Рет қаралды 305
Shetani alipotaka kujitawala aliondolewa kwenye ufalme wa Mungu Mbinguni. Shetani alipofika Duniani akamkuta Mwanadamu kama mtawala wa viumbe vyote akiwemo na yeye alipaswa kuwa chini ya utawala wa Mwanadamu. Shetani akatafuta namna ya kumfarakanisha mwanadamu na Mungu kwa kupanda dhambi kwa Mwanadamu kisha Nguvu ya umungu ilipotoweshwa kwa mwanadamu Shetani akapata nafasi ya kumpelekesha Mwanadamu. Ashukuriwe Mungu wa Mbinguni kwa huruma na fadhili zake akarejesha mamlaka ya Mwanadamu kwa mateso ya Yesu mslabani kama ondoleo la dhambi lililoleta upatanisho wa Mwanadamu na Mungu. Mtu wa Mungu hupaswi kutetemeka mbele ya shetani na mawakala wake wote maana umepewa mamlaka ya kutawala vyote Ulimwenguni.
Mwanzo 1:26 na 3:24
Ufunuo 13:1 na 2:13
Zaburi 74:1 na 100
Isaya 51:9 na 27:1
Waefeso 6:17
Ayubu 3:8
Waebrania 6
Torati 16.
E.A.G.T Mji wa makimbilio Ruaha Kilombero.
Follow Bishop Anthony Assenga on;
Instagram: / bishopantho. .
Facebook: / bishopanthon. .
Whatsapp & Telegram; +255 784 407 362
Offerings (sadaka); +255 784 407 362
NMB Account No; 21702502411
Imani chanzo chake ni kusikia Neno la Mungu.