Ibada ya jumatano jioni katika kanisa la Pentecostal Commitment Church - Kinyerezi DSM Tanzania. Somo: USHINDI WA KANISA KIPINDI CHA MATESO Andiko: Mnenaji: MCH MOSES MAGEMBE Tarehe: 05.02.2025
Пікірлер: 11
@HarryMbale-t5y4 сағат бұрын
Amen ivyo vitabu tunapaje uku Tunduma
@fidemikaeli81454 сағат бұрын
Amina, nipungue Yesu uongezeke baba
@Borntowin-20233 сағат бұрын
Amina, ubarikiwe sana baba
@fidemikaeli81453 сағат бұрын
Mungu tusaidie
@MATHAYOIBRAHIMjichaJicha4 сағат бұрын
Ubarikiwe sana Mchungaji wangu
@MariaMagige-s9v4 сағат бұрын
Amina
@MuvugabutumwaPatrick5 сағат бұрын
Ubarikiwe sana mucunganji
@magrethmkemwa92872 сағат бұрын
Kanisa la Mungu tuamke Neno la Leo hili ni unabii, ujao
@magrethmkemwa92873 сағат бұрын
Amina ...ametufanya punde kuliko Malaika.
@judithmartin94425 сағат бұрын
Huyu mudada wa kukaribisha nini tena😢😢
@jasperjackson88713 сағат бұрын
Kwa neema ya Bwana nikuombe uslache kumtia moyo naamini akipata ujasiri atapiga hatua taratibu maana mwanzo hua mgumu.