Mchumi aeleza sababu za dola ya Marekani kuporomoka thamani yake Tanzania na Shilingi kuimarika

  Рет қаралды 24,731

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 211
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 18 сағат бұрын
Tukubaliane tu shilling imeimarika ,, dola kwao ipo pale pale
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 Күн бұрын
Kwa sasa tupo kwenye supply phase ndio mana dollar inashuka tukifika kwenye demand phase itafika mpaka 3000+ wenye uwezo Kwa sasa wahifadh dollar kwa wingi soon itaenda kupanda Kwa kasi then utapiga faid kubwa ukiwa unafanya forex trading 📈 chart inaongea
@pendosailo1989
@pendosailo1989 16 сағат бұрын
Sure
@mussaali-n6s
@mussaali-n6s Күн бұрын
urusi❤
@archbordygodfrey2614
@archbordygodfrey2614 Күн бұрын
BRICS 🎉
@peterkioko3936
@peterkioko3936 21 сағат бұрын
lol joining brics 😂😂😂😂😂😂😂😂 haikusaidii vile unafikiria
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 16 сағат бұрын
​@peterkioko3936 BRICS ndiyo sababu ya andiko la dola, na bado safari inaendelea. Sijui unaumia ukiwa wapi?
@UlfaRashid
@UlfaRashid 18 сағат бұрын
Shiling nahisi imeimarika maana hata huku Oman rial imeshuka sana
@t1910j
@t1910j 23 сағат бұрын
Dola haijashuka bali Tanzanian shilling imeimarika.
@malugukushaha6764
@malugukushaha6764 16 сағат бұрын
Kwani kushuka si ndiyo maana yake hiyo, thamani ya fedha ya nchi fulani mfano Tzs kuimarika dhidi ya USD. Pia inaweza isiwe sababu ya Tzs kuimarika bali kukawa na sababu zingine za nje(external factors) zikawa zimechangia kuporomoka kwa USD.
@uwimana6533
@uwimana6533 15 сағат бұрын
Nikweli dola imeshuka sana tumekufa 😒
@uwimana6533
@uwimana6533 15 сағат бұрын
Nikweli dola imeshuka sana tumekufa 😒
@mohdmohd8428
@mohdmohd8428 11 сағат бұрын
@MoSagofx ticktock km wew ni trader🎉
@JosephMovin
@JosephMovin 23 сағат бұрын
Sababu kubwa ni Brics
@OmerSuley-gl7go
@OmerSuley-gl7go 16 сағат бұрын
Hongera Mama Samia Rais wetu mpendwa ❤
@zitongwang6278
@zitongwang6278 29 минут бұрын
Tahira hilo
@Africana255
@Africana255 19 сағат бұрын
Mh. Mchumi hapa sijui ka yupo sahihi ... mbna shiringi ndo imeongezeka dhidi ya pesa nyingi, ikiwepo ksh, yuen, pound.
@Ston-uu4pg
@Ston-uu4pg 17 сағат бұрын
Mchumi amejibu vizuri ila hakueleza kila kitu. Pesa ya Tanzania imepanda thaman
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 14 сағат бұрын
Waraah sio dollar tu hata sisi wa Rial huku change iko chini haswaaa. Kutoka 7800 hadi 6500
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 сағат бұрын
Kabisa yaan mpk unatamn irud kam zaman tena
@T.i.sI.d.s
@T.i.sI.d.s Күн бұрын
Putin huyo
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o Күн бұрын
ikipanda wiki ijayo utaongea nini..!? Acha ushabiki
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
Dola haijashuka thamani, thamani yake iko palepale bali hela yetu ndio imepanda thamani. Imepanda thamani dhidi ya sarafu zote. Sio za China, sio za Canada, sio za Urusi
@CasmirKiwale
@CasmirKiwale Күн бұрын
Hawaelewi hawa​@@rumdeesonsoa1811
@jacobjb4515
@jacobjb4515 23 сағат бұрын
Mimi nipo hapa Canada 🇨🇦 kichwa kinauma Canadian dollar imeshuka vibaya ilikuwa 2000 plus sasahivi mmmh leo mtandao wa sendwave ni 1649 daaah sio powa
@issamushi6389
@issamushi6389 17 сағат бұрын
​@@jacobjb4515 vp unahisi urusi inaweza kuwa sababu
@BimHamdi
@BimHamdi 13 сағат бұрын
Pound siku zote ipo juu kuliko pesa zote za wazungu
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 15 сағат бұрын
Mimi nafikiri sh. Imeimarika kwa sababu matumizi ya dola kwetu yamepungua
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 12 сағат бұрын
Serikali ndio sababu ya Shilling yetu kufanya vizuri dhidi ya dola , ukitaka sarafu yako iwe na nguvu hakuna njia mbadala zaid ya kupiga marufuku matumizi ya dola au fedha za kigeni kwenye maisha ya kila siku
@Burner_Acc
@Burner_Acc Күн бұрын
Hamna mchumi hapo. Shilling ikipanda mnasema Marekani, ikishuka mnasema Tanzania sera mbovu. This time iliyoimarika ni shilling muwe wafuatiliaji sio kusikiliza hao wachumi uchwara.
@Myplusbee
@Myplusbee 18 сағат бұрын
Jamaa yupo sahihi kwa sababu ameeleza FACTORS zote! Mosi, Dollar yenyewe tu imeanza kuporomoka kuanzia mwishoni mwa November! Pili, msimu wa mauzo ya mazao ya kilimo una-boost uwepo wa USD!!
@HassanAbdallah-f6o
@HassanAbdallah-f6o 15 сағат бұрын
Endelea kulala hauna unachojua.
@eliaspaul9028
@eliaspaul9028 17 сағат бұрын
Kaka bundala naomba nipate ufafanuzi juu ya gold kwenye exchange rates..
@AlbertSabo-hp3ss
@AlbertSabo-hp3ss 22 сағат бұрын
Huyu Mchumi wa shule gani????? Inabidi arudi shule 😮
@mohamedmbalazi748
@mohamedmbalazi748 19 сағат бұрын
Mkosoe utusaidie wengine tunaishi kwa biashara ya kuuza pesa
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 18 сағат бұрын
Kakosea wapi ? Wakati shilling ilinunuliwa kama njugu, dola moja ilikuwa selling😂 2800
@Myplusbee
@Myplusbee 18 сағат бұрын
@@ameirzapy1318 Mi mwenyewe hapa nimedata manake nilikuwa najiandaa kwenda kutoa Visenti lakini kwa mporomoko huu, mnh! Unajua jana nililipia service moja ambayo ni Sh 13K TU, sasa kuangalia online statement nakuta nimetunguliwa $5.56 - NIKASHTUKA! Mara ya mwisho nilitoa Sh 400K kwa $162; lakini kwa stahili nadhani itakuwa sio chini ya $175 kwa Sh 400K ile ile!!
@Myplusbee
@Myplusbee 18 сағат бұрын
@@mohamedmbalazi748 HAJAKOSEA, yupo sahihi kabisa!
@Myplusbee
@Myplusbee 18 сағат бұрын
Nimemsikiliza huyo jamaa from A to Z, na nilichogundua ni kwamba, WEWE NDO HUJUI UCHUMI!!
@deogratiusprosper4796
@deogratiusprosper4796 12 сағат бұрын
Haibadilishi chchote kwenye maisha yetu ya cc wanaichi wa chini gharama ya maisha n palepale
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 9 сағат бұрын
Chadema wivutu
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 Күн бұрын
Ilipo poromoka dolar(shilingi) ya Iran wa marekani weusi😂wa buza walicheka sana, hawajui dolar huwezi kuigawa Katika Vita,biashara,ujenzi wa uchumi wa nchi.ikabaki salama shika kimoja, mbaya zaidi dolar ya brics inazidi kuwa na ushawishi..R.I.P dolar ya US tulikupenda ila Brics tumeipenda zaidi😊
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. Күн бұрын
R.i.p dollar
@nishimwelambert8377
@nishimwelambert8377 Күн бұрын
Kakudanganya nani lakini nyie wazungu wa temeke!Bricis hawajatengeneza hizo pesa ila waxungu weusi mnawashwa tuulize sisi tunaishi Urusi
@Awatee
@Awatee 20 сағат бұрын
​@@nishimwelambert8377sasa ukiishi urusi sie tukusaidie nini 😂si tupambane na maisha yako kama yamekushinda rudi kwenu hujalazimishwa kuishi nchi za watu
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 сағат бұрын
@@ZHING.Tech.😊😊
@AFRICA_D669
@AFRICA_D669 19 сағат бұрын
@@nishimwelambert8377 kuishi urusi, sio tatizo urusi inajenga ushawishi wa doral yake nje ya mipaka yake kwanza wala sio ndani ndio maana ndan urusi huwezi kuona shauku ya dollar mpya nenda south sasa 😊😊
@edsonkennedy8027
@edsonkennedy8027 16 сағат бұрын
BRICS wameanza kupunguza utegemezi wa USD kwa kutumia sarafu zao kwenye biashara, hatua inayochangia kushuka kwa thamani ya USD. Hii inatokana na juhudi zao za kujitenga na mifumo kama G20 na kuimarisha uchumi wao. Katika masoko ya indices, hali hii inaathiri mikakati ya wawekezaji, wakitafuta fursa kwenye sarafu nyingine.
@MajaliwaLechipya
@MajaliwaLechipya 13 сағат бұрын
Hii inatumika kisiasa Kwan aflika inafanya biashala gan paka iweze kusababisha dola kushuka? Walio shusha niwale wanao fanya biashala za kimataifa mafuta viwanda vikubwa ndio wenye maamuz lakin sio Tanzania sisi nikupelekwa Kama gali bovu malangap tunaambiwa tunadaiwa hela myingi kisa dunian dola imepanda kumbe wakubwa ndio wenye kujuwa
@longoempire1246
@longoempire1246 Күн бұрын
Mchumi sikuelewi unaongelea dollar kwasababu ya utawala mpya watu wana hofia vipi kuhus Euro ilikua imefikia 3000 kwa shillingi 1? Sasa imeshuka ghafra week moja imefika 2350
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
Dola haijashuka thamani, thamani yake bado iko palepale. Ni sarafu ya tz ndio imepanda thamani. Na imepanda dhidi ya sarafu zote sio dola tu
@Myplusbee
@Myplusbee 11 сағат бұрын
@@rumdeesonsoa1811 FUATILIA CHIFU, USD imeshuka lakini pia ni kweli Shilingi nayo imeimarika na ndo maana "net effect" yake imekuwa kubwa sana!! Yaani ni kama mtu aliyaliwa chini (Shiling) halafu yule aliye juu (Dollar) anapungua uzito na yule aliye chini anaongezeka uzito. Sasa ktk mazingira kama hayo huyu wa chini atajipapatua kirahisi sana tofauti na endapo ingekuwa ni yule wa juu pekee ndi ameepungua uzito huku wa chini akiwa vilevile au kama ni wa chini ndie kapungua uzito lakini wa juu anabaki uzito ule ule!
@DismasMaturine
@DismasMaturine 17 сағат бұрын
Huyu jamaa namshangaa hv hajui kuwa BRICKS yenye watu takribani nusu ya watu duniani wameamua kutumia local currency kwa kiasi kikubwa, saudia anawauzia mafuta kwa local currency sasa hiyo dollar inaimarikaje yaani dollar imesuswa na nusu ya dunua, pili USA anaprint dollar kusaidia ukraine Israel na kujiendesha bandana ya USA kuwekeza hapo dollar inaimarika vipi
@vanchillahvanchillah7691
@vanchillahvanchillah7691 2 сағат бұрын
Safi sana
@jumabaranyikwa1833
@jumabaranyikwa1833 13 сағат бұрын
Kuna athali pia kwa mauzo ya nje. Ukiuza bidhaa nje manayake utalazimika kuuza kwa bei ya juu ili kupata faida. Kama bidhaa inushindani basi wanunuzi watakimbilia nchi nyingine ambao pesa yao iko chini. Ndiomaana china anaamua kuishusha pesa yake ili auze sana nje. Fikiria Yuan ingekua kama Dolar nani angeenda China. Kwahiyo kupanda nako kuna athali.
@venancerutta6875
@venancerutta6875 Сағат бұрын
Hivi Leo watanzania bado IPO shida uchumi acheni sifa 46.00 usd sawa na 110.170.00 hivi mnamdangaya nani cc hatuwezi kujikita kupambana na dola acheni Hilo gumuzo
@HusnatHamis
@HusnatHamis 12 сағат бұрын
Really omani imeshuk imeshuk ten aisee
@salumualoyce5620
@salumualoyce5620 17 сағат бұрын
Mi nilifikiri shiling yetu imeimarika ndiyo maana dola imeshuka.
@georgesolos344
@georgesolos344 Күн бұрын
Reasons: 1: China and Japan dumping USA Treasury Bond 2: BRICS: using local currency for international transaction bypassing USA dollar 3: USA economic hardship 3:
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
Hizo reasons zako hazina maana yoyote. Hayo ndio matokeo ya kuhisi bila kufanya utafiti. Dola haijashuka thamani, thamani yake bado iko palepale. Sarafu ya tz ndio imepanda thamani, na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio dola tu.
@Rawdha-y8t
@Rawdha-y8t 10 сағат бұрын
sijui hata faida yake
@slemdj
@slemdj 17 сағат бұрын
Kazi nzurii
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Күн бұрын
Kwa muda gani maanake hata USA wanajipanga ipande tena sio wajinga ujue
@DadyNteya
@DadyNteya 6 сағат бұрын
Shillings haijapanda bado sn maana nakumbuka ilikuw usd 100 ilikuw laki moja
@edwinmulokozi5019
@edwinmulokozi5019 Күн бұрын
Tuko low season kwenye sector ya utalii subiri January mwishoni hapo
@Bahati47
@Bahati47 15 сағат бұрын
Shilingi umeanza kuimarika hata rial ya Oman ime kua chini kidogo kwa Sasa hii inaonyesha shilingi ya ki Tanzania imeanza kuimarika
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 5 сағат бұрын
Kuongezeka kwa mauzo ya Tanzania nje ya nchi
@mlelwatv5831
@mlelwatv5831 18 сағат бұрын
Shilling imeimarika yaani export rate ya TZ imeongezeka jamani mbona huyu mchumi anamambo mengi 😂😂
@Ston-uu4pg
@Ston-uu4pg 17 сағат бұрын
Kweli
@Dienacademy
@Dienacademy 16 сағат бұрын
Mchumi wa mchingo huyu 😂😂😂😂
@allykomsonde7813
@allykomsonde7813 18 сағат бұрын
Kwa akiliyangu yakawaida bilakupepesa kupanda kwa shiling ya Tanzania nikutokea kwamzunguko mkubwa wapesa hivyo shirng inatafuta kwagharama kubwa nihayotu
@iddikimia4951
@iddikimia4951 Күн бұрын
Kweli huyu ni mtaalam pia sky umeuliza maswali ya msingi
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z 5 сағат бұрын
Njia nzuri ya kuimaliza dollar ni kufuata mkondo wa BRICS!
@wasswapatrick1063
@wasswapatrick1063 Күн бұрын
Kiforex zaidi pia dollar inapansa thaman kuliko currency nyingi
@allthings1302
@allthings1302 14 сағат бұрын
Je! Dola inapatikana sasahivi?
@wasswapatrick1063
@wasswapatrick1063 Күн бұрын
Hakuna Kilichopanda thaman n shilingi ya Tanzania kuliko dollar
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
Dola haijashuka thamani, bali ni sarafu ya tz ndio imepanda thamani. Na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio ya Marekani tu.
@AW-vt9pw
@AW-vt9pw 13 сағат бұрын
Samia Mitano Tena
@denislodrick
@denislodrick 20 сағат бұрын
Inflation rate imepungua, Fed wamepunguza interest mzunguko wa fedha umeongezeka sababu kampuni zimeanza kukopa hivyo Dollar imeongezeka kwenye mzunguko( as simple as that)
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 18 сағат бұрын
@@denislodrick Hapana, Dollar ya Marekani haijashuka thamani, bali sarafu ya Tanzania ndio imepanda thamani. Na imepanda thamani dhidi ya sarafu zote sio dola tu. Wiki mbili zilizopita. Shilingi 1 ya Kenya ilikuwa sawa na 20 ya tz, leo shilingi 1 ya Kenya ni sawa na 18 ya tz. Euro 1 ilikuwa sawa na 2728, leo Euro 1 ni sawa na 2494 ya tz. Rand 1 ya Afrika Kusini ilikuwa ni sawa 146 ya tz, leo rand 1 ni sawa na 133 ya tz. Yuan 1 ya China ilikuwa ni sawa na 363 ya tz, leo yuan 1 ni sawa 327 ya tz. Rial 1 ya Oman ilikuwa ni sawa 6831, leo rial 1 ni sawa na 6188 ya tz. Ruble 1 ya Urusi ilikuwa ni sawa na 26 ya tz, leo ruble 1 ni sawa na 22.6 ya tz. Kwacha 1 ya Zambia ilikuwa ni sawa na 98, leo kwacha 1 ni sawa na 85.6 ya tz. Dola 1 ya Canada ilikuwa ni sawa na 1879, leo dola 1 ya Canada ni sawa na 1673 ya tz. Rupee 1 ya India ilikuwa ni sawa na 31 ya tz, leo rupee 1 ni sawa na 28 ya tz. Dinar 1 ya Kuwait ilikuwa ni sawa na 8561 ya tz, leo dinar 1 ya Kuwait ni sawa na 7742 ya tz. Sarafu za wenzetu hazijashuka thamani bali ni sarafu yetu ndio imepanda thamani.
@BimHamdi
@BimHamdi 13 сағат бұрын
Kwa hio thamani ya dola itakua kama pesa ya Tanzania kwakwakwaa kwanza nicheke😅😅
@ThinkerIdiot255
@ThinkerIdiot255 16 сағат бұрын
Uyo mchumi ajichunguze, Dola haijashuka wala haishuki, Shilingi ya Tanzania ndo inapanda mwambie Afanye Comarison ya Shiling na Currency Zingine.
@RATELFX
@RATELFX 14 сағат бұрын
Huyu jamaa , anatupanga effect haiko kwenye Dollar bali iko kwa Tsh imeimarika , na ukichunguza vizur utaona Tsh imeimaerika dhidi Gbp, Eur, na currency zote kubwa hata Kes. Kwa hyo huyu jamaa hakutakiwa kuhisha dolla kwenye kuimarika kwa Tsh , alitakiwa aongee kuhusu Tsh kuimarika..
@FatumaMamlo-st8pj
@FatumaMamlo-st8pj Күн бұрын
Sidolla pekee hata lial ya Oman imeshuka mno wallah😢😢😢
@salimalmughairi1634
@salimalmughairi1634 Күн бұрын
toka huko oman rial ishuke rial ipo palepale zinashuka pesa zenu za madafu
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Күн бұрын
Riyal HAKUNA Lial
@stellahlinusi8215
@stellahlinusi8215 Күн бұрын
ww naye sio pesa ya oman iko vile vile kilicho shuka ni dola
@rumdeesonsoa1811
@rumdeesonsoa1811 Күн бұрын
​@@stellahlinusi8215Ninyi wote ni washamba, dola haijashuka, Euro haijashuka, wala hela ya Oman haijashuka bali ni hela ya Tanzania ndio imepanda thamani
@marthageorge5043
@marthageorge5043 Күн бұрын
Imeshuka sana
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 12 сағат бұрын
Marekani na ulaya magharibi roho zitawauma Allaah awangamize wote wenye nia mbaya na nchi hii na wanao hujumu uchumi wa nchi hii ailinde nchi yetu na raisi wetu na viongozi wote wenye nia nzuri na wananchi wenzao wa nchi hii na Allaah awaangamize maadui wote wasio itakia mema tanzania na wanye nia mbaya na wananchi wa tanzania na ajaalie uchumi wetu uzidi kukua
@TinPlatin-r8l
@TinPlatin-r8l 16 сағат бұрын
Acha maigizo, Dola kabla haipanda mwaka Jana ilikuwa 2346tsh baadae ikapanda Hadi 26343tsh. Tulitarajia kuona Dola ikishuka Hadi 1000 hapo ndo ungesema shilling impenda
@jacksonseverin5670
@jacksonseverin5670 Күн бұрын
Ni wakat sahihi wa kununua dollars ???
@PapaaMasauti-q7o
@PapaaMasauti-q7o Күн бұрын
Kanunue dhahabu Dola sikushauri ila utapoteza
@venancerutta6875
@venancerutta6875 Сағат бұрын
Jamani ndio maana cc watanzania tunaonekana watu wa midhaa 100 USD sawa lak 2 na
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw Күн бұрын
Uchumi nchi yingi dollar imeshuka hapo umechambua Tanzania tu kuna tatizo kubwa hebu chambua kwa ujumla
@AminaOthman-b4f
@AminaOthman-b4f 13 сағат бұрын
Ni kweli kabisa..$$$
@saidharbinie-dl4dd
@saidharbinie-dl4dd 5 сағат бұрын
Ipotee tuu dollar pesa ya kishetani hii inatesa wengi xna
@REEENJONS
@REEENJONS 6 сағат бұрын
Hamna lolote hapo,ikifika 500/1$ tutaelewa
@abdulhamidbasha2108
@abdulhamidbasha2108 19 сағат бұрын
Si dollar tu, had pound
@ayoublupande3007
@ayoublupande3007 Күн бұрын
😂hatujauza sehem ya nchi kweli haha 😂 naogopa yn Bora ingebakia TU 😅pale pale hahaha 😂
@SelemanIsmail-c3z
@SelemanIsmail-c3z 5 сағат бұрын
Unasahau pia kuwa kuna BRICS! Kupitia BRICS,mataifa mengi yataacha kutumia kutumia dollar katika biashara za kimataifa
@Gody360
@Gody360 8 сағат бұрын
Tunapanda kwa kasii
@iamthefarmerceo2316
@iamthefarmerceo2316 16 сағат бұрын
Ndiomana hakuna one definiton ya ECONOMICS so kwa mtazamo wake yupo sawa. Hoja hii itapingwa na hoja nyingine yakiuchumi, na itakuwa hivyo mpaka mwisho wa dunia.
@AshuuuBakari
@AshuuuBakari 14 сағат бұрын
Ila sio mbaya pesa yetu ipate thamani. Maaana pesa ya kigeni ikiwa kubwa basi yetu inakuwa haina thaman
@hosnakamees5454
@hosnakamees5454 Күн бұрын
Mpaka OMR 😢😢😢😢
@ezekielsabiyumva8048
@ezekielsabiyumva8048 21 сағат бұрын
Akili hamna
@ndakifx8319
@ndakifx8319 16 сағат бұрын
Mchumi kishoka huyu...thaman ya dollar iko pale pale lakin tzs imeimarka
@gideongerald2846
@gideongerald2846 2 сағат бұрын
Ebanaee nasikia hadi shilingi ya Kenya iko chini?!
@KhalifaMshana
@KhalifaMshana 17 сағат бұрын
Huyu mtu hajui anacho ongea Dolla ndio baba wa manunuzi duniani mbona sarekali yako inahifadhi Dolla kwaajili ya manunuzi na matumizi ya ndani we binafsi umeficha Dolla usifiche shilingi
@Muddy_Muzungu
@Muddy_Muzungu 17 сағат бұрын
Na huku China tuna-experience kushuka kwa Yuan vs Tsh.
@wasswapatrick1063
@wasswapatrick1063 Күн бұрын
Naomba mkuu umtafte mchumi mwingne atakaelezea vizur😂
@dayana5513story
@dayana5513story 14 сағат бұрын
Yan tatizo limenikuta
@Cheffhood
@Cheffhood 17 сағат бұрын
Huyu mchumi kaenda shule wapi😂
@shamisissa9165
@shamisissa9165 12 сағат бұрын
😂😂😂 dola imeshuka ila sio bei hio ya mango yenu
@martinomwakyusa8184
@martinomwakyusa8184 19 сағат бұрын
Dollar imeshuka duniani kote ndio maaana dhahabu imeshuka pia msituharibu akili pesa yetu kuimarika ni bado ata kama bot inanunua dhahabu kwa sasa lkn tunatarajia kuimarika kwa kwake
@JamesJastin-bg1rx
@JamesJastin-bg1rx 17 сағат бұрын
Iran huyo kashaamua kuidondosha dollar cheza na Iran wew waajemi noma kudadadeki zao😅😅😅
@AlexGwiha
@AlexGwiha 2 сағат бұрын
Toko ww
@DeborahSichone-b9c
@DeborahSichone-b9c 12 сағат бұрын
Utukufu kwa muumba
@mbokanitaribo5106
@mbokanitaribo5106 19 сағат бұрын
$100 kwa shilingi 224 sasa zimeshukaje 😂😂😂😂😂wa Tanzania 🇹🇿 aibu sana kwanini nyinyi amkuendaga shule😂😂😂😂
@josh_versal8180
@josh_versal8180 7 сағат бұрын
Utasikia mwamba mmoja atasema mama ameupiga mwingi😂😂
@rogatimushi689
@rogatimushi689 Күн бұрын
Umezungumza mengi ila hujazungumzia swala la mkutano wa BRICS ulipo azimia kuchana na dola katika biashara zao
@Nehemiaayo-b8c
@Nehemiaayo-b8c 11 сағат бұрын
siyo dollar tu ata pesa nyingine inamaana ni shiling yetu inaimarika
@GeorgeBush-p1y
@GeorgeBush-p1y 19 сағат бұрын
Huyu siyo mchumi sky huyu ni muvivu tu wakulima😢 mnawakosea sana watu wa uchumi
@Myplusbee
@Myplusbee 18 сағат бұрын
Nimemsikiliza huyo jamaa from A to Z, na nilichogundua ni kwamba, WEWE NDO HUJUI UCHUMI!!
@GeorgeBush-p1y
@GeorgeBush-p1y 18 сағат бұрын
@Myplusbee sasa WW na baba yako niwachumi wa bobezi next mtapewa kipindi mje kuelezea kwanini mnadanganya watu🤣
@Myplusbee
@Myplusbee 15 сағат бұрын
@@GeorgeBush-p1y Kwahiyo baada ya kuishiwa au kutokuwa na hoja ukaamua uingize masuala ya wazazi 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮?!!
@mbarakajohn3551
@mbarakajohn3551 Күн бұрын
Kuporomoka kama unaongelea uchumi, mm sidhani kama ni uchambuzi Bora, unaweza ukatumia maneno ya kiuchumi kama ni mchumi msomi
@hamzaally2283
@hamzaally2283 Күн бұрын
lakini me nahisi pia serikali imefanya Depriciation yenyewe tuu kwenye masoko yake ya kimataifa hasa yanayohitaji madini
@ELOGERUHIMBASA
@ELOGERUHIMBASA 21 сағат бұрын
Ivi nyinyi mbona kama mnaziguwa inchi gani imeshuka ki uchumi sio marekani imeshuka kwa Tanzania tu sio huku usa 😅
@AwadhiAbood-ix3rc
@AwadhiAbood-ix3rc Күн бұрын
ACHA ishuke tununue magar sas na sisi
@issamushi6389
@issamushi6389 17 сағат бұрын
😂
@issamushi6389
@issamushi6389 17 сағат бұрын
Kweli kabisa mhhh maana mhhh
@AwadhiAbood-ix3rc
@AwadhiAbood-ix3rc 15 сағат бұрын
Na biashara sas zitaonekana vizur
@danielmwandenga5369
@danielmwandenga5369 23 сағат бұрын
Sasa na nyie wachumi 2300 ndo kushuka jamani ??? Nilizani iwe 1500 ndo kushuka , nasio 2300 jaman
@fadhilially7357
@fadhilially7357 10 сағат бұрын
Sasa shilingi ina faida gani, watu maisha bado magumu uko africa
@federick2803
@federick2803 Күн бұрын
Dhahabu nayo imeshuka bei
@PapaaMasauti-q7o
@PapaaMasauti-q7o Күн бұрын
Weweee dhahabu lazima ipande kama umesomea uchumi cuba
@AllySule-t9g
@AllySule-t9g Күн бұрын
😂😂😂kumamazenu mbona dola enyewe haipo mtaani acheni ukuma nyinyi 😊
@robertmosha6801
@robertmosha6801 Күн бұрын
Umejiskia furaha kutukana
@mudighurayra
@mudighurayra Күн бұрын
Hupo ww dola ata haitaki mtu saiv
@MsabahAli-d6u
@MsabahAli-d6u Күн бұрын
Tena mm siamn kama dolla haihitajiki
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 20 сағат бұрын
Tobaaaa chiki zitawajaa watatuanzia mafigisu wasijetupiga
@StevenTaylorx
@StevenTaylorx 20 сағат бұрын
Tunasubir sarafu ya bricks tuvimbe nayo..
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 20 сағат бұрын
Sasa zinapanda kumbe
@bovickpascal6554
@bovickpascal6554 Күн бұрын
Bado nyingi tu
@willsoniissaya
@willsoniissaya Күн бұрын
Ivi mnaerewa pesa yanchi kupanda dhaman
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk Күн бұрын
"Mnaerewa"😂😂😂😂😂😂🙌
@PapaaMasauti-q7o
@PapaaMasauti-q7o Күн бұрын
Pumbavu zenu Sisi tuliokuwepo CONGO tunapoteza pesa nyingi sana kuja kununua vitu Tanzania huku Congo tunanua Dola Kwa 2870 tuna kuja kuiyuza tz Kwa 2450 tundunduma ama dar tunapoteza pesa nyingi na faida hatupati
@YamunguMatamya
@YamunguMatamya Күн бұрын
😂😂😂
@HaniaAbdoul
@HaniaAbdoul Күн бұрын
Acha tu yani hadi nimechoka
@RajabuLuhendama
@RajabuLuhendama Күн бұрын
Nunueni vitu kwa pesa zenu acheni kutumia dollar mtafilisika ndugu,nchi zote kubwa hazitaki matumizi ya dollar,kwa mfano china haitaki matumizi ya dola tena,na bidhaa zote zinazouzwa afrika asilimia kubwa zinatokea china
@barakanaseeb7155
@barakanaseeb7155 Күн бұрын
Ndio maana biashara ya gold imeshuka sanaa
@GabrielModest-o5i
@GabrielModest-o5i 19 сағат бұрын
Em tupe viwango Apo kwenye soko la gold😢
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 7 сағат бұрын
Tuseme tuu shilingi imeimarika. dollar haijashuka ipo vile vile tuu
@ezekielsabiyumva8048
@ezekielsabiyumva8048 21 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mapatojuma
@mapatojuma 22 сағат бұрын
Huyo mchumi umemtoa wapi, mwambie asome uchumi upya
@ZHING.Tech.
@ZHING.Tech. Күн бұрын
Viradmir purtin anakuna pumbu kwa amani kabisa😂😂😂
@willsoniissaya
@willsoniissaya Күн бұрын
Amna rorote jee shiringi yetu imeimarika vp kunakitu chashiringi mia eti shiringi inaimarikakwenden uko
@Burner_Acc
@Burner_Acc Күн бұрын
Unaijua letter L? Sehemu za L unaweka R du
@willsoniissaya
@willsoniissaya 18 сағат бұрын
@Burner_Acc kwani ujaerewa somatena utaerewa
@felisteronesmo3091
@felisteronesmo3091 16 сағат бұрын
Mchumi traped .. bad enough wachumi na ambao sio wachumi hawajui whats behind that maelezo yapo kielimu elimu, elimu ambayo alieset formula ndie aliepo behind that kama mastermind .. ukiskia hela imeshuka au imepanda hususan developed country usitumie akili zako za darasani tu utapotea ni kitu strategic sana icho mtaelewa mwishoni ambao mnatumia akili za darasani inabid tuchambue beyond that ..
Новости дня | 13 декабря - вечерний выпуск
11:50
Euronews по-русски
Рет қаралды 29 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 55 МЛН
Quando A Diferença De Altura É Muito Grande 😲😂
00:12
Mari Maria
Рет қаралды 37 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 19 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 33 МЛН
Air Tanzania yapigwa marufuku kutua katika nchi za Umoja wa Ulaya (EU)
4:37
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 55 МЛН