Mimi naona walimuuwa kwa sababu aliwatambuwa hao watu wenye walio mufanyia hicho kitendo mungu wapatie hukumu ya uchungu
@rayaalhabsi17252 жыл бұрын
Jamani Tanzania tuna kwenda pabaya, yaani hata sijui tuna elekea wapi. Mwenye Enzi Mungu atustiri yaarab na hawa majangili, Mwenye Enzi Mungu awa tokomeze
@edinahmaganga27222 жыл бұрын
Jamani inauma sana mtoto huyo aliwakosea nini? Kwa maoni yangu nahisi waliingia kutaka kumbaka sasa katika kukataa labda akawatambuwa ndo wakaamua kukatisha ndoto zake” Mungu Baba ni wewe usiye lala unawajuwa wote waliofanya unyama huo shugulika nao mwenye visasi na malipizi ni wewe BWANA” Pumzika kwa amani mtoto wetu Mungu akupokee 😭😭😭
Huyo mama akiwa na akili aache pombe maisha yake yote maana ndio chanzo cha mwanae kupoteza uhai. Mola akulaze pema malaika wake😭😭
@saladaniel92742 жыл бұрын
Mungu naamini ww.hulali Wala husinziii 😭😭😭
@fumbukashangwe31732 жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ampe pumziko la Amani
@venicahkwamboka38232 жыл бұрын
So sad😭😭may the killers not have peace in their lifetime
@sallygrace14952 жыл бұрын
Agree 💯
@trophywilson72112 жыл бұрын
Indeed
@aishadaba70452 жыл бұрын
Ameen
@saumahmedydarweshsaum561726 күн бұрын
Sure
@malandojames51512 жыл бұрын
Tz yetu inahitaji maombi Sana. Nahisi Kuna sehemu tumemkosea Mungu. Hii si hali ya kawaida Kuna laana si bure Kuna mahali tumemkosea muumba wetu. Watumishi wa Mungu tuombee taifa letu.
@victoriaremmy37722 жыл бұрын
Ni kwel ni maombi tu siyo hal ya kawada hii
@lucykapinga3692 жыл бұрын
Eeh Hakikaa
@marrynaftali79692 жыл бұрын
Ni kweli kabisa Mungu aturehemu aiponye nchi Yetu
@faithkageya52822 жыл бұрын
Inauma sana mungu yupo Alie fanya lilikeagiza iposiku atapatikana mchana peupe poleni familia namarafiki mungu awapenguvu
@kingmhondela2 жыл бұрын
Poleni sana, Mungu yupo hata muacha mtu alietenda tikio hilo lazima amuazibu yeye na kizazi chake chote maana,Mungu hadhihakiwi pumzi kuizima pumzi ya mtu, biblia inazungumza,(wagalatia6:7-9) apandacho mtu ndicho atakachokivuna asubili mavuno yake Anambipu Mungu ngoja ampigie,imeniuma sana Mimi kama mtumishi wa Mungu,na pia kama mzazi,nakemea kwa jina la Yesu kristo kwa watu wenye Tabia kama hiyo washindwe na walegee kabsa,Mungu awatie nguvu wafiwa wote
@elizabethmajingwa80722 жыл бұрын
Mnakosea kulaani kizazi kizazi kimekosea nn jamani alaaniwe yeye mja laana kuna watu wanateseka kwa makosa ya wazazi wao ingawa wao hawajakosea lolote sio sawa jamani!
@rebecadeonatus48042 жыл бұрын
*kikulacho kinguoni mwako wahenga walisema wagen utawasingizia tuuu Mungu ampunguzie adhabu kali amen*
@JumaMagona-x3v2 ай бұрын
Mtoto hana adhabu ya kabuli dada angu.
@chomasongidion60472 жыл бұрын
Nimesikia uchungu Sana,mwanangu aliuwawa hivyohivyo nikuwa safari,mtoto anauma sikia tu,ila mungu atalipa kisasi hiki wa yoyote aliyeweka mkono wake,basi adhalilike na kuangamia kwa mateso makubwa.
@maureenaketch32422 жыл бұрын
Pole sana
@zuhuramhando8527 Жыл бұрын
Jamani Pole Sana
@marygabagambi3342Ай бұрын
Polee Sana Sana, Mungu anayaona machozi yako akutendee lililojema.
@LatiffahAbdallah19 күн бұрын
pole kipenz
@issaalfani10302 жыл бұрын
Wakati mwingine tunamsingizia Mungu kweli wazazi wote tunamuacha mtoto tunaenda kupata pombe
@christinachazy86442 жыл бұрын
Unyama wa Hali ya juu Pumzika kwa Amani mdogo wangu,Damu ya mtu haipotei bure ulie Fanya tukio Mungu atakulipia sawasawa na matendo Yako binadamu tuwe na huruma
@ahuriladaniel98492 жыл бұрын
Kabisa
@amanchatila76072 жыл бұрын
kabisa
@festochibupa95032 жыл бұрын
Pumzika kwa amni
@naomisaidi46972 жыл бұрын
Kabsa
@ShabanFarida-t4h3 ай бұрын
😊😅p
@joleenmasha2 жыл бұрын
Mungu aende akawalani wote walio tenda hichi kitendo cha unyama hawatakuwa na maisha pia nao wakafe kifo cha uchungu 😭😭😭 its really painful
@lucyjeremia13812 жыл бұрын
Mtoto kama huyu kawakosea nin jmn hiv haya mauaji mbona imekuwa to much jmn😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@odiliamathias54242 жыл бұрын
Muuaji, uliyeusika na uaji uwo kazi unayo, na Mungu anakusubili kwa amu utamjibu Nini sijui
@mercykoech14872 жыл бұрын
Mungu yupo aki..Kwa jina la Yesu haki itatendeka
@zainabumohamedi90152 жыл бұрын
Daah!inauma sana wamekatisha ndoto za mtoto huyu,,Rest in peace bint mdogo 😭😭😭
@ummufatma82922 жыл бұрын
Jamani ni uktatli mkubwa sana
@rukiaabdi60422 жыл бұрын
S
@mwanduelizabeth22822 жыл бұрын
Mungu awalaani wote walioshiriki kutoa uhai wa binti huyu.R.I.P
@donnihope17682 жыл бұрын
Wazazi wengi wapo careless sana wanahatarisha ndoto za watoto wao mapema..mfumo wa maisha wa aina hiyo si rahisi mtoto kuwa salama hata ukuaji wake
@mariasixmund79642 жыл бұрын
Muuwaji utajificha mbele za binadamu lakn mbele za Mungu wako utajuta damu ya mtu haipotei bure Rest in peace bby
@davidcurtis1752 жыл бұрын
Ipo siku alieua atajitaja mwenyewe kama hanywi pombe atakuwa anakunywa na akilewa atamja kwa jina na kumuomba msamaha marehemu ndio watu watamjua.
@Fitz3682 жыл бұрын
@@davidcurtis175 Duh?! Kumbe ndo inavokuwaga🙌🏼
@nsumburoote24862 жыл бұрын
Mkoa gani huu
@fatumaibrahim89732 жыл бұрын
Pole sana ndugu kwa msiba inauma sana 😭😭😭 mwenyez mungu ampunguzie adhabu ya kaburi bint
@jacklinenoel58412 жыл бұрын
Dah inaumiza Sana sijui hii Dunia inaelekea wapi jamani MUNGU atusaidie Sana mwanafunzi anakosa gani 😭😭
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Subhanna Allah, watu hawana huruma hata jamani.😭😭😭
@jakee20412 жыл бұрын
Pole sanaaa. Mungu awafariji familia yote. Sasa msichana mdogo kawafanya nini majambazi? Damu yake itawafuata daimaaaa
@janetthomas32182 жыл бұрын
It's so sad to see people killing a young girl ,oh my God may her soul rest in peace 🙏 🪦 😌 ☹️
@fatmahjuma19452 жыл бұрын
Innalilah wain illah rajiun 😢ALLAH amrehemu🙏
@gamgangweesechota35892 жыл бұрын
Kisasi Cha Mungu ni kikali Sana atalipa, pumzika kwa amani malaika mzuri,enyi binadam mnaojivika roho za Simba muogopeni muumba wenu ,Machozi ya huyu mama hayataenda bure kabisa Mungu atayapa ufumbuzi tu 🙏
@fatmaomar84972 жыл бұрын
Mungu yupo.... poleni sana kwamcba....
@martinakessy54132 жыл бұрын
Poleni sana wapendwa . Tumempoteza mtu ambaye baadaye alikuwa aje kuwa kiongozi wa Taifa letu. Hakuna cha wageni, binadamu tumekuwa kama mashetani,kumtoa mtu roho bila yeye kuwa na hatia. Tunaishi na watu tukijua ni wema kumbe ni maadui.
@lightnessseifu59832 жыл бұрын
Duuuuu mungu wangu 😭😭😭😭😭😭 hawa binadamu wenye roho za unyama, roho za ukatili hawana huruma kwa maraika huyu . Mungu wazalilishe maibilisi hawa
@aminaali69962 жыл бұрын
Daaah inauma sana mungu muangamize uyo muuaji mtoto anamakosa Gani amemkatli kiasi Iko laki pia naiyomba jamii maeneo tunayoishi tuwe naumoja inapotokea tunasikia mayoe basituungane kwaumoja kuamgalia Kuna Nini tunaposema nilsiki yoe hatmai tapoteza huenda angekimbiliwa angepatiwa msaanda mtoto
@ladyr.hamsini23112 жыл бұрын
Jamani 😭😭😭huyo siyo mtu mmoja wa llahi 😭 wamemfanyia kitendo cha kinyama sana
@machakapascal65002 жыл бұрын
Uyo mtu naombea awe na maisha marefu yenye majuto na tabu ndani yake
@luqmaandaud31442 жыл бұрын
Kaka anaumia sana masikini😢😢
@aminakassim74862 жыл бұрын
Mnooo inaumiza sana
@ChristinaNsegaАй бұрын
Hiv kwel walio fanya hivyo kwel Wana watoto nkama hawana hata ndugu hawana da! Naomba mungu awahukum kwa mkono wake mwnyewe
@elen89982 жыл бұрын
😭😭😭😭 mungu wahukumu milele👏
@marijaniomary362 жыл бұрын
Dooh atali
@fediskalume47122 жыл бұрын
Pole sana wafiwa. Pia wao hawajuwi watendalo. Ila mungu awatie nguvu 😭😭 juu inauma
@mwanasitikisuki9427Ай бұрын
Mungu Yuko mwenye alifanya hivo pia yeye malipo ni hapa hapa tu labda awe ataishi milele mungu tenda miujiza Yako wenye walifanya hivo pia nao wafe kifo Cha uchungu😭😭😭
@sarahkinyashi62132 ай бұрын
Machafuko nchini😭😭😭😭binadamu wamekuwa wanyamaa,tufunge na kuomba wapendwa, wazazi tuombee sana kizazi chetu kinaangamia peke yetu hatuwezi bila msaada wa Mungu,tumrudie Mungu wapendwa 😭😭😭😭😭😭tulinde watoto wetu jamanii,hali cnzuri, Mungu mpumzishe kwa amani,jicho lako linaona kote Mungu wetu,hukumu yao Iko mikononi mwako😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
@salomeomashibo1971 Жыл бұрын
pole sana jameni niuchungu maoni yangu mwenye amemua nimtu anajua vizuri mzingira ya hapo anajua mama ayuko pengine amechunguza vizuri akajua ulewa apatikani nyumban Uwenda alitaka amrep au alimrep akawa ana mujua akamua amutoe ndio apoteze ushaidi .Iyo damu ya mtoto isimuache salama Akose Amani kabisaAta yeye akufe kifo ya uchungu ivio
@mwanahamisbwanga11842 жыл бұрын
Kwel n malaika jaman nan kafanya hili tukio jaman nmeumia 😭😭😭😭😭
@neemageorge82002 жыл бұрын
I think walikuja kufanya hivi kwa mtoto maybe walikua na ugomv na mama ...... So sad😢😢😢😢
@sophiajohn84992 жыл бұрын
Jamani mbona kipindi Cha anko magu hii Hali ilipuguwa lakini saivi imekuwa kama fasheni wakiyakamata haya majitu wayanyoge
@cacynjuguna40702 жыл бұрын
Woooi Mungu Wangu tusaidie mtoto amewafanyia Nini😭😭
@jameskalugo45832 жыл бұрын
Poleni ndugu zanguni jirani na marafiki vita ni vya Mungu atalipa tu
@harodphilipo82282 жыл бұрын
Wasipate aman kamwe katika maisha yao walio shiliki kuondoa uhai wake huyu bint mwenyezi mungu awachape fimbo
@micahnyauma12432 жыл бұрын
Yahuzunisha Sana. Pole Sana na Mwenyezi Mungu awafariji
Mitihan mikubwa Allah atujaliye khatima njema vizazi vyema ila Dalili za kiama zote hizi Iman imepotea daaah
@sadockchengula55422 жыл бұрын
Wazazi wote wahojiwe. Kwani wanaweza wakawa msaada kwa tukio hilo. Mtoto alikuwa bright kama mjomba asemavyo. Kuna wakati fulani wazazi walikuwa wanawatuma watoto kuandika kinyume au kujibu mtihani hovyo ili kukwepa majukumu ya kusomesha. Ila Mungu ni mwaminifu damu ya malaika huyu itasema juu yao. Mungu tenda muujiza. Amen
Akh woyeee for those killers they will never find peace 😭😭😭😭😭😭😭😭Rip Baby gal
@mudiplatnumz982 жыл бұрын
Mungu amlaze mahala pema Ila inasikitisha Sana🤭🤭😭😭😭😭
@yasmeenaal41912 жыл бұрын
Daaah inauma sana 😢 wamamkatisha ndoto zake jamani serikali ifanye kazi yake
@scollantandu62782 жыл бұрын
Poleni sana apumzike Kwa amani 😭
@fatmaomary39812 жыл бұрын
😭😭😭😭😭Jamani inauma sana misijuwi kwanini inakuwa hivi
@sophiaalexandersophia86102 жыл бұрын
Jamani jamani ndo maana uchawi hauishi kwasitahili hii kama unaimani ndogo unaweza kwenda. Kuloga ili kulipa kisasi
@raypaul32052 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭Mungu lipa machozi ya hii familia,,,,
@pillykinabo87222 жыл бұрын
Wazazi wa mtoto inabidi waisaidie police hapo
@aishashomali27162 жыл бұрын
Alibakwa itakuwa na mtu anajulikana kisha kumpiga asiseme sasa anakosa gani apigwe mpaka kuperekea kifo yaani wamama acheni ulevi ovyo uwenda ungekuwepo asinge pata madhara 😭😭😭😭rip bint mzuri
@salomesamson69042 жыл бұрын
Daaah hivi watu tumekuwaje jaman daah 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@suleimanbadru8192 жыл бұрын
Nashukuru mambo hayo kwetu Zbar si aghlabu kutokea .
@marianamacha15502 жыл бұрын
Dah jamani jamani Apumzike Kwa Amani dah Inauma sana nawaza maumivu aliyopitia huyo mtoto jaman Dah!! 😭😭Mungu wangu Simama katika Hili
@lucykapinga3692 жыл бұрын
Amina Hakikaa
@lucykapinga3692 жыл бұрын
jamanii nimeumia Mnoooo
@MbwanaAbdul2 ай бұрын
Kusema kweli TZ hatasiielewi hebutuone hii nchi inaendawapi dah tumechoka sasa jamani inatosha😢😢😢
@fettymohd47082 жыл бұрын
Kila siku Tanzania kuuana kila siku bac yule kanyongwa yule kachinjwa alimradi tupo kwenye vita ha ukifika asubuhi mshukru mungu ikifika asubuhi kufika ucku mtihani haa! Nchi ynguu
@kulwakigwile74232 жыл бұрын
Mtoto mdogo ana hatia gani jamani tunakwenda wapi mbona unyama umezidi sana
@MarlinMar-n8v2 ай бұрын
Naumia sana Mungu atamlipia😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@johnhaule17502 жыл бұрын
Heliwenye moyosafi maana watauona ufalmewambingu niwao🙏🙏🙏🙏
@aureliana5692 жыл бұрын
Wallh roho imeniuma sana pumzika kwa Amani mtot wetu Mungu hawaumbua hao watu walofanya hivo😪😪😪damu ya mtu aiyendi bure
@graceamran3262 жыл бұрын
Maskini yamungu sasa mtoto amewakosea nini jamani daah inauma sana hayo so maisha pia uko uliko uliyefanya hicho kitendo mwenyezi mungu akuazibu wew pamoja nafamilia yako mpaka ukooo ukateketee namkaraaniwee huyu nimaraika kumbukeni damu yamutu uwa haiendibureeee imeniuma sana dah siujui hata uwo mkoa ila imeniuma sana mwenyezi mungu atairipia😭😭😭😭😭😭😭😭pumzika kwaamani mdogoangu umeenda hata mwendo ujaumaliza nandoto zako hata hujazitimiza dah imeniuma sana jamani
@cecyjames38802 жыл бұрын
Eemungu sijui tunaelekea wapi kwa Sasa MTU kumtoa uhai anaona kawaida jaman inauma sana polen woto wafiwa
@prettymasha2430 Жыл бұрын
Jaman mkisikia kelele mtokee nje sio wapiga kelele wote ni walevi 😢😢😢😢
@jkomedikaduli2 ай бұрын
Mwenyezi mungu tusamehe pale tulipokosa maana matukio yamezidi tanzania yetu
@mosesmzakwe77742 жыл бұрын
Apumzike kwa Amani mjomba wangu. Ila wagogo tuelimike,pombe imekatiza uhai wa mtu. Wagogo Tunajirudisha sana, kiukweli nimeumia sana. Pombe pombe ndiyo chanzo. Mtoto alikuwa anafanya vizuri sana huenda ngiyoo Tatizo
@elishaworkout61162 жыл бұрын
Apa ni wap
@mosesmzakwe77742 жыл бұрын
@@elishaworkout6116 Kijiji cha MTUMBA Ulipo Mji wa Kiserikali
@christaoman88902 жыл бұрын
Mungu ampe pimziko la milele amina
@expert58982 жыл бұрын
Dunia inaumiza sana. Daaaa! Sasa mtoto kama huyo anauwawa jamani! Imeniuma sana.
@Cj29_himselfАй бұрын
Na tujifuze kina mama ote kuacha watoto peke yao usiku kucha wenyewe tunaenda kufurahisha wanaume uko majumbani m/mungu amuweke pema peponi 🙏
@nestorymathias31512 жыл бұрын
Mungu akuangazie mwanga wa milele
@hamickelemojimoxxo49552 жыл бұрын
Mungu akulinde mdogo wangu pumuzika kwa amani
@husnamahadhi74372 жыл бұрын
Me nashindwa hata niseme nini najikuta nmejshiwa nguvu tu!Mungu amrehemu,polen wafiwa
@sabinashabani1165 Жыл бұрын
Poleni sana na mungu amulaze pema peponi😢
@shukranjazzakhaallahukheir18972 жыл бұрын
innalillahi wainnaillahi rajiuni.pole Sana wafia.bilashaka nihao wenzake huko kilabuni Allah-aalam
@ElizabethKitundu-n5fАй бұрын
😭😭mungu mpumguzie adhab ya kabur mtot wako huyu🙏
@j.bjacobbasubi21872 жыл бұрын
Jamani alafu mupo nasema eti Congo 🇨🇩 tu ndo hakuna usalama 😢😢😥😢😥😥😥😥😥😥😢😢😥😥😥😢😢😥😥😥😥😥😢😥😥😥😢😥😥😥😢😥😥😥😥😥😥😥😥😥😥😢😢😥😥😥😥😥😢😥😢😥😢
@moviekaa2 жыл бұрын
Acheni ulevi mbwa nyie 😭😭.Munashindwa kulinda familia sababu ya pombe.😭
@mourine9262 жыл бұрын
Dah ina huma sana 😭 mungu ampumzishe mahali pema peponi….. dah dunia inaenda wapi
@neemamzande85472 жыл бұрын
Inalilah wainailah rajuun aki uyo mtoto mm naisi amefanyiwa unyama mkubwa xna mm nais ata walim,baka kwanza ndo wakamuuwa Allha afanye wepesi watumiwa wakamatwe inshallah 🙏🙏🙏😭😭😭😭😭😭
@ireneamosi2037 Жыл бұрын
Poleni jamanii pumzikaa kwa amanii 🙏
@zaitunomar542 жыл бұрын
Jamani polen sana 😭😭😭dainanium mungu amlaaghan apate hat mikosi huyo aliyefanya jivi
@ResparGirbertАй бұрын
Pole sana Kwa familia hakika inauma sana
@mkwajumfupidalo65122 жыл бұрын
Hapa wakosa ni wazazi. Hasa huyo mama tabia ya kulewa na kuja usiku mkuu nyumbani hilo tyri ndilo chanzo kufikia mpka kumruhusu mtoto kulala mlango wazi ili uje time utakayo. Lala salama mama Allah atakulipia ila malezi mengine sio mema huyu mama ndicho chanzo
@asiyajuma31352 жыл бұрын
Subuhana Allah watu wanaroho mbaya jamani mtoto wawenyewe amewakosa nn nao hao watu wasiwe na amani maisha yao yote😭😭😭
@IrineAwoya-q9wАй бұрын
Daaaaa: poleni sana jaman
@annastevensteven95152 жыл бұрын
Hif mbon mauwaji yamezidi mungu tunaomb utup ulinzi jama maan binadamu wamekuw wanyam uwo mtot.amewakosey nini jamani
@evelyn52602 жыл бұрын
May the gal not rest in peace until wenye walfanya kitendo wajitokeze...na roho ya mtoto ikaweze kuwasumbuà
@kakuutoenterprises16722 жыл бұрын
Mungu atawalaani.wangejua machungu na struggles za kulea mtoto mpaka kumfikisha hapo ,unyama kama huu ungekoma kabisa
@sophiamasali-sl4sp Жыл бұрын
Jaman polen Sana 😭😭😭 unauma Sana 😭😭
@Glorytv51112 жыл бұрын
Baba wa mbinguni anatazama na atawahukumu maana kama wanadamu hawakuwaona lkn hamwezi kamwe kujificha mbele za YEHOVAH😢😢😢😢
@fransiskammassy61732 жыл бұрын
R. I. P ,uwiii sasa kwann wamemuua kwel bila sababu MUNGU atatenda haki ....inauma pumzka kwa aman bint mdogo
@sadockchengula55422 жыл бұрын
Intelijensia ya Polisi itimize majukumu yake jibu litapatikana tu. Aliye ua afe naye kwa Mateso yaliyo juu sana. Ateseke maisha yake yote mateso ya juu. Wazazi tuache ulevi kama kulea hatuwezi basi tusizae. Mungu muumbaji tenda muujiza juu ya kifo cha mtoto huyu. Dah! Ipokee roho yake na uipumzishe mahali salama
@janeongala66842 жыл бұрын
Duu inauma sana yani poleni wafiwa uyo mtu alie muuwa atoishi salama maisha yake yote