Shukran sana sheikh Shafii. Naomba mawasiliano yako
@RAMATHANI-eu5dk4 ай бұрын
Mashallah cheikh wangu Mungu Akulipe.
@salimbahatisha30034 ай бұрын
Masha Allah. Umetoa darasa kubwa sana ustadh kiasi ata mbumbumbu anaelewa
@BadruHisha4 ай бұрын
@@salimbahatisha3003 wafundishe bab
@ZubeirShomar15 күн бұрын
Daah wew shekh kiboko icho ktab kama ulikuwepo wakat kina andikwa 😢
@yusuphlondon64324 ай бұрын
Nakupenda kwa uwezo wa mungu ❤❤❤
@paschalsafari97474 ай бұрын
Wasabato wamepotea sana...wanaabudu siku badala ya Mungu mwenyewe.
@bundaman85424 күн бұрын
@@paschalsafari9747 Acha uongo. ukikengeuka basi yatosha usilazimishe
@nubianqueen67004 ай бұрын
Safi sana Ustadh.
@KayilaLwenge-m2y18 күн бұрын
Amina
@AshamMussa4 ай бұрын
Hosmasissa msikilize tena shafi hukuzi gatia mafundisho na ndio tatizo lenu kuu nyinyi wakristo hamuzingatii mnachokisoma au m achokisikiliza poleni sana
@HemedHamisi4 ай бұрын
ustadh shafi Allah akuweke hadi milele ikiwezekana, akili nyingi kelele hamna.
@joseaugust28054 ай бұрын
Yesu kuna mda kasujudu na kuna mda alikesha akasali mlimani , Luka 6:12-16, Yohana 4:19-24, inawaelezea kuabuni ni katika Roho na kweli, Mathayo 14:23 Ishu ya ufunuo 15:3-4 na Marko 14:35 kusujudu kifudi fudi ni pale Yesu aliswitch alipokuwa mbele ya kiti cha enzi ,mbinguni, So sisi wakristo katika kufanya ibada , tuna option nyingi tofauti na ninyi waislam
@joseaugust28054 ай бұрын
Hesabu 15:32-36,wanafunzi wa MUSA na wanafunzi wa Yesu Mathayo 12:1-21 , Na paulo kwa mataifa , wagalatia 2:1-21, Haya maandiko yatakufungua sana kama mkristo , kujua waisrael na wanafunzi wa Yesu, na watu wa mataifa kupewa injili
@bundaman85424 күн бұрын
Ama kweli Mungu kasema siku ya hukumu hakuna atakaesema hakujua bali atakubali nakusema yote dhahiri. Tunafahamu lakini hatuna roho mtakatifu wakuyaweka Moyoni mwetu ili tujitambue na kuamua.
@kizitototo89232 ай бұрын
YESU ATOKANI NA UZAO WA MWANAUME. HANA UZAO WA MWANAUME HAPA DUNIANI. YEYE NI MWANA WA ADAM hasa kihasiri
@saidchombo59524 ай бұрын
MashaAllah
@daudimichael73384 ай бұрын
Yesu hakushika Sabato, aliponya wagonjwa siku ya Sabato akagombana na Wasabato. Mojawapo ya tuhuma walizotumia kumuua Yesu ni madai ya kuvunja Sabato.
@DaMaua-i7l11 күн бұрын
Asww dje yesu alikufa musalabani
@johnawinda21654 ай бұрын
Mbona hapo kwa kumita MUNGU babake hunachenga?
@amrijuma8781Ай бұрын
@@johnawinda2165 iyo haikuwa Mada ya leo kijana elewa kwanza mada
@abuhassan95524 ай бұрын
Wailimisheni maskini hao hao wenzetu hawajui kitu nikufata wazungu tu kama Kondo
@cosmassisa52564 ай бұрын
😂😂😂 dah! Yaan kama hauijui Biblia, unaingia mkenge moja kwa moja. Vitabu vyote vitatu alivyosoma Isaya, Hosea na Waebrania, amesoma fungu moja ili kupotosha zaidi. Biblia usisome fungu moja ukaruka nayo, utapotea vibaya mno nakuhurumia. Tukuanza na Isaya, soma kuanzia Isaya 1:2 na kuendelea ndipo utagundua kwamba nabii Isaya alkuwa anatoa onyo kwa kabila la Yuda juu ya uovu wao. Halafu Mungu alikataa kila kitu chao sababu ya uovu wao. Alikataa matoleo yao sababu yalikuwa batili, Sabato na mikusanyiko yao yote aliikata. Sasa namna ulivyosoma hilo fungu, umeligeuza geuza. Linasomeka hivi, 'Msilete tena matoleo ya ubatili; uvumba ni chukizo Kwangu; mwezi mpya na sabato, kuita makutano; siyawezi maovu hayo na makutano ya ibaada.' Sasa hapo kwanini haujasema kwamba Mungu aliondoa matoleo unapambana na sabato. Hilo fungu limeonesha ya kwamba ibaada zote za Yuda, Matoleo vyote alikataa sababu ya uovu wa kabila la Yuda. Ukija kitabu cha Hosea 2:11, hauhasoma hilo fungu baada ya kugundua anachotaka kukuelezea hakihusiani na hilo fungu. Ukianza kusoma Hosea 2:2_23, ndipo utagundua kwamba nabii Hosea alikuwa akizungumzia juu ya uzinzi wa Israel kama taifa na ndipo akatamka adhabu yake katika Hosea 2:11, baadae akatamka juu ya ukombozi wa Israel. Kitabu cha Waebrania 4:4 wewe umesoma fungu moja, anza kusoma fungu la kwanza mpaka fungu la 13 ndipo utagundua umuhimu wa sabato. Tuanzia fungu la 4 mpaka la 10.Waebrania 4:4 [4]Kwa maana ameinena siku ya saba mahali fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba, akaziacha kazi zake zote; [5]na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu. [6]Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao, [7]aweka tena siku fulani, akisema katika Daudi baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu. [8]Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye. [9]Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. [10]Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake. [11]Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi. Waebrania 4:12 [12]Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.' Kitabu cha Waebrania kimemaliza kazi kabisa. Katika Waebrania 4:6, fungu linaonesha kabisa ambao hawako katika Sabato, wameasi. Na tena fungu la 7 na 8 ameonya kabisa juu ya kufanya Mioyo yenu kuwa migumu na kwamba Mungu asingalisema siku nyingine. Fungu la 9 anasema imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu. Kwa hiyo basi, kama Waislamu mliikana sabato kwa maelezo ya Mwl wenu huyu, ndio ninyi mbaongelewa katika Waebrania 4:6,7 mlisome hapo juu mtaelewa. Kwamba ninyi ndio mliofanta mioyo yenu kuwa migumu na kuasi. Kama sabato ilkuwa juu ya Wanaisrael, basi na amri nyungine znawahusu wana wa Israel tu. Kama ni hvyo, Yesu aliwafia Waisrael na si wengine.
@SIMULIZIZONE4 ай бұрын
@@cosmassisa5256 Kwanini unasema Isaya amewaandikia kabila la Yuda peke yake, halafu unataka Musa iwe kwa watu wote na sio waisrael peke yao.
@AyubuIkaku4 ай бұрын
@@SIMULIZIZONE Sahihi kabisa, Musa nae ilikuwa kwa wana wa Israel. Halafu kama ukoo wa Yuda ndio umekataliwa kufanya sabato, kumbe sabato inabagua watu wengine hivyo sio kwa ajili ya ulimwengu mzima kutokana na hiyo hoja yake aliyotoa.
@shabamuhidin6344 ай бұрын
ushamaliza kazi😂,umenukuu gazeti na ukasema sabato wameandikiwa Wayahudi😂umejifunga own goal..haya kipi kilichokufanya ukashika sabato wakati ww sio myahudi? unataka watu wote washike sabato? yani mi Mkenya na naelewa kiswahili kukuliko ww Mtanzania
@solomonmugao47334 ай бұрын
Waislamu na wakristo hawataweza kupatana sababu hizi ni Imani mbili tofauti. Hivyo hata ustadh akisimulia haipatanishi ila uweze kuelewa. Biblia na quaran pamoja
@BadruHisha4 ай бұрын
Waele wa wataelewa ndug ais
@EliaMrangi-n1i4 ай бұрын
Sabato ilianzia endeni sio kwa wanawaisraeli pia ni Moja ya amri kumi za MUNGU kwa hiyo amri ya MUNGU aibadilishwi milele
@daudimichael73384 ай бұрын
Shafi bhana, utasema hiyo siku fulani ni Ijumaa, tunakusubiri uiseme tunyooshe rula
@solomonmugao47334 ай бұрын
Tena soma mandishi ya Allah katika Quora 6:158 na uelewe
@nubianqueen67004 ай бұрын
Wewe ulielewa?
@Moteswa4 ай бұрын
Mpelekee hii clip Bwana Ndacha. Mimi ni mkristo lakini Shafi kaongea ukweli 100%. Tufuate mafundisho ya Yesu.
@johnawinda21654 ай бұрын
Pia anasema YESU c mwna wa MUNGU umekubali? Hatari sana
@daudimichael73384 ай бұрын
Hiyo ya samaki ipo kwenye kitabu gani?
@newforcejv97214 ай бұрын
@@daudimichael7338 Bora umeuliza ngoja ninyamaze
@johnawinda21654 ай бұрын
Bwana YESU asifiwe
@danielkamau29874 ай бұрын
Leo Shafii nime kutolea kofia kwa kuku mbali Mdahalo na Pst Ndacha..
@facebkmulatya26744 ай бұрын
Mtu anieleze kuwa jumamosi ni siku ya saba. Juma-Mosi - pili- tatu- nne- tano- alhamisi, Ijumaa.
@realramjen32704 ай бұрын
Mathayo 6:9-13 9 Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, 10 Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. 11 Utupe leo riziki yetu. 12 Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. 13 Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
@patiencesamba94674 ай бұрын
shafi umefafanua vizuri ila hapo kwa ibada umechemsha kwasababu hata miti tunambiwa inasujudu je inafanya kama mnavyofanya msikitini ??????????????
@KudraRashid3 ай бұрын
Kasome kwenye kamusi kusujudu maana yake nini shida tu hamtaki kusoma
@Kuminamoja19954 ай бұрын
Masha'allah sheikh s.s.p
@AdamPaulo-x2k4 ай бұрын
Uongo huo unalijuwa kaburi la Mussa
@AbdulhamiduKanula-hq4lx4 ай бұрын
Huyu muandishi ni mkweri sana.anauliza maswali mazur pia.anakua anauliza kwa lengo la mafunzo si kubishana.
@Silas-br2jv27 күн бұрын
Wadaganye hawo 😂
@paulobondi30814 ай бұрын
Ata sisi wasabato siku ni saakumi na mbili
@sosdododo56534 ай бұрын
Sasa huyu bwana dakiki 40 alikua akisoma kitabu gani ,,, na alikua sio peke yake alikua akisoma na mwenzake hapo nadhani maneno karibu yote yalitoka kwa biblia,,na kwa sasa hakuna mkristo anafwata maandiko yani munapinga biblia waziwazi mnapinga hio biblia ,,huwezi mfananisha ustadh shafi na ndacha,,ndacha hana elimu kumfikia ustadh shafi kabisa
@AyubuIkaku4 ай бұрын
@@sosdododo5653 Kwani Ndacha na maandiko ni nani wa kufuata? Hivi hamna mjadala wowote wa Ndacha na Sheikh Ramadhani wa Kenya( wa Straight Daawh channel) kuhusu Sabato?.
@jjtm1644 ай бұрын
Utaulizaje kafiri mambo ya kikristo?
@IssaBacar-i2i4 ай бұрын
Ndacha ni mjinga na inavyo onekana kafeli sana shuleni na anatia haibu Ndacha mapumbu yako.
@ericlondonmuwazijimmy12214 ай бұрын
Hizi masomo Ali zip ata toka mchungaji mwankemwA
@lupakisyomwasibata70624 ай бұрын
Hahaaa sawa!
@MihayoMjomba4 ай бұрын
Koh uislam dingi pia ilikuwa ya uarabu
@jjtm1644 ай бұрын
Unasoma maamdiko nusunusu
@msemakweli2434 ай бұрын
Ukweli unajitenga na uongo shaff ni muongo sana
@AyubuIkaku4 ай бұрын
@@msemakweli243 Tupe uthibitisho
@msemakweli2434 ай бұрын
@@AyubuIkaku upi unautaka soma vitabu mwenyewe kwa sabato hiyo soma quran kama inazungumuzia sabato kama alivyoelezea huyo shafi
@AMINGULAMRASUL4 ай бұрын
MUONGO VIPI WAKATI ANATOWA MANDIKO NDANI YA BIBLIA WEWE ACHA USHABIKI KAMA SIMBA NA YANGA. SOMA MAANDIKO VIZURI AU MSIKLIZE VIZURI SHAFII KAMA NA TAKA KUJUA VIZURI MAANDIKO
@msemakweli2434 ай бұрын
@AMINGULAMRASUL wewe ndo ujui na nikwasababu ujasoma hiyo bibilia na hata mimi nikikutolea aya ndani ya Quran utabisha sheria ya mungu wewe ukiinajisi mungu anaiondoa?
@AyubuIkaku4 ай бұрын
@msemakweli243 Tupe hiyo aya kwenye Qur'ani inayosema sabato ni amri kwa walimwengu/ watu wote.
@prochesernest54394 ай бұрын
Nakwambia kila wakati Mungu wetu wakristo ni tofauti na Mungu wenu sis wakristo alivyo tuelekeza ndivyotufanyavyo YESU alituambia tusali Kwa Baba hapo tu kunatofauti na huyo allah kwaiyo ibada zetu wakristo lazima zitofautiane na nyie sisi tunamsifu na kucheza ibadani kama Zaburi 150 ilivyoelekeza na tunashiliki meza ya Bwana tunamega mkate na kunywa huko kwenu shafi havipo hayo yanatufanya tusiwe na Mungu wenu kitu kingine ulichokisema mungu WA quruan aliwageuza wanaisrael kuwa manguruwe na manyani wakati kwenye biblia hakuna kitu kama hicho kwasababu ya sabato kwaiyo Allah waq quruan Sio Mungu WA biblia
@KudraRashid3 ай бұрын
Ndio mungu wa bibilia anwambia muende na miniscat kanisani ama mungu wa bibilia kawambia muende kanisani mwajitungia tu wala hamsemi ya bibilia
@prochesernest54393 ай бұрын
@@KudraRashid Nyie waislamu kaeni na huyo allah wenu hasiye na upendo Kwa watu wote Mungu WA biblia ni Baba WA kweli Allah ni mungu WA majini mapepo wachafu ndiomaana upendo Kwake ni zero 0
@abdallahally84227 күн бұрын
ww biblia inakwambja msujudie mungu ww unapiga magoti kakufundisha nani wkt yesu musaa wote wameweka paji chini wamesujudu k
@FadhilZaharan25 күн бұрын
Wewe kinachokusumbua mazoea haupo kwenye ukristo kwasababu ya lisach ila mazoea yanakusumbua Acha mazoea soma vitabu uelewe usifate mkumbo
@abdallahally84227 күн бұрын
Sasa mnaopinga kunasehemu shafii hakutoa maandiko inamaana hamyakubali