Meja Kunta - Simba (Official Audio)

  Рет қаралды 278,115

Meja Kunta

Meja Kunta

Күн бұрын

#MejaKunta #Simba #SlideDigital
MEJA KUNTA SONGS OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
ffm.to/mejakunta
Follow Meja Kunta on
/ mejakuntaofficial
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz

Пікірлер
@mwajabuamiri3457
@mwajabuamiri3457 3 жыл бұрын
Mie Simba damu kuwa malaya wa timu siweziiii, alieckia huu mstar apige like hapo 🤣🤣🤣🤣🤣
@aishanassoro9462
@aishanassoro9462 3 жыл бұрын
Weuweeee hapana chezea simba wewe higeni mufe mfyuuu meja Kama meja sarut baba 100%
@hamisnagave-bl1sq
@hamisnagave-bl1sq Жыл бұрын
Dah! Dogo upo vizuri yaani goma limegusa nyanja zote ❤❤❤❤
@priscussbabuu8576
@priscussbabuu8576 3 жыл бұрын
First viewer like kwangu
@shaharamapanje7524
@shaharamapanje7524 3 жыл бұрын
Meja weweeee sio kwa raha hizi
@innocentmunishi397
@innocentmunishi397 3 жыл бұрын
Meja nasema ukweli wa moyo ww fundi unajua sana nakukubali sanaaa
@saromemaneno355
@saromemaneno355 3 жыл бұрын
Umeniamaliza meja uwiiii hiyoooo sautiii hoiiiii mwenzakooooooo rahaaa sanaaaa kuwa mwana msimbaziiiiiiii
@araphat_mwendo7105
@araphat_mwendo7105 3 жыл бұрын
Mzungu , mzukule kamfukuzisha nugaz Mshenzi. vunj bei. Unamjua
@cejomatv1572
@cejomatv1572 3 жыл бұрын
Duuuu hatareeeeeee.....duuuuuh hiii ngoma kwel
@annastaziamichael460
@annastaziamichael460 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/gomWk6RsorVqmsk
@kibokotv727
@kibokotv727 3 жыл бұрын
Kazi nzuri
@iddyngola6419
@iddyngola6419 3 жыл бұрын
Kumb naw Ni mnyam
@saidkavenje5803
@saidkavenje5803 3 жыл бұрын
sio kidogo broo, sema Meja namuona mbali sana very soon coz anaweza kuimba vyovyote kwenye singeli like Country boy au marehemu Ngwea walivyoifanya Hiphop kua mziki mtamu
@auntiemylee3157
@auntiemylee3157 3 жыл бұрын
5subscribers na unatumia jina LA mbosso ovyo..tumieni majina yenu
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Unatumia Jina LA mboss auna hata aibu subscribe 5 🤣🤣🤣nimekushinda hata mimi chefyu
@wizzytozzy25
@wizzytozzy25 3 жыл бұрын
Sio mbosso huyo wwe
@corneliosamadaly7009
@corneliosamadaly7009 3 жыл бұрын
Meja kunta utaniua hii ngoma Kali sanaaa👏👏🔥🔥🔥
@mohdabdalla5931
@mohdabdalla5931 3 жыл бұрын
Simba iko juu hata mama j anaijua
@abdulqareemabdallah2579
@abdulqareemabdallah2579 3 жыл бұрын
Wewe meje unanikosha sana saut na nyimbo nishidaaa simba oyeeeeeee piga kelelelelelelel oyoooooooo
@ukhutfatumah1154
@ukhutfatumah1154 3 жыл бұрын
Oyoooooooo kitu kitu kipo kwa mtaaa
@jibramidndube8393
@jibramidndube8393 3 жыл бұрын
Safar hii yanga tutawapeleka kwa mparange
@fatumaally8297
@fatumaally8297 3 жыл бұрын
Wee simba kimataifa pikelele kwa kunta wakeeeee
@ferouzmasoud4741
@ferouzmasoud4741 3 жыл бұрын
Ngoma Kali sanaaa 👊🔥❤️ Kuishabikia SIMBA Raha sanaa No stress full burudani jamaniii cyo kwa midundo hii ni Motoooooo 🔥🔥
@jacksonchaless7621
@jacksonchaless7621 3 жыл бұрын
Ngoma kali sana blza hongera san
@amiryhassan202
@amiryhassan202 3 жыл бұрын
mm naomba uliza ngoma ya simba ya mwaka jana ya diamond na hii ya mwaka huu meja ipi kali
@nicasamuel9667
@nicasamuel9667 3 жыл бұрын
Woyooooo,hapana chezea Simba 👌👌💃💃👏❣️❣️❣️❣️
@fatumaally8297
@fatumaally8297 3 жыл бұрын
Oyoooo tukutane simba day
@waziriibrahim5756
@waziriibrahim5756 3 жыл бұрын
Bonge moja la ngoma yani nimeiskiliza mara mia ✔️
@Boss_chuma
@Boss_chuma 3 жыл бұрын
Nakubal
@canisiusclemencemkuyu6505
@canisiusclemencemkuyu6505 3 жыл бұрын
Ngoma haichoshi,,, full vibe full burudani,,, hatupoi kila idara
@silviaasenga1833
@silviaasenga1833 3 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana mambo ni moto kihipenda simba raha sana
@husseinally7822
@husseinally7822 3 жыл бұрын
Hili song likipigwa taifa huku 60k wamezunguka jukwaaani sipati picha isee🔥🔥🔥🔥
@frankcosta4986
@frankcosta4986 3 жыл бұрын
Mimi saa nne ntakuwa nimetinga,uku jezi new.
