MDAHALO VITA YA UENYEKITI MBOWE VS LISSU; WAKILI PETER MADELEKA ACHUANA VIKALI NA DANIEL NAFTAL

  Рет қаралды 36,430

DAY 2 NEWS

DAY 2 NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 294
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 2 күн бұрын
Wanao mwomba MUNGU Lissu awe mwenyekiti like hapa🙏🏾
@giztony2009
@giztony2009 Күн бұрын
Huna akiliii
@rashidmwakamela7766
@rashidmwakamela7766 Күн бұрын
Lisu
@yusuphrashidi-dr1kb
@yusuphrashidi-dr1kb Күн бұрын
Lissu c mchaga apewi usipoteze time
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 Күн бұрын
@ kura itasema baba
@DavidDanken-uf7kp
@DavidDanken-uf7kp Күн бұрын
ACHA hasira😅😅​@@giztony2009
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
Asante mh . PK kutukumbusha wa-tz USHUJAA wa Mh. Tundu A LISSU ktk kipindi kigumu Cha JPM.... People's POWER only TAL deserves to be a leader of CHADEMA
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
Mh. Peter Madeleka wewe ni akili kubwa sn. People's POWER. Uchambuzi wako ni makini na ipo busara kubwa kubwa ndani yake. Asante kamanda PK
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Күн бұрын
Safi sana Adv. Peter Madeleka, umefanya mjadala kwahoja nzito na za mantic kabisa. Stay blessed.
@PembaOnline
@PembaOnline 2 күн бұрын
Asante sana wakili Peter M
@theonassichula5544
@theonassichula5544 2 күн бұрын
Lisu kwanza
@JoelKilemile
@JoelKilemile 2 күн бұрын
Madeleka is a Genius leadership.
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
People's POWER... Wkt wa sasa ni wkt wa Mh. Tundu A LISSU kuwa M/kiti wa CHADEMA - TAIFA.
@FranceKomba-sn3ui
@FranceKomba-sn3ui Күн бұрын
kaka peter Mungu akutunze sana 🤲🤲
@bensonjoseph8845
@bensonjoseph8845 3 сағат бұрын
Wakili Peter Madeleka wewe ni tunu ya Taifa hili👏👏👏
@jesaminzo
@jesaminzo Күн бұрын
Jamani Madeleka❤❤❤❤❤❤❤
@youngprofessorjuly5154
@youngprofessorjuly5154 Күн бұрын
Mboye nakupenda sana lakn pumzika tubadili mawazo, lisu anafaa kukiongoza chama kulingana na wakati tulioko
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 күн бұрын
Twende na lissu
@ChristopherVegula
@ChristopherVegula Күн бұрын
Twende na lissu wote
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 2 күн бұрын
Tunaokwenda na Lissu pamoja na wajumbe watakaompigia kura za kutosha tujuane hapa
@BoBo-kg1me
@BoBo-kg1me Күн бұрын
Wote wawili wako vizuri. Wote wamewanadi wagombea wao vizuri
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z Күн бұрын
Wajumbe kama mnaipenda chadema kura zone kwa lisu vinginevyo hikichama kitabaki kwenye makalatasi
@solomtz7049
@solomtz7049 Күн бұрын
Pepo haliwezi kutoka kwa kubembelezwa😅😅😅😅😅🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@nelsonpaul4618
@nelsonpaul4618 Күн бұрын
P.Madeleka uko vizuri sana.
@khalidmamdadi1072
@khalidmamdadi1072 Күн бұрын
Lisuuu🎉🎉🎉🎉
@BonaventureJohn-mk6xh
@BonaventureJohn-mk6xh Күн бұрын
Hongereni wote, Madeleka na Naftali mko vizuri. Nyinyi ni hazina ktk nchi.
@korosomatiko3360
@korosomatiko3360 Күн бұрын
Nakubali kuwa tanzania tumekua kisiasa
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Күн бұрын
Wanavhadema tumpe tundu lisu
@joshuaelihuruma2632
@joshuaelihuruma2632 Күн бұрын
Daniel Naftali amefanya presentation nzuri sana lkn ameshindwa kuelewa Lissu ni bora kwa sasa.
@adammseven7085
@adammseven7085 Күн бұрын
Kaka Mimi naamini lisu anaweza Kuna vitu vingi alikemea
@mickdaduhuru9191
@mickdaduhuru9191 2 күн бұрын
Nafurahia kuona wanakubali kutokubaliana kwa staha zaidi kila mmoja akijielekeza zaidi kwenye hoja. Darasa zuri kabisa
@patrickmbeya6696
@patrickmbeya6696 Күн бұрын
yaaani huyu Madeleka nina muelewa sana cjui na wengine kama wanaelewa mambo haya.
@PaulsadickYosia
@PaulsadickYosia Күн бұрын
Nimependa iyooo struggle haina ukomo, Tanzania kuna magenius wengii Sanaa. MUNGU IBARIKI TANZANIA
@DanielMgeni-x1z
@DanielMgeni-x1z Күн бұрын
Twende Na lisu
@HerielMushi-q1j
@HerielMushi-q1j 2 күн бұрын
Kaka yangu mbowe pumzika kwazaza
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
Wajumbe Wana wajibu wa kutupa Mh. Tundu A LISSU km M/kiti wa CHADEMA - TAIFA . Msipowapa wa-tz na wanachadema makini mgombea wamtakae mtaendelea kua km wale wengine km wasindikizaji ktk chaguzi zote zijazo. Wajumbe watu mh. Lissu km M/kiti
@laupetpet7779
@laupetpet7779 2 күн бұрын
Nawashauri wajumbe mtakaoingia kwenye uchaguzi mchagueni mheshimiwa lisu sio mboe
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 Күн бұрын
Tanzania itapona pale Lisu akiwa.mwenyekiti wa cdm ndiyo maana tunamtaka Lisu siyo Mbowe Mbowe apumzike kwa heshima tunajua kafanya mengi kwa wakati wake lakini sasa ni wakati wa Lisu akili kubwa wajumbe tuleteeni Lisu
@BozaNassoro
@BozaNassoro 2 күн бұрын
Bro Usitusababisha Tukakutukana Bwana Mbowe Amepitwa na Wwkati Kwa saasa Lissu Ndio The Best
@Peterchipemba
@Peterchipemba 2 күн бұрын
Kwa mnyukano huu mwenye chama anaweza kuachia kiti kwer,, ila lissu zaidi
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 Күн бұрын
Madeleka uko vizuri ufafanuzi wako tumeuelewa vizuri mno tofauti na huyo chawa wa Mbowe
@DrkenethMuta
@DrkenethMuta Күн бұрын
Kiatu cha uwenyekiti kinamtosha lisu kwasasa
@abelmghana2843
@abelmghana2843 22 минут бұрын
mungu awape maono wajumbe ili tupate mwenyekiti mwenye maamuzi mangumu kama lisu Amina
@AyubuRamadhani-o5g
@AyubuRamadhani-o5g Күн бұрын
Hawa Jamaaa wamekutana vichwa vizuri na vichwa makini japo wakili amemzidi mwenzake ila wote wanajitambua, mungu awajalie zaidi,,lissu atuvushe hapa hakuna namna, na wakizingua kumpiga chini lisu wajue chadema itabaki na wake zao tu. Hata watoto wao watawakimbia
@pumarice2710
@pumarice2710 Күн бұрын
Lisu hoyeeere😂😂😂😂😂
@JumbeMuhaji
@JumbeMuhaji Күн бұрын
Huyo msemaje wa mboe hanahoja ya mashiko anongea ili aonekane ansema lakini hana hoja
@anosiata8242
@anosiata8242 2 күн бұрын
Hata kama nyie mnataka mbowe , huku chini ya grad tunamutaka lissu nyie jichanganyeni tunawasubili huku chini mnajuwa sisi ndio wapinga kula tutawanyosha.
@sautikuu212
@sautikuu212 Күн бұрын
Tutamsimamisha Lissu kwa urais ila tutamchagua Mbowe kama mwenyekiti sisi wapiga kura za mwenyekiti.
@maomacatta9770
@maomacatta9770 16 сағат бұрын
Mpiga kura hajitangazi😮
@NuruMwasabwite
@NuruMwasabwite Күн бұрын
Lissu tu jamani fungukeni muda wake huu
@mosesibrahimu-kg1ib
@mosesibrahimu-kg1ib 2 күн бұрын
Lisu oyeee
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 Күн бұрын
Mm ccm damu damu lakini namtaka lisu awe mwenyekiti chadema
@BarnabaKasigwa
@BarnabaKasigwa Күн бұрын
Lisu anafaa sana
@mosesibrahimu-kg1ib
@mosesibrahimu-kg1ib 2 күн бұрын
Petre madereka hakri kubwa.
@DanielMasubo-bv7zf
@DanielMasubo-bv7zf Күн бұрын
Hongera sana Daniel na Peter Kwa Uchambuzi wenu.
@saimonkalihamwe5358
@saimonkalihamwe5358 Күн бұрын
Safi sana wakili Madereka
@sheikharoub481
@sheikharoub481 Күн бұрын
Tundu anafaa kwa muda huu
@eligiusedmund3187
@eligiusedmund3187 2 күн бұрын
Peter huyo sio levo yako achana nae maana ata hana na hawezi kujibu hoja zako kama ww unavojibu hoja zake please mbowe apumzike
@fadhilindunguru7946
@fadhilindunguru7946 Күн бұрын
Hawa wote wako vizuri aisee...!! Wanao uwezo mkubwa wa kujenga hoja
@fedlob4
@fedlob4 Күн бұрын
Tundu Antipas Lisu 🎉🎉🎉🎉🎉 kura yangu ya urais ipo tayari juu yake mwaka wowote atakao gombea Sababu ya uenyekiti sina sifa
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 13 сағат бұрын
Asanteni sana . Mjadala huu ni wakupongezwa sana. Kila mmoja ameshiriki kwa ueledi au weledi mkubwa kisomi kabisa kwa kutoa hoja nzito ambazo sasa kwa kupima uelewa wa wajumbe watakaohusika katika kupiga kura itabidi waombe nguvu ya ziada ya utambuzi ambayo haitoki katika roho zao binafsi bali ni kwa uwezo wa Roho Mtakatifu tu. Maana yeye ndiye atutieye nguvu. Mungu awabariki sana wote wenye mapenzi mema. Diwani mstaafu wa Chadema enzi za Magufuli.
@LiberiusKajoki
@LiberiusKajoki 25 минут бұрын
Safi sana madeleka oja yako niya kisomi.
@rahmamikidadi2213
@rahmamikidadi2213 2 күн бұрын
Wakili mm niko upande wa lisu
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 2 күн бұрын
Mimi niko na Mh lissu
@YonaRajabu
@YonaRajabu Күн бұрын
Hao wanao mtaka mbowe ni wale tu wanao tarajia wapewe hela
@DavidPeterKaguluKagulu
@DavidPeterKaguluKagulu Күн бұрын
Mi namuunga mkono madeleka,dawa ni moja wakimpoteza mwenzetu nasi tupoteze WA kwao
@EmmanuelJeremiah-r2s
@EmmanuelJeremiah-r2s Күн бұрын
Huyo jamaa akili ndogo hawez shndana na Piter
@FahmiNassor
@FahmiNassor Күн бұрын
Lissu mpango mzima kwa mustakabali wa taifa na chadema
@SaraSara-i1l
@SaraSara-i1l Күн бұрын
Lisu we move
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji Күн бұрын
WAPOTOSHAJI SASA WANAGEUKIANA TUNASUBIRI WACHUNGAJI NA MAASKOFU WAFANYE MIUJIZA 😢😢😢😢😢
@rahmamikidadi2213
@rahmamikidadi2213 2 күн бұрын
Wisdom ni kitu gani bwana,tunamtaka lisu
@lucasturuka8385
@lucasturuka8385 Күн бұрын
Haya ndo mahojiano wa watu wenye akili kubwa unasikia hata hoja zao zimeshiba, Odemba jifunze kitu hapa
@felixringo9569
@felixringo9569 Күн бұрын
Njongeza sasa wakati umefika kwa watanzania kupata ukomavu wa kutumia tofauti zetu kwa kujengana na sio kubomoana. Matumizi bora ya tofauti zetu ndio chachu kubwa ya maendeleo duniani kote, hata uumbaji unatuonyesha hivyo. Umoja ktk utofauti na utofauti ktk umoja.
@SophiaSalimu-z1u
@SophiaSalimu-z1u Күн бұрын
Lisu🎉
@mpewashiyawi4628
@mpewashiyawi4628 21 сағат бұрын
Wanaomuunga mkono Lissu hawatumie akili ktk kujenga hoja zao
@sulaimanmallecha6134
@sulaimanmallecha6134 Күн бұрын
Madeleka hoja zako naziunga mkono ivi mnataka mbowe awe kiongozi milele,,,mbwa nyie😢😢😢
@zakariakanyeka8024
@zakariakanyeka8024 Күн бұрын
Uchawa ni shida sana.. Jadili na mifano hai kama anavyofanya wakili Msomi Madeleka kubwabwaja tu mradii imesikilizwa.🎉
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
👏👏👏👏💪🏾🤸🏾🤸🏾🫣 PEPO LAZIMA LIKEMEWE WKT WA KUTOLEWA Nimeipenda sn iyo Mh. PK
@KenedySeraphine
@KenedySeraphine 2 күн бұрын
Mbowe atuambie kwanini tumwamini tena na sio kumlaumu lisu kuutaka uenyekiti au katiba haimruhusu?
@KenedySeraphine
@KenedySeraphine 2 күн бұрын
Nasema ulioweka jiwe na Mbowe jiwe litashinda
@rahmamikidadi2213
@rahmamikidadi2213 2 күн бұрын
Kama si lisu hakuna chadema this year
@gidongailo7174
@gidongailo7174 2 күн бұрын
Jichanganyeni mchague Mbowe, mtashangaa mnaachwa na chama chenu kitakuwa TLP😂
@michaelsaid1290
@michaelsaid1290 Күн бұрын
Hoja za maaana sana
@babuafya3446
@babuafya3446 9 сағат бұрын
Pepo halitosis kwa kubebelezwa lazima tulikemee
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Күн бұрын
2025 ni mwaka wa mageuzi
@ChrisUromi
@ChrisUromi 13 сағат бұрын
Safari hi Mmbowe utoboi ata huonge unapigwa chini 2
@zawadiedward2185
@zawadiedward2185 Күн бұрын
Wagombane tu sawa Ila wasije hama chama kisa mmoja kukosa madaraka
@DavidPeterKaguluKagulu
@DavidPeterKaguluKagulu Күн бұрын
Mbowe amwachie lissu kwa kipindi hiki,ila jamani mbowe anaipenda Sana chadema kuliko hata familia yake
@mostshareking3051
@mostshareking3051 14 сағат бұрын
Nimefuatilia huu mjadala naku soma coment za wadau wengi nikagundua kua watuwengi ni bendera fata upepo maana madeleka hakuweza kufua dafu kwa naftali yani huyo jamaa hojazake nondo na zinaeleweka vibaya mno
@stanymidea5305
@stanymidea5305 11 сағат бұрын
Uyo jamaa naftal ni kichwa, madeleka hajaweza kufua Dafu hata kidogo, jamaa anaongea kisomi na kwa fact madeleka anakomaa kuleta hoja za mitandaoni na tetesi lakini hata hizo Naftal kapangua zote, He is smart, asset nzuri kwa Chama na nchi
@DavidPeterKaguluKagulu
@DavidPeterKaguluKagulu Күн бұрын
Mbowe anawalea Sana fisi CCM,twendeni na lissu
@annakapolondo7771
@annakapolondo7771 2 күн бұрын
Mbowe, utaaibiika kwa ushamba wako wa kutaka kuwa madarakani milele! Sjui unashida gan! Yan mtu kumpisha mwingine na unajua huna maslahi binafsi unashindwaje? Tena ni mtu uliyomtengeneza wewe mwenyewe ukampa dhamana ya kugombea uraisi leo unamnyima uwenyekiti kisaa tamaa zako binafsi? AIBU SANA KWAKO NA UTAANGUKA KWA AIBU MH
@JoelKilemile
@JoelKilemile 2 күн бұрын
Kweli kabisa umeongea fact.
@saidmtetwa4363
@saidmtetwa4363 2 күн бұрын
Exactly 💯
@Henricovicent
@Henricovicent Күн бұрын
Na kwenda kwenye ATM 🏧 kutoa Hela, Kisha niishukuru ATM 😂😂😂😂
@Matter_music_Tz
@Matter_music_Tz Күн бұрын
Madeleka bhanaaaaa noma san
@GEOFREYRALIKAinaumizasana
@GEOFREYRALIKAinaumizasana 23 сағат бұрын
Lisu huyooooooooooooooooooooo nguvu moja
@maryfranknamkumba9182
@maryfranknamkumba9182 Күн бұрын
Nyinyi watu hamjielewi. Mtu yuko hapo ten years. Hatari moja kubwa ni mtu huyo kujiaminisha kuwa chadema ni chama chake. Muachie hicho kiti Lisu. Lissu ni sawa na Trump. Either you love him or you hate him full stop. CCM. Hawamtaki Lissu kwa vile wanaujua moto wake. The guy is fire❤🔥🔥🔥❤️🙏🏾
@onesmoherman6832
@onesmoherman6832 Күн бұрын
Huu ni Muda wa Lisu kuongoza chadema, Naftali ana hoja za kistaarabu.
@George-jz3jg
@George-jz3jg Күн бұрын
Madereka umempiga kisawa sawa huyo mbweha wa Mbowe
@PinelMlay
@PinelMlay 21 сағат бұрын
Msema kweli Uchaguzi
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 Күн бұрын
Hapana tunataka lisu
@ambrosemallya3637
@ambrosemallya3637 Күн бұрын
Hili kampeni meneja la DJ makengeza kichwani halina akili kabisa. Limepewa vibahasha na konyagi za DJ nkuruzinza
@MosesCheketela
@MosesCheketela 2 күн бұрын
Mimi ni mwanachadema nitaenda na kiongozi atakaechaguliwa na wanachadema, No liform no election.
@stevenkyando9295
@stevenkyando9295 2 күн бұрын
Harvard university type student ............... " A " type student mr madeleka '' my learned brother ''
@herrykyomo4885
@herrykyomo4885 Күн бұрын
Madereka ana hoja za msingi naenda na Lisu
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 Күн бұрын
Yaan uraisi mliona anafaa kwenye chama hafai😂😂
@ivanrobert3071
@ivanrobert3071 Күн бұрын
Peter Madeleka always anatema madini kwakweli sisi wananchi tupo na lissu popote palee
@MariamDilla
@MariamDilla 2 күн бұрын
Hakika AGENDA zinabadilika ....agenda haziwezi kubaki zilezile
@ChundwaTobias
@ChundwaTobias Күн бұрын
Lissu ndiye anayefaa sana kwa wakati tulionao
@bonifasimichael1320
@bonifasimichael1320 Күн бұрын
Lisu ndio mwenyekiti.mboe pumzika kwa Amani matanga yako tunavunja siku ya uchaguzi
@elishalomay4895
@elishalomay4895 Күн бұрын
Sasa kama Tundulisu hawezi au hafai Chadema kuongoza nchi ila anafaa kuongoza nchi??? Good question
@makelelebahati5236
@makelelebahati5236 Күн бұрын
Madeleka Yuko vizuri Kwa ufafanuzi WA kufafanua,uongozi ni kubs
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
🔴LIVE | MORNING CAFE | SNAIL FARMING
53:16
TV47 Kenya
Рет қаралды 670
#MEDANIKUU: KUELEKEA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA -  04/01/2025
2:30:50
Star TV Habari
Рет қаралды 26 М.
JOHN HECHE AGEUKA MBOGO AKIJIBU MASWALI YA WAANDISHI
38:53
JAMBO TV
Рет қаралды 26 М.
LISSU AMLIPUA VIBAYA MBOWE "NI MUONGO"
14:56
JAMBO TV
Рет қаралды 71 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН