ROSE MUHANDO: ''NIMEPITA PAGUMU SANA, NILIISHI KAMA MTUMWA, NIMEBAKI MIFUPA, BAHATI BUKUKU,WAONGO''

  Рет қаралды 607,044

Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv

Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv

Күн бұрын

Пікірлер: 656
@Edith-ni4dy
@Edith-ni4dy 11 ай бұрын
Rose nakupenda sana wewe ni mwanamke jasiri sana your my mentor in music ata kama sijawai toa wimbo kipaji ninacho na wakati ukifike nitaimba Mungu akutiie nguvu sana Kwa huduma nitafurahia sana siku Ile nitakupata macho God bless you
@ruthmosesmasanja6502
@ruthmosesmasanja6502 Жыл бұрын
Asante sana Rose nimebarikiwa sana na maelezo yako kwamba si chini ya miaka miwili ulikaa chini kijifunza neno la Mingu. Ni ukweli kwamba bila kulijua neno la Mungu kwa muimbaji yoyote wa injili si rahisi kujiendesha kwa maana ya kutunga mwenywe na kuimba mwenywe na jumbe nzito. Hongera sana Rose
@goldenbazaars
@goldenbazaars 3 жыл бұрын
Rose muhando stands in the heart of Kenyans, twampenda Roosi sana sana 😘❤
@jannyrose5367
@jannyrose5367 3 жыл бұрын
Tunakupenda Sana Rose Hapa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@elizmutai9562
@elizmutai9562 3 жыл бұрын
Kabisa
@benjaminchristopher8766
@benjaminchristopher8766 3 жыл бұрын
Kama unampenda Mungu wako naunaamini kuwa ndie mtetezi wetu katika magumu yote gonga like hapa👍
@graceg9332
@graceg9332 3 жыл бұрын
Nakilupend Sana dada rozi mungu akubariki Sana
@nevincembuba8429
@nevincembuba8429 3 жыл бұрын
Love you so much my cct rose
@johnwaita4724
@johnwaita4724 3 жыл бұрын
Mama rose nakutambua sana
@saadacharasaada1958
@saadacharasaada1958 3 жыл бұрын
Uongo
@NeemaBaraka-l7l
@NeemaBaraka-l7l 9 ай бұрын
@steventhomas672
@steventhomas672 3 жыл бұрын
Huyu mama hafeki,real woman,real voice,real praise
@gipsonmosha1857
@gipsonmosha1857 3 жыл бұрын
Ase jamaa ni bonge la mwandishi nimekubali style yako ya kuhoji... Kama umemuelewa mshakj gonga like. Rose ur the best😍💕
@gosbertmuta5421
@gosbertmuta5421 3 жыл бұрын
Mamamaaaaaaaaaaaa huyu ndie rose muhando nimpendae hajui kumung'unya big up Sana rose ww ni balaa la shetani
@costanciamwita7532
@costanciamwita7532 3 жыл бұрын
Kama unaamini Rose atainuka mara 7 zaidi gonga like hapa
@marthakilusungu8317
@marthakilusungu8317 3 жыл бұрын
Ni kweli 🌹
@iuem5792
@iuem5792 3 жыл бұрын
Ameshainuka tayari.
@elizabethgudisa1834
@elizabethgudisa1834 3 жыл бұрын
Umeshainuka. Tayari. In. Jesus. Name
@alphoncelepojo2680
@alphoncelepojo2680 3 жыл бұрын
Mungu akutie nguvu
@fredmbilinyi4680
@fredmbilinyi4680 3 жыл бұрын
@@marthakilusungu8317 wimbo za rosi mhando
@michaelwilliam7313
@michaelwilliam7313 3 жыл бұрын
Rosi nakupenda Sana, Mungu aendelee kukuinia juu zaidi, Kama mnaniunga mkono like hapa.
@claudiaedward3899
@claudiaedward3899 3 жыл бұрын
Dada yangu Rose mungu akulinde kwa damu yake iliyomwagika msalaban tuendelee kufanya kazi yake ubarikiwe
@jeps.e4305
@jeps.e4305 3 жыл бұрын
I was very happy to see Rose back on her feet..Rose much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. Tunakupenda Maami
@leillagrace6511
@leillagrace6511 3 жыл бұрын
Sanaaaa twampenda rose kenyaa
@apostlejohnmakhoha3742
@apostlejohnmakhoha3742 3 жыл бұрын
I like this rose,nimeupokea ushuhuda wako,unainua imani sana.mungu akubariki zaidi
@charlesjkyallo5835
@charlesjkyallo5835 3 жыл бұрын
Barikiwa rose . I love and respect you soo much. Nyimbo zako nilikuwa nasisikiza nikiwa shule ya upili maana maisha yalikuwa mazito mno.. hata kama ulibadilisha roho moja , tayari kubadilisha na kutafuta kondoo mmoja wa Mungu kupitia kwa njia ya uimbaji hio tosha, kama vile mtakatifu Augustina alivyo badili miendo yake kupitia njia ya uimbaji na kusema ,alichelewa kumjua Mungu , zidi kutamba mama..
@masungadonard9000
@masungadonard9000 3 жыл бұрын
Rose nakupa axlimia 💯 ubarikiwe sana mungu amtie nguvu
@NyukuriLillyarn
@NyukuriLillyarn 3 жыл бұрын
My sister Rose 🌹 you such a gifted singer from God. Your voice whenever I listen to it,my soul feels fresh.Whenever I feel low,your songs encourage me. May God bless you and give you long live for you change many lives🙏
@hildanyambura8703
@hildanyambura8703 3 жыл бұрын
Am so encouraged by Rose. God bless her so much.
@winniengugi4559
@winniengugi4559 3 жыл бұрын
I love this Woman. She is full of wisdom she is called of God. No one can thwart Gods plan in her life. When she was in the hospital here in Kenya l had a burden to pray for her. Moyo wangu uliumia.. kama kanisa la Bwana niliumia... sasa hivi nikona venye amenenepa kweli Mungu ni Mungu! No place for arguement. Winnie Kenya
@pastormarymigot1509
@pastormarymigot1509 3 жыл бұрын
Songa mbele na injili ya Yesu mama Rose Muhando I am so happy to see that you're back on your feet, may God be glorified forever with love from NBO Kenya
@beatriceamagove7592
@beatriceamagove7592 3 жыл бұрын
Hello hello nakupenda Sana roce muhando God bless you Niko hapa Kenya nimekupata vinzuri Sana mungu awape nguvu yake
@shaletmzee9748
@shaletmzee9748 3 жыл бұрын
Rose muhando napenda sana nyimbo zako, Mungu akubariki sana na akutangulie kwa kila jambo.
@annmwangi7239
@annmwangi7239 3 жыл бұрын
Rose naitwa Ann from Kenya.. Mungu alie Mbinguni akubariki sku zote.. Tunakupenda na hua unatubariki kwa njia zote..
@lucymutisya8287
@lucymutisya8287 3 жыл бұрын
Rose mungu atakuinua na akurundishie yote ilikuliwa na nzike
@richardomare3764
@richardomare3764 2 жыл бұрын
Rose nakupenda no naked nyimbo na Saudi yahoo Kwa heshima niruhusu uje. kwangu
@paulondiek4355
@paulondiek4355 3 жыл бұрын
Rose you are just amazing Angel you are my best gospel artist may God continue to uplift you
@mildredkhagali8357
@mildredkhagali8357 5 ай бұрын
Mungu akuhinue na akubariki rose muhando na uwasemehe waliokukosea mungu yuko pamonje na wewe katikati ya mateso.
@Wakwetujitu
@Wakwetujitu 3 жыл бұрын
Amina Sana mama etu kipenzi rozimhando
@noelolairivan6450
@noelolairivan6450 3 жыл бұрын
Kama MUNGU akisema ndiyo nani wakusema siyo? Love so much Rose GOD continue to bless you more and more
@G.S985
@G.S985 3 жыл бұрын
Hongera mwandishi nimependa ulivyo muhoji Da Rose,Mungu endelea kusimama Da Rose watu !
@samwellwiza466
@samwellwiza466 3 жыл бұрын
Huyu mama ni mnyenyekevu sana na hakika aliamua kufuata Yesu....ukimsikiliza Rose utagundua kuna mambo mengi tuliyoyasikia tumedanganywa sana kuhusu Rose.....
@rwanda2484
@rwanda2484 3 жыл бұрын
So sorry Rose 😭. I'm glad I never believed those drug stories and happy that God has restored you. Much love from Kenya
@lizmass4253
@lizmass4253 3 жыл бұрын
Me too I never believed it
@janewanjy7598
@janewanjy7598 3 жыл бұрын
Wow.. sauti ni ile ile. Welcome back Rose Muhando
@esthermtui6126
@esthermtui6126 3 жыл бұрын
Hongera sana dada rozi
@anjelinamukabane664
@anjelinamukabane664 2 жыл бұрын
Rose mungu anakupenda sana zidi kumutumikia siku zote za maisha yako God bless u all the time 🙏🙏🙏
@josephinem4324
@josephinem4324 3 жыл бұрын
Safari ya ukristo ina mapito makuu. Maadui wakakuwekea vigogo, ukavivuka, sauti ikabaki ile lie, Asante Mungu. Rose, Mungu hamwachi mja wake, akushike mkono utimize mahitaji yako. Hugs from London.
@sheilamunuve1754
@sheilamunuve1754 2 жыл бұрын
my sis Rose mungu akubariki Sana na hakutie ngufu nakupenda Sana na ninaminia mungu anakupenda zaidi yangu nyimbo zako unibariki Sana . Simba wa kike barikiwa Sana .ni Sheila from kenya
@bishopjustusngota4417
@bishopjustusngota4417 3 жыл бұрын
Nimefurahishwa na mazungumzo ya Rose kutoka ulipo toka kwa uislamu mpaka vile meneja wako alivyo ku tesa . Nafurahishwa vile haukufa moyo na umesimama wima kwa wokovu. Wewe ndiwe mwimbaji mashuhuri wa kike katika Afrika mashariki.Wimbo wako wa uwe macho ulini bariki Sana .Nilikua miongoni mwa watu wa Kwanza kuinunua Kama mkenya.Mungu aku bariki zaidi .
@charlottenjangali3363
@charlottenjangali3363 3 жыл бұрын
Nimefurahi sana to know you Rose i loved your music many years ago. Ubarikiwe sana wacthing from Italy
@elyseebyukusenge2597
@elyseebyukusenge2597 3 жыл бұрын
Mungu asifiwe sana kwa kukuwezesha kumtumikia tena. Nguvu zake zikufurike Mtumishi Rose Muhando. Tunakupenda sana na nyimbo zako pia
@raphaelotieno888
@raphaelotieno888 3 жыл бұрын
Glory to God for uplifting Rose's life and restoring her strength and golden voice. May she soar higher in God's ministry. She is back much wiser.
@wahinyaabiah
@wahinyaabiah 3 жыл бұрын
This beautiful lady. We love you here in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@ashleypetertv5894
@ashleypetertv5894 3 жыл бұрын
I enjoyed the interview and learnt alot..God blesss you Rose.
@moraaontiri4082
@moraaontiri4082 3 жыл бұрын
May God bless you dear sister we love you rose from Kenya 🇰🇪
@elizmutai9562
@elizmutai9562 3 жыл бұрын
Zaidi
@tigerchristmas5491
@tigerchristmas5491 3 жыл бұрын
She is too genius Hakika kusudi la Mungu haliwez zuilika, asante Mungu
@laurianmwita4503
@laurianmwita4503 3 жыл бұрын
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Rose kuimba umebarikiwa, nyimbo zako zá Kwanza zilkuwa zinabeba ujumbe kuliko nyimbo nyingi na wewe ni Genius kweli sio uongo. God bless you.
@josephrutta6834
@josephrutta6834 2 жыл бұрын
Duu! Kabla hajasema anampa nani tuzo, mimwenyewe nilimfikiria AMBWENE MWASONGWE. Ambwene is good and smart
@rosemuhazi9542
@rosemuhazi9542 3 жыл бұрын
Ukweli kabisa my sweetheart uwezi tumikia mabwana wa wali be blessed 🙏
@virginianganga2556
@virginianganga2556 3 жыл бұрын
Our God is able, kweli Dada Rose tumemuona Mungu kupitia mapito yako, sisi kama wanadamu hatungekuelewa ni Mungu
@phylisjacob5701
@phylisjacob5701 3 жыл бұрын
Hongera mama ulishida vita Kali kweli
@husseinjohn532
@husseinjohn532 2 жыл бұрын
Dada Roza MUNGU akubariki unajuwa MUNGU akitaka kuku inuwa lazima upitiye mahisha ya jangwa nahayo ndo yalikuwa mahisha yako ya jangwa .unanibariki sanaaaaaa MUNGU azidi kukuinuwa viwango hadi viwango amen
@cuhgds4320
@cuhgds4320 3 жыл бұрын
Apostle Dunstan Maboya hello we love you from Kenya of Apostle Mukadi wa Mukadi ameni jameni living in the usa now, hello Rossy amazing sister God bless.
@ninayamat8213
@ninayamat8213 3 жыл бұрын
Pole sana rose umepita pagumu mnoooo hakika Mungu atukuzwe kwa kukuvusha ktk mapito yako
@hobokelanyaluke6071
@hobokelanyaluke6071 3 жыл бұрын
Hongera kwa ushindi
@winfredangastin2117
@winfredangastin2117 3 жыл бұрын
Dada Rose wewe tayari no shujaa wa imani, nashukuru Mungu kwako we shuhuda zako zinabariki zinainua zinatia nguvu, Dada niwakati wako sasa maana umepumilia hayo yote had I yakapita so ni wakati wako sasa Mungu akupanguze machozi, mwaka was 2014 ndio mwaka niliokuona December kwa crusade chini y mtumishi wa Mungu Pius muiru Uhuru park hapa Nairobi na kutoka hapo watoto wangu wakakupenda sana n kupenda kundazi kupitia CD yko y kwanza mteule uwe macho so I wish one day will meet u thanku, I'm Winnie Nairobi Kenya stay calm
@graceisasi6348
@graceisasi6348 3 жыл бұрын
Rose uko vizuri dadaangu nimejifunza mengi kutoka kwako Natuzo umezielekeza sehem sahihi Ubarikiwe
@mardotakataka3182
@mardotakataka3182 3 жыл бұрын
Rosa ubarikiwe sana nyimbo zako zina onya sana miyo zawatu . Mimi apa Congo Kinshasa
@jmkeys1892
@jmkeys1892 3 жыл бұрын
You have encouraged me Rose. Through your testimony I know in my heart how to support my daughter to her God given gift of loving street children and building a home to support them. God has spoken to me in your testimony
@yeremiarichard4755
@yeremiarichard4755 3 жыл бұрын
Hongera sana Rose na wale waliokutia nguvu wabarikiwe sana na ubarikiwe sana ulinzi wa Mungu uendelee kuwa juu yako
@fredmwanzu9105
@fredmwanzu9105 3 жыл бұрын
Angelic voice! Rose Muhando is the best!
@thomasmuyya7221
@thomasmuyya7221 3 жыл бұрын
Rose Mungu akubariki. Chunga sana watu wa Media watakutumia kukuza channels zao. Simamia wito wako wa kumtangaza Mungu kwa Injili ya Wokovu kupitia sanaa ya kuimba. Muziki ni nyenzo wala sio taaluma bali Mungu alikuita, amekutenga kuwa Mtumishi wake. Nadhani sasa mahojiano ya kuchokonoa mapito yako. Hawa walikuwa wamekaa kimya wakati unanyanyaswa. Mungu akupe hekima utumize ahdi. Mambo yako usiwape wanahabari kazi yao kutafuta mambo ya watu. Wasije kukuingiza kwenye mitego ya adui maana hutumia tasnia ya habari. Nashukuru mahojiano haya umesimamia kweli. Nilitamani kukuona tangu 2010 wakati unapita katika majaribu nimebaki kukuombea. Nafurahi Mungu amekuinua. Zidisha muda wako na Bwana Yesu Kristo uihubiri Injili. Omba Injili kama ulivyoanza.
@sambonangamasawe5230
@sambonangamasawe5230 3 жыл бұрын
Nimeshukuru sana Rose kwa kueleza kishujaa yaliyokupata. Pole sana. Unayozungumza hapo no ukweli mtupu, endelea kuhubiri na kumshuhudia Kristu mfufuka. Mungu akubariki sana. Nyimbo zako zinanijenga sana kiimani. Keep it up Rose!
@annsmall5110
@annsmall5110 2 жыл бұрын
This woman is just blessed... nothing more...God loves her..and we love you
@daisykyungu3109
@daisykyungu3109 3 жыл бұрын
Rose nakuombea tu kwa Mungu,akuongezee Kibali zaidi kwa Huduma yako,nakupenda sana Rose,na Mungu akuongezee miaka ya kuishi Duniani 😍#TRM
@EliMsuya
@EliMsuya 3 жыл бұрын
#TRM tuko mbele aisee
@mwajumamsangi9014
@mwajumamsangi9014 3 жыл бұрын
Utabaki kuwa juu dear. Pole kwa mapito yako, ila amini bado una nguvu sana. Barikiwa zaidi na hongera sana kwa kuendelea kumshikilia Mungu wako.
@emanuelkikuo9519
@emanuelkikuo9519 3 жыл бұрын
Hongera Dada Rose mungu akuinue zaidi na ufike mbali zaidi
@esperanzawanjiru2435
@esperanzawanjiru2435 3 жыл бұрын
Rose was famous with her gospel so definately shetani hakufurahi no wonder ana mu test. aombe sana na akwamilie kwa neno la Mungu. Thanks to pastor Nganga from kenya for delivering her.
@kerenhappuclamotechmid7843
@kerenhappuclamotechmid7843 3 жыл бұрын
Yesu christo aliku chagua zamani tangia mtoto ubarikiwe da Rose❤❤
@leonardanzurunipombi2499
@leonardanzurunipombi2499 3 жыл бұрын
Wooow nakupenda sana Dada rose we ni jeshi kubwa Mungu akulinde dada
@dioniztrasis5952
@dioniztrasis5952 3 жыл бұрын
Rose muhando nakupenda sana tena sana katika Bwana Yesu nakuombea Bwana Yesu azidi kukuinua wewe utabaki kuwa simba hatawafanyeje. From Muleba mujini.
@ritaolango9646
@ritaolango9646 3 жыл бұрын
Rose Muhando woman with Brains Hongera Dada yangu
@mscinglucksonnzanzu4619
@mscinglucksonnzanzu4619 3 жыл бұрын
aksanti sana mama ROSE M. félicitation et bcp de courage à toi Maman ROSE M.mon artiste préféré. Mungu akubariki.....je suis fan de toi
@lilianmwinamila9506
@lilianmwinamila9506 3 жыл бұрын
Hallelujah ....."nimepoteza mali nyingi lakini sijapoteza kipawa 👏🏽" what an answer 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@pasteurandrechibuya2428
@pasteurandrechibuya2428 3 жыл бұрын
Hkuna suja pasipo historia. Wanaotoka mbali ki historia wnaenda pia mbali ktika kristo. Napenda nyimbo zako. Mungu akutumiye zaidi. Rdc
@alainmiancho9215
@alainmiancho9215 2 жыл бұрын
Mungu akubariki rose,unanijenga sanakiroho Niko Congo mani naishi Uganda naitwa pasta devid
@georgemwapela1654
@georgemwapela1654 3 жыл бұрын
Nimekupenda Sister Rose 🌹 kwa ujasiri wako...Hata Kama nitaanguka Mara kadhaa lakini nitaamka na kuendelea mbele.
@ruthsanya7995
@ruthsanya7995 Жыл бұрын
Nyimbo zako zinanibariki sana hongera
@roselynenzaichama3501
@roselynenzaichama3501 3 жыл бұрын
May you live long Rose and continue serving the Living God
@allbyhisgrace8925
@allbyhisgrace8925 3 жыл бұрын
Amen
@amosbarchok3570
@amosbarchok3570 3 жыл бұрын
yaani i need to be recharged like you mama.... i like your energy.. God does not give us what we cannot handle... he give us the energy to carry on....its evident that he walked with you all along for you to believe and others to trust in your God... may you be recharged over and over again
@goshenuniforms4174
@goshenuniforms4174 3 жыл бұрын
As long uliimba shujaa wa msalaba, 🥰🥰🥰you are heaven legend. God's own. I pit walio kudhulumu. Your battles are Lords. Sit back and just watch at them.
@GETERI
@GETERI 3 жыл бұрын
rose muhando my all time favorite artist. since 2005
@beatricetuei3397
@beatricetuei3397 3 жыл бұрын
Imani kubwa Sana ,kubadilika kuwa mkristo na anaendelea kumpenda yesu zaidi,Mungu akuinue uende kiwango kingine ya juu zaidi
@adhiamboviolet8723
@adhiamboviolet8723 3 жыл бұрын
Kwani you tube iko aje mara rose aliksakufa mara ako uwai I don't understand but I hope she is a life ithank God
@jamshedpurwambuh9327
@jamshedpurwambuh9327 3 жыл бұрын
Rose Muhando may God bless and maintain you. Ata kama madui wanakupiga Mungu yuko.
@naomijebichii6898
@naomijebichii6898 3 жыл бұрын
Lots of love from Kenya
@danielochoki7136
@danielochoki7136 2 жыл бұрын
Mm naomba mungu anisadie Kama we Rose Kwa maana pia mm nkona kipawa lakin Sina mtu wakunishika mkono naomba mungu Sana ajibu maombi yangu pole sna Rose mungu akunariki zaidi
@ShikumwariWaMuthamaki
@ShikumwariWaMuthamaki 3 жыл бұрын
Nimependa vile Rose amenena.Salute.nimependa hekima iliyo ndani yake na bila Shaka mwenye hana hekima ya Mungu hawezi akaelewa kamwe.Rose,👍👍💪💕
@henryosoro7696
@henryosoro7696 3 жыл бұрын
Rose nyimbo zako nzuri sana.. Enda utafute yule mama anaitwa nehema mwaipopo.Kwani aliaja kuimba.
@kambuatitus896
@kambuatitus896 3 жыл бұрын
Wow! Am blessed and encouraged... From 254....
@julietlema5048
@julietlema5048 3 жыл бұрын
Hongera Rose-Ufafanuzi wa madhabahu umeeleweka vizuri .Mtu huwezi kutumika mabwana wawili-Songa songa mwanamke songa -sky will be the limit🙏🙏
@dorrymmba7828
@dorrymmba7828 3 жыл бұрын
Oh my goodness look what the Lord has done see how he did it!!! Much love from me here in Kenya. Thank God for restoring you nd reviving you too. Kabla hujafa kweli hujaumbika
@annieprincess499
@annieprincess499 3 жыл бұрын
rose may GOG
@annieprincess499
@annieprincess499 3 жыл бұрын
SO TOUCHING rose that you managed to manoeuver with alot of challenges resulting from those with jealous hearts.we thank GOD for protecting and concecreting you with his precious blood. much love from toskin from kapchorwa district uganda.be blessed rose
@diannvictoria
@diannvictoria 3 жыл бұрын
Sister Rose, Nakuitaga Queen.. Nakupenda Sana.. Ile Album Yako Ya NIMEKUKIMBILIA Ilinifanya Nisiache Kusimama Na Wewe.. Zidi Kuyanyoosha Mapito Mama.. Napenda Uende Mbinguni, Umeweka Kitu Kizuri Kwangu Kwa Jina La YESU Uishi Dada! 💚
@lilianmwinamila9506
@lilianmwinamila9506 3 жыл бұрын
Pole rose .Mungu ni mwema na muaminifu 🙏🏽....hongera kwa kuvuka
@deliciouseasyplate3427
@deliciouseasyplate3427 3 жыл бұрын
Amen rose
@jephtebanza2931
@jephtebanza2931 3 жыл бұрын
Je vous dis vraiment j'aime cette sœur. Nampenda kweli uyu dada rose, na mungu ata saidiya nitamuita RDC.
@BOBJONES-cx2ht
@BOBJONES-cx2ht 3 жыл бұрын
One thing i know in this world is : 1. God will always be God no matter what, 2. when God wants to use you to touch lives of people no one can stop it, Sister Rose your Testimony is grate may the almighty use you through out the world . we love you and Uganda loves you , East Africa loves you and above all God loves you ........ Amen
@LenanaKomoi
@LenanaKomoi Ай бұрын
Rose Mimi Na juwa umepita pagumu sana Ila Mungu mkubwa sana Mungu akutetee sana Kwa Maisha yako yote❤
@zachariahtomemba9070
@zachariahtomemba9070 3 жыл бұрын
Mtumishi Rose Muhando may God richly bless you as a true servant of God,it's just through the hand of God You are a true testimony
@electineokoyoh8627
@electineokoyoh8627 2 жыл бұрын
Rose mm napenda vile wewe waimba bibilia tu. Nakuombea Mungu uinuke Tena wewe ni mshindi
@henesysolomon8196
@henesysolomon8196 3 жыл бұрын
nakupenda sana dada rose, mungu azidi kukuinua zaidi
@jimnjiru8842
@jimnjiru8842 3 жыл бұрын
I really love this lady in line with her songs. You come to Kenya, tembea Runyenjes plz
@dolinenyatuka2864
@dolinenyatuka2864 3 жыл бұрын
Doline from Kenya,love ur spirit rose may God bless u
@dorryfinebarongo394
@dorryfinebarongo394 2 жыл бұрын
A'm sorry Rose for what you went through 😭 in life.you have encouraged me so much,may God bless 🙏 you sister and keep on in praising God through singing.
@karimimiriti3827
@karimimiriti3827 3 жыл бұрын
Rose muhando nakupeda tuu bure Kwaza hiyo album ya kwaza niliisikiliza nakulia kwi kwi kwi 😭😭 nikijiangalia Mungu akubariki tena sana
@joseymanyara6282
@joseymanyara6282 3 жыл бұрын
Yaani natamani sana siku moja nikuone rose ..we seat and have a long conversation about God ,your trials and life in general. I love you so much from Kenya
@lydiangutuku
@lydiangutuku 3 жыл бұрын
Long life Mama..much love from kenya😍😍
@beautyibrahim8428
@beautyibrahim8428 3 жыл бұрын
Nimependa apo ulivyoelezea kuhusu wasanii kuhusu kuachana na ndoa zao aiseee umefafanuaaa vizuriii sanaaa wakuelewa ataelewaaa your genious👏👏👏
@spenciozakato1286
@spenciozakato1286 3 жыл бұрын
Sana,kumbe hiki kichwa kimejaa hekima looo
@fridahkarimi5510
@fridahkarimi5510 3 жыл бұрын
🇰🇪mom we love you keep going you're unstoppable🔥🔥🔥
@dennismwenje7041
@dennismwenje7041 3 жыл бұрын
Nakupenda sana mama yetu Rose muhando Maybe God bless more and more
@fredrickwandera9810
@fredrickwandera9810 3 жыл бұрын
I just love Rose Muhando for her love for God..despite everything she has gone through she is still very strong. Here in Nairobi kenya we celebrate you.
@kenyannews4753
@kenyannews4753 3 жыл бұрын
Rose mama u are So wise and u have great knowledge ......thanks genius u are and u will make great things mama
SERA MUKISA (NYCE TV Exclusive Interview)
16:08
SERA MUKISA NOBLES
Рет қаралды 5
Rose Muhando  -  Simba (Official  Music Video) SMS SKIZA 7636520 TO 811
5:05
Rose Muhando Official
Рет қаралды 9 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 9 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 23 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 21 МЛН
Dr Sarah k. Live @KamemeFM  Part 2
50:36
Dr. Sarah K music
Рет қаралды 18 М.
MCHUNGAJI HANANJA: HAKUNA MTU ALIYEANZA NA MWANAMKE MMOJA HUYO MUONGO LAZIMA UNAPAPASAPAPASA KWANZA
59:37
Mchezakwao “mchezakwaoshow” Startv
Рет қаралды 136 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 9 МЛН