@gracefedrick6365
@gracefedrick6365 3 жыл бұрын
Nakubali Sana hili song umetisha
@shefwonder1549
@shefwonder1549 3 жыл бұрын
Asantee meja
@lawrencetesha5936
@lawrencetesha5936 Жыл бұрын
Mzungu msukule😂😂😂simba day 2023 Unyama mwingi
@BlackWhite254
@BlackWhite254 3 жыл бұрын
wa kwanza mimi apa🔥👊
@saimamohamed1531
@saimamohamed1531 3 жыл бұрын
Haki mungu upo pamoja na mk so kwa hii ngoma
@subiraomari5908
@subiraomari5908 3 жыл бұрын
Nisiwe mchoyo wa fadhila meja kunta unajua
@saidarram1006
@saidarram1006 3 жыл бұрын
Nomaaa sanaa
@alexaiddan979
@alexaiddan979 3 жыл бұрын
Meja umeniuza kumuongelea manala me mwenyew Simba Ila manala ana shida na mtu mwachen na maisha yake
@angelrichard8211
@angelrichard8211 3 жыл бұрын
Msukuleeeee tu yule
@revethihoka2809
@revethihoka2809 3 жыл бұрын
Utajua hujui
@emmanueljoseph2576
@emmanueljoseph2576 3 жыл бұрын
Wauewaueeeeeeeee aitwa Meja kunta bonge la ngoma simba iko juu bhana
@nuchonuel0489
@nuchonuel0489 3 жыл бұрын
Hiiii ngoma hatari imekaaa ki simba day kabxa ani
@mohamedhamza3066
@mohamedhamza3066 3 жыл бұрын
Umetisha mejja 🔥🔥🔥🔥nakubali
@michaeltiem5196
@michaeltiem5196 3 жыл бұрын
Ahsanteee mzee baba 👏👏👏👏👏👏🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼💞💞💞💞💞
@fatumaally8297
@fatumaally8297 3 жыл бұрын
Fans tukutane kwa mkapa
@hawahashim8241
@hawahashim8241 3 жыл бұрын
Nimetumia sanaa Simba day kuto kuwepo Tanzania Daaah
@moshiomarymnyeda8907
@moshiomarymnyeda8907 3 жыл бұрын
Kume kucha sasa 🦁🦁🦁✌️✌️✌️😍😍
@omaryally7806
@omaryally7806 3 жыл бұрын
Mm NI yanga kabisa lakin kwa ngoma hii jamaa umetishaa sana
@saidarram1006
@saidarram1006 3 жыл бұрын
Tukutane kwa mkapaa
@allymasoud2315
@allymasoud2315 3 жыл бұрын
Anaeamini goma hili litainua Watu karibia wote Kwenye viti kwamkapa like tafadhali
@saimamohamed1531
@saimamohamed1531 3 жыл бұрын
Utopolo mtuvumilie kwa hii ngoma
@canisiusclemencemkuyu6505
@canisiusclemencemkuyu6505 3 жыл бұрын
😂😂😂 hatupoi full kuliamsha kila idara
@amiryhassan202
@amiryhassan202 3 жыл бұрын
utamu utamu ngoma la taifa wanasimba mnasemaje wanasimba
@sturmiusbs
@sturmiusbs 7 ай бұрын
jaman mobeto unamjua mzee pili unamjua nakbar 😮 chama la soka
@anethnkumbulo7801
@anethnkumbulo7801 3 жыл бұрын
Simba 💯💯💯
@samsonnyambi7108
@samsonnyambi7108 3 жыл бұрын
Ngoma ya moto kabisa kunta mnyama kaua
@saimamohamed1531
@saimamohamed1531 3 жыл бұрын
Haki hii nyimbo ya taifa tukutane Simba day chiiiiiiiii
@thomaschacha2739
@thomaschacha2739 3 жыл бұрын
Simbaaaaaaaa
@binjmwinyirain1133
@binjmwinyirain1133 3 жыл бұрын
Huna baya mwanangu 🛑🛑🛑🛑🛑🛑🦁🦁🦁🛑🛑🛑💪💪💪💪💪💪💪👈
@omaryabdallah1799
@omaryabdallah1799 3 жыл бұрын
