Haya mambo yapo kweny familia nyingi sana ,kama unaamin gonga like hapa👏
@MeriMbeyu Жыл бұрын
❤❤
@ezekielmtega8960 Жыл бұрын
Kama umeona mgongwa anavomuoneshea doct dole gumba nipeni like zangu japo leo tu
@SanuraFadhili-k3n2 ай бұрын
Kweli2me on
@maxwellkongoman781 Жыл бұрын
Nipeni likes zangu first fun wa jotti Toka CONGO mashariki🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@mathiaslyamunda2526 Жыл бұрын
Mchawi ni Ndugu yako imethibitishwa na Jot Leo 😂😂😂😂
@Tnjosph25PT Жыл бұрын
Kweli kabisa mchawi ndugu nimekuelewa zaidi katika ujumbe huu kupitia igizo hili 👏
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
Haswaaa 😊
@Tnjosph25PT Жыл бұрын
@@baimarrajahbuayan6237 ndo maana tunakumbushwa tafuta ila usisahau kuishi,ujipende ule vizuri ulale pazuri nk maana binadam tunabadilika mda na wakati wowote
@baimarrajahbuayan6237 Жыл бұрын
@@Tnjosph25PT haswaa nimekubal. Udugu
@johnycavishe5207 Жыл бұрын
Joty Kama joty once again big up Sana 💪 woof kwishaaaaaàaaa mchawi ndugu I miguu ya nan kenge ama
@jacquelineludovick5301 Жыл бұрын
😂😂
@episonfelician7670 Жыл бұрын
Twende mbele turudi nyuma jot Ni comedian namba one anajua Sana 💥💥💥
@ShabaniKwizera9 ай бұрын
🇧🇮💯nakupa Maua yako Joti wewe ni number one kwa comedy,tunakufatilia tukiwa Burundi💯🇧🇮
@dennismazanda7226 Жыл бұрын
Haya mambo yapo sana tu hongera Kwa ujumbe mzuri Joti na team yako
@mtakabiruyassin Жыл бұрын
Joti wataiga wote lkn kwako wanagonga mwamba🔥🔥🔥
@swalehthefinest Жыл бұрын
Napenda hii character ya Babu ije mara nyingi
@mosesmaiga7408 Жыл бұрын
Kuna watu wanaona kama vichekesho lakini hayo mambo yanatia hasira mda mwingine unawaza bora usiowe
@franknangonga9166 Жыл бұрын
Mimi mpaka sasa nipo single naona tabu Mambo ndio kama hivi
@Tunu-p6i3 ай бұрын
@@franknangonga9166usiogope dear ni funzt t
@championtop2 Жыл бұрын
On behalf of of family, friends, ancestors I approve this video!
@omaryphua191 Жыл бұрын
Eti huyu cyo kenge the best comedian in East Africa love u bro
@azizahmwimbe8548 Жыл бұрын
😂😂😂 dunia ya sasa imani imekwisha yaani hata kufa bado watu washaanza kugombeya mali kweli mchawi ndugu. Hongera sana joti mambo haya yapo
@Babuumuvea Жыл бұрын
Nakukubali joti mapini yko sio yakitoto
@kulwanzobe7657 Жыл бұрын
Mchawi siku zote huwa hatoki mbali ,kazi nzuri Sana joti
@salomeblack0 Жыл бұрын
Km unaamini joti ni chuma kwa Tz like hapa
@tariqhassan1385 Жыл бұрын
Mtoto: Baba naenda wapi Mzazi: Nenda kajiuze 😂😂😂😂😂😂
@azasamuel2068 Жыл бұрын
Hii imeenda..Dah
@abrahamsuppy6041 Жыл бұрын
Tufike millioni. Shabiki mkuu kutoka kenya🎉🎉🎉
@jassonkagaruki964 Жыл бұрын
Congratulations Joti King 👑 comedian in Tanzania....huna baya kaka Umepoaaaa🇹🇿🤣🤣🤣🤣
@totoclass2470 Жыл бұрын
Msanii wa kwanza Tanzania kuwa na upendo mwingi wa mashabiki
@ZainaMuhunzi5 ай бұрын
Vijicho vya mgonjwa mara paah marehemu kafufuka 😂😂😂😂😂
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Nimependa idia Yao,,joti hajawahi kubuni kitu kama icho,,,safi sana joti ,,hongera
@chrismuganwa8634 Жыл бұрын
You never disappoint Mr Joti!!ove from Burundi!!
@ignatusmponji3609 Жыл бұрын
Wale tupo kitandani kabla ya kwenda job tume muangalia babu tuendelee kujuana 😂😂
@grandpatimi Жыл бұрын
This man is a legendary since 2014
@TungoZaMswahiliJk Жыл бұрын
Be for 2014
@meckitilidatushabe Жыл бұрын
@@TungoZaMswahiliJk exactly 💯
@yumbujackson869 Жыл бұрын
Ahaa umetishaa 🎅 Sanaa Nishai
@simonandrew1489 Жыл бұрын
Good My Favourite Comedian Big Up Mr Joti
@theophilwhiteheart1997 Жыл бұрын
Hakika kweli mchawi NDUGU😢😂DAH
@alphamwanamtulekenya5390 Жыл бұрын
Inamafunzo mno love from KENYA 254
@agustinemsambila25015 ай бұрын
Kazi nzuri
@hassansammy1076 Жыл бұрын
Kweli nimeamini mchawi ndugu duuh joti noma sana respect kwa ubunifu🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@ZainaMuhunzi5 ай бұрын
Chuma kinaondoka tayariiii😂😂😂😂
@michaelclement8335 Жыл бұрын
😅😅😅😅bora rafiki mmoja kuliko ndugu mia
@shadyasalum192 Жыл бұрын
Leo nimewahi eti kimenuka 😂😂😂wapenda mali za watu ndugu wabayaa🤣🤣🤣🤣
@rich_wasparner9233 Жыл бұрын
Hongera Sana ubunifu wa Hali ya juu
@lwamseletiyonas5232 Жыл бұрын
Eti nina shamba la bangi😂😂😂
@mcbartonkesh3664 Жыл бұрын
Wakati nipo Moshi kwenye gereji moja kuna gari moja ilikuja kumwaga oil na ndan ya gari kulikua kuna mzee anaumwa sana na alikua anaulizwa hati za majumba aliyonayo ziko api,niliumia sana😢,napia alikua amalazimishwa asain baazi ya nyaraka
@alikaru6916 Жыл бұрын
Joti anajua sana ....Mpaka anakera....wazee wakyuba wanaelewa...😂😂😂
@kekiplus1andonly Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂siku zote mchawi hatoki mbali😂😂😂😂😂😂😂😂hukujua
@ndutu6564 Жыл бұрын
Kwel kabisa muchwawi ni dam yko.. From 🙏🙏🙏
@officialmsigwa5069 Жыл бұрын
Hata kuua mtu watu siku hizi wanasema Mkubwa Dunia hii tutafika tumechoka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mauasuleysh1404 Жыл бұрын
A big lesson walah😢 congratulation joti
@kararaera8161 Жыл бұрын
Joti ishi milele 🇷🇼😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃jamani munisaidie kucheka😃😃😃😃
@kassimmubba2736 Жыл бұрын
Mnamkosea sana mkishindanisha na Kicheche wa Makalio Joti ni level nyingine na Anayofundisha Jamiiiiii.
@sebandaki8795 Жыл бұрын
Bonge ya content big up jot am so proud of you
@samsonilengteng-oc4hp Жыл бұрын
Babu joti umetisha sana 👏👏👏👏👏
@rubsonheritier5940 Жыл бұрын
😂😂 shamba la bangi kkkkkkkkkk i send my love from Kinshasa
@salma-fc4xc Жыл бұрын
😂😂
@winnawiliamwinnawiliam8859 Жыл бұрын
ety wanaume si wanajiuza nenda kajiuze🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
@iddybakery5209 Жыл бұрын
Jot jot umenisababisha nimecheka hadi kamasi limenitoka mbele ya dem wang😁
@priscamrekoni3451 Жыл бұрын
😅😅😅😅
@esterdoriye8377 Жыл бұрын
Babu ukoo mzima na mashemeji wanakuchukia babu utakuwa mkorofi sana
@richlaterjunior384 Жыл бұрын
Daanh sema huyo sheikh miyeyusho kapanda kofia saba kichwani😃😃
@Mr_destiny Жыл бұрын
Hahhahahahhahaha hhaahhahahaa hahahahahahahahha hii nchi ngumu sana,,,mafundisho mazuri sana
@VeroMfambo Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka❤❤❤
@Zanzibar0001 Жыл бұрын
"Ana roho ngumu kama Paka" ....sumu ya panya....sumu ya mamba" Ukiwa na mali Siku zote walee watoto wako katika misingi Mizuri Sana Ili waweze Kunitunza na kuwatunza wao.......
@erickmagnus4945 Жыл бұрын
Sema joti falaa sanaa kwahyo mwanetu ukakata roho chap tu😂
@NotgeraChipeta Жыл бұрын
Iko vizuri meamba
@reiphan9894 Жыл бұрын
jotiii 😂😂😂😂 umeupiga mwingi mpaka umemwagika ,, let us enjoy .
@LuckyProsper-sc4si Жыл бұрын
Serikali serikaliiii 😂😂😂😂 my ribs😅😅
@karimmtengai6159 Жыл бұрын
Umetisha sana kaka
@numohd Жыл бұрын
Nani kweli mchawi ndugu joti asema jamaa waona mali ni kama makalio kila mmoja anayo😂😂😂😂😂😂
@eventstransportationservic9194 Жыл бұрын
Hahahahhaa piga rungu piga rungu hahaha...Joti hatari sana
@emanuelmiyonjo4484 Жыл бұрын
Nakubari san joti
@asiri-romy-simba3671 Жыл бұрын
Jot akili nyingi ndo tatizo😅😂😅😂😅
@sammushi1512 Жыл бұрын
😂😂😂atakama n pesa sio kama ivyo dah binadam wa mungu saiv wabaya San