mtumishi wa Mungu, na usilegeze msimamo
@obbynomwa71432 жыл бұрын
Bwana Yesu akutunze sana Mzee wangu,
@mwalimuelisha19962 жыл бұрын
Nime barikiwe baba, Mungu akulinde
@bernadetteshukuru91542 жыл бұрын
Amen amen amen ubarikiwe sana baba muchungaji sama ukweli baba
@eunicemwesigwa41332 жыл бұрын
Ubalikiwe sana muchungaji maana makanisa megi tunaigia kama tunaenda kwenye baa watu wako uchi wanavaa kalibu uchi kabisa hasa huku Uganda
@sophiamakani61332 жыл бұрын
Amen and Amen
@joshuarafael94622 жыл бұрын
Tumemsahau roho mtakatifu, wachungaji wanasimama madhabahuni wakiwa hawajajazwa na roho, tumekua wa kwenda kusoma pekee na kuridhika kisha tunasahau kujazwa.. tumekufa kizazi hiki, roho hayupo kanisani. Mungu tusaidie sana. Mchungaji ubarikiwe sana sana
@dawhiteschola88472 жыл бұрын
Katika wa Chungaji ninao wa Elewa nakubarikiwa nao ni wewe na Muomba MUNGU akupe miaka mingi ya kuishi uendelee kufundisha kweli ya Mungu
@yoramyohana82202 жыл бұрын
Amen amen unanibaliki sanaa Babaangu ROHO MTAKATIFU azidi kukutunza uzidi kuisemaa kweli nakuomba usinyaamanzee kabsaa endeleaa kusema mpaka mwishoo
@vynnevictor97012 жыл бұрын
Yesu mlinde baba yetu huyu
@elinemakundi50112 жыл бұрын
Amen Baba mchungaji napokea baraka nikiwa Tanga mjini new nguvumali amen
@josefojuliaovicente92372 жыл бұрын
Mzee wa Mungu unanisaidya kumjuwa Yesu katika kweli
@josefojuliaovicente92372 жыл бұрын
Mungu aturumeye, may God help his church
@josefojuliaovicente92372 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭the church nowadays is bad may God help me
@fikiri55302 жыл бұрын
Amen Baba
@nnkv14802 жыл бұрын
Ubarkiwe pstr,ni kweli uamsho umetafutwa sana lkn tumesahau mambo makuu yanayouleta.Pamoja na hayo uliyotaja kuna na hili""""wahudumu wa madhabahuni wameridhika na hali ya kiroho waliyonayo"""".Wakinena kwa lugha mpya basi wanafikiri hicho ndicho kiwango cha mwisho cha kiroho!""".Wokovu unaohubiriwa ni wa ***kisasa yaani wakinadharia zaidi si wa kivitendo***yaani wakristo wanapakiwa maneno meeeengi lkn matunda ni hafifu.Waimbaji wengi wanahudumu kijujuu na si ktk roho,mm Mungu tusaidie