Daaaaaaa hii ya moto kaka
@lisamwamelodybaby4289
@lisamwamelodybaby4289 3 жыл бұрын
Dah meja unaniangusha ndugu yngu emu achia kitu ndugu
@macktv9178
@macktv9178 2 жыл бұрын
Nakubar mejaa umeuaa bro💎💎💎💎
@zaituniramadhani9162
@zaituniramadhani9162 3 жыл бұрын
Tutakufa KWA raha haki ya nanai🔥🔥🔥🔥
@oldestmashaka2000
@oldestmashaka2000 3 жыл бұрын
First just good song
@zakiaathuman3636
@zakiaathuman3636 3 жыл бұрын
Ngoma kaliii❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁
@saudajuma6063
@saudajuma6063 3 жыл бұрын
Simbaaaaaaa. Meja umetishaaaa
@fatumaally8297
@fatumaally8297 3 жыл бұрын
Mamaaaaaaa 😂😂😂 .mzee mpili analia
@shebywagoba3536
@shebywagoba3536 3 жыл бұрын
Binge langoma MEJA simba hiyooooooooooooooooo
@angelinajames1686
@angelinajames1686 3 жыл бұрын
Wapii mejakuntaa👌❤️kitu kimetuliaaaa
@canisiusclemencemkuyu6505
@canisiusclemencemkuyu6505 3 жыл бұрын
😘😘😘🙌🙌🙌
@hamisikissoy9253
@hamisikissoy9253 3 жыл бұрын
Daaaah Tisha sana Mzee baba, kwawengine hakuna hii
@princepeter7109
@princepeter7109 3 жыл бұрын
Umetisha mejq unajua kaka
@halimamohammed433
@halimamohammed433 3 жыл бұрын
Atari jaman simba itaniua
@kauyembwana3032
@kauyembwana3032 3 жыл бұрын
Umeuaa big up
@felixmgaya8487
@felixmgaya8487 3 жыл бұрын
Big UP MEJA #ONETEAMONEDREAM!!@simba nguvu moja🙌🏽
@johnbalotell1833
@johnbalotell1833 3 жыл бұрын
Njoo 19 tarehe kaka Nina ticket yako
@goodhopemaganga636
@goodhopemaganga636 3 жыл бұрын
Fireee.....aleluyaa ....amen ....amen
@hawarashidrashid8421
@hawarashidrashid8421 3 жыл бұрын
Piga kelele kwa simba wake weweeeeeee🔥🔥🔥🔥
@masaulihassan2740
@masaulihassan2740 2 жыл бұрын
Hili linanipa furaha kuishangilia simba yangu
@reubenmasseri6763
@reubenmasseri6763 2 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah amen amen 🙋
@fatumaally8297
@fatumaally8297 3 жыл бұрын
Simba oyeeeeeeeee
@pharm.kayombo
@pharm.kayombo 3 жыл бұрын
Duuu hii ngoma kali na nusu
@shamsimbuni3646
@shamsimbuni3646 3 жыл бұрын
Sharat bigaup sana mzeeeee
@hasinarashid5059
@hasinarashid5059 3 жыл бұрын
Weuweeeeeeeeeeeeeee🏆🏆♥️♥️🏆
@bahatibushiri6477
@bahatibushiri6477 3 жыл бұрын
Hii ngoma traaaaaam👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥so Ile ya nandy mpoozo mtupuuu🤣🤣
@jacksonmbwilo8257
@jacksonmbwilo8257 3 жыл бұрын
Bonge la Ngoma 🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁💯💯💯💯💯💯💯umetisha 🙏🙏🙏🙏
@saimamohamed1531
@saimamohamed1531 3 жыл бұрын
Simba ya kimataifa nasema wapinzani mtasubili sanaaaa
@saimamohamed1531
@saimamohamed1531 3 жыл бұрын
Hii ngoma naombea mkopo benk
@amlialoyce619
@amlialoyce619 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁 simbaaaaaa
