habari mashabiki zangu!maoni yenu nimeyaskia sana ila kiukweli nimepata changamoto kubwa hadi kumaliza hii season one..changamoto kubwa ni kwa baazi wa wasanii kutofika kazini kwa mda sahihi ndio maana nimechelewa kutoa kazi,niseme tu leo tunamalizia season one na week ijayo nitawaletea tamthiria mpya ambayo itakayo kua inaruka kila baada ya siku mbili🙏🙏🙏🙏🙏hii ni kwaajili yenu mashabiki zangu🫶🫶nawapenda sana na asanteni kwa kunifatilia...pia melisa season 2 itakuja baadae ikiisha hiyo tamthiria mpya
@AphurahBoakye4 сағат бұрын
Tunakupenda pia bro❤
@FaithaJvc4 сағат бұрын
nifanye namm niwe muigizaj wako jmn napenda sana kuigiza🙏
@michaelsamwel8834 сағат бұрын
Daah ingependeza zaid kama ungemalza kbx melisa then nyingne
@EnricoRicky-g6e4 сағат бұрын
Pamoja saaana💪💪
@Rachel-94tz4 сағат бұрын
Pole kwa changamoto,pia hizo changamoto zisikukatishe tamaa,tupo pamoja
@goodluckjohn31 минут бұрын
Hemed chande umetukosea sana Melisa inaishaje mapema ivyo sehemu Tamu nd inaishia
@annegakii6420Сағат бұрын
Mark na Melisa watafanya watu walie baaana ,,hizo feelings men💔😍😍
@Nduvamidwife3 сағат бұрын
Hii scene ya mwisho mliyokutana na melisa imeniliza wallahi
@purityrehema5433 сағат бұрын
Wakwanza leo naomba likes hata moja toka niangalie hii series sijapata hat like moja 🎉🎉much love from 🇰🇪
@JessieJessie-w5m44 минут бұрын
Nimekuwa wakwanza I from Burundi jaman like nying jaman
@raphaelleo920951 минут бұрын
Tunaomba huu wimbo wa melisa am in love with you
@JastFinancial024 сағат бұрын
Mwangapi wamependa Melissa kuludi kwa hemedy chande ❤🙏
@ManuelCornelioBentoBento2 сағат бұрын
Hemed nunca me decepciona. Ninamkubali sana.
@ZabraVille2 сағат бұрын
Kiukwel hii episode nmeipenda sana nkuomba ucichelew kutoka Melisa episode 2 plz🙏
@MtindoZawadi2 сағат бұрын
Tunaomba uendelee na season 2 kwanza ndo uendelee na nyingnee chande❤❤❤
@MwanasitiHamisi-g3jСағат бұрын
Plz endelea na season 2 kwanza nyengine badae plz
@JumaKavula-u5e4 сағат бұрын
MELISA, ni picha ambayo kifupi nmeipenda sana, like nyingi kwa wanaoungana na mimi💞
@فاطمة-ح8ث4ن53 минут бұрын
Jaman ogera saan yan imeaz vizur nakuish vizur nakutuliz saan❤❤❤❤nimelia
@OmgWilliam-c7u2 сағат бұрын
Kaka Bora. Hata. Ungetia. Kwanza. Melisa. ❤❤❤❤❤❤
@chiluguProsperСағат бұрын
Safi san bro muve nzur san ila hiyo ijayo usimsahau Melissa
@oddypoddy-s4n4 сағат бұрын
Kutoka Kenya wakwanza likes kwa sana tu🎉🎉🎉🎉
@RajabuShabani-s3bСағат бұрын
Nakubali unajua kutengeneza story ipo kama ya kihindi
@MwanakomboBakari-t8lСағат бұрын
Kutoka Saudi Arabia nimeipenda Sana ❤❤❤❤
@omanoman29234 сағат бұрын
Wow,sema mmechelewa sana daah had tumesahau
@RukiaJuma-kh2ed41 минут бұрын
Nasuukuru kumaliza mov hii niliupenda Balaa ila hamu bdo haijanisha nitaurudiy tn no 1
@AminaMaisha-vd6mf2 сағат бұрын
Duh! mumejuwa kunitoa chozi 😢 kazi nzur san ❤❤🇰🇪
@AngelHiluka4 сағат бұрын
Hongeren sana kwa kazi nzuriii tunatumain utatuletea kazi nzurii zaid na zaid
@rozamarcelle12413 сағат бұрын
Asante sana wanduguzetu tunainjoi sana tena sana 🙏🏾🥀🥀🥀🥀🥀
@SamouOman3 сағат бұрын
Kazi nzur kak mungu awaongoze katika kazi zenu
@FaizaKabibi-tb2dj3 сағат бұрын
Safi Sana tunasubiri season 2 msichelewe bana
@AbdulHajji-f9e4 сағат бұрын
nakukubal sana brooo pia hongera sana kwa KAZI nzuri
@PaulineJaphetСағат бұрын
Tatizo mnachelewa sana kutoa hapo ndo itakuwa mwisho au❤❤❤❤
@Jamal-i4w4 сағат бұрын
Nakubali bro tupo na wew mbaka mwisho 🎉🎉
@SifaVano4 сағат бұрын
Big up sana kweli ❤🎉
@Maryamhassan-kq9ql3 сағат бұрын
Waah hii episode Kwa kwel imeenda sna ata tuseme kwaka moja baadae lkn imeisha vzr❤❤❤❤
@SalmatatuMadarakaСағат бұрын
Good job napenda movie zako mpka bc❤❤❤
@MussaKarimu-nl1ow4 сағат бұрын
Umetisha sana mkuu sema unachelewa sana broo
@LamickMoumaleick4 сағат бұрын
Hakun mtu yoyote wakunambia kuw yeye ni wamwanzo km sio mm ndan ya sekunde 5 nimeinasa MELISA kubababake😅
@vannymtavangu18443 сағат бұрын
Umetisha san allah awe pamoja nawe sisi tunasubir kazii zako tyuu 🎉🎉
@SwaumuMuome4 сағат бұрын
Wakwanza team trong kazi nzur ila munachelewa sana mpaka tunasaau
@Emmilyjuma3 сағат бұрын
Duuuh finally imetoka,maana kila mara nnachungulia, Happy JAMHURI DAY wakenya wenzangu❤
@NusratiomaryСағат бұрын
I like your song, Melissaaaaa❤
@ErnestChaulema3 сағат бұрын
Hapa umetixha kaka nimeangalia move zako nyingi ila hiii niliipokea kwa hcia kubwa mno nawapenda sana
@FestusJuvinary4 сағат бұрын
❤🎉👎🙌👍🤛🌷🥀🌹🇹🇿👍👋💕❤️🖐️🙌🙌👎👍 hiki kipande nilikisubili kwa hamu nilishindwa Hadi kununua mbiga za watoto wangu nikiwa nabania hela ya bando duuu💐🔥💯💥💥👐🤸🇹🇿❣️💯💐🔥
@DaliliManenga3 сағат бұрын
Good job,ila munachelea sana,tunaisubiri kwa hamu kubwa Mélissa Season 2
@gadafimuemede29854 сағат бұрын
Pamoja Sana Respect 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@RabisonKasofuСағат бұрын
Jamaa wew so mtu wakaida maana me nimelia
@kharimjohneric54992 сағат бұрын
Hemedy chande may God give you strength you are very talented brother🎉🎉🎉🎉🎉
@KingNamber43 минут бұрын
kutoka Burundi naipenda san hiy mouvie 🎉🎉🎉🎉
@PatriciaMujeni3 сағат бұрын
Congratulations Allan awe nae movie nimeipnda snaaaa!! Melissa upewe maua yko 🎉🎉🎉🎉❤
@MwasheyBlangeti3 сағат бұрын
We love you so much
@Tatianaiguette2 сағат бұрын
Muna pendezana mukiwa. Kama ❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana
@EltadeoraSocratetadeo-z1e4 сағат бұрын
Kutoka dr Congo ndani ya top 100comments nipo
@FunnyAquariumFish-ih3in18 минут бұрын
Speed 120 kwenye Kona shaa the greatest hemedi chande film east zuu tz
@AisherJuma-d2q4 сағат бұрын
Wakwnza leo kutoka saud team strng together ❤💪
@MziraiWapili-y2bСағат бұрын
Hongra imeishia pazur jamn
@BelleAshimwe4 сағат бұрын
Kwa dakika 7 kutokea 🇧🇮nawapenda
@VEREDIANAMUMBA4 сағат бұрын
Mnachelewesha sn mnaboa
@LelyHakim-j5zСағат бұрын
Mkenya halisi nko ndan mapema
@mbarderonly58743 сағат бұрын
Kwahyo stor ya tariq na marehem mke wake na mchepuko wake nao hawakuwa wakija job pole sana
@HanimAbdul2 сағат бұрын
Weee ilikua naingoja
@AliiJumaa-mf5kx3 сағат бұрын
Oya😂😂mnachlewa sana ❤❤❤❤❤🎉
@WinnieThomas-w9eСағат бұрын
Dah mwili ume nisismka sana maki jaman na melissa
@mwikalababu2 сағат бұрын
kaka uwai sizoni 2 merisa naipendasan mpamoja nazine ira kwanza merisa
@HemediMwinzo4 сағат бұрын
Gud episode umeimaliza vizuri congratulations 👏👏👏
@kingcicero17084 сағат бұрын
Ambao tumetoka toka episode ya kwanza mpaka leo hii kwenye Final tupo pamoja, like hapa tujuane❤ Huku tukisubiri Session two
@Veronicah-cr8er2 сағат бұрын
Much love from Kenya Kazi nzurii sana❤❤
@ellyemed60544 сағат бұрын
Wa pili from Dodoma
@Oumaymahmm2 сағат бұрын
ALLAH awalipe kwakwali movie mmeipeleka vizuri sana 😊😊 japomme tuchelewesha sana 😊 ila shukran sana kaka HEMED NA DADA MELISSA PAMOJA NA WENGINE 😊😊😊😊😊
@MekafinancialServices-b7n4 сағат бұрын
Nmekuwa wa kwanza leo❤❤
@RizikiOmari-gq7qt44 минут бұрын
😊ham sohappy melissa ameķuwasawa
@reynarahma3 сағат бұрын
Pole kwa changamoto but mpk hapa ulipofika umefanya kazi kubwa sana na nzuri sana kiukweli🌹🌹 inshallah mwenyezi mungu azidi kufungua njia zako za mafanikio yako 🙏
@SmartVicenzo4 сағат бұрын
Smart Vicenzo 🇹🇿
@GermainBahati-o6e4 сағат бұрын
Uko natuchelewesha big tuna kupenda sana Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@JoyceKayombo-y3g3 сағат бұрын
Big up bro unajua Sana ...mak
@UmukunziRamura-ur9zc4 сағат бұрын
Tuna subiri season 2 Inii Shaa Allah 🙏🏽 mungu awarinde tunawa penda sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@YakubuMdeka4 сағат бұрын
Wakwanza mm hap naombeni like zang
@SaumuWanje2 сағат бұрын
Maua yenu chukueni🎉🎉🎉
@Emily-k983 сағат бұрын
Napenda movie ila machozi yangu hajifiche 😢😢 daaaah nalia jamaniiii 😢😢😢so thank you very much my family people 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
@BaxterJere-d4u4 сағат бұрын
Mmm imeisha haraka wakati ndo Kwanza utamu ulikia unaanza jamn ok Bc Kazi nzuri Chandy
@HeblonNgala-h4g3 сағат бұрын
Sanaaa❤❤❤❤
@KusuManyota-hk8fwСағат бұрын
Kumbe ndio mwisho Aloooh
@KadzehaSophia4 сағат бұрын
That's amazing 🎉 namuombea mod piaapate wa kufanana naye atakaye mfanya asahau maumivu
@ImaxJr42 сағат бұрын
Aaaahaa mumezingua kinoma mwisho Tena 😢😢😢😢😂😂😂
@Officialrockzompa2 сағат бұрын
Kazi nzur kaka big up
@PendoSamweli-g6k4 сағат бұрын
dakika ya 10 comment70🙌watu mpo vzur asee😂😂😂
@Salimmikwanga-g1z3 сағат бұрын
Kaz nzuri
@SusanWamalwa-wq2cm4 сағат бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 fan wako sana ila tumesubiri sana finally its here ❤
@alisaid574537 минут бұрын
Huu mchezi kwakwel mzur cn ilaborsmungetumalizia t tukaonamwish wake
@kelvintwahilu-k4i26 минут бұрын
kwakweli imeniumiza mm hii mlio maliza mme kosea san haina laza hat ♥♥ ✋✋✋
@SalhaHamad-mc6jj3 сағат бұрын
Kazi nzuri tuna kupenda sana ubarikiwe sanaa
@JamilaJamila-m2yСағат бұрын
Jina la move mpy 😊😊
@IbrahimOpimba-j9f3 сағат бұрын
From Kenya season 2 isichelewe mwanangu
@alonijamal47084 сағат бұрын
Mh ila manz Melisa bonge pic apewe hongere zake
@PaschalPius-b6s4 сағат бұрын
Wanao mkubali Melisa 2onane
@estherkabweofficiel50 минут бұрын
Wow keep up ❤❤❤❤
@shebeshabani218730 минут бұрын
Mnaniliza jamaniii ongereni saaana
@MagrethyAdolph4 сағат бұрын
Wakwanza nakupenda san broo
@NjoleZuma-ue9yo4 сағат бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉🎉maua yenu chukueni
@Kimwana255Сағат бұрын
Duuh roo yangu ndogo sana nimelia atari😭
@HadijaVinyu3 сағат бұрын
Asante kwa movie nzuri mungu Akubariki, usiache kutuletea season 2🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Aishaamir-w9u56 минут бұрын
😢😢😢ety ndio imeisha jamn😢😢😢😢
@BAHATIHAMADI-h5qСағат бұрын
Jamani movie nzulijamani muwemunai tumahalaka
@KhadijahKinyuri2 сағат бұрын
Week nzima had mwapoteza mashabik jirekebisheni
@ManesoAa3 сағат бұрын
Napenda sana melisa kwa kweli😊😊❤❤🎉🎉🎉
@JladyKadzo4 сағат бұрын
Eti final jamani chande movie zako tamu ila jitahidi zikuwe ndefu angalau mashabiki wako tufurahi