Mchungaji Gwajima "Sakata la Video iliyovuja | Sina Tatizo na Makonda | Mungu anaponya Corona

  Рет қаралды 39,693

CLOUDSMEDIA

CLOUDSMEDIA

4 жыл бұрын

#CloudsDigital ipo mubashara na Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Mtumishi Josephat Gwajima, watangazaji wako Babbie Kabae, Sam Sasali na Hassan Ngoma...
#Clouds20 #MalkiaWaNguvu #Clouds360

Пікірлер: 484
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 2 жыл бұрын
Hii ni Akili ya Mbinguni kabsa bigup Bishop Gwajima
@johnmichael4166
@johnmichael4166 4 жыл бұрын
Uyu dada Hana Ufahamu Kwa habari ya Mungu Na Ndiyo Maana Uwongea Kama Anaponda Flani , Upinzani Katika Roho sasa mwenzie MTU wa Vita za Roho
@johnvascogodfrey7070
@johnvascogodfrey7070 4 жыл бұрын
Mbona Dada kapanic Sana duuuuuu anajambo na Mtu wa Mungu doctor Gwajima
@jacksonjacksonjacksonjacks7621
@jacksonjacksonjacksonjacks7621 4 жыл бұрын
Hakika Bishop Dr,Gwajima majibu yako ni mazuri sana binafsi yangu nimeyapenda sana,ninasapot kwa nguvu program yako ya kuiombea nchi yetu ni lanzima korona iteketee kabisa.
@azizamaulid5557
@azizamaulid5557 4 жыл бұрын
Well said Baba Askofu Dr. Gwajima, nimekuelewa sana, umejibu kwa ufasaha sana, na asante kwa maarifa uliyotupa kuhusu corona!!
@loyceackim4296
@loyceackim4296 4 жыл бұрын
Safi sana Mchungaji kweli umeiva maana unaulizwa kiugomvi unajibu kistarabu.
@solomonmpuluma282
@solomonmpuluma282 4 жыл бұрын
AMINA baba askofu. Unafahamu unachokisema! You are genius.
@makurataesperance9635
@makurataesperance9635 3 жыл бұрын
I love and trust Dr Gwajima. Full respect
@Bishopgeorgebilingimotoula9181
@Bishopgeorgebilingimotoula9181 4 жыл бұрын
Bish dk Gwajima nimekuelewa sana, shikamooo shikamooo
@kelvineddon3829
@kelvineddon3829 4 жыл бұрын
Genious, Simple ,Focus kilaza Anaonekana Huyu mama jmn Gwajima Nitakuja unipe lecture zaid ya Afiriro my Pastor
@josephharri9015
@josephharri9015 4 жыл бұрын
Leo nimeamini Gwajima ni Genius.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Leo tuu? Mtumishi Gwajima ni combo cha baba Mungu. Huyu siye kama Hao watumishi wa giza. Huyu ni voice of the most high.
@emmanuelmajele5812
@emmanuelmajele5812 4 жыл бұрын
Duh huyu Dada kilaza 😁Gonga like Kama umesha gundu Dada anapepo
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Asante sn Askofu Gwajima kwa majibu ya corona umemsimamisha Kristo kwamba ni Bwana...!! Uwezo wa kujibu maswali na facts juu ya nini kinaendelea kiroho umeonyesha ilikuwa rohoni
@benardlisoso4565
@benardlisoso4565 4 жыл бұрын
Baba 🙏🙏😂😂 nimepata kitu 👍This is pastor Gwajima 🙏🙏🙏
@gershommwakila3373
@gershommwakila3373 4 жыл бұрын
Aisee askofu Gwajima ana madini sio ya nchi hii, ila huyo dada ametulia muda wetu anauliza maswali yasiyo na mashiko. Watu kama akina Gwajima ni wachache sana na ni hazina kubwa kwa taifa.
@abubakarizuberi1691
@abubakarizuberi1691 4 жыл бұрын
Safi sana Gwaji Mlango ulio ileta Ndio itakao tokea kurudi.
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Huyo Mama nadhani anapepo yaaaan kapotezwa vibaya na maswali ya Bishop
@mckingmojojo363
@mckingmojojo363 4 жыл бұрын
Hakika ninae BABA, hiki ni kinywa cha MUNGU DUNIANI, asomaye na afahamu Baba Gwajima songa mbele Mungu azidi kukupa Afya njema na Maono makubwa.. Ameni Nakupenda Bishop Dr Gwajima.
@timizanafrikamedia5464
@timizanafrikamedia5464 4 жыл бұрын
Huyu Baby, nilichogundua Hana nidhamu kabisa ya kiutendaji,,1.Ameanza kwa kumwita ndg Josephat badala ya Askofu Josephat. 2.Mbili amehoji kwa notion binafsi. 3.Anapaniki Sana 4.Alf approach yake ya kuhoji Ni kama anamuhoji mtuumiwa. Baby anaamini Sana sanitizer kuliko Mungu(my opinion Hassan Ngoma you're an amazing Guy, umeuliza maswali Magumu but very respectful and calm
@macknonkibona2401
@macknonkibona2401 4 жыл бұрын
point kaka
@dayocha1855
@dayocha1855 4 жыл бұрын
Sahihi kabisa
@mahmoudomary6600
@mahmoudomary6600 4 жыл бұрын
hassan ngoma anajielewa ila baby anajaziba ya kuhoji ..lakini Askofi ni balaa kaniachaa sina mbavu kwa majibu ya kiufundi
@ambanconsultants6892
@ambanconsultants6892 4 жыл бұрын
Mahojiano na mtu mjanja na mwerevu Kama Gwajima ni HARD TALK. Yanafanywa na wanahari provoking hata zaidi ya Baby. Nyie mnayemsakama Baby mmeshasikiliza mahojiano aliyofanyiwa BIll Clinton akiwa bado raisi was Marekani wakati akiwa kwenye kashfa ya Monica Lewinsky?
@timizanafrikamedia5464
@timizanafrikamedia5464 4 жыл бұрын
Amban, Clinton alikuwa anahojiwa kwa kafisha , je nikuulize swali bishop Gwajima alikuwa anahojiwa kwa kashifa??, Pili Je kunasehemu mtangazaji alijarbu kumuondoa cheo chake Cha kumwita rais?? Kama baby alivyo jaribu kusema eti Ndg Josephat badala ya bishop??,, Unafaa kujua kuwa kila stylish ya mahojiano inaendana na issue inayozungumzwa so tu kupayuka payuka Kama yule dada
@Commentsplus
@Commentsplus 4 жыл бұрын
Hasan Ngoma unautulivu wa kuuliza unatafiti unajua kuwakilisha swali ila bebii anabifu na mchungaji bebiiii tulia mama huyo ni Gwajima
@linnamlay3643
@linnamlay3643 4 жыл бұрын
Clouds mtafulia mkimuendekeza huyu Baby,interview inaboa ana mhemko ambao unakera ,maswali anavyouliza utadhani katumwa ugomvi.Hassan hongera
@jaycee9067
@jaycee9067 4 жыл бұрын
Gwajima genius.
@Andy_tz
@Andy_tz 4 жыл бұрын
Kwa sababu mimi nitawapa kimywa na hekima ambayo maadui zenu hawataweza kushindana nayo wala kuipinga (LUKA 21:15) BABA BISHOP DR. JOSEPHAT GWAJIMA Hakika MUNGU Yu ndani yako 🖑🖐
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Baba LA Baba huyo uko vzr sana Doctor Gwajima Mimi huwa nakuelewa sana maswali yote umewajibu vzr linasema neno LA Mungu hamta sema ninyi bari Roho ndiye atakae sema mbele zao hao wasiyo hamini.
@elizabethraymond6388
@elizabethraymond6388 4 жыл бұрын
Najivunia sana kuwa na baba kama huyu. Love you dady Josephath Gwajima💪💪💪
@neemamachimu7620
@neemamachimu7620 4 жыл бұрын
Am so proud of Bishop DrJosephat Gwajima
@queenjaneth886
@queenjaneth886 4 жыл бұрын
Big up Dady Mtu wa Mbinguni
@erickmapunda4231
@erickmapunda4231 4 жыл бұрын
Gwajima akili nyingi sana.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Mtumishi Gwajima ni mtoto wetu, mtoto wa kingdom za bwana wa milele MUNGU WETU. Uyishi baba. Damu ya Yesu Kristu ikufiche.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Amen, Hao wale watu wanaokimbiliya Mungu hawana hofu na corona. Mzee wangu mchungaji Gwajima, naona leo ulipoteza leo muda wako. Yaani wewe unahekima na speech za mbinguni, hautaeleweka na wapagani kama Hao.
@ngwanafabian7532
@ngwanafabian7532 4 жыл бұрын
Huyo dada inaonyesha haamini katika uponyaji utokanao na Mungu. Anaamini utaalamu zaidi infact hajitambui hii ni kwa sababu haamini kuwa kuna maisha baada ya maisha ya hapa duniani.
@eliarichard9218
@eliarichard9218 4 жыл бұрын
Reuben Fabian huyu ndani yake ni serikali ya kuzimu kwaiyo anahinda na mtu wa Mungu.
@amurumtuya655
@amurumtuya655 4 жыл бұрын
Bishop Gwajima is very intelligent man of God
@pemdumi
@pemdumi 4 жыл бұрын
He is intelligent lakini anaitumia vibaya....manipulation anayowafanyia watu ni tragic.
@saliminismail2271
@saliminismail2271 4 жыл бұрын
Uko sahihi gwajima kwa kila kitu
@evambigi6628
@evambigi6628 4 жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Gwajima Mungu akulinde akuinue uzidi kusongesha mbele neno la Mungu.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
I can tell you are bright and the lord has blessed you with anointing, wisdom, and more.
@benjaminlijongwa3715
@benjaminlijongwa3715 4 жыл бұрын
Mchungaji anakuombea kwa Mungu sio ati yeye anakufanyia muujiza
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 4 жыл бұрын
Hii ni interview bora sana kwani Gwajima ni kichwa hatari sana
@paultvonline3742
@paultvonline3742 4 жыл бұрын
Nimetazama na kusikiliza mahujiano yote.. Nampongeza sna Bishop Gwajima amesimamia yale anayoyaamini. Lakn nimesikitishwa na dada yetu kwa namna yake ya maswali na kwamtazamo wa kawaida tu alikua kapanic....Ushauri wangu kwa clouds siku nyingine sio mbaya kweny mahojiano makubwa km haya mkamweka mtu mwingine anayeweza kuhimili mahojiano mazito km haya na naamini mnao.
@apostleadamgige4662
@apostleadamgige4662 4 жыл бұрын
Huyu mwanamke ana pepo og,anatafuta kumbana kamanda lakini amefeli.ninakupenda sana bishop Gwajima,mahubiri yako yameniinua sana kihuduma,
@charlesmassawe6321
@charlesmassawe6321 4 жыл бұрын
Cyo kwamba ana pepo bali yupo sahihi..interview lazma kuwe na pande mbili zinazopigana.
@perfecttz2690
@perfecttz2690 4 жыл бұрын
@@charlesmassawe6321 alokwambia interview n kupingana ni nani?hiyo sio Debate Go and study
@alfredzunda4655
@alfredzunda4655 4 жыл бұрын
This is Bishop Dr. Gwajima bana, very genius 😀
@innocentndabukakiye6100
@innocentndabukakiye6100 4 жыл бұрын
Kwakweli nilikuwa sijawahi kusikiliza Mtumishi wa Mungu Gwajima,Nimemkubali!
@mahmoudomary6600
@mahmoudomary6600 4 жыл бұрын
Hassan Ngoma your the best Presenter of our time nakukubali sana na una IQ KUBWA maswali yako ni ya kiufundi sana lakini huyu Mzee nae ni kichwa anachomoka kama kama anatambaa.. BABY jaribu kuwa na utulivu ,,huwa upo vizuri sana ukiwa na utulivu kwenye Interview ,, nakukubali pia.. jitahidi kupunguza ukali wa maswali wasikilizaji unawajengea fikra hasi ,,wafanye wasikilizaji wawe waamuzi katika hoja zako.
@MS.independent8934
@MS.independent8934 4 жыл бұрын
kweli kabisa mchungaji yupo sahihi 😂😂
@dianamwalyoga4365
@dianamwalyoga4365 4 жыл бұрын
Akili kubwa sana bishop
@davydany9648
@davydany9648 4 жыл бұрын
Eti unajiita mchungaji,eti nenda kawaponye,hii no dharau kubwa kwa mtumishi,mambo ya kiroho hayaendi hovyo,Dada umeboa haswaaaa
@joeliyamakili5051
@joeliyamakili5051 4 жыл бұрын
Mimi sio mfuasi wa Gwajima lakini huyo Dada ameweka udini badala ya maswali leo ndio nimejua kuwa mjinga sana hafai kuwa mtangazaji
@happynicholaus6474
@happynicholaus6474 4 жыл бұрын
Kweli
@barackjoshua6712
@barackjoshua6712 4 жыл бұрын
Dada yupo vizuri sana .anafaa kua mtangazaji
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Acheni mtumishi Gwajima aseme, aseme, aseme ba waadui zake wote WAPIGWE kwa jina la yesu kristo wa Nazarethi.
@thehopetv6299
@thehopetv6299 4 жыл бұрын
Askofu Gwajima MUNGU akulindee, na akilii zako kweli niza mbinguni, nimebadilishwa sanaa kiroho na mafundisho yako
@HandwrittenMemories
@HandwrittenMemories 4 жыл бұрын
Dada pole GWAJIMA NI SAUTI YA MUNGU AMEKUTAWANYISHAAA UMEONEKANA KINDA KWENY KAZ YKO
@double8tz
@double8tz 4 жыл бұрын
Ngwajima ni fraud tu hamna sauti ya Mungu wala nn, sema huyo dada amepanic hajui kumkabili ngwajima, watu kama Ngwajima wasomea saikolojia ukimuingia kichwa kichwa inakula kwako anajua kucheza na maneno na akili ya mtu.
@nowelaraymond703
@nowelaraymond703 4 жыл бұрын
Yes! Mungu yupo!
@jamesswai6583
@jamesswai6583 4 жыл бұрын
B_Shop Gwajima iko vizuri Sana. Mm huwa nakusikiliza Sana na unanifanya kusonga mbele haswa kiimani. Dada acha kupaniki, unauliza maswali wakati una majibu tayari.
@theresiakamote883
@theresiakamote883 4 жыл бұрын
Askofu Gwajima Mungu nakubariki sana
@stevenomanga7549
@stevenomanga7549 4 жыл бұрын
MTANGAZAJI mwanamke amechemka Sana,,ni kama ulijiandaa kumshinda Askofu badala ya kumu interview,,, pia huyo ni Askofu, usimuoji kama unamuoji joti, au juma lokole
@BarakaWaya
@BarakaWaya 4 жыл бұрын
Genius.Ufahamu Mkubwa Sana Bishop anao
@dayocha1855
@dayocha1855 4 жыл бұрын
Baby kapaniki Sana yaaani kaalibu Sana hii interview
@stephenchriss7919
@stephenchriss7919 4 жыл бұрын
Yaani huyu ndio binadamu wakwanza kwangu Mimi naona hamuamini Mungu kwakweli tena kwa kubisha kabisa yani
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 4 күн бұрын
Huna akili wewe
@sylvesternicholous5445
@sylvesternicholous5445 4 жыл бұрын
babie umepanic sana hahahhahaaa Gwajima ni chuma kitupuuuu
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Hahahahahaha, hamjuwe Mzee Gwajima? Mungu amusaidiye
@milanomilanogi
@milanomilanogi 4 жыл бұрын
Uyo dada anauliza maswali kama ugomvi
@davidkihiga3531
@davidkihiga3531 4 жыл бұрын
I salute mkuu bishop gwajima
@kanyeshakur4971
@kanyeshakur4971 4 жыл бұрын
Askofu Gwajima mtu intelligent sana kweli Mungu ana watu asee
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 4 жыл бұрын
Imani nikitu kikubwa sana analo sema gwajina yupo sahihi yani sabuni iuwe wadudu mungu ashindwe tukiomba mungu huku tukitumia dawa gonjwa hili linaisha kabisa
@rebeccaeric8911
@rebeccaeric8911 4 жыл бұрын
Aisee huyu mzee kiboko hayo majibu hawezi kutoa mtu wa kawaida... Huyo baby alikuwa kampania sana Ila Askofu 😎 noma sana
@benardlisoso4565
@benardlisoso4565 4 жыл бұрын
dah😂🙌🙌🙌🙌🙌 hatar sana
@mwebraniaonline7001
@mwebraniaonline7001 4 жыл бұрын
Alikuwa vizuri sana mwanzo katikati pamemchanganya🚶🏃🏃🏃🏃🚶💇💇💇💇💇💇
@godfreylyimo4177
@godfreylyimo4177 4 жыл бұрын
Bebii anatutoa kwenye mada nzuri na kutuleta kwenye personal issues
@alfredzunda4655
@alfredzunda4655 4 жыл бұрын
Leo Clouds mmekutana na chuma cha pua, huyo ndugu sio level yenu kabisa, big up sana Bishop Gwajima for your widom, naona hao watangazaji wanakuelewa sana, sasa wamebaki wanarukaruka tu, askofu umewakamata kweli kweli kwa majibu yako ya hekima. Ni kama wanajuta kukuita hapo 😀😀
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 4 күн бұрын
Hahahahahaha hadi anawasaidia niulizeni hivi 😂😂😂😂
@catherinemsumary1595
@catherinemsumary1595 4 жыл бұрын
Well said Daddy
@aishambise6529
@aishambise6529 4 жыл бұрын
Uko vizuri Gj
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Amen, amen. Hiyo corona itarudi mahali ilipotoka. Africa yote haitapigwa, ok. Siyo Tanzania tuu Africa yote na congo DRC particularly. Nasikiya huyu dada anacheka kicheko kya sara mke wa Abraham aliposikiya malaika alimuambiya Abraham next year atachukua uja uzito. Mzee wangu mchungaji Gwajima HUPATIYA chakula cha watoto mbwa.
@estasage5506
@estasage5506 4 жыл бұрын
Woooooow! challenge hizo huyu dada, anawaza anazungumza na wenzio wa kimwili? Dada, mchungaji huyu ni vessel la bwana wa majeshi Eloim.
@pastoramoskomba2431
@pastoramoskomba2431 4 жыл бұрын
Mungu Tanzania. Baba hongera sana sana
@alexmzumbwe1328
@alexmzumbwe1328 4 жыл бұрын
Safi baba askofu
@egibartjosephat8727
@egibartjosephat8727 4 жыл бұрын
GOD BLESS YOU MAN OF GOD
@kitasyajohn6033
@kitasyajohn6033 4 жыл бұрын
Huyu Dada amenikera mpaka kichefu chefu huyu kuwahoji machangudoa sio watu wenye heshima za utumishi
@luckysanga4554
@luckysanga4554 4 жыл бұрын
Natamani muelewe nyinyi mumuelewe Gwajima, kwani wanaosemwa kuhusu kusema mambo ya nafas zao ni lazma ni lazima awajibu kwa nafas yake. Ukisema Gwajima ni tajili alfu waumin wake ni maskini unakosea, kwani wapo wengi waliofanikiwa.
@victoriachaula3921
@victoriachaula3921 4 жыл бұрын
Asnte nimekuelewa hadi sasa ni kweli Mungu ametusaidia
@kibonahenry1521
@kibonahenry1521 4 жыл бұрын
Huyu jaamaa yupo vizur
@kuhaniagapemwasomola.6468
@kuhaniagapemwasomola.6468 4 жыл бұрын
Huyu Dada arudi darasani tena
@augustinongimba2143
@augustinongimba2143 4 жыл бұрын
Mungu tusaidie
@samwelsengati1369
@samwelsengati1369 4 жыл бұрын
Jaman usijinye unajua wakati hujui, kuna watu wamlaum baby. Kwa kati ya watangazaji bora clouds mmoja wapo ni baby. Ambacho baby amekosea ni kuruhusu hisia binafsi ni kitu ambacho kuna wakati kinatokea hata kwako. Ila ni mtu anaefaa sana tena sana.
@jastinekanjost8073
@jastinekanjost8073 4 жыл бұрын
💪💪
@henrystanley3767
@henrystanley3767 4 жыл бұрын
Gwajima is very intelligent
@filbertwerema8459
@filbertwerema8459 4 жыл бұрын
Hahahahaha.....!!! Siku zote unapotaka kuhoji Akili kubwa kama ya Bishop Gwajima nawashauli clouds angalau wajipange vizuri LA sivyo ndicho kinachotokea kwa mama angu hapo...nadhani alikuwa na yake ....hahahahaha kweli huyo Dada kachemka...
@rosesimwanza6033
@rosesimwanza6033 4 жыл бұрын
Nilikuaga namuelewa huyu Dada kumbe ndo galasa la mtangazaji
@edwinalexander1170
@edwinalexander1170 4 жыл бұрын
Huyu dada mbona ana jaziba, mhemuko na mawenge sana? Wawapi huyu? Askofu Gwajima huwa ana kipaji kikubwa sana cha kutoa maelezo.
@fredricksiame810
@fredricksiame810 4 жыл бұрын
Ubalikiwe baba kwa majibu mazuli
@athanaskitime1484
@athanaskitime1484 4 жыл бұрын
We Dada Dada una pepo sio bure, kifupi umenikera.
@rahelgika3870
@rahelgika3870 4 жыл бұрын
JEMEDARI WA BWANA WA MAJESHI 💪💪🙏.
@michaelsondobi3226
@michaelsondobi3226 4 жыл бұрын
Good is great
@nemecymsanya3191
@nemecymsanya3191 4 жыл бұрын
Uyu dada ana keraa aiseee
@remigiusrwechungula7047
@remigiusrwechungula7047 4 жыл бұрын
Huyu Babie Kabaya, hana imani, sjui kabisa anasalia wapi... Nimemshusha
@joshuabartonpolelaab4985
@joshuabartonpolelaab4985 2 жыл бұрын
Mama alipaniki huyu 😀😀😀😀
@fntv12franciskenneth12
@fntv12franciskenneth12 4 жыл бұрын
Uyu Dada yan umekosea kbx mpk anaboa
@samwelmjika.8870
@samwelmjika.8870 4 жыл бұрын
Huyu baby hajui kuhoji kabisa yaani, hawa cliuds wamtrain vzr.
@fntv12franciskenneth12
@fntv12franciskenneth12 4 жыл бұрын
Haulizi point
@prosperjuma905
@prosperjuma905 Жыл бұрын
Tatizo mnaweza kuanza kwa lengo jema. Lakn ndani yake ukabila unaota mizizi. Hadi makizini humu huo umoja utaota mizizi. Matokeo yake wale wasio wasukuma hawatopata fursa ambazo walio wasukuma watazipata kwa sababu tu ni msukuma.
@SamwelJoseph-yk3cw
@SamwelJoseph-yk3cw 4 күн бұрын
Na ninyi fungueni lenu
@theopistargodfrey3052
@theopistargodfrey3052 4 жыл бұрын
Amina
@jackobsabore4655
@jackobsabore4655 4 жыл бұрын
Huyu Kaka anahoji vinzuri la huyu mama
@syproelvistru2610
@syproelvistru2610 4 жыл бұрын
bebii ana I Q ndogo sana ingawa anausauti nzuri ....hongera zake
@juliananguma8981
@juliananguma8981 4 жыл бұрын
Mimi nafikiri kuwa tunakosea kitu kimoja huu ugonjwa sasa upo miongoni mwa Watanzania. Kama tunaruhusu watu kwenda kanisani au misikitini basi tuwafundishe kuhusu self protective ikiwa ni pamoja na kuvaa barakoa. Tujifunze China walikuwa wanavaa barakoa. Kila mmoja amwone mwenzake kuwa anao. Hivyo tujikinge na Kila mtu na mwenzake
@mosesedwardmagembe9657
@mosesedwardmagembe9657 4 жыл бұрын
Pamoja na kuwa nyinyi ni waandishi wa habari ila kuna maswali ambayo hammtendei haki Askofu hasa hayo ya ukabila na inaonekana mnakahasira fulani hasa baby. Kumbukeni kuwa uchaguzi uliopita askofu hakuwa akimuunga mkono Rais Magufuli.
@pastorhermantv5420
@pastorhermantv5420 4 жыл бұрын
Baby cabbae hujui kuinterview kabisa maswali unauliza husubiri mtu amalize kujibu unamkatisha duh jifunze
@selemanimeshack6535
@selemanimeshack6535 4 жыл бұрын
Gwajima yuko smart enough.
路飞太过分了,自己游泳。#海贼王#路飞
00:28
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 34 МЛН
Mom's Unique Approach to Teaching Kids Hygiene #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 34 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,3 МЛН
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 35 МЛН
SIRI YA MAKONDA NA UONGOZI WAKE ARUSHA, SABABU YA WATU KUMTAKA
12:38
Harris slams Trump at her first presidential rally
17:25
CNN
Рет қаралды 2,3 МЛН
MAITI YATUPWA BAHARINI 1 August 2024
7:28
Abu Shuraim
Рет қаралды 2,4 М.
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
LiveNOW from FOX
Рет қаралды 1,2 МЛН
Diyora Keldiyorova Judo Paris-2024  Oltin medal sohibasi✊
0:55
Surxon 75
Рет қаралды 2,1 МЛН
Вот так улетает Ута Абе от Келдиеровой! Лучшие моменты ДЗЮДО, из сети.
0:19
Андрей Шидловский Оздоровительная Борьба.
Рет қаралды 1,2 МЛН
Dad's disbelief turns to pride as daughter scores as a boy #shorts
0:32
Fabiosa Animated
Рет қаралды 2,8 МЛН