Mkali wa Danadana anavyoteseka Dar, amtaja Donald Trump, Jakaya Kikwete ...

  Рет қаралды 9,996

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Umaarufu sio utajiri na hakuna uhusiano kabisa. Ukitaka kuamini hilo, aliyekua Rais wa Uruguay, Jose Mujica alijulikana kama rais maskini zaidi duniani, licha ya kushika nyadhifa za juu za uongozi.
Huko ni mbali sana, hapa nchini, Hadhara Charles, mwanadada mwenye kipaji cha kuchezea mpira ‘FreeStyle’, licha ya kutembea nchini 10 Afrika, lakini maisha yake ni duni.
Ukiachana na ugumu wa maisha yake, mwanadada huyo anasumbuliwa na ugonjwa ambao hajui afanye nini ili kuweza kupona, pia anapitia mikasa mbalimbali iliyomfanya awe na presha ya kushuka.
Anasumbuliwa na ugonjwa wa kupoteza fahamu, wakati mwingine anajing’ata ulimi na kutoka damu masikioni, hivyo anahitaji msaada ili kurejea katika hali aliyokuwa nayo awali.
Katikati ya mahojiano na Mwananchi Digital, alianza kujisikia vibaya, akaomba msaada wa kuitiwa dada zake ili wamshike kichwani kwa ajili ya kumsemea maneno na kabla hawajafika, ghafla akaanza kutoa povu mdomoni, ndugu zake wakawahi kumsaidia.
Video na KHATIBU MGEJA.
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Пікірлер: 90
@BarakaKamara
@BarakaKamara Күн бұрын
Waziri ndumbalo na mwana FA linawahusu ni la kwenu hilo.
@almazroey2006
@almazroey2006 Күн бұрын
😂 watu washafanya Yao kudadadeki watu wanaroho mbaya Sana kufanya KAZI hawataki KAZI kusubiri mafanikio ya wenzao kuyaharibu pole Sana dada .
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Күн бұрын
Miguu kuumwa.nenda kaombewe chuki za watu hawataki utoke hapo ulipo na pia nina imani utatoka hii clip itakutoa .
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Күн бұрын
Dada umetembea ila watu walikua wanakula pesa yako.
@mwlbarakambisetv8825
@mwlbarakambisetv8825 20 сағат бұрын
Mimi naitwa Mwl.Baraka Mbise mwalimu wa neno la Mungu Niko Dar naomba huyu dada nionane naye tufanye canceling na maombi atakaa sawa ni wivu tu
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Күн бұрын
Kumbe dawa yakuwafanya waandishi wakimbie nihiyo unapigalele wenyewe wanakimbia wala hatakumsaidia wanaogopa , rudini tena mkamhoji
@JaneMkinga
@JaneMkinga Күн бұрын
Pole sana mungu yupo ukimtumainia utapona. Yani kwa huo mpira ungekuwa mbali sana tena kwa viwango vya juu, marufuku kukata tamaa ila ingia kwenye maombi tuu hiyo kesi ndogo sana😢
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Sio kwa rais huyu dada huyu anajua kutekatu nakuua nasio kusaidia dah inqsikitisha sana 😢😢😢
@halfanchusi9956
@halfanchusi9956 Күн бұрын
Kwa mapito ya huyo dada hakupaswa kuwa masikini alikosa mtu sahihi wa kumsaidia watu wametumia jina lake na kipaji kujinufaisha.
@officiallnobystar
@officiallnobystar Күн бұрын
Konde Boy Mungu Akubariki Sana
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye Күн бұрын
Huyu Dada akaombewe
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Күн бұрын
Ushirikina huu😢😢
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Ww uko pj namm😢😢😢😢
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dada we nimdada fulani hivi mstaarabu sana sana sana Namna unavoongea huringi hujiskii huna majivuno, pole sana pole sana pole sana dadangu Allah akuponye jaman nakuhurumia sana 😢😢😢😢😢😢
@Niika870
@Niika870 Күн бұрын
Hiyo karogwa nitafuten mara Moja namsaidia, stanii uwezo ninao, Kazi rahis sana kwangu.
@kisinza6077
@kisinza6077 Күн бұрын
Kama ni kweli maana yake umepewa kipawa, watafute
@RonnieBertin
@RonnieBertin 6 сағат бұрын
Tanzania kuna usenge sana mijitu iko maofisini kublock wengine
@rogersiddy
@rogersiddy Күн бұрын
Alafu oooh nchi yangu naipenda ila viongozi wetu wanazingua adi wanatia kichefu chefu tu mtu anataka kupiga hatua kiuchumi mamla husika wanaweka ngumu ndiomana wengi wanazamia nchi za watu huku mnawazodoa mkataba kwao mtumwa ujinga mtupu😡😡😡😡
@kisinza6077
@kisinza6077 Күн бұрын
Harmonise Mungu akulinde sana! Ila msaidieni sana huyu mama! Serikali wanataka machawa tu na kununua magoli.
@zepinashatibu5149
@zepinashatibu5149 Күн бұрын
Walimroga mdogo wangu kisa mpira roho mbaya watu ndiyo maana tunakuwa masikini
@lullebolle808
@lullebolle808 Күн бұрын
Hapa kwetu wanaofaidika ni viongozi wanaovuja jasho kachu
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dah w2 wana roho mbaya sana jaman Allah atakufungulia
@DanielGaspel
@DanielGaspel Күн бұрын
SAMIA KWA SASA ANAWAZA KUTEKA NA KUUWA TU... HAWEZI KUKUSAIDIA
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Huyu dada ilikua nikumfanya ili iwe tunu ya taifa dah inaumiza
@abbynimel-kindy5107
@abbynimel-kindy5107 Күн бұрын
Dah Noma Kweli Wabongo Husda Sana😢😢😢
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Күн бұрын
Hatari mnoo tena huko uswahilini ndio balaa
@jamillahkheir6536
@jamillahkheir6536 Күн бұрын
Wamemchezea maskini😢😢
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Kuna w2 wachawi sana 😢😢😢😢 Mtu anajitafutia alafu we unataka afanyaje sasa
@dr.sendeuonlinetv2916
@dr.sendeuonlinetv2916 Күн бұрын
Naomba no tafadhali 😢
@olipaassa4769
@olipaassa4769 Күн бұрын
Namba yake ipo gazeti la Mwanaspoti la leo
@officiallnobystar
@officiallnobystar Күн бұрын
Konde Boy Mungu Akubariki Sana
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye Күн бұрын
Huyu Dada aende kuombewa
@BarakaKamara
@BarakaKamara Күн бұрын
Msaidieni wizarani jamani.
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 Күн бұрын
Inasikitisha😢
@joelthomas-mx6gm
@joelthomas-mx6gm Күн бұрын
Zahara ninaemjua uyu sister tokea anaasoma shule ya msingi BWIRINGU CHALINZE. uyu sister alkuw anaish na shangaziyke. Uyu ana tatz kama la KIFAFA iv na inasemekana amelogwa na alishaitwa na mstaafu kikwete akataka kusaidiwa ila ndo ivyo tena. Na kwao kabisa ni CHALINZE MKOANI PWANI ni kipaji haswaaa ila ana mambo ya kiswahili yanachangia
@norobo205
@norobo205 21 сағат бұрын
Katoa boko inta vyuu
@nururaymond5
@nururaymond5 20 сағат бұрын
Kwanini hamja-Edit hapo alipopiga kelele....itamuharibia jamani
@yudachelango6824
@yudachelango6824 11 сағат бұрын
Itamuharibia nini , SI ndo wajue anaumwa au?
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 Күн бұрын
Tz bn
@DenisMsanzya-kc7bv
@DenisMsanzya-kc7bv 10 сағат бұрын
toa fedha upate hela km unapata laki 3 unashindwa kutoa elfu tano kweli ?
@nevershymagava6940
@nevershymagava6940 3 сағат бұрын
Kuna namna ukimsikiliza huyu dada yeye mwenyewe binafsi anamapungufu yake hakutaka kabisa kuwekeza kwenye kazi yake hela upate ule mpira bado ununuliwe nakama alikuwa anaingia uwanjani anapiga hela si chini ya laki 3 kilipia kiingilio 5000 shida iko wapi .?
@BashirIssa-hr7iy
@BashirIssa-hr7iy 3 сағат бұрын
Wemwandish ni hopeless kabisa unauliza maswali yakipuuzi sana rudshule
@katumabiyan5090
@katumabiyan5090 6 сағат бұрын
Wamepeleka nchi za Africa tu. Kama wangempeleka ulaya angetoka
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 5 сағат бұрын
Naumiaaa kuskiaaa iviii mieee jamaniii mibosiiii imekaaaa tuuu ofisiniii inazurumuuu wanyongeee tuuuu mamaaa ananunuaa goriii mirionii 5 wanaanchiii wanaumiaa tuuu
@AllySalum-j9y
@AllySalum-j9y 5 сағат бұрын
Duuuuu uyuuuu dadaaa.kumbeeee simuoniii.kumbeee anaumwaaa msaidieniii apateee akiii yak eee izooo kammpuniii zirikuaaa awanaaa mkatabaaa naooo auuu imekuajeee apateee udumaaa yaaa afyaaaaa jamaniii safiii mdogoo wanguuu amonaiziii
@mazaramatucha
@mazaramatucha Күн бұрын
Jmanii let's help her. Weka namba au address. What kind of journalism is this jamanii😢😢
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Күн бұрын
Tumuombe Mungu sana wabongo fitna na roho za ajabu. Ivi mtu unafurahi kumlostisha mwenzio hivi kweli ????
@johnkiimbila6799
@johnkiimbila6799 19 сағат бұрын
Tatizo lake zipo dawa la kudhibiti mahospitalini , kamavile cabamazapine.
@kimeinetwork4599
@kimeinetwork4599 5 сағат бұрын
Samia anawaza kuuwa na kuteka tu hawezi kukusaidia dada, hilo sahau.
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dada pole sana Allah atakuponya dada pole sana sana sana 😅😅😅
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dada nakupenda sana Namuomba sana Allah akufanyie wepes jaman
@bestman3651
@bestman3651 Күн бұрын
Kwa ishu ya mipira usijali, nipe utaratibu namna ninavyoweza kukupatia.
@mshua337
@mshua337 19 сағат бұрын
Dah washamroga.waafrika tuna upuuzi sana
@ismailchibonda5005
@ismailchibonda5005 18 сағат бұрын
Dah! Kweli bongo nyoso kudadeki.
@RonnieBertin
@RonnieBertin 6 сағат бұрын
Kumbe huyu ni mbongo mwezangu
@psttitonakazaelimjema.9562
@psttitonakazaelimjema.9562 Күн бұрын
Nahisi kulii haki, Mungu mfungulie mlango huyu dada .
@StevenHinjo
@StevenHinjo 7 сағат бұрын
Namba za simu hakuna sijui tuanzie wapi
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 19 сағат бұрын
Kipaji chako mwenyewe wanataka mle wote duh
@frankmganda2424
@frankmganda2424 8 сағат бұрын
Watanzania wengi wana wivu sana
@jafetzani8568
@jafetzani8568 8 сағат бұрын
Trup kuna shabiki wako huku
@captenndunga6745
@captenndunga6745 18 сағат бұрын
Washampiga misumar bongo nyoso
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dada unakaa wp naomba namba jaman japo kwakidogo
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dada unakaa wp naomba namba jaman japo kwakidogo
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Dada unakaa wp naomba namba jaman japo kwakidogo
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Huyu dada ilikua nikumfanya ili iwe tunu ya taifa
@livingistonmalula262
@livingistonmalula262 18 сағат бұрын
Tafuta tiba mbadala utapona
@AshaMwamba-i7g
@AshaMwamba-i7g 2 сағат бұрын
Mmmm jamanii
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Күн бұрын
Nchi ngumu sana hii 😅😅 hovyoo
@norobo205
@norobo205 20 сағат бұрын
Umezngua intavi yuu
@suzanagilbert2523
@suzanagilbert2523 4 сағат бұрын
Nenda kawe
@kassimrajabu7805
@kassimrajabu7805 21 сағат бұрын
Kashatogwa masikini
@anosiata8242
@anosiata8242 Күн бұрын
Pole sana dada daa. Inauma.
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 Күн бұрын
Pole sana kwa hali hilo,
@edwardmwankemwa3877
@edwardmwankemwa3877 Күн бұрын
POLE SANA,ANAISHI WAPI
@MikidadiSalim-xk9dc
@MikidadiSalim-xk9dc Күн бұрын
Alhamdulillaih..Mmmh!!!!!!
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Күн бұрын
Toa namba basi jaman
@michaellemmy9818
@michaellemmy9818 11 сағат бұрын
Upewe tu
@hadgymohdy4058
@hadgymohdy4058 Күн бұрын
Daaah ila bongo
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
.
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
.
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
.
@TBCLINICKYELA
@TBCLINICKYELA Күн бұрын
Wajanja walimpiga hapa, $2000?!
@hildagabriel1003
@hildagabriel1003 Күн бұрын
Wizi mtupu ndo ivyo tena kutokujua haki zetu nako shida
@igulug5450
@igulug5450 Күн бұрын
Dah dawa zipo kabisa basi tu kwa kuwa yuko mbari
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Wewe uko wp nije nimchukulie
@LaurentMatigili
@LaurentMatigili Күн бұрын
Bongo hovyo sana.,mtu unakipaji laki watu wanakurudisha nyuma
@hisanmwakijungu10
@hisanmwakijungu10 8 сағат бұрын
Tafuta kazi yakufanya acha izo
@enezermwafrica7443
@enezermwafrica7443 4 сағат бұрын
Kipaji ni zaidi ya kazi.. we acha zako!!
@JimmyStarter
@JimmyStarter Күн бұрын
Ela wanakula viongoz
@abdulkarimabdallah9536
@abdulkarimabdallah9536 Күн бұрын
Pole sana dadang Allah Atakufungulia milango Yan namna unavoongea naona kabisa maneno yako yanatoka kabisa ndani ya moyo wko
LIVE: MAKONDA ANAZUNGUMZA MUDA HUU KANISANI
53:23
Millard Ayo
Рет қаралды 12 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 5 МЛН
Please Help This Poor Boy 🙏
00:40
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 18 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 1,9 МЛН
KWANINI WASOMI WENGI NI MASIKINI NA HAWAFANIKIWI | Victor Mwambene.
27:52
KWA UCHUNGU MAMA, MUME WA ALIYECHOMWA MOTO AKISIMULIA KILICHOTOKEA
3:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 5 М.
Man Mocks Wife's Exercise Routine, Faces Embarrassment at Work #shorts
00:32
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 5 МЛН