Ahsante sana dr nimeelewa Sawa maana nilikua nasumbuliwa sana pia nilikua naogopa kumwambia mtuu kwa sababu nilikua najua ni ugonjwa mkubwa
@mzulamwadini2414 жыл бұрын
Ahsante Sanaa Dokta kwa Kutujuvya Juu Ya Haya Maradhi Ya Bawasili
@shanimkina44813 жыл бұрын
Asante sana
@nin63242 жыл бұрын
Asante sana Dr . Huu ugonjwa ni night mere umenisumbua sana, na imegundulika kuwa utumbo wangu ni mrefu kuliko kawaida ndio sababu napata choo kigumu. Ukipata nafasi address redundant colon and diverticulitis.
@mayally13842 жыл бұрын
Ulipt dawa
@sarangowi Жыл бұрын
Doctor shukrani sana..maana nina hii shida muda mrefu...hasa kukaa muda mrefu bila kupata na nikipata ni kwashida tumbo linakua na gesi
@clementmaseme5240Ай бұрын
Hellow
@nduwimanahafsa4611 Жыл бұрын
Niko mbali bawasili inanitesaaa😢😢😢😢 nishatumia dawa nacookaaa can
@lucrensiaplasdus73963 жыл бұрын
Duuh asante Sana kwakutuelewesh nikitaka kukupat nakupataje maan namatatzo
@suzyemil82753 жыл бұрын
Habari ntafute watsap ntakusaidia +255624474113
@nice_kitchenstore3 жыл бұрын
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@suzyemil82753 жыл бұрын
@@innocentkisamo6316 0624474113 ncheki kwa no hizo
@EzekiaMwandute4 ай бұрын
Asante sana doctor Mimi mwenyewe nimpatwa na Hemorrhoids lakini nashukuru sana mungu nimefanyiwa operation naendelea vizuri
@HerenRichard-cq7rc3 ай бұрын
Wapi apo na ni shingap mana Mimi natamani kufanyiwa operation mana nateseka mno 😢
@helenasangu36982 ай бұрын
unakutwa na dalili zipi maana na mimi nahis kama niko nayo@@HerenRichard-cq7rc
@AHOBOKILEMWASYIKA-rx6rl Жыл бұрын
Thank you very much GOD Bless you
@EsterOscar-w3d11 ай бұрын
Asante Sana doctor nikitaka dawa napataje😢😢
@zawadiselemani4923 Жыл бұрын
Nashukuru mungu akubariki kwa kazi yako
@valencevalerian30375 жыл бұрын
Chief somo limeeleweka sanaaa.hongeraaa.
@victoriagasper44784 жыл бұрын
Yani katika doctor kaongea wewe umeongea vizur
@muhammedwakif6216 Жыл бұрын
Napenda unavoelezea upo vzr Mashallah
@mawondomawondo94125 ай бұрын
Asante kwa mafunzo mazuri sana. Mimi tangu utotoni nilijua bawasili ni ugonjwa wa tumbo. Nilikua nikiskia wakisema ana tumbo la bawasili. Sikuelewa.
@akwilinastanley20142 жыл бұрын
Good my Muhace fellow good let us still consume what God putted and still consume us through many ways
@neemainabikorwa55704 жыл бұрын
Asante sna kka Allah akuhifadhi
@ThiagoMessi10-f4g Жыл бұрын
Ameeeen asante Dr
@eliasasherichakupewa-ck9gy Жыл бұрын
Asante sana daktari tumekuelewa Sana mze Wa kazi kumbe ni sio ugonjwa?ila unaweza kuifanya ugonjwa mmm.umenipa mwangaza
@patrickmbanya8335 Жыл бұрын
😭😭😭nimeumia sana
@jonasjaphetthomas64342 жыл бұрын
Upo vizur sana doctor
@JoyceRajab7 ай бұрын
Munguu akuweke dr nmeelews xaan
@KulwaKiteja-ii6wt7 ай бұрын
Asante br
@bakaromar81355 ай бұрын
Thanks doctor
@berthashaibu69274 жыл бұрын
Asante umeeleweka xana yan
@PeterYusuf-ye6uf10 ай бұрын
Hujambo dakitari dawa ya kutibu bawasiri yaitwaje😂😂😂
@StevenLiponisye Жыл бұрын
Mimwenyewe nimuhanga wa tatizo nimefanyiwa upasuaji bado tatizolinaludi naupasuaji unatakiwa fedha maisha ndyo haya mtu unakufa uku unajiona sante kwa mafundishomazuri
@AnnaMbedule-lk7oh Жыл бұрын
Nakupataje dr maana nina hy shida
@MauwaJuma-w8wАй бұрын
Asantte doctar kwa. Kutuelimishha
@OliverDaudi-lo7rx Жыл бұрын
Mungu akutunze kaka
@LucyJackisoni5 ай бұрын
amani doctra mm uwo ugonjwa unanisumbua sana adi sasa nimevmba kinyama na nawakati kinapotea sasa nifanyaje
@MarthaHaro-l7j3 ай бұрын
Pia mm nko na hiyo hali yangu iko inje lkn nikienda choon napata maumivu sana
@MarthaHaro-l7j3 ай бұрын
Saa nitaweza vp kujitibu na nko inje ya kenya
@PeterYusuf-ye6uf10 ай бұрын
Ni brother ngu ako na bawasiri so naomba uniabiye naeza ipata wapi iyo dawa😂😂😂
@idrissaramadhan327111 ай бұрын
Tafadhali docta ninahizo dalili Ila nataka kujua bawasiri inachangia pia kuumwa mgongo na ama mwili mzima hasa idara ya mifupa maana mm naumwa sana mgongo nishapiga Hadi x-ray sikupewa majibu tafadhali dictator tunakupataje
@jafarimbwambo82452 жыл бұрын
Vile vinyama ndio vinavyonisumbua sana hats tendo la ndoa linanishi da
Je bawasiri inaeza lete ugonjwa wa stomach hernia? na inatibika aje kama mgonjwa haezi fanyiwa operation ju ya miaka?
@scolamwanisasu84993 жыл бұрын
Kuna hatua abazo mgojwa anatakiwa atumie Ana dawa za kutumia pia
@harounramadhan28313 жыл бұрын
JE, UNAJUA BAWASIRI/HEMORRHOIDS NI NINI????!! ~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na Inje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe. CHANZO CHA TATIZO ~chanzo halisi cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni ÷ 👉KUFANYA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE 👉KUHARISHA KWA MUDA MREFU 👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO 👉MATATIZO YA UMRI 👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU 👉UZITO KUPITA KIASI 👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU DALILI ZA BAWASIRI 👉Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa 👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia 👉kutokea uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa 👉kujitokeza kwa kinyama katika eneo la tundu Hilo 👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana 👉kupata upungufu wa damu (anemia) 👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo 👉hupunguza nguvu za kiume kwa wanaume, na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake 👉kuathirika kisaikolojia 👉kukosa moral ya kufanya Kazi kutokana na maumivu makali Kwa msaada zaidi tucheki whtsap/call +255712126669 0683147077
@nice_kitchenstore3 жыл бұрын
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@damaricygeofrey24443 жыл бұрын
@@harounramadhan2831 naitaji msaada wako pleas
@MehmetMtonga-b5i Жыл бұрын
Namba ya cm doctor
@DanielMbeke-j7mАй бұрын
Dct mimi nina shida kubwa. ya kwangu niyanje nisadie wasiliano nikuelezee unisaidie ata ushauli.niko mwanza
@jrgongo634825 күн бұрын
Doctor me ninazo bawasiri 2 ninishiwa nguvu Zote mwilini
@sarangowi Жыл бұрын
Naomba usiache kutoa msaada kama huo Dr
@twalkhatjumanuh-lk2sz Жыл бұрын
Hatujafika miaka 20ila tuna hilo tatizo la bawasiri
@phylisemaly8016 Жыл бұрын
Jaman nko na ujauzito wa miezi 4 Nina wasiwasi nmepatikana na huu ugonjwa nawashwa nashika hiyo nyama sijui nitapata vipi tiba
@Sandra-i9fАй бұрын
Nàsumbuliwa na huu ugonjwa kwa muda naeza pata aje dawa juu n bawasiri ya inje alafu n uchungu
@happinessjidayyaanihaunaak85212 жыл бұрын
Jaman mm pia nina hili tatizo limeanza na saiv naona muwasho naitaj msaada
@زيتونتنزانيا2 жыл бұрын
Hivi dalili zake nini
@patrickzacharia7483 Жыл бұрын
@@زيتونتنزانيا *B. DALILI ZA BAWASIRI* -Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia -Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa -Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi) -Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa. -Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha. -Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
@amandawanka5530 Жыл бұрын
@@patrickzacharia7483 mimi nawashwa sanaa sehem za haja kubwa ni wiki sasa najikuna paka nikijamba nasikia maumivu lakini choo changu nikijisaidia hakina dam ila nikigumu sanaa napata sanaa maumivu makali shida nini
@patrickzacharia7483 Жыл бұрын
@@amandawanka5530 choo kigumu ni moja ya sababu zinazosababisha Bawasili inaweza ikawa ya (nje ama ndani). Nakuwashwa pia ni DALILI za bawasili kama umejigundua TIBU mapema
@adraikasyanzila448611 ай бұрын
God help us
@DaufMazengo2 ай бұрын
Amina
@MRKIBONALAPTOPTZ-hk9yw5 ай бұрын
Mm bado na sumburuwa sans nataka dawa
@fetychina39695 ай бұрын
Doctor ukiwa na ratizo hilo unaweza kuoata changamoto ya uzazi??
@godfreysospeter4947 Жыл бұрын
Mbona hii ilinitokea nipo mdogo sana kama darasa la 4 nikijisaidia kinatoka kama kinyama kinatoka kama kinyes lakin saiv naona kimechomoka juu lakin hakina maumiv wala muwasho imekaaje hii na apa nina miaka 20
@haruningiliule7606 Жыл бұрын
Mambo
@elizabethnaaly23142 жыл бұрын
asante san dockta je nikitaka mawasiliano yako napataje??
@MosesFocus-t2j5 ай бұрын
Doktari nakushukuru kwa elimu, naomba msaada wa namba ya mawasiliano
@RuthinaMsely11 ай бұрын
Jmn mm nipo na huo ugjw unansumbua sn naomb mawasiliano
@neemashadii47022 ай бұрын
Dawa mm naijuwa ilinitesa sana aisee now nmepona
@helenasangu36982 ай бұрын
@@neemashadii4702ulifanyane ndugu
@LucyWambui-yz7th2 ай бұрын
@@neemashadii4702ulitumia nini
@Sandra-i9fАй бұрын
Nieleze dada n dawa ngani inanitesa@@neemashadii4702
@SalimAlly-z7nАй бұрын
Nisaidie@@neemashadii4702
@Shakila-t3c6 ай бұрын
Shukran
@MaryEsya11 ай бұрын
Doctor mi nimejifungua tar 2 mwezi huu ila nilichanika Sasa naona Kuna kinyama kimeota sehemu za Siri shida nn?
@jolemerci2155 Жыл бұрын
Mbona mimi ta ngu niko duniani naona ga watoto wa umri wa myaka 2 adi 10 wana ugonjwa wa hemorrhoid niwengi ila mwanangu kwa sasa ameteseka iyo hemorrhoid imeonekana inatoka nje hatowe choo kubwa analia sana hakai umri wake ni myaka 3
@SalumSalum-no3sc5 ай бұрын
Naomba nambaako docta
@ShukranMichael-fd8nm Жыл бұрын
dockita mm ninavinyama sehehemu zasili nazo shida nn naomba msaada
@geophreygwarasa67892 жыл бұрын
Doctor muwasho wa mda mrefu sehemu ya haja kubwa je, ni dalili ya bawasiri pia?
Mbna namba mnatoa watu wawili tofauti ya hyo docta ni ipi
@lucykimaro1345 Жыл бұрын
Kwema doctor na kwa mama mjamzito inakuje
@asazac737810 ай бұрын
Ninayo
@GRACEFERUDHI11 ай бұрын
Napataje tba npo geita
@marypaulo1363 Жыл бұрын
Docta ntapataje mawasiliano yako?
@mwanamwanaisha9450 Жыл бұрын
Tunaomba namba zko
@CarenMussaАй бұрын
Bawasiri dawayake ni ipo
@tumpenjabili2826 Жыл бұрын
Mimi nilifanyiwa upareshen ni mwaka sasa na imerudi tena ,na mm ni mjamzito unanisaisiaje
@hildapeter-ok3do Жыл бұрын
Mm ninamume wangu jamani anateseka jamani
@leonardpromise3 ай бұрын
Habar
@maximillianmpaname28784 жыл бұрын
vipi kuhusu liver cirrhosis ...kama a risk factor
@agycarol59288 ай бұрын
Napataje dawa nipo mwz
@DanielMbeke-j7mАй бұрын
Nitakupataje
@AminaShaban-y8p5 ай бұрын
Media counter
@tatuhassani14344 жыл бұрын
Je kunasababisha kwa mwanamke kutokushika mimba???
@nice_kitchenstore3 жыл бұрын
Nicheki WhatsApp+255768682832 nikusaidie
@johnmasungansolezi5762 жыл бұрын
@@nice_kitchenstore umeulizwa jibu swali
@HappyBryton-up4el Жыл бұрын
jmn ugonjwaa unatesa huu
@GabrielMaligana Жыл бұрын
Mimi nina ugonjwa huu nimevimba na kimekuwa kidonda doktari naomba maelekezo
@phycathmeela6556 Жыл бұрын
Nimeelewa
@gerwaldandomba26943 жыл бұрын
Bonge la doctor....
@avelinamanyama73072 жыл бұрын
simu yako haipatikani
@pilihassani24542 жыл бұрын
Mm ninayo naumia sn nisaidie napata shida kimetoka nnje kinyama
@christopherraymond54592 жыл бұрын
Ukipata dawa nitonye na mm
@eyeonnature40222 жыл бұрын
@@christopherraymond5459 mimi pia nahisi ninayo ila imepungua. kuna dawa inaitwa ujana. nilitumia ajili ya tatzo lingne lakn ilinisaidia. ukiachana na hio ya bei kubwa. kula mbegu za maboga mara kwa mara angalau mkono mmoja kwa siku. mie saiv nashkuru mungu.
@avelinamanyama73072 жыл бұрын
namba haipatikani
@hadijakaganga9674 Жыл бұрын
Iv uu ugonjwa ndo zamani ulikuwa unaitwa vikanga?
@BoniphasiMeshuariki-sr9vn Жыл бұрын
Mawasiliano yako tunazioataje
@barbinasankemwanshende61453 жыл бұрын
Na mtoto Kama anahalisha choo cha kamasi tatzo ni nn
@rehemamgowe4131 Жыл бұрын
Na Mimi mwanangu anapata Choo hicho vipi umepata majibu
@patrickzacharia7483 Жыл бұрын
@@rehemamgowe4131 angalia namna yake ya Ulaji pia akihatisha muda mrefu anaweza pata bawasili pia.
@valencevalerian30375 жыл бұрын
Ila umeangalia sanaa pembeni ungeangalia camera.
@tabiasaidi55294 жыл бұрын
Tunaomba namba za cm dockta
@valencevalerian30374 жыл бұрын
@@tabiasaidi5529 0628669679
@saumuomary21174 жыл бұрын
Nisaidie dawa dokta ninatatozo hilo
@saumuomary21174 жыл бұрын
Nisaidie dawa dokta ninatatozo hilo
@mwanaidimuhindi66714 жыл бұрын
@@saumuomary2117 Mimi nipo nalia tu hapa nami limenitokea