Jamani Nyie Mashekh Uchwara Mkasome Tokea Lini Mahari Inariba Na Hii Riba Kwenye Dini Yetu Ni Kharamu Allah Awaongoze Kwakweli
@princematumbo19 сағат бұрын
Imenishangaza pia mimi hio riba
@Rose-ue2ho16 сағат бұрын
Huyo atakuwa shekh wa machango wala hajuwi dini.. Kwenye Uislam riba ni haram..
@DM.220015 сағат бұрын
@@Rose-ue2ho sema kwa sasa kila kitu mtu anajali maslai yake binafsi yaan biashara kila mahal
@AljabirMshihir7 сағат бұрын
Waallah huyo sheikh Daah!!
@fatumaabasi7774 сағат бұрын
Allah ndo anajua zaidi, ila nmehudhuria darsa nyingi zimezungumzia hili, ni hivi ikitokea mke ameshindwa kuendelea na mume wake kutokan na sababu yeyote ile na mume hayuko tayari kutoa talaka, ila mume akasema.kama unatak tuachane nipe kitu fulani labda iwe hela hta akataka bilioni moja unatakiw umpe ndo uwe huru ukishindwa kumpa kiasi hicho bado utatakiw kuwa nae, haijalishi mahar ilikuaje hta kama alikuoa kwa mahar ya laki moja ila ukitak ww mke muachane mume yuko huru kukuomba chochote atakacho kma fidia kwake.
@JacklineGasper-s1b17 сағат бұрын
Pole sana usiombe ya kukute nimeyapitia sanaa
@FatimaAli-of4gh17 сағат бұрын
Pole sana ndugu yangu
@maryamsuleiman634020 сағат бұрын
Hakunakitu Kibaya km kulazimisha kubaki kwenye ndoa isionamaelewano
@HusnasaidiIssa19 сағат бұрын
Kabisa ila kunamijanaume mengine haijui kuachwa ni vinga,nga
@LuluAquai18 сағат бұрын
Kabisa
@kamarhelo17 сағат бұрын
Nikweri kabisa kuna wanaume wanangangania mpaka wanakera
@JamilaJumanne-u7q9 сағат бұрын
Mm niliondoka sikutaka ushaur maana miaka14 ya ndoa ilikua ya moto sana😭😭😭😭
@abasmwika34328 сағат бұрын
Kuna wanaume hawaachiki mamii, wanasema bora tukose wote hao kukuua ni dakika 0 tu labda awe jela
@lucychaula88502 сағат бұрын
Pole sana dogo piga magot omba Mungu damu ya mtu haipotei hivi hivi atakamatwa tu Mungu akupe nanyosho mema ya kesi yako
Pole dada ndoa imesababisha mama yako kupoteza maisha😭😭 kumwomba Mungu ni muhimu sana kwenye maisha ya ndoa
@KomboOmar-jl2uq17 минут бұрын
Pole sanaa dada ila hadithi ya mtume inasema muungwana hangatwi nyoka shimo moja marambili ,na huyu sheikh aombe toba kwa Allah
@AhadiMkuyu-jo1rt13 сағат бұрын
Daaa,aisee hiki kisanga nilikisikia CG FM tabora Duu,inatia huruma kwakwel mungu atupe mwisho muzur
@AminaTanzania19 сағат бұрын
Wanawakebtunapitia mangumu sana kwa wanaume pore dada angu mungu akupganie
@Kabwela77613 сағат бұрын
Daah imeniuma sana huyu dada amepoteza mama yake halafu hajui , hivi mbona madada hawa wa kitanzania wa mikoani uwa ni wakarimu sana hawana matatizo Na mtu ukiwaowa utafurahia ndoa yako Na wanyenyekevu sana
@@HanifaOman-oo4pl yanii kwanza huyu dada labia awe anandugu wenye hufu na mungu tofaut na hvyo awe anandugu kama wangu shiga angu pole lawama zote utazbebeba utaambiwa bila ww mama yetu angekuwepo hyo n lazma yatakuwepo msba ukiisha utaliliwa wewe kila kukicha pole nakupa pole nmeumia wanaume hawaachagwi wenyewe ndy wanataka kukuacha sasa ww umempa taraka bado unamfata akupe vyombo weee sio hawa kambale ilintokeaga namshukuru mungu sikurud nyuma nakumbuka nliachaga zahabu zangu helen pea 3 na chen alinbembeleza njoo uchukue vtu vyako weweee nkamwambia ww viuze tu pole mdg wangu
@JustinaBalige3 сағат бұрын
Pole sana MUNGU akutie nguvu..
@ZulfahMuhammad15 сағат бұрын
Yaani masheikh na polisi wamechabgia hii hali kuwa mbaya kwa dada huyu na kupoteza Mama yake 🥲🥲 sana pole sana dada yetu
@FatmasaidhamesaHamesa15 сағат бұрын
Pole dada yashanikuta kuchapwa n mume mpaka nikaja arabuni kisa siwezi sahahu maisha yng
@betitympeleta969715 сағат бұрын
Pole jamani ila huyu dada ameteseka sana anavyoeleza
@BakariMalembeka2 сағат бұрын
Pole sana ila mda mwingine muwemnaangalia na wanaume wa kuwanao wengine mitihani
Ayse siwezi kuolewa na mahari kama hii bado mume muuwaji
@Bilioneabichwa3315 сағат бұрын
Wakija watu wenye heshima kutaka kuwaoa hamtaki, wakija wavuta bangi ndo mnawakubali alafu mnaanza kulialia, yaani wanawake!! Poleni sana
@lucykanjanja6235 сағат бұрын
Na ninyi pia wanawake wazuri mnawakataa
@Bilioneabichwa3313 сағат бұрын
@lucykanjanja623 kweli! Me naona wanaume hatuna shida, ukimpenda mtu basi mpende alivyo
@Peaceman18516 сағат бұрын
Wakat mwingine wazazi kuweni makin na wenye busara kubwa sana ktk kusuruhisha vita za ndoa za watoto wenu...Hawa watoto wa kike wanawahadaa wazazi wanatumia nguvu nyingi kwenye usuruhishi bado unakuta litoto linarudi tena kimya kimya af ndo linaongeza ngonjera "hata km ww ni mwanamke kuwa makin na mwanamke mwenzio ata km ni mwanao"
@emmanuelmmbaga520921 сағат бұрын
JAMANI MATUKIO YAMEZIDI SIO SIRI ... TUFUNGE TUMWOMBE MUNGU , NCHI YETU IPO HATARINI....😢😭😥😭hali inatisha
@williamkeita15193 сағат бұрын
Mungu ailazepema roho ya mamaako, pole ila kwa mtizamo wangu huenda ww na mamaako mlishindwa kusuluhishwa so mngetumia wataalam wa nje ya family
@RamadhaniKitala-gx6wc20 сағат бұрын
Next mwananchi , pole sana dada wamekuficha kukuambia kama mama amefariki ila ni vizur ungepandisha presha
@salomewandya72572 сағат бұрын
Dah Pole sana
@Leylah-pz5sc19 сағат бұрын
Uyo shehe hana adabu mshenzi mkubwa toka lini mahari inarudi na riba kwan yy hajamtumia au kumzalisha, na pesa yenyewe elf 40 tu inatoa watu roho Shehe una dhima kwa mungu
@d1535518 сағат бұрын
Alimtumia au walitumiana rekebisha kauli hata yeye alikuwa na haja ya mwanaume kutimiza haja na shida zake
@KhadijaMwenda16 сағат бұрын
@@d15355mwanamke akishalala na mwanaume basi mahari hairudishwi tena
@Leylah-pz5sc14 сағат бұрын
@d15355 Abdalla ee mm sitaki kubishana na wanaume cz hp lazima mtajitetea so tufunge mjadala
@FatumaWaziri-v2w7 сағат бұрын
pamoja na yote sheria ya dini haisemi hivyo @@Leylah-pz5sc
@FatumaWaziri-v2w7 сағат бұрын
hatakiwi kurudisha mahar
@ZekaniS21 сағат бұрын
Pole jaman kumbe awajakuambia mama amefariki😭😭😭😭😭pole kipenzi wanawake tunapitia changamoto nyingi
@KaramaHaji20 сағат бұрын
Ina uma sana sana sana akitoka hapo tena akaanze msiba upya VERY SAD
@mwanas220 сағат бұрын
so sad jmni
@SelemaniIssah-p2g19 сағат бұрын
Nasema hv msiangalie upande mmoja tu japo jamaa kakosea sana kutokana na maamuzi yake mabaya ila kwa maono yangu kunavitu vipo ndani ya ndoa yao
@radhiamussa162917 сағат бұрын
Ata kama ndio aue mama mkwe na mke chupuchupu afe unahisi huyo ni binadamu kweli haijalishi kafanyiwa Nini mwanamke sio wa kupigwa nakufanyiwa hivyo e@@SelemaniIssah-p2g
@kamarhelo17 сағат бұрын
Ulete huo upande wa pili tukie bwana we usituchanganye
@paulabelleghe45117 сағат бұрын
inaumiza sana ushauri ukiachana na mtu hata akijifanya anataka kuonana na wewe usithubutu toa report mapema police nakwandugu huyo ni agent washetani
@CikeTanzania6 сағат бұрын
Aisee pole sana unamwanamke kumhudumia hutaki kuachana hutaki nini maana yake mitihan sana mama wawatu kauawa inauma sana 😢😢😢
@Magreth-f2j16 сағат бұрын
Pole sn mwanangu oh umepitia makubwa ulikuwa unavumiliamngi hawa wanaume wamekuwa wanyama.
@Hamy110920 сағат бұрын
Wanawake kuweni makini msiingie kwenye mahusiano na machizi.
@HanifaOman-oo4pl20 сағат бұрын
Huyu shehena. Anamatatizo huyo. Ona sasa kasababisha mauwaji. Nawe dada ungeenda na polic kuchukua vitu vyako.
@HafsaShekigenda4 сағат бұрын
Subhanallah ee yarabi mola wetu tunusuru NA haya mabalaa
@AllyMadenge-u6o14 сағат бұрын
Tatizo mnaolewa na wavuta Bangi yaani mnaolewa kutafuta sifa ya kuolewa
@MwanahamisNyenzi20 сағат бұрын
Pooole mdogo wangu wanaume wengi wa leo wamejaa roho za ukatili
@FatimaAli-of4gh17 сағат бұрын
Sasa hivi kabla ya harusi tusipime ukimwi tu na akili pia
@SamiraameirSamira-qt9yn19 сағат бұрын
Nimelia 😢
@joyceatupele884819 сағат бұрын
Asii pole sana kwa yaliyokukuta mungu akusimamie kwa yote
@MrkiswalaKiswala2 сағат бұрын
Pole kwa kumpoteza mama Ako lakin tusisahau hata huyu ana mwanaume anaempa jeuri kwa mume wake hata hiyo nguvu ya taraka ameitoa kwa bwana ake mwingine wanaume tunapitia magumu Sana kwa Hawa viumbe lakin kuua au kufanya tukio baya ni makosa lakin huyu dada nae Kuna ulakini macho yake tu Hiki kichwa kibovu
@MuemedeAluco5 сағат бұрын
Pole sana dada ila kamahutojali njoo Mozambique tufanye maisha unaonyesha ni mpambanaji naomba mawasilianoyako
@stellahmosha951746 минут бұрын
Nanyie mahari zenu rahisi Sana ata mtoto wa shule anailipa 40000 ndio iondoe uhai wa mzazi uyo kijana kheri akamatwe na polisi sio uchungu wa hawa wenye mzazi wao ukukute aisee
@saynabmohammed626315 сағат бұрын
Hiyo talaka sio sawa fata masheikh wanao faa Huyo sheikh kahemka pengine ukiolewa utakuwa uzinif fayilia kwa madheikh wa uhakika
@tegemeakyangenyenka61115 сағат бұрын
Pole sana, kusuruhishwa na visu, askari gani hao
@prettynainaramadhani539918 сағат бұрын
msikiti gani wakishetani huo ndio nasikia leo kama mwanamke anauwezo wakumpa talak mum ktk qur an huyo si shekhe bali ni sheitwan kweli dunia imekwisha uislam umekwnd wap innallillahwaynailahrajiun . allah akufanyie wepesi kipenz
@Zakia-p2y15 сағат бұрын
Kasome vizuri kuhusu talaka. Inaruhusiwa kabisa mwanamke kutoa talaka kisheria (dini)
@khalifasaid00473 сағат бұрын
@@Zakia-p2yNa wewe hujaelewa yeye mwanamke hua anajivua katika ndoa na yy haruhusiwi kutoa talaka bali talaka atatoa mume
@MwanahamisiBwanga16 сағат бұрын
Yan ww umuache mwanaume alafu bado unaenda kwake hvyo vtu ungeachana navy mm mliondokaga mazimaa
@JamilaJumanne-u7q9 сағат бұрын
Ata mm mpka pichu zipo kwake nilihis Nikifata tu nimekwishaaaa
@abasmwika34328 сағат бұрын
Kosa moja kubwa wanawake wengi wanafanya ni kutaka mali za mwanaume wagawane, hilo ndio humtia mwanaume hasira zaidi ni bora uondoke na usidai chochote, hata huyu nae alirudi tena kwa ajili ya kuchukua vitu vingine zaidi
@abasmwika34328 сағат бұрын
@@JamilaJumanne-u7qmwanamke ukiamua kumuacha mwanaume usichukue chochote kutoka kwake ni hatari sana
@JamilaJumanne-u7q5 сағат бұрын
@ mm Niliacha jmn tena nimtu mwenye uchu wa Mali namjua nilisameee nikiamin nimejinusuru mm na nafsi yangu mbona nipo nasijafa!!! Naridhik napata wanangu nalea vzr
@JamilaJumanne-u7q5 сағат бұрын
@@abasmwika3432 sema nn mm nimeolewa hana kila kitu tumetafuta wote vingine nilitoa kwetu lkn Niliacha tu bwana mbona ninavingine Tyr nikuamua tu uzima nibora kuliko Mali
@annamussa18521 сағат бұрын
Me ndo maana naogopa ndoa
@FatumaWaziri-v2w7 сағат бұрын
usiogope olewa n kk yangu n mkarimu
@CikeTanzania6 сағат бұрын
Usiogope utaishi vip uendelee kuzini haipendezi
@chayogasperi978321 сағат бұрын
Uzembe wa Polisi na kupokea Rushwa mmesababisha yote haya. .
@chuimnyama907419 сағат бұрын
Ulitaka polisi wafanya mambo ya ndoaa unayajua weeewe
@LuluAquai18 сағат бұрын
Maana yake hiyo kesi wangeipeleka Mahakamani,ndicho alichokuwa anakitaka dada@@chuimnyama9074
@chuimnyama907416 сағат бұрын
Au ulisikiaaa polisi wakati hiyo mahalii inarudishwaa polisi walikuwepo msikitini
@chayogasperi978315 сағат бұрын
Wewe Chuimnyama sikiza ; Ninapolaumu POLICCM ni kwanini walimwachia mtuhumiwa kirushwarushwa huyo Binti alipoenda kuripoti kumtishia maisha , akatolewa kwa dhamana , na wakaanza kumzungusha huyo Binti bila kupeleka jalada lake KITUO KIKUBWA Ili shauri liendelee , Karudia tena na kuhatarisha maisha .
@chuimnyama907414 сағат бұрын
@@chayogasperi9783 sawa baba lakini wanasema dhamana ni haki baba ya kila mtu vipi hapo baba
@SalumMzee-cw8do3 сағат бұрын
Siku imefika mauti yatokusahau ila ss tutayasahau tuombe Allah atujaliye khatima njema vifo vyema
@romwaldoamsi27833 сағат бұрын
Angejua asingesimamisha boda😢😢😢😢
@lisawilliam24912 сағат бұрын
jaman! afya ya akili is really! mungu atuhurumie
@Emmamuze6 сағат бұрын
Huyu kwa aliyoyapitia kupenda tena au kuwamini wanaume anahitj rehema za mungu mm niliyapitia haya kwa baba mtoto wangu nikahama mkoa tang 2019 hadi leo sijawah kuonana nae na nina amani ila kupenda kwangu imekuwa mtihani nipo tu nalea mtoto wangu
@hassankisuda11893 сағат бұрын
Jamani binafsi natoa pole kwa changamoto, Lakini haya yanayozungumzwa hapa ni upande mmoja tu tusiongee sana maana huwezi juwa yalivyokuwa kabla ya kufikia hapa yalipo
@RenaldaZeramula20 сағат бұрын
KuMUacha mwanaume.mbona rahisi tuu, unahamia Mkoa wa Songwe au TUNDUMA AU RUNGWE. Wewe ndionumeyqtqka unafatikiq vitu vya nini
@kamarhelo17 сағат бұрын
Nashangaa Tena kaenda mwenyew huyu nae kanichosha kweri
@magrethmbuma304514 сағат бұрын
Sumu zipo ni bora kuliko kukimbia mji😢😢😢😢 aaaaiseee
@JamilaJumanne-u7q9 сағат бұрын
Mm nilitoka kigoma yuleee daa Nikamwachia kila kitu mwaka wapili huu tena akasema hana shida nawatoto anataka nyumba navilivyomo😂 nikamwachia yann mm afu sina kila kitu et jna anapiga cm kwetu anataka watoto waende likizo😢 kufanya nn ikiwa ata nguo tu aliwanyima hata Salam miaka miwili leo anakuja nakiswahili et likizo shenz stak shobo mm nakiboro dinda mxyuuu
@MagesajohnNyamonge9 сағат бұрын
Wewe umepata ulichotaka kiwe umempoteza Mama kwa ujuaji wako
@monicamwita78654 сағат бұрын
Toa faraja na si kejeli
@JosephJackson-f1s55 минут бұрын
Huyo shehe ni mjinga tangu lini mahari ikarudi tena na riba isitoshe wana mtoto unazambi mbele ya mungu
@eunicegerminus19312 сағат бұрын
Waislamu tunaomba ufafanuzi juu ya hili la mahali
@swahilitherapytv38466 сағат бұрын
Masheikh wa mchongo, hakuna riba kwenye kurejesha mahari. Mahari ni ile ile inarejeshwa
@SelemaniIssah-p2g19 сағат бұрын
Pole mdada kwa yaliyo kukuta ila ninaamini huyo hakua chizi japo kakosea sana kwa aliyoyatenda ninamini yapo yaliyojificha ndani ya hili sakata mapenz yanauma hasa mdada akishajiona yeye mzur anamletea vituko mwanaume aliempambania sikieni tu msimbe yawakute huwenda jamaa kavumilia mengi sana ila ibirisi alimteka mpaka akafanya hayo
@richardyusuphmsongolomakat204919 сағат бұрын
Unaongea kama mamako shoga wewe
@SelemaniIssah-p2g16 сағат бұрын
@@richardyusuphmsongolomakat2049 shoga niwewe mzee hayajakukuta juu ya wanawake yakikukuta ndio utajua wanawake ni watu wa haina gani sitetei ukatiri alioufanya ila ninamini huyo jamaa sio chizi mpaka amefikia hapo we choko ukumbuke huyo mwanamke kainunua taraka ingekua mwanaume anamatatizo mashekh wangeivunja kafosi kuachika sasa msiangalie upande mmoja tu
@JamilaJumanne-u7q9 сағат бұрын
@@richardyusuphmsongolomakat2049mjinga mbwa huyu
@FatmaHamad-g6sСағат бұрын
Ukipata ndoa Ina amani swali sana sio jambo rahisi
@margarethpolepole743811 сағат бұрын
Kwanini umekwenda huko wakati unajua kuna kutokuelewana na ugomvi mtindo mmoja
@magrethmbuma304514 сағат бұрын
Mahari 40k kweeeliii😢😢😢 hizi ndooa hiizii
@saidasaid58555 сағат бұрын
Ukiangalia ayo mahari tu unajuwa kama sio mwanaume wa kutunza mke wala mtoto cjui kama cmvuta bangi
@anithawidambe754318 сағат бұрын
ASKARI MSAIDIENI HUYO MAMA MME WAKE AKAMATWE AFUNGWE HUYO NI MUUAJI.
@jacklinakinabo647910 сағат бұрын
Mahari elfu 40 khaaa! Hiyo ela ya kununua pedi box moja la HC 😢😢 bora usitolewe kabisa mahar
@healingsschool46309 сағат бұрын
KUTOKA 22:18 Usimwache mwanamke mchawi aishi. Uwa kila mwanamke mchawi kwa Jina la YESU Kristo
@joaquimmasengwa12839 сағат бұрын
Pole kwa yaliyokukuta. Lakini, kwa maelezo ma mwonekano wako, yule bwana ulimwacha ungali bado unampenda. Kama ungekuwa umedhamiria......... NENDA HALAFU RUDI, ilikuwa ya nini !!??
@allyndunda5147 сағат бұрын
Huyo shekhe nae ni miongoni mwa wauwaji. Na atakuja kukutana na zambi zake hukoo Akhra
@lightnessseifu59834 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭sina cha kusema namwachia mungu
@AtuganileAsubisye3 сағат бұрын
Mhmh inauma sana Mama ana kosa gani apo sasa
@sophiakimaro51744 сағат бұрын
Boda boda kama hawa ndio wanasababisha wanawake kuogopa kulewa na bodaboda kabisaaa!!hawa watu bangi ni nyingi saana.
@DareAziz-g3s2 сағат бұрын
Hasira gani izo ushetan huo,pumzka kwa Amani mama
@annamussa18520 сағат бұрын
Kwanza wewe ni mkristo why ulibadili Dini kwa ajili ya mjinga muuaji😢
@magrethmbuma304514 сағат бұрын
Haapo anajutiia na mengi
@emmadora78487 сағат бұрын
Tena Kwa mahari ya 40,000 looooo 😂😂😂😂
@HidayaIbrahim-b4h17 сағат бұрын
Waha tunavumilia mengi ila tukichoka tunachoka kweli natunaacha hatuludi nyuma tena
@MikidadiMughuna14 сағат бұрын
Kabisa me mwenyewe mha navumilia mengi kwa ndoa yangu
@AthumaniJongo-j5d3 сағат бұрын
Pole sana tilka dunia
@kitongaemmanuel2426 сағат бұрын
Mmawaendekeza sana waumezenu, haswa pale unapobeba majukumu yao. Utakapotaka kumuacha ndo hayo yanayotokea. Ndoa nikifungo muemnatafakali kabla. Anachokifanya huyo bwana n maumivu anayopata ndan yamepelekea kutokua na afya ya akili, kama mpepona mmusamehe coz huyo n mzaz mwezio watto watawakutanisha tu
@CharlesAndamnyirenda20 сағат бұрын
jamani pole Sana ila muandi naomba namba ya huyo Dada ili atusaidie kupatikana kwa shehe asante
@LuluAquai18 сағат бұрын
Acha uchu,Sheikh wa nn na ww Charles,mambo ya waislam yanakuhusu nn,Acha ujinga
Ila serikali yetu hii mmmh,,, afu Kuna wanaume ni maboko Haram Yani MUNGU akutusaidie tupate wanaume Bora na wenye hofu ya mungu
@ndimimaskati364122 минут бұрын
Huyo jamaa ni mshenzi, hafai katika ndoa.
@JosephJackson-f1s51 минут бұрын
Mtoto mzuri jamani kaolewa na pepo
@HusnaMuhammed-yx8nl17 сағат бұрын
We mwanaume laana itakutafuna kupokea mahari ilihali mkeo kakuzalia na utakufa masikini mbwa wewe njaa inakusumbua
@batulymsangi9268 сағат бұрын
Watu wanaolewa na mashetani kweli jmni😢😢
@mudinhomeshack90415 сағат бұрын
Binti mzur alhamdulillah ila mume aliempta mtihan
@ViolethMazengo-nd8cy4 сағат бұрын
Kweli huyu dada hakutendewa haki ila kama mm nilishampa talaka hapo kwake sirudi tena hapo ndo alijichanganya kwan vitu ni nn siangenunua
@JenniferTemba-t9i3 сағат бұрын
Ila naww mtu una ugomvi unamfata kwakee mnataft kufa vibaya wengine poleni ....
@saidasaid58555 сағат бұрын
Mh mshekhe wengine someni Mjue kwanza ndo mjue mnachokifanya kwe riba na uislam wapi na wapi
@namungolubala17889 сағат бұрын
YAONEKANA HUYU MWANAUME ALIKUWA ALIKUTESA SANA MAHALI ALIPO ATAJITOKEZATU DAMUYA MTU HAIENDAKI BURE 😮😮😮
@namsifubwana215213 сағат бұрын
MAISHA YETU WANAWAKE JAMANI😢😢😢😢
@shabaniguma869616 сағат бұрын
Kina watu wanaoa kwa elf 40 tena na jeuri na mauwaji hatari
@issataslima98467 сағат бұрын
halafu kibaya Zaid ni wa Jina wako
@MaikoMasnja6 сағат бұрын
Polen sana wanafamilia
@naomicharles544417 сағат бұрын
Mtu akikuambia una akili kama za bodaboda jitafakar😂😂
@فاطمهفاطمه-ش2ز9ج20 сағат бұрын
Ivi marioo wakoje nilishan hili balaa n pekeangu 😢😢😢😢 sito sahau nmenusurika kufa ivi ivi.
@YasinOmary-m6n19 сағат бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭 Pole
@RoseMbise-rw9sz7 сағат бұрын
Jamani heart attack au nini shda jaman.Polen familia
@RedmiNote11-v9e3 сағат бұрын
pole Dada
@noot-oe2mwСағат бұрын
Inalilah wainalilah rajuuni
@SalumOthman-w8c4 сағат бұрын
Pole sana dada
@BabeNoera19 сағат бұрын
Ila wanaume hawa mbwa kabisa,pole sana dada
@d1535518 сағат бұрын
Kelele wewe huyu na huyo bwana wake wanajuana tabia zao zote zinaendana haiwezekani wewe ukaishi na mtu wa namna hiyo na ukazaa nae halafu msiendane tabia haiwezekani huyu nae ni kama yule tu sema hapa yeye ndio aliacha hakuachwa endapi angeachwa anao uwezo wa kufanya kama bwana wake slivyofanya
@RidhiwaniMrisho18 сағат бұрын
Baba Ako nae bull dog Koko tu wa mtaani
@ProsperUlungi-p3t12 сағат бұрын
Hata nyie wanawake ni umbwa jike kabisa 😂😂 mbona mnaushenzi kibao mnaofanya kwenu inauma ndio mkome
@hassanrashid-l3u7 сағат бұрын
Hadithia yote mpaka mkafikia huko,cyo mnahadithia mkishabanwa hali ya kuwa chochoko kabla mnazificha
@dignakanje450813 сағат бұрын
Wanawake Htuko slma jmn.Kwann wanaume. Mmekuwa hivyo jmn.
@hellenngwilla55017 сағат бұрын
Duh inaunmaa sana pole mwanamke mwenzangu😢
@mudinhomeshack90415 сағат бұрын
Dah yani polisi wanachngamka wakiskia maandamano tu mamb ya muhimu mmmh
@margarethpolepole743811 сағат бұрын
Huyu ni mnyama sana ataua zaidi mtu gani hajui kukataliwa
@McT-m1m18 сағат бұрын
Huyu anamuogopa mzazi mwenzake kama mimi ninavyomuogopa mzazi mwenzagu bora hata wewe unatalaka japo haijasaidia kitu yani hata mimi yule wakwangu anauwezakano wakunichinja manake kisu na panga ndo vitu ambavyo huwa ananitishia navyo kipigo kwake kunipiga ni kama desturi hata sielewi naenda kushi wapi kurudi kwake nsogopa kuoshi pekee yangu mtihani yani vyote haviwezekani allah tu anisimamie kuniuana kujiua yeye hana hasara ili mradi atimize najuta kuolewa nae
@laynerngole481017 сағат бұрын
Muombe Mungu kimbia report police rudi kwenu au hamia mkoa mwingine utakufa uache mwanao,unashindwa kuishi mwenyewe huyo mwanaume ndio mgawa pumzi,kapambane tafuta kipato chako Lea mwanao
@abasmwika34328 сағат бұрын
@@laynerngole4810lazima atulize sana akili mwanaume mwenye roho ya kiuaji ukimpeleka polisi akatoka jua umekwisha, kuhama mji kama huna wakukushika mkono nayo ni kimbembe yani nampa pole sana huyo Dada. Akae na ndugu zake vizuri wapange mikakati na kuweza kufanya maamuzi magumu
@abasmwika34328 сағат бұрын
Pole sana
@lilasuliman5524 сағат бұрын
Umeshaona dalili hatari unashindwa kuondoka
@laynerngole48102 сағат бұрын
@@abasmwika3432 polisi sio anaenda kumfunga hapana,anatoa taarifa,ila hata akiondoka awe ameshatoa taarifa, ahame kabisa mkoa avunje na lain ya simu.akate mawasiliano na ndugu asio waamini,Bora abaki anawasiliana na wazazi tu kwanza.naamini akiongea na wazazi watamuelewa.umuhimu wa kuolewa na mtu uliyemchunguza tabia muhimu,sio anakuja kukuchumbia hata humjui mwisho ni kuangukia Kwa wauwaji,maana kabla ya mahusiano muda wa urafiki mwenye roho mabya ukiwa makini utamgundua tu Kwa msaada wa Mungu
@ChausikuAli17 сағат бұрын
Pole ndugu yangu
@betitympeleta969715 сағат бұрын
Heeee pole jamani wanaume hawa ni shida shetani kaingia kwenye ndoa
@Kabwela77612 сағат бұрын
Serikali ya Tanzania mngeanza kunyonga hao wauwaji ili wajue ukiiwa ni kunyongwa hao wanyama ni kuwanyonga tu