Wow! Hatua nzuri na kubwa kwa nchi yetu, hii imetusaidia sana kwa kweli sie watafta ajira wafanyaji wa interview mbalimbali fedha yausafiri, guesthouse na chakula ilikuwq changamoto kubwa, hongereni sana Secretariety ya ajira🎉❤
@mgosimkome92429 ай бұрын
Pia naomba muweke delete academic qualification, kwenye ajira portal Kama ilivyokuwa zamani
@EldadLichard5 ай бұрын
nimfumo mzr sana japo hutujaelewa kwanini baadhi ya course za afya wakimaliza chuo wanaenda kufanya mtihani wa leseni theory na practical halfu tena baada kuufauru mtihani huo ikitokea ajira za serikalini nao tena wanakupatia uhakiki wa awali,uhakiki wa kwa vitendo na,uhakiki wa kuandika .ombi itapendeza zaidii ikitumika mfumo ambao TAMISEMI na WIZARA huwa ikitumia kwenye udahiri kwasababu tayari wameshahakikiwa wakiwa chuo, na wakati wa kupata leseni
@faridaaloyce43303 күн бұрын
Eee mungu utukumbuke wengine hatuna hata pa kusemea😢
@Benzo_Mkemia9 ай бұрын
Idea nzuri sana, itasaidia kuokoa gharama kwa watahiniwa. Ila tunaomba mharakishe kuongeza na kada zingine zote kwenye hyo system.
@neymanwilson94929 ай бұрын
Nadhan mngedemostrate namna ya kuutumia mfumo
@neymanwilson94929 ай бұрын
Nadhan mngedemostrate namna ya kuutumia mfumo
@dianabeatus4 ай бұрын
Naomba kujua kwa wale wenye low vision inakuwaje?
@eliuzeeskia47279 ай бұрын
Nipongeze wizara Kwa KAZI nzuri Mimi ni muhanga wa hili unatamani kufika kwenye usahili lakini unatoka mbali nauli huna
@ismaelathumani53465 ай бұрын
Nimependa taarifa hii hakika itanisaidia sana kama kijana ninayeomba ajira Serikalini
@THOMASMTWEVE-m9u2 ай бұрын
Mfumo ni mzuri,,lakini je mtawasaidia vip ambao hawana ujuzi wa kompyuta?
@qudraismail51604 ай бұрын
Kazi ipoo
@jacklinejohn18988 ай бұрын
👏🏻👏🏻👏🏻
@OrthoFit_Leather4 ай бұрын
Ampokei simu tukipiga Kuna shida gani zaidi ya nusu saa Tena sio mala Moja au njia Ipi ya kuwasiliane na nyie kwa urahisi kwa mwenye changamoto
@RashidFrances-z2n2 ай бұрын
Ukweli ni kwamba, wizara hatuelewi hata kinacho endelea huko mnapokuwa mmekutana katika utendaji kazi, kwani mabaraza yote mfano, NECTA, VETA, nk nafasi yao ni ipi sasa? Kama vijana mnawalea na hatimaye mnatoa Vyeti vya ufaulu. Kwann interview tena, Hiii ni tofasri ya kwamba Watoa vyeti na wapokea vyeti na Wakaguzi wote hamuaminiani. Its better to live out of emproyment. Maana mambo yanayoendelea hata hatuwaelewi, Waleta mifumo vyeti vyao ni huruma. Haya bwana Walimu hoeeeee. Tukutane bandalini.
@musasaid39894 ай бұрын
Hivi huyu jamaa anaitwa nani vile
@josephatfedrick69313 күн бұрын
Saf
@eliasmwanakatwe245 ай бұрын
Academic qualifications haziediki jaman tunashndwa ku attach certified copies