@imamhashim5311
@imamhashim5311 3 жыл бұрын
Simba🦁🦁🦁🦁🦁🦁
@faridasaleh2743
@faridasaleh2743 3 жыл бұрын
Meja anatishaaaaaaaas🦁🦁🦁
@salumuabdallah8476
@salumuabdallah8476 3 жыл бұрын
Nice brother new song 🔥🔥🔥
@alvesrigga1955
@alvesrigga1955 3 жыл бұрын
Remix YA KIDIMBWI
@mwamimngindo3660
@mwamimngindo3660 3 жыл бұрын
Simba forever
@yusrabangusilo893
@yusrabangusilo893 3 жыл бұрын
Simbaaaa😍😍atriiiiiiii😎
@ShebyboyHasan
@ShebyboyHasan 8 ай бұрын
❤❤❤❤ brother umetisha
@lawrencepaul7057
@lawrencepaul7057 3 жыл бұрын
Oyaaaaa nice song
@billylovebillybillylovebil580
@billylovebillybillylovebil580 3 жыл бұрын
Hujawayi niyangusha mtuwangu nice song😘😘🤩👌👌
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 3 жыл бұрын
Ujawahi kutu disappoint mwanangu unajua 💥 #Singeli_Radha 🎧❤
@kitabuchasoka
@kitabuchasoka 3 жыл бұрын
p 2 the M
@paulmgoli4853
@paulmgoli4853 3 жыл бұрын
@@kitabuchasoka blood
@badmanno.1650
@badmanno.1650 2 жыл бұрын
Mbona hajatolea video huu wimbo... Bonge la singeli
@zaghatz855
@zaghatz855 3 жыл бұрын
Ata mama j anajuaaa😂😂😂kipande ik natumia kuwakera wana yanga
@majaliwaonlinetv1326
@majaliwaonlinetv1326 3 жыл бұрын
Sanaaa meja nakubariiii
@tatukachingwe7451
@tatukachingwe7451 3 жыл бұрын
Simba nguvu moja💪💪
@fatumaally8297
@fatumaally8297 3 жыл бұрын
Kazi bira maneno
@abduliabduli5533
@abduliabduli5533 3 жыл бұрын
Wanao hitaji group l mejakunt wa like hap
@asmamustafa7600
@asmamustafa7600 3 жыл бұрын
Wap simbaaaaaaaa
@abdulabubakary4760
@abdulabubakary4760 3 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!🧐
@kelvinabed7172
@kelvinabed7172 3 жыл бұрын
Mejaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@aminarajabu7177
@aminarajabu7177 3 жыл бұрын
Twende taifa tuaenjoy
@bakilihassani7168
@bakilihassani7168 3 жыл бұрын
Meja mtu mbayaaaaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥
@marthatevely4390
@marthatevely4390 3 жыл бұрын
Nakubali boenga na ngoma la kwenda
@ngodosai3024
@ngodosai3024 3 жыл бұрын
oggg good san meja
@amiramir-ox4sw
@amiramir-ox4sw 3 жыл бұрын
🔥 🔥 🔥 meja
Meja Kunta - KIDIMBWI (Official Audio)
6:13
Meja Kunta
Рет қаралды 586 М.
SHIVOO FLAVOUR TZ_-_NAIPENDA SIMBA (official audio  mp4 )0699481208
3:41
Shivoo flavour Tz7
Рет қаралды 34 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Rayvanny feat Jay Melody - Slow (Official Visualizer)
3:38
Rayvanny
Рет қаралды 20 М.
Simba kiboko Yao (feat. D wini)
3:16
Desekepi Music - Topic
Рет қаралды 117
Meja Kunta X Tamimu - Mume wa Mtu (Official Audio)
5:08
Meja Kunta
Рет қаралды 281 М.
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН