Iko sawa muchungaji enderea kuniombea Simba mpaka tufike fainali
@GabiMag2 күн бұрын
Mchungaji umetishaaaaaaaaaaaaaaaa Gonga like kama Unamkubali Mchungaji💯👍🙏
@MartinDismas-ou5oy2 күн бұрын
MUNGU ni MWEMA Sana. Asante Mt. Joseph❤❤❤
@KadustaBoy2 күн бұрын
Sio leo toka zaman mnyama Hana mpinzan
@SamsonSamsoni-q9s2 күн бұрын
Mchungaji wetu 👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏
@BahatiMeshack-v2l2 күн бұрын
Sawa mchungaji
@FahamuHamza2 күн бұрын
Mchungaji safi sana
@davidfelician2903Күн бұрын
Hongera mwl. Fadlu Davids
@MaryMkumbi2 күн бұрын
Amina mchungaji mungu akutie nguvu na Imani ktk maombi yako🙏
@BahatiMeshack-v2l2 күн бұрын
Kweli mchungaji
@japhetdaudmaneno84402 күн бұрын
Midadi kama yoote mchungaji😀🤣🤩🔥🔥🔥🏹🇴🇲🇹🇿
@EricaBizuru-jp9by2 күн бұрын
Eeh Yan hapo anaongea yeye halisi sio roho mtakatifu😂😂😂😂
@sophiaabdallah62572 күн бұрын
Sema sema semaa mchungaji
@janethelly49862 күн бұрын
Mchungajii tupo pamojaaa sanaaa❤❤
@FahamuHamza2 күн бұрын
Kushinda ugenini si mchezo mwarabu pindu
@JumaKamasa-kl6pzКүн бұрын
Amen baba mungu atusadie
@EricaBizuru-jp9by2 күн бұрын
Shalom mtumishi.. hongera kwa maombi ila siku simba akifungwa utakua umemuaibisha mungu😂😂😂😂
@emmanuelnkwabi86102 күн бұрын
Nakubali
@sophiaabdallah62572 күн бұрын
Asante mchungaji kwa dua zako
@davidfelician2903Күн бұрын
Asante mchungaji
@sanyyusuph44382 күн бұрын
Safi sana baba mchungaji
@MerryAbdallah-o8s2 күн бұрын
Mmmchuungajjiiiiiiiiiiiiii❤❤😂❤😂😂😂😂😂😂😂
@MaryMkumbi2 күн бұрын
Na chezea mpira bira uchawi Kama Kuna timu itatoboa kwa Simba shenzi ,Simba💪
@AminaSalum-u6s2 күн бұрын
❤
@davidfelician2903Күн бұрын
Simba kama aiendi vile lakin ndo inaenda
@SamsonSamsoni-q9s2 күн бұрын
🦁🏆🇹🇿♥️♥️♥️💪💪💪💪💪🙏🙏
@thobiasraphael57382 күн бұрын
Mungu mwema
@Christopher-c1xКүн бұрын
wanasimba wenzangu nawakumbusha kurudisha SHUKURANI KWA MUNGU kwani kwa uweza wake tulipata ushindi away tufanye hivyo ili tupate kibali tena Cha kumuomba tena v bravo
@anithawidambe75432 күн бұрын
MCHUNGAJI UPO SAHIHI SANA HAKUNA KM MUNGU.
@SaidyAlly-ce1gt2 күн бұрын
🙏🙏🙏🤲🤲🤲
@TheReaErick2 күн бұрын
Wachingaji wa siku hizi 😂😂😂
@IsraelJacobo-r9r2 күн бұрын
Gusa achia twende kileleni😂😂😂
@Salimramsey-x8u2 күн бұрын
Nomaaa
@mohamedizabura49992 күн бұрын
Simba akichukua ubingwa Mzee fully stop eti😂
@TysonMathiko2 күн бұрын
Waambie baba kwani Mungu hamtupi mja wake
@SamsonSamsoni-q9s2 күн бұрын
👏👏👏👏👏👏🇹🇿🦁🇹🇿♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏💪💪
@theresiamahuma20002 күн бұрын
Mkapa itajaa
@IsraelJacobo-r9r2 күн бұрын
Mchungaji anamzuka kama mandonga mtu kazi!
@AllyMrisho-t8i2 күн бұрын
Vita Alisha kufa kwake goli la penati mugalu
@OdiloMwemezi2 күн бұрын
Jana iliongezwa dakika Tano,dakika ya Tano na sekunde Tano refa akapuliza firimbi ya kutamatisha mchezo,wanaume wakasema isiwe taabu dakika ya 35 tumalize mchezo kukwepa lawama,Sasa watasingizia nini.😂😂😂😂😂
@MchungajiNzelani2 күн бұрын
Maombi ndo kiboko hamna kurogwa wachezaji
@sharifuasali78342 күн бұрын
Ugenini alipigwa vipers mbona
@abuusadick98912 күн бұрын
Zilikuwa goli 2 ila wametunyima penalty ya wazii kabisa