Рет қаралды 14,034
Mwanasoka wa zamani wa klabu za talanta, ulinzi na Muhoroni Youth Ezekiel Otuoma anawaomba wahisani kujitokeza ili kumsaidia kuendelea kupambana na ugonjwa ambao ulikatiza talanta yake gafla. Mwanaspoti wetu Luqman Mahmoud alimtembelea nyumbani kwake na kutuandalia taarifa ifuatayo.