Mzize mwaka jana alikosa goli yeye na wavu kwenye Klabu Bingwa kule Afrika Kusini lakini Yanga hawamkusema sana Mzize
@immaxOsborn2120Күн бұрын
Leo mchungaj anapoint
@Esterkomba-ef7ebКүн бұрын
Kwani chasambi ni mchezaji wakwanza kufanya kosa au unampigia debe iliaende yanga.
@davisbwatwa115Күн бұрын
chasambi ni kutulia acheze mpira maneno ya uto yasiwasumbue endeleeni kuandaa timu viongozi
@BruzakisadikiDadiКүн бұрын
kwl kabisa mchungaji we mkweli
@RobertHongo-q6d19 сағат бұрын
Uko sawa mchungaji wanamtoa dogo mchezon
@RuhumurizaGerald12 сағат бұрын
Kwa mara ya kwanza leo nakubaliana na Mchungaji. Toka Kampala
@WaziriMbwana-f8rКүн бұрын
Unasema kweli baba uko sahihi asilaumiwe ni mchezo na kamala je
@perepetuajohn14 сағат бұрын
Wakomee kabisaaa kumsema huyo chasambi, mtoto wa nyumbani mbona hata hao wageni wameisha chomeshaa
@abdulhamisi3137Күн бұрын
Anayo msakama chasambi n mjinga wa flaiover .😢
@RashidiWhiteКүн бұрын
Huyoo kamara amefanya makosa mangapibina kimyaa na manula amekosea Mara ngp mbona anawekwaa bechii hata mechi ndg mmeshusha mpaka had hii yake
@HijiSalehКүн бұрын
Kiliopo time ipunguze kuanza kilamara mipira ya nyuma
@Juakalii2025Күн бұрын
Wasisahau camara alichoma siku ya yanga pia
@YohanaJumanne-v3vКүн бұрын
Chasambi kwa tumeaaa wewe Mchungani komaaaaa tena toka kwa jina la Yesu
@perepetuajohn14 сағат бұрын
Hawezi kamara kumzidi Aishimanura ubora msijidahaurishe nyie Simba keasababueti kamara ni mgeni, mthamini hata wachezaji wetu wa Tanzania ni Bora kuliko hao wageni.
@reginaldmapunda6702Күн бұрын
Pamoja na Uyanga wangu Mchungaji uko sahihi,kwa nini kosa la Camara apewe Chasambi? Camara kwa ubora wake hawezi kuruhusu goli kama lile.Fikirieni kama lile shuti lingepigwa na mchezaji wa Fountain gate angelaumiwa nani? Ila hilo la Simba kuchukua ubingwa umelopoka tuu hicho bado ni kitendawili kigumu.
Mchungaji upo sawa ww ni mtu wa Mpira tatizo kubwa kwa makolo ni kuenda uwanjani na matokeo hiyo ndio shida yao kubwa
@salumjumaruhaga2513Күн бұрын
Icho kilicho tokea kwa chasambi kiendelee kisiachie apo
@davisbwatwa115Күн бұрын
hao wala mihogo uto wanawasumbua,kwani kwenye kimataifa hawamo mambo yao ni yahovyo ss tupo imara waache watasema mwisho kimya
@abdallahshariff6555Күн бұрын
Mchungaji Wacha kulaumu wa hezaji,muwe mashabiki wenye kujielewa,
@AbdulNassir-k7mКүн бұрын
Mumekutaba apo wote ni yanga uyo mchungaji kwani yeye ni nani aondoke simba yeye na chasambi....ungekuwa mtu wa mpira usingekuwa na njaaa za kwenda redioni kuwasema mashabiki wanaoitakia mema simba mbwa ww mchungaji
@ZiadaAhmad-cs1syКүн бұрын
Puguzeni midomo nyie mna midomo sana
@InosMakelemo-y9zКүн бұрын
Chasambi mpumbavu sana
@MsuyaMgetaКүн бұрын
Hata nyie wachambuzi mnachochoea mambo sana kwani kuna mambo mangapi ya kimpira ya kuongelea mnabesi kwa chasambi
@AllyMasangaluka-bm5ibКүн бұрын
Tumeshagusisha shotihapo
@JanethHaulleКүн бұрын
Mchungaji hauna akili
@SweetbertaSamweliКүн бұрын
Leo mchugaj kajua kunakukosea maajabu
@AmiriMalenge-kc5jkКүн бұрын
Jibu nikwamba wanamkumbatia Chasambi kwakua kibu ni majeruhi😂😂
@ernestkamata2555Күн бұрын
Wanamkumbatia Chassambi, kwahiyo wewe unadharau ubora wake au unajiongelea tu. Kosa alilofanya ni lakawaida tu
@IssaAbdallah-rt2shКүн бұрын
Wewe mtangazaji mbwa jb hajamlaum chasambi
@ZiadaAhmad-cs1syКүн бұрын
Punguza mdomo wewe sio mchungaji machungwa fisi wewe sio Mungu punguza Domo lako
@kaziburejuma8313Күн бұрын
Chasambi ni mali kweli Ni hasira tu mchungaji pia wasamehe washabiki
@jacksonelphas7256Күн бұрын
Kafungisha goli full stop kasemwa samatta yeye nani
@nicodemuswidambe5132Күн бұрын
Kwani wanao msema ni Yanga? Yanga tunampongeza!
@saidmbarouk3553Күн бұрын
😂😂😂
@Zivago12Күн бұрын
Wana simba muwe makini. Hawa wanao koment humu, wengine ni yanga , wanatugonganisha fichwa
@JanethHaulleКүн бұрын
Uwe unajuwa unachokiongea usiongee tuu
@DouglasBilishangaКүн бұрын
Wachambuzi wote wa nchi hii wanataka kumpoteza Chasambi.Kwani kuna jambo gani mchezaji kujifunga.Wachezaji wakubwa wa nchi hii ni mara ngapi wamejifunga wakiwa na timu ya Taifa star.Yanga ikiwa na kauli mbiu ya kupindua meza Zambia Makame alitungua bonge la bao kwa Yanga mbona kelele zilikuwa chache.. Wachambuzi nyau kabisa
@HusseinChuse-u8hКүн бұрын
We mchungaji nilikuwa nakusikiliza lakini sasaivi nishaona hujui kuongea
@DelightfulJasmine-dw2jyКүн бұрын
Ww unaongea football, sio uyo mchungaji Ana mihemko sana
@nicodemuswidambe5132Күн бұрын
Huyu ni mchungaji wa nini?? Huwa anatabiri ujinga kila cku. Kwa Chasambi upo sahihi.
@wilbartkiyeyeu7885Күн бұрын
Samba washamba wangapi wamekosea au Kwa kuwa Yule dogo
@SaidChande-g4eКүн бұрын
Nani mtoto !!!! Chasambi performed unprofessional or had a purpose because that was not a back pass ! Chasambi shoot 🔫 to score my friend! Soccer fan from kenya 🇰🇪
@barakachristopher2504Күн бұрын
Chasambi kakosea ila ni part ya kujifunza. Ila yeye ni kiungo mshambuliaji watu wanajua washaondoka yeye anarudisha mpira wa ghafla alafu kwa shuti kali.
@BensonMbuna-f2sКүн бұрын
Sahihi mtu wa mpira huwezi kulaumu bw mdogo,makosa yapo kwa kila mtu,inakiwa tumpooza!!!
@ShomariAthumaniКүн бұрын
Simba acheni tabia zakijinga kama kakosea munatakiwa mutafute muda kuzungumza nae kama mtoto wenu sio kumsema mitandaoni
@SalvatoryMtungaКүн бұрын
Ukitaka kujua mashabiki maandazi ndo hapo sasa.
@mrrockboy9508Күн бұрын
Wewe sio mch wewe mchumba tu. Chasambi namba siile ile
@SweetbertaSamweliКүн бұрын
Sisi yanga tunampongeza kafanye vizur nyie Simba ndo mnakamdomo acheni mdomo wanasimb mbn yanga aina mdomo kama nyie
@BenjaminEdward-b6pКүн бұрын
Kwanini kila mitandao chasambi inaonekana nchi hii malimbukeni wengi watu wamesahau majukum yao kila siku chasambi tu acheni ujinga fikirini mpira unakoelekea
@SalvatoryMtungaКүн бұрын
Kuna walimu wa upe wanaojitambua na wale wasio jitambua, chezea Jpm wewe.
@LukasMakundaКүн бұрын
Nyie wajinga wote chasambi kafanyabkosa kubwa sana analipwa mshahara ile kosa wenda wazmu nyinyi
@dicksonpaschal8247Күн бұрын
Mchungaji Gani huyu anaongelea mpira Kila cku
@anthonymilinga8696Күн бұрын
Wewe inskuhusu nini! Fanya kazi zako uishi maisha yako acha kuchunguza maisha ya watu
@RashidiWhiteКүн бұрын
Hiyoo ni timu ya wahuni u kwelii usemwee hata bungenii military na wahuni eti kisa mmeigunga, tabora, iliifunga, mume wenu yanga duu vikojozi FC, mnahebwa, mnoo AIBUU