MDOGO MDOGO-Deo Nkoko | John Paul II Mbeya Choir (JMC) |

  Рет қаралды 84,203

John Paul II Mbeya choir

7 ай бұрын

Kwaya ya Mt John Paul II Mbeya inawaalika wote Kusherehekea sikukuu ya christmass kwa kusikiliza wimbo huu "MDOGO MDOGO" ambao ni wimbo mmojawapo uliomo kwenye albam yetu ya "KITOTO CHA MBINGU"
Wimbo: Mdogo mdogo
Mtunzi: Deo Nkoko
Waimbaji: John Paul II Mbeya Choir (JMC)
#rajoproduction #johnpaulmbeyachoir #nigusebwana #kitotochambingu
📌📌NYIMBO ZINGINE ZA NOELI KUTOKA St John Paul II Mbeya Choir (zinapatikana katika Channel hii)
👇👇👇👇👇
Tunakuomba usisahau, Ku-
📌Share
📌Comment
📌Like
📌Subscribe
1. TUMSHANGILIE- Na M.C Mabogo
kzbin.info/www/bejne/bITReoeqbdihhacsi=1HMsP1-mpTcvB7v-
2. SHANGWE KUBWA- Na J Swai
kzbin.info/www/bejne/n6jOaJKbmt-WgpIsi=69Ky_s2zfmpsvk0c
3. TUMPOKEE - Na M.C Mabogo
kzbin.info/www/bejne/iWSvaINqltNnrZosi=mJ-FG0FbE8U2LZ3b
4. MDOGO MDOGO -Na Deo Nkoko
kzbin.info/www/bejne/q4TCeWyFfNpjnbssi=U5AAHnIEgB2CIEgn
5. GLORIA - Na Vincent Mtavangu
kzbin.info/www/bejne/p5eviYqiga12b5Ysi=VzygJZvhAc5ZgL34
6. ALELUYA MTUKUFU-Na P.T.K Sindani
kzbin.info/www/bejne/nGG9lISIZb6Vfs0si=JIkbXNcfhBRaHuAD
7. ANAITWA YESU - Na M.C Mabogo
kzbin.info/www/bejne/mHfCp5aFgpeDoKMsi=S7FHsGBfgbTuu4Xt
8. HUU NI USIKU - Na Dr. C Magonya
kzbin.info/www/bejne/l4jUhaGaeZhkhpYsi=YK_PPmL9QYStWGUr
9. PANGONI BETHLEHEM - Na Mtegeta
kzbin.info/www/bejne/oKS3iqCsjtiZe6Msi=cPtIt1McumxReZih
10. KITOTO CHA MBINGU - Na C. Mbogoye
kzbin.info/www/bejne/aoOqnaqahsaBiJosi=ZMOxQCrzEdXQkneD
11. AFRICAN GLORY- Na Dr Kelvin Bongole
kzbin.info/www/bejne/e5CrqI1uitahh7Msi=9Lu5xADSl_zAQgNu
ASANTE SANA
*St John Paul II Mbeya Choir inakutakia Heri ya Sikukuu ya. Christmas na Mwaka Mpya*
youtube.com/@JohnPaulIIMbeyachoir?si=ruBkk40O0wsBAUUt
🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄🎄

Пікірлер: 73
@ElizabethKweka
@ElizabethKweka 3 ай бұрын
🎉I like so much this song❤ God bless them
@erastoandrew4582
@erastoandrew4582 6 ай бұрын
Kama ni kuhifazi aisee mmetisha Toka 2017 leo Ndio albam inatimia?? 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🌷🌷🌷🌷🌷🌷🌷
@acleuseustace6215
@acleuseustace6215 6 ай бұрын
Niliusuburi sana huu
@johnnima1946
@johnnima1946 5 ай бұрын
🎉🎉
@paulinaqelesh3402
@paulinaqelesh3402 6 ай бұрын
Niliutafuta huu wimbo muda ❤❤❤❤ Mungu awabariki sana 🎤🎤🎤
@ThewondersofTanzania
@ThewondersofTanzania 6 ай бұрын
Best song from Best choir in Tanzania Be Blessed 🙏
@emmanueldkulwa1824
@emmanueldkulwa1824 6 ай бұрын
Hiki kigongo no hatariiiii❤❤ Kila Christmas twakiimba yaani ni kama kipya kila mwakaaaa😂❤❤🎉🎉 Hongereni sana wapendwa ❤
@user-ib9fu2dr9l
@user-ib9fu2dr9l 7 ай бұрын
Asante kwa kuuweka huu wimbo watu wameuulizia sana tafadhali kama mnaweza weka na Gloria pls 🙏🙏🙏
@user-rf3em4ih6j
@user-rf3em4ih6j 6 ай бұрын
Nyimbo yangu boraa🎉
@BoniphaceManyama
@BoniphaceManyama 5 ай бұрын
Jamani mmejua kunifurahisha maana huu mzigo nimeutafuta sana
@robertbonifacekagali3542
@robertbonifacekagali3542 7 ай бұрын
Deoooo....Sawa tuuuu...💪💪👏👏👏👏
@user-kf7ci1ct2i
@user-kf7ci1ct2i 6 ай бұрын
Hongeren kwa uwinjirishaji
@januarius-js2xl
@januarius-js2xl 6 ай бұрын
Hongereni sana kwa utume mwema nawapenda sana Watanzania 🔥🔥🔥 kelvin Bongole hoyeeee
@ediminabalongo2656
@ediminabalongo2656 6 ай бұрын
Hongera sana kazi mzuri mbarikiwe sana
@jamesnyamwaya1841
@jamesnyamwaya1841 7 ай бұрын
Karibu sana watu wangu kazi nzuri hii
@ambrosemuhia3366
@ambrosemuhia3366 7 ай бұрын
Kazi nzuri sana... 👏 👏 👏 Heko
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 6 ай бұрын
Tuache uongo hii album ilikuwa nzuri sana, na ile ya kufufuka, angalieni vizuri yawezekana mwaka huo mliimba na malaika, Egla, Magonya, nkoko, Perfecto, mabogo, nzwili, siwezi kuwataja wote.
@theopistasadock1363
@theopistasadock1363 6 ай бұрын
Niliwamic sana mbarikiwe wapenzi ktk bwana
@muzikimtamumtakatifu897
@muzikimtamumtakatifu897 7 ай бұрын
Hapo sawa kabisa❤❤❤
@kizzykaka1792
@kizzykaka1792 6 ай бұрын
Kazi kuntu aisee🎉🥰
@JuliousJulie
@JuliousJulie 24 күн бұрын
Mm nasemaga hii kwaya lazima ipo siku moja nitahiimba labd nife
@gideon...9516
@gideon...9516 7 ай бұрын
Deo anaijua sana Biblia
@fidelamatindiko2431
@fidelamatindiko2431 6 ай бұрын
Brother Deo kama kawaida yako tangu enzi na enzi ,barikiwa mno
@franciskironjo9369
@franciskironjo9369 7 ай бұрын
Congratulations....mshafika marafiki wangu wa karibu...heko
@octavinaalphonce6898
@octavinaalphonce6898 6 ай бұрын
Deo Deo Deo❤❤❤
@user-yk7fb4iv4h
@user-yk7fb4iv4h 7 ай бұрын
Daaaah moyo wangu unabarikiwa mno na wimbo huuu
@jumanneenos2481
@jumanneenos2481 7 ай бұрын
Deo Nkoko ni hatari sana
@mkapakalikene9042
@mkapakalikene9042 7 ай бұрын
JMC 🔥❤️ 😊
@zaujatmkwaya370
@zaujatmkwaya370 7 ай бұрын
Amina
@kelvinnyawili7971
@kelvinnyawili7971 7 ай бұрын
🔥🔥🔥
@aloysiusrugejuna2804
@aloysiusrugejuna2804 6 ай бұрын
You always make it great dear JMCs ❤
@gladnessmtandi9053
@gladnessmtandi9053 7 ай бұрын
Aseee nliutafuta sana huu wimbo hatimaee❤❤❤❤ mbarikiwee JMC
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
Asante Ubarikiwe pia👏👏
@philemongibitere8345
@philemongibitere8345 7 ай бұрын
❤❤💥wimbo mzuri sana
@Fcharloh_official
@Fcharloh_official 7 ай бұрын
the uniformity is on another level👏...hongera kwenu!
@kwayayamt.filomenamabiboho9753
@kwayayamt.filomenamabiboho9753 7 ай бұрын
You made it ❤❤❤❤ fantastic 🎉🎉
@stanslausfransis8845
@stanslausfransis8845 2 ай бұрын
Mikate 1:20
@user-yk7fb4iv4h
@user-yk7fb4iv4h 7 ай бұрын
Song tamu sana
@NestaTunky
@NestaTunky 7 ай бұрын
Nawapenda sana JMC❤🎉
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
Asante sana🙏🙏
@michaeljibalo8312
@michaeljibalo8312 7 ай бұрын
Heheheeee,,, Mbeya Jamani JMC 🔥
@user-sq9td7xm3j
@user-sq9td7xm3j 7 ай бұрын
Mbarikiwe sana,naona fahari kuwa mkatoliki
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
Amina, ubarikiwe pia🙏
@robertombogo8927
@robertombogo8927 7 ай бұрын
Hongera Kwa wimbo bora.
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
Asante sana Robert🙏
@robertombogo8927
@robertombogo8927 7 ай бұрын
@@JohnPaulIIMbeyachoir Naomba unipe subscription Moja. Asante
@eliezernzota9297
@eliezernzota9297 6 ай бұрын
🎉 . . .
@MagrethAlexanda-hw6vs
@MagrethAlexanda-hw6vs 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@petrochundu9702
@petrochundu9702 7 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉
@BONIFACEMPONZI-wu2du
@BONIFACEMPONZI-wu2du 7 ай бұрын
Proud of you 😊
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
🙏🙏🙏
@user-ct3gn4yt7f
@user-ct3gn4yt7f 7 ай бұрын
Hongereni kazi njema
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
Asante sana
@duncanbaimunya
@duncanbaimunya 6 ай бұрын
There is always sthing so exiting about your songs. lovely natural energy ....you have been one of my best choirs in tanzania
@theresialfredybugalama5850
@theresialfredybugalama5850 6 ай бұрын
I miss u catty
@benkapandila33
@benkapandila33 6 ай бұрын
Alishaenda uyo dada Cath nimeacha kumuona
@magdalenakulwa4802
@magdalenakulwa4802 6 ай бұрын
​@@benkapandila33tunam-miss wengi sana huyoo... inaonekana alikuwa kinara wao wa soprano.. alihamiaga BMM Yombo vituka, Dar kwa ajili ya kazi maalum ya kuwanoa sauti ya kwanza, nako akafanya vizuri sana na kuacha alama ya wazi, baadae nasikia aliolewa Kenya... Mungu ambariki sana...
@user-xn3jw6ex8k
@user-xn3jw6ex8k 7 ай бұрын
Huu mzigo mliufichia wapi jamani tangu 2017😂
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
Ulikuwa kabatini ndugu, sasa albam nzima ipo kwenye channel hii,
@user-xn3jw6ex8k
@user-xn3jw6ex8k 7 ай бұрын
@@JohnPaulIIMbeyachoir Together and seen
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 7 ай бұрын
Daaah we acha tu 😂
@augustinetumbu6756
@augustinetumbu6756 6 ай бұрын
Umeniwahi kuuliza 😂😅
@paulmukhwana5181
@paulmukhwana5181 7 ай бұрын
Wimbo mzuri ila maneno hayasikiki. Diction
@JohnPaulIIMbeyachoir
@JohnPaulIIMbeyachoir 7 ай бұрын
asante sana Mr Paul kwa Maoni 🙏🙏🙏
@michaeljibalo8312
@michaeljibalo8312 7 ай бұрын
Haaaa!! Mh. Maneno mbona yako wazi kabisaa..😂 Labda mpishano wa sauti kwamba kila sauti wanatembea kivyao.
@paulmukhwana5181
@paulmukhwana5181 7 ай бұрын
@@michaeljibalo8312 Hasa hapo kwenye mipishano. Halafu pia anayeshughulikia sauti amefinya sana kiasi kwa silabi zilizoundwa kwa konsonanti na irabu hasikiki. Zinazosikika ni irabu pekee.
@paulmukhwana5181
@paulmukhwana5181 7 ай бұрын
Nia Kuu ya nyimbo zetu katoliki ni jumbe tunazopeana katika tunzi zetu ila aghlabu tunatilia mkazo sana sauti zinazotoka kuliko maneno ambayo ndio ujumbe wenyewe.
@theresialfredybugalama5850
@theresialfredybugalama5850 6 ай бұрын
Utakuwa unamatatizo ya masikio kapime haraka sana
@user-ni3bv7ce7v
@user-ni3bv7ce7v 4 ай бұрын
Catholic hata mbinguni tutaimba
@ThewondersofTanzania
@ThewondersofTanzania 6 ай бұрын
Best song from Best choir in Tanzania Be Blessed 🙏
@user-nc5un8df6o
@user-nc5un8df6o 7 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Русалка
01:00
История одного вокалиста
Рет қаралды 6 МЛН
- А что в креме? - Это кАкАооо! #КондитерДети
00:24
Телеканал ПЯТНИЦА
Рет қаралды 7 МЛН
DEFINITELY NOT HAPPENING ON MY WATCH! 😒
00:12
Laro Benz
Рет қаралды 54 МЛН
BABYMONSTER - ‘FOREVER’ M/V
3:54
BABYMONSTER
Рет қаралды 80 МЛН
Erkesh Khasen -  Bir qyz bar M|V
2:43
Еркеш Хасен
Рет қаралды 565 М.
Әбдіжаппар Әлқожа - Ұмыт деме
3:58
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 540 М.
Sadraddin - Jauap bar ma? | Official Music Video
2:53
SADRADDIN
Рет қаралды 13 МЛН