Рет қаралды 24,214
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir amewasili kwenye viwanja vya Soko la Mkata Mashariki kwa ajili ya kushiriki ibada ya mazishi ya Sheikh Mohamed Idd, aliyefariki dunia jana Januari 30, 2025.
Masheikh wa mikoa mbalimbali ya Tanzania wamewasili kwenye eneo hilo kwa ajili ya mazishi hayo yatakayofanyika leo Januari 31, 2025 kwenye Makaburi ya Negero, katika Kijiji cha Mkata Mashariki.