Elimu yako haijatoka duniani hakika ni Mungu anakufundisha
@chalokalunde94299 сағат бұрын
Wonderful
@fmassawe914112 сағат бұрын
Mchungaji uko vizuri
@fmassawe914112 сағат бұрын
Namwomba Mungu akupe Manisha marefu yenye nguvu ya kuendelea kuhubiri injili
@joshuapatrickchibitaa756611 сағат бұрын
Ufunuo wa Yohana 2:18 [18]Na kwa malaika wa kanisa lililoko Thiatira andika; Haya ndiyo anenayo Mwana wa Mungu, yeye aliye na macho yake kama mwali wa moto, na miguu yake mfano wa shaba iliyosuguliwa sana. And unto the angel of the church in Thyatira write; These things saith the Son of God, who hath his eyes like unto a flame of fire, and his feet are like fine brass; Fine brass Ilo neno ukasachi google utajuwa yohana alimuona yesu ana rangi gani
@TAFAKARITVNewlife11 сағат бұрын
@@joshuapatrickchibitaa7566 point yako ninini
@godfreyhiza10754 сағат бұрын
Ni mahubiri yaliyojaa nguvu ya MUNGU!!Hakika BWANA YESU AZIDI KUKUBARIKI!