MCHAKATO WA AJIRA KIDIGITALI, MAHOJIANO - AZAM TV

  Рет қаралды 1,714

AJIRA TV

AJIRA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@SALVATORYBENARD
@SALVATORYBENARD 2 ай бұрын
Hizi ajira zitakuwa na usahili kweli maana mda ni upi sasa maana sisi wanyonge mtukumbuke mama yupo kazini na kazi iendelee.🎉🎉
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 4 ай бұрын
Jamani mm mwanangu sijui kama atapata ajira nimemsomesha kwa shida hakuwa na mkopo ila nimebakia na maumivu ya kuripa madeni serikari tuone wanyonge
@rahmamsuya444
@rahmamsuya444 8 ай бұрын
Samahani mimi nimeona tangazo la kazi ambalo mwisho wa maombi ni leo , kwa bahati mbaya nimekosea pale kwenye Accademic qualifications nimeweka mpaka vyeti vya diploma na tangazo la kazi wanataka vyeti vya certificate tu naomba unisaidie nawezaje kufuta qualifications ya diploma
@EvaLukumy
@EvaLukumy 8 ай бұрын
Shukran sana kwa kazi nzuri mnayoifanya , swali langu n kwamba kama mtu ameweka kwenye mfumo cheti cha diploma na badae tena nkapta degree nkaweka chet je kazi zkitangazwa za diploma naweza kuomba? Ikiwa nmeweka vyeti vyote viwili lakin nmesoma cozi tofauti
@AjiraTVtz
@AjiraTVtz 8 ай бұрын
Hapana, huwezi kuomba kazi ya cheti cha diploma huku una cheti cha Degree. Hii ni kwasababu Sekretarieti ya Ajira inazingatia usawa na msingi wa usawa ni kuwashindanisha watu wenye kiwango sawa cha elimu, watu wenye Diploma watashindana wao kwa wao na wenye degree wao kwa wao.
@mubarakamzee1707
@mubarakamzee1707 8 ай бұрын
Naomba muongozo mimi nimesoma family and consumer studies lakini ndani ya kozi hii kuna masomo ya early childhood education ko kwa mara ya kwanza nipoingia kwenye mfumo wa ajira portal sikuweza kuona kozi yangu hivyo ikanilazimu kuomba early childhood education lakini baadae nilipokea taarifa kua kozi yetu imeshaingizwa kwenye mfumo wa ajira portal sasa swali langu ni kwamba nawezaje kufuta ile kozi niliokua nimeijaza awali mana nimekosa muongozo wa kuifuta kwenye mfumo wenu ?
@SALVATORYBENARD
@SALVATORYBENARD 2 ай бұрын
Ajira hizi zituone na usahili umeahilishwa tungependa mtutolee majina moja Kwa moja tungependa ikae hivo Kwa kuwa mfumo wa usahili ulikuwa unaamza mwaka huu basi tupeni nafasi mwka huu usahili usiwepo ,,mama yupo kazini.
@islamabdallah5114
@islamabdallah5114 8 ай бұрын
Portal na OTEAS kuna tofauti
Mwone Mizengo Pinda akipambana shambani kutafuta pesa
4:09
MCHAKATO WA AJIRA KIDIGITALI, MAHOJIANO - CLOUDS TV
58:35
AJIRA TV
Рет қаралды 1,3 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
So Cute 🥰 who is better?
00:15
dednahype
Рет қаралды 19 МЛН
SIFA ZA MSAILIWA KUWEKWA KWENYE KANZIDATA/ DATABASE
4:43
AJIRA TV
Рет қаралды 7 М.
VIGEZO MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUOMBA AJIRA
5:40
AJIRA TV
Рет қаралды 3,4 М.
VITU HUPASWI KUKOSA UKIITWA KWENYE USAILI
3:54
AJIRA TV
Рет қаралды 3,8 М.
Путин ответил на ультиматум Трампа
7:25
Diplomatrutube
Рет қаралды 1,8 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН