Bomoabomoa kwa waliovamia maeneo Toangoma, NSSF yatoa msimamo

  Рет қаралды 1,700

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Ikiwa saa chache zimebakia kabla ya kuanza operesheni ya bomoabomoa, taharuki imetanda kwa baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Malela Kata ya Toangoma Wilaya ya Temeke, wanaodaiwa kuvamia na kujenga makazi katika eneo la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF)
Tukio hilo, litakaloacha simanzi kwa takribani kaya 600 zliizongia ndani ya eneo hilo, linatarajia kuanza kesho asubuhi baada ya kuahirishwa leo kutokana na maandalizi hafifu.
Hata hivyo,wavamizi hao licha ya kukiri kosa hilo, lawama zao wameelekeza kwa madalali wanaodai waliwalaghai kwa kuwauzia viwanja hivyo kwa gharama kubwa huku wakijua wazi ni mali ya NSSF.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na Mwananchi baada ya kutembelea eneo hilo, wameiomba Serikali kuingilia kati sakata hilo, huku wakieleza viwanja hivyo waliuziwa kuanzia Sh 10 milioni na kuendelea na madalali hao wakiwa pamoja na viongozi wa mtaa huo.
Akizungumza na Mwananchi akiwa eneo hilo,Meneja Miliki wa (Nssf),Geofrey Timoth amesema maeneo hayo ni mali yao na wamekuwa wakilipia kodi kila mwaka na wavamizi hao wanajua.
(Imeandaliwa na mwandishi wetu)
#samiasuluhuhassan #simbasc #yangasc #mashabiki #nbcpremeireleague #cafchampionsleague #cafconfiderationcup #ikulumawasiliano #entertainment #music #news #yangasc #simbasc #cafchampionsleague #mayele #highlights #cafconfiderationcup #riversunited #mashabiki #yangaleo #yanga #timuyawananchi #daimambelenyumamwiko #entertainment #music #news #magoliyasimba #magoliyayanga #magoliyote #magoliyamayele #mayele #aziziki #manara #manaraleo #ikulumawasiliano #magufuli #kikwete #mayele #singidabigstars #magoliyamayele #magoliyasimba #magoliyayanga #highlights #azamsportsfederationcup #chama #Shot #mamelodisundowns #alahlytv #alahlysc #miraj

Пікірлер: 4
@Hamy1109
@Hamy1109 3 ай бұрын
Wakati mnavamia mama Samia alikuwepo? Wajinga ndio waliwao. Tangu lini ardhi kwenye maeneo yaliyopimwa yakauzwa kwa mtendaji wa mtaa?
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 2 ай бұрын
Hivi kwa nini serikali za mitaa wanatoaga hati?
@nourannouuran3514
@nourannouuran3514 2 ай бұрын
ALLAH TÙONDOLEE HAYA MAJANGA,
@trendings1293
@trendings1293 3 ай бұрын
Hizo pesa za watu wamekatwa kwenye mishahara yao,so kama mmepigwa za uso hapo hakuna wa kumlaumu,lazima watu mjenge tabia ya kufanya uchunguzi before ununue
Mkali wa Danadana anavyoteseka Dar, amtaja Donald Trump, Jakaya Kikwete ...
25:54
SHERIA YA NSSF NA MICHANGO
15:56
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 2,4 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
Шок. Никокадо Авокадо похудел на 110 кг
00:44
Ozoda - Lada (Official Music Video)
06:07
Ozoda
Рет қаралды 12 МЛН
KWA UCHUNGU MAMA, MUME WA ALIYECHOMWA MOTO AKISIMULIA KILICHOTOKEA
3:16
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,9 М.
FAHAMU MAFAO YA KUPOTEZA AJIRA KWA UNDANI NA VIGEZO VYA KUWA MNUFAIKA
13:48
MIRADI YA NYUMBA ZA NSSF
15:06
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 15 М.
NSSF TAARIFA SEHEMU YA PILI
15:45
NSSF TANZANIA
Рет қаралды 3,8 М.
UTASHANGAA MISUKULE 100 YAFUNGULIWA NA MGANGA INATISHA
11:49
SUNSET TZ
Рет қаралды 216 М.
Win This Dodgeball Game or DIE…
00:36
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН