Tuseme tu kuna vile mwenyezi Mungu alijua akahakikisha sifanyii mchina kazi. Ni hayo tu kwa sasa.
@feihimani574 жыл бұрын
Yeees jalas ur talking... this our country mchina apeleke Corona Na Uko
@austineochieng81174 жыл бұрын
I agree with jalas. Kama ingekuwa mimi, mchina mortuary mimi naye kamiti
@innocentmutembei96044 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂 shika mtu transformer na ufinye
@delilaindashou45804 жыл бұрын
Alex na jalas noma sana 🤣🤣🤣
@godsfavour56654 жыл бұрын
Enyewe hapo ndio kukosa kazi ndio imefikisha wakenya but huyo boy angejam heri angewacha kazi mungu angemfungulia kwengine but uzuri God aliwaanika
@sherrykeya73704 жыл бұрын
Yawa jalas 😂😂😂😂 you made my night
@Captain_shiii4 жыл бұрын
Ukweli jqlas I'm inn
@lamesalamesa13804 жыл бұрын
The sad part is hana makaratasi yaku fanya kazi na akona kazi 😭😭
@carolinetalam58324 жыл бұрын
Jalas you're right
@mr.jasonfxsignals48734 жыл бұрын
Jalas 😂😂😂😂 mm io yako pia naeza tumia😂😂😂😂😂
@phannyshiggs54724 жыл бұрын
Same to me jalas
@amosboywo86694 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 jelas
@bensonabisai91974 жыл бұрын
Yet we are laughing about it. What are we doing as citizens. Indians have been doing for as long as I can remember
@luchinasarah37454 жыл бұрын
True
@xoxomacx25394 жыл бұрын
Benson Abisai and also what are they doing about it. That guy is probably walking around Mombasa now. How about getting a lawyer to sue him and give this guy some compensation.
@maurinekhasila33264 жыл бұрын
Mm huyu vile niko mwanamke naeeza jikaza nikiomba mungu nipe guvu mtu awezi nipigia kwangu nyumbani.
@hamisihassan26204 жыл бұрын
Sooo sad kama ni enzi za marehemu Daniel moi angewapeleka kwao mara hiyo hiyo.
@stellahkerubonyangaresi1034 жыл бұрын
So sad😭😭...
@centreflora51704 жыл бұрын
Saa hizi tupo na uhuru na Raisi ni Uhuru....na kuchapwa kulipa deni ya mchina! Ni low self Esteem ya hao wawili
@susanmunge67244 жыл бұрын
Mimi ningemchanganya makofi asikie
@emilymuthoni37764 жыл бұрын
kama alikuwa anachapiwa uko china ni sawa bt hapa kwetu 🙆🙆🙆na ni mwanaume ka ni wangu💪 💪 ni mmoja aende jela mwingine aende mochari ⚰
@inahazan93394 жыл бұрын
Ukitaka kujua the real life ya kupigwa kama mtoto wa class one juu umechelewa ulizia wale wanafanya kazi kwa Muhindi
@njoramichael70514 жыл бұрын
True that's the cause of joblessness,,, it's sad,c mtu awafunze lesson hawa wachina
@menyajoseph764 жыл бұрын
Lakini kuangu Mimi naona foreigner ambaye anakutua natabia mbaya kama kupiga wana inchi inafa watowe fine yakutosha na kuregeshua kwao that's all
@MsDavali4 жыл бұрын
Nangoja mChina anichokoze
@thesinaimounthospital66704 жыл бұрын
CHING LONG HING. JALAS UTANIMALIZA
@geoffreyanthony14884 жыл бұрын
So sad
@alexanderbonnysimiyu37894 жыл бұрын
Saizi ningekua nakula githeri,viboko na ngazi ngumu lakini mchines ako mortuary. Huo ni ujinga siezi nkakubali hata kwa ndoto
@fl0rencemutuku404 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😜Wacha niwaambie muindi akajaribu kunifuruta Hati nimapitwa na namba yangu nikinduu??? Wacha nipasue barika,, nilimshika huo. Mkono wake Nikamuambia asiwai nichapia kwa mamangu hata saaa hio 😭😭😭😭 nikamuuliza nimechelewa Kazi yako? Hapa ni nabari tu? Kaa wee ni mwanaume jaribu kuniguza. Watu wakapiganisha duru huui wacha Flo, utaaribu Kazi, nikawaambia ishaaaribika musinileeteeni mambo zenu kwanini amezoea kurushanisha watu ivyo? Saa hio nikakaribia Nikamuambia nichape 😜. Akunichapa but tangu hio day nikasema kaa chakula ni hapo nife 😔... Hadi waleo sijawai kanyanga kwa muindi tagu 2000 upto date na sitawai I tell u... So, so, China watuangwe na dume za Kenya sio Hati unampa matako yako aaribu na ako na yake... Ubaya watu ujifanya Hati nikitoka hapa nakufa, aaai, kwanza ndio utaendelea mbele
@rashidwalwanda19914 жыл бұрын
Ati welcome to Kenya republic of Chaina
@shakejudy27444 жыл бұрын
So sad pia mmi siwezi chapwa Ivo aaiii
@nahumbaya92244 жыл бұрын
Mimi uyo mchina ningerudisha macho kwa iyo socket
@eunicewairimu50154 жыл бұрын
Ukweli joblessness imefikisha watu hapo, kutandikwa na wachina
@rosierosie81184 жыл бұрын
Huyu vile jalas amesema tu ndivyo ningemalizana na yeye angejua hiyo siku hapana chezea mnyore wa kutoka Luanda hata hiyo food yenye wanaua hapo yote ningemwaga kwa dustbin
@kakadprince4 жыл бұрын
hakutaka afutwe kazi.. so he had to submit coz maybe many people are looking up to him.. na hata kama ni kufinya sehemu ya siri ya mchina utafinya nini? hawana kiti.. ile wanayo ni mbumbumbu imelala kama socks mzee
@mutisyabenjamin25024 жыл бұрын
Hata shuleni kichapo iliisha
@jackienjenga52274 жыл бұрын
Jalas 😂😂😂😂
@Esty12484 жыл бұрын
Hata kama ni kazi wacha ikae.
@josiahalela76724 жыл бұрын
mwakideu utaigwa na stlyle ya tichiii
@khamisijuma31674 жыл бұрын
Kesi Kama hii ilitaka ifanyike kwamagufuli uone vile mchina angeadhibiwa
@bensonkwendo87564 жыл бұрын
Tunalipa madeni
@salomemukani16274 жыл бұрын
Nikama Mtu akuje kwenu ama kwako anze kuku jarasa viboko nimbaya sana. Ata kama nikuchelewa kazini kuna sheria za kazi mutu upewa woning kama ajatoa sababu muhimu ya kujelewa. Kazi. Woning3 unafutwa kazi but sio kuchapwa kama mfungwa ina uzunisha. Sheria zifwate mkondo wake.
@deearacemarg4504 жыл бұрын
Ukoloni mambo Leo.This is the result
@nzisakasau82344 жыл бұрын
Kweli kabisa jalas😂😂😂😂
@maurinekhasila33264 жыл бұрын
Very sad
@nzisakasau82344 жыл бұрын
@s f 😅asante
@nzisakasau82344 жыл бұрын
@s f simba
@Quilant7494 жыл бұрын
Haujui vile watu wanateseka inje, bora mchina anipige niendelee na kazi
@wacmber21314 жыл бұрын
Afadhali ukauze mboga kuliko kupigwa eti kisa ni kazi that's a no aki
@Quilant7494 жыл бұрын
@Reality check mwenye yuko kazi ndio ataongea vile mnaongea hapa saa hii, u people do not know how people are suffering out there, saa hii Kuna wenye wa natamani interview y kiboko na wapate job.
@stevohsteen68094 жыл бұрын
Kama unachapwa ata salary unapewa ata? Huyu jamaa alichapwa anafaa apelekwa Mathare hospital for check up!
@glorytogod17124 жыл бұрын
It's not only abt foreigner beating a citizen but nobody should put their hands on anybody period, that a how I look at it, cuz if ya talking abt foreigners then it looks like its cool to be beaten by your fellow citizen as long as hes your boss
@carolinetalam58324 жыл бұрын
You're right
@glorytogod17124 жыл бұрын
@@carolinetalam5832 thnx for concurring with me🙏🙏
@mohamedrashid73234 жыл бұрын
Hyo mchina ingekua Mombasa angejua kama Kuna wanaume
@monicakassi3034 жыл бұрын
Jalas na mwakideo yes tuko na Uhuru Kenyatta ndo maana tumachapwa hadi hapa nyumbani, si Kenya ni republic of china, tukizidisha BBI ndo tutachapwa kabisa. Aki inauma i wish ningekua mimi mchina angekula kisu cha koo cheei
@queensbellah71734 жыл бұрын
Walai hata Mimi siwezi pigwa hizo snake style zao ni za movie this is real life kwanza Kofi then next naaglai available silaha kesi baadaye
@rasjoe99484 жыл бұрын
Haki hii sio poa foreigner beating any Kenyan nyumbani kwetu, that boy ata yeye wooiii 👎👎👎
@stevebiko38064 жыл бұрын
Jaribu kupigana na Chinese, utaona karate. Unajua Jet-Li wewe?
@mahmuodmusa58834 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@mwaurawilfred7194 жыл бұрын
Mwakideo acheni kuongea ivo vijana hawana kazi so wanadanya wawezavyo ili walinde kazi acheni mdomo hapo
@derekmwiriki92844 жыл бұрын
Iyo one dislike ni ya one of the Chinese.....
@ellyemily42344 жыл бұрын
Ila source ya problem Ni kukosa kazii
@nastehbashir84154 жыл бұрын
When you have a job you talk like this but you know what many of you pass through with Indians in industrial area.poverty itself is colonization.that guy is now jobless.
@mrtoshtosh47144 жыл бұрын
U are just supporting nonsense...
@davidogola83844 жыл бұрын
Nasteh Bashir was he born and went to that hotel straight was he living before that hotel you are so dumb ebu enda china ufungue hoteli then uajiri mchina then umchape uone Kama hutarudi kenya Kama weee ni maiti stop stupidity ndo maana we are called monkeys and dark continent coz of people like you ...my dad didn’t have a job we went through hardship but now I am an employer you don’t bend that low kazi zinakuja zikienda
@missmalaikalee46464 жыл бұрын
Bul bro. Hata k.m siko Seattle.....
@lioness82074 жыл бұрын
Futa hii comment ni ujinga gani unasema hapa sasa unataka kusema tuanze kulamba Chinese next time fikiria kwanza ndio ucomment na pia sio lazma ucomment.wewe Bashir