MCHUNGAJI PHILIPO AFICHUA MAZITO YA BEATRICE MWAIPAJA NA MARTHA MWAIPAJA // TAZAMA HAPA...

  Рет қаралды 25,558

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 108
@agneslyatuu6349
@agneslyatuu6349 10 сағат бұрын
Ameeeenii nakubaliana na wewe mia kwa mia., Ushuhuda ulio hai anamlilia dada yake. Siku moja watu watamuelewa Beatrice. ❤
@Kikestyles
@Kikestyles 4 сағат бұрын
Amen
@ShukranMwakyambo
@ShukranMwakyambo 3 сағат бұрын
Hakika
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 3 сағат бұрын
@@agneslyatuu6349 kwanini asililie watoto wake wawili ambao kawaacha kwa baba yao ajui wanaishije huko hivi hao watoto wskikua wakampenda baba kuliko mama mtalaumu ndio haya sasa tafuteni ukweli ujue ni mama yake mzazi au wa kambo na dada yake mkubwa alifariki vip? Tuwaachie wao
@MadukaAlphonce-ts5hh
@MadukaAlphonce-ts5hh 3 сағат бұрын
Kbsa Beatrice yuko sawa huo ushuuda umetolewa hili wengine wakombolewe kuna siku mtamuelewa huyo dada❤
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 13 сағат бұрын
Beatrice Yesu akuinue kwa viwango vya juu!!!!
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 14 сағат бұрын
Ushuhuda unatolewa hazalani ili uwaponye wengine wapo wengi walio kwenye vifungo bila kujijua
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 13 сағат бұрын
Amina, hakika
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 2 сағат бұрын
Kabisaaaa kabsaa
@PrettyDzo
@PrettyDzo 56 минут бұрын
Kabisa yan
@LoveAron
@LoveAron 4 сағат бұрын
Asante mtumishi Filipo nakumbuka historia yk ya huduma ya uchungaji uliitoa kwa Veronica frank,hadinukaja laive,i love this Mungu wa Mbinguni akubari na Beatrice Mwaipaja abarikiwe mnooo na ulinzi wa damunya Yesu kristo ukawe juu yake ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@samweli7985
@samweli7985 10 сағат бұрын
Matha mwaibaja,, nimtu maarufu, ila bado hajakombolewa, kumkana mama mzazi, nihatari sana
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 3 сағат бұрын
@@samweli7985 una uhakika ni mama mzazi msione mkaa kimya ni mpumbavu.
@MariyimJumanin
@MariyimJumanin 3 сағат бұрын
Ukute ni Freemason
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 2 сағат бұрын
@MariyimJumanin nilijua tu shetani anavyojua kuteka akili huyo beatrice muulizeni watoto wake wapo wapi. Je na wao wakikua wakimkataa atawaita freemason.
@MarryBee-f9o
@MarryBee-f9o 3 сағат бұрын
Jamani watanzania tuusikilize vizuri ule ushuhuda wa Beatrice hakumshutumu dada yake ila alieleze namna ile miungu iliwafunga ndo akamtaja dada yake namna amefunguwa hata hamajali mama yake,na akasema kabisa siyo yeye dada tangu ila ni ile miungu waliyojiungamanisha nao,na mimi nilimelewa kwmba anatamani na dada yake afunguliwe kama yeye alivyofunguliwa, na ndo maana akasema hata yeye kuna muda hakutamani kuwasiliana na mama yake kwa ajili ya hiyo miungu iliyoifunga familia yake..mimi naona kwa ule ushuhudu hapaswi kulaumiwa hata kidogo
@kelvinnaftali4331
@kelvinnaftali4331 Сағат бұрын
Hongera usikivu wako ni mkubwa sana, ila wengi hawasikilizi kuelewa ndio maana wanamshambulia sana Beatrice.
@luciamsani
@luciamsani 52 минут бұрын
Ni kweli hata mi nimeelewa hivyo ila watu wanapotosha na wale wameshea baba mama tofauti wote walifungwa ila yeye amewahi kufunguliwa
@heliminathahenry2289
@heliminathahenry2289 35 минут бұрын
Mungu isimamie Ili swala hawa ndugu wapatane jamani 😢
@felixBenos
@felixBenos 12 сағат бұрын
Beatrice Mungu mwema akutunze akupe maisha malefu na akuinue zaidi ktk utumishi wako.
@siamuchunguzi
@siamuchunguzi 4 сағат бұрын
Beatrice Mwenyezi Mungu azidi kukupigania na amkomboe na dada yako Martha
@chany9950
@chany9950 13 сағат бұрын
Betric Love you🙏🏾🙏🏾
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 13 сағат бұрын
@Theafromi255
@Theafromi255 12 сағат бұрын
@SharoEmmanuel-n4f
@SharoEmmanuel-n4f 2 сағат бұрын
@EstherTito-z8l
@EstherTito-z8l 3 сағат бұрын
Nimeona watu wengi wamesimama na Martha lakini nikirudi kwenye Bible... Pale Kijana wa Elisha alipo liona jeshi la adui na akijiangalia WAO wapo wawili tu aka Anza kuogopa... Lakini Mtumishi wa MUNGU.. Elisha akamwambia walio upande wetu ni wengi KULIKO WAO.... Ooohh Beatrice usiogope... MUNGU Yuko upande WAKO atajiziirisha
@estermathias8354
@estermathias8354 30 минут бұрын
Wale ni wenzake yy anapesa kuliko mdogo wake.we unadhan nan atakua na wapambe wengi.ila kama kweli anachokiongea YESU atamshindia huenda ikawa ndio mwanzo wake wa kuinuka yy aachie fasta tumsifu YESU
@JanetNjobvu-xf4vq
@JanetNjobvu-xf4vq 3 сағат бұрын
Ameni pastor mungu akubariki sana
@dabostar-yn7gy
@dabostar-yn7gy 6 сағат бұрын
Mungu mkubwa beatrice Mungu akulinde
@simonmdune9066
@simonmdune9066 11 сағат бұрын
Dadaangu Beatrice nakuombea Mungu akuzidishie kukutia nguvu sema kila kitu wangu wapone
@Graceyusuphh
@Graceyusuphh 3 сағат бұрын
Umenena kweli, BEATRICE yupo humble sana, na aliye rohon anamuelewa bila ukakasi kabisa. martha anahitaj akombolewe
@NEEMANICHOLAUS-qw1ne
@NEEMANICHOLAUS-qw1ne 13 сағат бұрын
Kweli kabisa
@MsAggie5
@MsAggie5 3 минут бұрын
Ushuhuda hutolewa hadhalani hilo ni sawa, na kusema historia yake ya imani ni vzr sana, lakini ni pale alipoanza kuongea maisha ya dada ake, mmmmh kwangu sikuafiki, nadhani hata mtumishi wake aliingilia na kumuomba apunguze maongezi kuokoa muda, ni hekima kubwa. Mungu aendelee kumtumia kwa hekima zaidi ya hisia
@ApostleElisha-u2m
@ApostleElisha-u2m 6 сағат бұрын
PORE SANA DADA ANGU NA MTUMISH MARTHA MWAIPAJA ILA YESU ATAKUFUTA HAYO YOTE YALOSEMWA MTANDAONI, JAPO MI NAAMINI HUWENDA NAWE HAUNA HELA KABISA, MALA NYINGI MUNGU ANATUFUNIKAGA MTU UNAPEWA GARI, NA MAFUTA KWENYE GAR UNAJAZIWA TU, ILA HELA UNAPEWA VISENT TUU ILA NDUGU ZETU WANAVOTUANGALIA NJE TWAONEKANA TUNA HELA IVO TWAONEKANA WACHOYO KUMBE SIO, HATA MI AYOAISHA NMEYAISHO APA APA DAR ,IVO MI SIAMIN KABISAAA AYO MANENO KUWA MARTHA ANAWASAIDIA WENGINE N.K.
@SaraM-m1d
@SaraM-m1d 13 сағат бұрын
Mungu wangu
@heliminathahenry2289
@heliminathahenry2289 40 минут бұрын
Mungu amtie nguvu Beatrice
@annndunda3953
@annndunda3953 4 сағат бұрын
Mpaka nitakapo sikia the other side of story , i can't buy one sided
@rebeccawekaya2342
@rebeccawekaya2342 Сағат бұрын
Mungu akubariki sana Beatrice Mwaipaja 🇰🇪
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 13 сағат бұрын
Sema huyo dada hakujua atapostiwa
@Kikestyles
@Kikestyles 4 сағат бұрын
Alijua atapostiwa na ndiomaana alisema najua dada utaiona cliphii.kwahiyo alijua kabisa.
@kabulapatrick2765
@kabulapatrick2765 14 сағат бұрын
Kbx kbx wakati wa Mungu ukifika uwezi jua unChotamka wala haibu utohona kbx kwasababu wakati huo Mungu ndo anajizilisha ndani yako Hongeraaa dada kujawa roho mt.
@LinnaJohn
@LinnaJohn 4 сағат бұрын
Amen kubwa umeongea kweri hushuuda unatolewa hazalani sema baba tuokoke
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p 2 сағат бұрын
Ila kusema kweri Martha angesameheana na mdogowake wakaridianatu haijarishi Martha Yuko na Joan
@RuiyaPolo
@RuiyaPolo Сағат бұрын
😢😢😢😢❤❤❤
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 2 сағат бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@johanesskijungu3799
@johanesskijungu3799 Сағат бұрын
Ktk maojino umetumia ekima sana mungu akubali
@marietharosemary
@marietharosemary Сағат бұрын
Hakuna cha sauti ya mungu bari ni kiki kwanini asinge omba mungu amsaidie ili kumukomboa dada yake na sio kumuanika kwanye haza ya yatu kama sio kutafuta umaruf nini siyangeishia nyumban na makanisan kama alifika kwa mchungaji nikwanin hadi kwenye sherehe ana anika matatizo ya familia at sjapenda
@lizymwakyusa8798
@lizymwakyusa8798 4 сағат бұрын
🎉Ni kweli watu wafuguliwe kuliko kujazana makanisani na vifungo ndio maana watu wanaangaika bila kujuwa vifungo zaidi nipokea tu navifungo juu ndio maana watu awaendi mbele MUNGU atusaidie.
@AnnaMunis-g9m
@AnnaMunis-g9m 38 минут бұрын
MUNGU amuondolee Beatrice ule umaskini anaodhihakiwa nao na Joan
@ThecityofRighteousness1
@ThecityofRighteousness1 23 минут бұрын
1.Mdogo lazima ajishushe kwa mkubwa. 2. Abebe udhaifu wa dada yake kwa kumuombea 4. Kufunguliwa vifungo si zoezi la siku moja, wasaidiane kwa upendo kuleta nuru kwenye familia yao. 5. Kusamehe, ni mchakato unaoanzia ndani, na ni neema ambayo hawa ndugu wote wanapaswa waiombe, adui amewashikilia hapo. 6. Wenye mapenzi mema tuwaombee hawa ndugu hivi ni vita vya kihuduma na kelele za adui, baada ya hili kuna watu watainuliwa.
@MsAggie5
@MsAggie5 10 минут бұрын
Nilikuwa naitafuta comment kama hii, Safi Sana, kweli uko kiroho Sana. Hongera
@WilondjaMahango
@WilondjaMahango 9 сағат бұрын
2api ?.
@sleeprelaxation8431
@sleeprelaxation8431 11 сағат бұрын
Jambo limeenda vile kamtaja Martha, hakuna anae ongelea vipengele vingine vya ushuhuda wake zaidi ya alipo mwongelea dada yake, na zaidi kasema Martha yupo nje, ina maana Martha hamtumikii Mungu wa Kweli.
@anastaziamoses4100
@anastaziamoses4100 2 сағат бұрын
Nimeshangaa sana kuona watu wanamlaumu Beatrice eti kamlaum dada yake ni uongo hajalaumu ila ameongelea vifungo vilivo kwenye familia yao toka kipindi hiko wadogo sisi ata hatuwajui yeye anajua amesema ushuhuda wake huyu binti Joani anatoa kauli chafu za nini sasa ajibu hoja yeye ni ndugu yao au la ameleta maneno mengi bila sababu aache familia za watu Beatrice ameongea vizuri na lengo lake na dada yake atoke kwenye vifungo wewe Joan achia familia ya watu
@SylviaAlus
@SylviaAlus 19 минут бұрын
Martha nishawai kumtext kuhusu uimbaji akataja kiwango Cha pesa ila ilikua zamani
@neemamujunangoma7916
@neemamujunangoma7916 8 сағат бұрын
Siku zote MUNGU BABA halali ambay umepitia utaelew machoz yanasikika ukwel utajulikana tu muda utafika
@faithmusyoka6439
@faithmusyoka6439 58 минут бұрын
Beatrice alisukumwa na mungu aongee bt watu hawaelewi
@MsAggie5
@MsAggie5 7 минут бұрын
Alisukumwa na hisia zaidi ya Mungu. Ukiwa na Mungu HEKIMA ni muhimu, hata mchungaji wake aliliona hilo, alipoanza kumuongelea dada ake akamwambia akate maongezi.
@PovertyPeace
@PovertyPeace 3 сағат бұрын
Beatrice anatafuta kiki tunajua hilo
@berthamakortha8387
@berthamakortha8387 13 сағат бұрын
JIBUUU MTUJIBU? MNAGOMBANIA NINI HASA? KWANINI MTIANE AIBU NDUGU??? HASWAAA. KAMA SIO WIVUUUU?????
@SharoEmmanuel-n4f
@SharoEmmanuel-n4f 2 сағат бұрын
Nashidwa
@risperndege8170
@risperndege8170 8 сағат бұрын
Napenda hawa dada sana pamoja na nyimbo zoo. But swari langu ni hili. Mbona mnaleta mambo ya kifamilia mitandaoni? Mnatumia kipimo gani kupima IMANI ya mtu? Langu ni hili. Dunia imeisha na hizi ni dalili. Ktk kenya ni hayo tu
@AllyKasinde
@AllyKasinde Сағат бұрын
Shetani kweli yupo kazini
@peteromweno479
@peteromweno479 2 сағат бұрын
Nimekataa Nyimbo za huyo Matha na huyo Joan wake dunia kuna mambo siwezi vile nilikuwa Napenda nyimbo zake
@SharoEmmanuel-n4f
@SharoEmmanuel-n4f 2 сағат бұрын
Usiukunu ukaja ukaukumiwa plz usiongee ivyo
@RhodaKabuka-cw3uw
@RhodaKabuka-cw3uw 11 минут бұрын
Mimi ni nani hadi niseme kitu, sijui lolote, ila Mungu aonae sirini anajua yote
@ApostleElisha-u2m
@ApostleElisha-u2m 6 сағат бұрын
Mie nasema, ye Mtumish Beatrice pamoja na huyu Mtumish na wengine wanaosapot comments ,wanaishi kenye nyakat za ngumu, ila maadam wameokoka wataenda mbinguni, ila kuusu Martha mwaipaja hayo maneno hayakupaswa yasemwe mtandaoni apo tuu, nami naamini Martha mwaipsja yupo vitani sani
@HarrietCynthia
@HarrietCynthia Сағат бұрын
Pastor wengine ni wakora kukuambia ukweli
@GeorgeMkoba-v6c
@GeorgeMkoba-v6c Сағат бұрын
Toa ya kwako ya mwingine yanakuhusu nini????yote kwa yote tumedi kuhangaika mno na makanisa ndomana tunadhalilishana mitandaoni wa matha yanakuhusu nini wewe mpaka uyatolee ushuhuda toa yakwako siyo ya mtu mwingine huo ndo ushuhuda.
@jojotanzan609
@jojotanzan609 4 сағат бұрын
Huyo mchungaji nae ameishatoa ushuhuda wake kwa Veronica Simulizi
@mosesg.pendael8381
@mosesg.pendael8381 6 сағат бұрын
Wengine mtawaokoa kama vile kuwatoa kwenye moto! Hii ndio njia ya wokovu wa Martha. Japo itamcost pakubwa.
@aidancosmas9863
@aidancosmas9863 12 сағат бұрын
Ushuhuda ata mm naweza kushuhudia lolo nalo jisikia.
@tiamo726
@tiamo726 11 сағат бұрын
basi haujiheshimu
@pendomwaiteleke1636
@pendomwaiteleke1636 4 сағат бұрын
Kwakweli utakuwa hujiheshimu na hujielewi na hujitambui
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps
@AnnoyedFlowerPot-mr2ps 9 сағат бұрын
Tunzeni wazazi wenu acheni marumbano
@SharoEmmanuel-n4f
@SharoEmmanuel-n4f 2 сағат бұрын
Sio mzazi wake
@salamam8721
@salamam8721 3 сағат бұрын
Sasa kwanini mna mutetea Martha japo iko na makosa!! Juu mtumishi wa Mungu lazima atakua na huruma??!!
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 6 сағат бұрын
Acheni .kuzungumzia maneno za familia za watu.hatutafaidi chochote.
@Asamtz360
@Asamtz360 3 сағат бұрын
Wewe bitris hajulikani na watu wote wengi tumemjua baada ya hizi muvi zenu
@brendadavid2711
@brendadavid2711 5 сағат бұрын
Yani huyu kaka🤣🤣🤣 bwana kumbuka mchungaji hata mimi ni rafiki yako sana ila hapa umenikwaza aki😂 hakuna vitu ambavyo havikupiti umefeli sana
@victorburser1717
@victorburser1717 12 сағат бұрын
Hatumjui weeeeeengi tu nikiwepo mimi, nimemjua kwenye sakata hili 😂😂 eti hakuna asie mjua
@HomeboyTZ19
@HomeboyTZ19 2 сағат бұрын
Kwani we nani? wewe ndio humjui peke yako
@victorburser1717
@victorburser1717 2 сағат бұрын
@HomeboyTZ19 ndio maana nimesema wengi nikiwepo mimi Sasa sijasema wote basi sio mbaya kama wewe wamfahamu.
@MAGRETHMACHAKU
@MAGRETHMACHAKU 5 сағат бұрын
Jamani hebu nendeni mkamuatack na vee mdee mana kuna vitu aliongea watu hawakumuelewa kabisa ila ni hivi
@giftkalenge418
@giftkalenge418 4 сағат бұрын
alikuwa hanijui ,simjui na hatujuani
@mwaminindayishimiye3149
@mwaminindayishimiye3149 12 сағат бұрын
Hata mimi machozi yamenitoka sana ila Mungu hamsaidiye
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 11 сағат бұрын
Tuko pamoja mpk mwisho wa kufedheheshana
@arafaally2895
@arafaally2895 11 сағат бұрын
Kwan kiongozi wa wachungaji ni nani si awaite hao kina martha?
@GinaNdegeulaya
@GinaNdegeulaya 5 сағат бұрын
Kwan matha yeye anasemaje?
@florangido202
@florangido202 13 сағат бұрын
Hayawahusu!! Hayamihusu!! MNataka kujulikana na Dhehebu lako. Mchungsji ungeku6wa na Hekima usingrmruhusu kuzungumza hayo ya Familia kwenye Madabau. Madhabau ni sehemu ya uponyaji na Kukua Kiroho. Mtafuta kikii Familia nyingi zina matatizo Lkn hatuyaleti Mtandaoni. (NIFUNDISHE KUNYAMAZA)
@FloraMarinyo
@FloraMarinyo 12 сағат бұрын
Ya Martha yatafumbuluka tyu siku
@aidancosmas9863
@aidancosmas9863 12 сағат бұрын
Ukitaka kujitiria huruma utacherewa, acha kujiriza pambana na maisha yako. Mama si umsaidie wewe kama. anateseka.
@samweli7985
@samweli7985 10 сағат бұрын
Huna akili wewe, mzazi niMungu wapili, na Ile nifamikia, acha kulopoka
@neemamujunangoma7916
@neemamujunangoma7916 8 сағат бұрын
Ujielew ww 😂😂😂😂😅😅 tumia akili ndo nyie mnawaacha wazazi wenu akili ww ukapime
@mpondamedia2416
@mpondamedia2416 8 сағат бұрын
ndugu acha kuongea ushetani unaongea kama hujazaliwa na mama inna li llahi wa inna ilayhi raajiuun tuwapende mama zetu na baba zetu na kuwahurumia na kuwatolea sadaka na tuwalishe tuwavishe na kuwapa kila wanachotaka ikiwa tuna uwezo nacho acha kuongea kufru shetani mkubwa wewe
@manaseliberatus1347
@manaseliberatus1347 13 сағат бұрын
Siyo kila kitu cha kupost, shetani anatafuta mlango wa kuhemea
@queenmilan2024
@queenmilan2024 10 сағат бұрын
wanaume amkeni ukiona mke wako anashinda kanisani jua anatombwa na mchungaji. Hawa wachungaji fake kuweni makini. sisi huku kenya wamejaa
@neemamujunangoma7916
@neemamujunangoma7916 8 сағат бұрын
Ujielew ww mkeo ndo anafanyiw hivy ndo nyie mkaombew
@joycefrances4516
@joycefrances4516 12 сағат бұрын
Ndio maaana walokole wanaonekanaga Wa hovyo sn,maneno hayo ya kuongea?mjinga sn,walokole tumieni akili,kwa kweli watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa,majinga kabisa malokole mengi
@rosekaseswa5781
@rosekaseswa5781 5 сағат бұрын
Namshauri Beatrice atafute chake asitegemee Mali za dada yake Beatrice tafuta chako kama umeshindwa kaolewe na shemeji Yako Ili mtafute chenu.
@JocelyneMary
@JocelyneMary 3 сағат бұрын
Ww ni mpumbavu uwe unasikiliza kwanza amemuongelea mama yake yy haitaji pesa za dada yake anaitaji amuhudumie mama yake mzaza
@EmmanuelBernard-t4z
@EmmanuelBernard-t4z 2 сағат бұрын
Huyu ni naye ni mpumbavu wa kiwango cha juu.Mungu akimtumia mtu uongee popote pale.Lengo ni kuponya na wengne wengi wenye tabia kama Matha
@memehhhahshshdhdhd
@memehhhahshshdhdhd 12 сағат бұрын
We mtumishi una lako na huyo Beatrice
@MirriamDevis
@MirriamDevis 7 сағат бұрын
Huyo mchungaji tu ni feki pia ndio maana kanisa lipo chanika
@karoltunduli107
@karoltunduli107 4 сағат бұрын
A preacher is like a doctor ,you should learn not to talk on such issues
@DICKSONMAKWI
@DICKSONMAKWI 49 минут бұрын
Amen sana
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 22 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,6 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
DUNIA (Ep 31)
23:34
ASMA FILMS
Рет қаралды 188 М.
KIMENUKA MARTHA MWAIPAJA NA BEATRICE MWAIPAJA WAMECHAFUA HALI YA HEWA
15:01
Upendo Nkone akiri kutumia mkorogo, aeleza sababu
12:02
EastAfricaTV
Рет қаралды 86 М.
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 2,7 МЛН