Ding'Ano you said the truth about diamond platnumz keep up work kkkkkk 🎉🎉🎉🎉❤❤🇿🇲💤👍
@sultansultans9462Ай бұрын
Ding'ano safi sana 💯 mpe ukweli diamond ni ushamba ulio ongea aibu.
@nuhumaalim4976Ай бұрын
Aibu ww kila mtu na ndoto zake dunian au ww unais bila ya ndoto ww mwenyewe ndoto zako kuwa mganga mbona hakuna wa kukuingilia
@ashapearubart2624Ай бұрын
@@sultansultans9462 aibu gani. Kila binadamu ana ndoto zake. Shuki za roho zimewaja.
@dorothmsovela5501Ай бұрын
Mbona makasiliko achen na ndoto yake wewe pambana na maisha yako
@oscarmusa8522Ай бұрын
Kweli kabisa big up ding’ano
@BennyCrisantoАй бұрын
Após sawa Meneja .❤❤❤❤❤👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼🏆🏆
@SMLS995Ай бұрын
Acheni ujinga, Diamond alisema anayo ndoto ya kuwa tajiri mkubwa duniani, wala haja sema kama yeye ni tajiri namba moja duniani.
@AbdallahNantinduАй бұрын
Naww ndoto yako nn
@SMLS995Ай бұрын
Ndoto ni haki ya kila mutu. Hata mimi ninayo ndoto ya kuwa tajiri namba moja duniani. Na hakuna wa kuni zuwiya
@barakabarkey9374Ай бұрын
Dinga anaongaga kweli👌🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@sultansultans9462Ай бұрын
Diamond anajiharibia kwa ujinga aliosema ni aibu.
@maulidi8479Ай бұрын
Wewe ndio akili zero
@RamcyeeJunior254-nb9cjАй бұрын
Lakini nyinyi wanadamu
@nuhumaalim4976Ай бұрын
Mbona mshamba ww kila mtu ana ndoto zake uskute ww ndogo zako kuwa mganga ila hakuna wa kukuingilia
@Sadiq-lu8xsАй бұрын
@@sultansultans9462 sasa aibu yke ni nni ata mmi nashukuru na nilicho nacho bt niko na ndoto zangu pia mbone wtu mnamkosoa kwa alicho kisema kila mtu yko na ndoto yke anavotamni ndomaana hatuchoki kutfuta
@RamadhanMbwana-o1jАй бұрын
Afu Wabongo ni washamba wa Magari sana😂
@merinakassembe118Ай бұрын
Ndege iko wapi@😢😢😢
@muddypote8377Ай бұрын
Rick Ross mwenyewe na mziki wake wote na mali zake zote hana hiyo ndoto kuna matajili wangapi duniani na uwapite 🤣🤣
@jimmytsenga3425Ай бұрын
Dunia mapito,unachojaaliwa na Allah swt,wanadamu infaa kua na shkuran ila uroho na ufisi ndio unaendekeza watu kuuza hadi nafsi zao.Diamond ndugu yangu,upo vizuri ila mbele ya Mwenyezi Mungu kuna vipimo,unakoelekeza fikra zako kubaya bro,you are well off man,stop the greed,kua makini unavyo tamania.we are happy for your achievements,lazima tukuambie ukweli out of love 🇰🇪
@AlinaniSiame-d5p14 күн бұрын
you said the truth about diamond platinum🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AmiduArphanАй бұрын
Huyo ameoteshwa na p dd
@KareemRezaki23 күн бұрын
Chameleon n tajir na hajionyeshi namjua na kwao mm n jiran
@EvodiusLaurent-ud7nsАй бұрын
Kila mtu anamtazamo wake kwani ubaya Gani acheni ufinyu wa fikira
@jumajay8496Ай бұрын
Tatizo diamond ataka kuwafanya nyinyi wabongo mafala,yaani diamond kuwakusanya wasanii wote wa bongo kwenye wasafi fastival anajihisi kua ana ndoto ya utajiri hapo lazima akapimwe akili, sisi tunajua diamond anashindana na Ali kiba kwa kila kitu sasa atwambie yeye na Ali kiba nani zaidi.
@LaughKey-f8xАй бұрын
Ukweli ndo huu apa😂😂🔥🔥
@wilbertkigulu282Ай бұрын
Dream big don't limit yourself!
@Itsjaimito_18Ай бұрын
Ana neno mwambino
@HarunaMghunaАй бұрын
Diamond yupo sahihi kusema hvyo ni mawazo lakn mtu hajui aliko tokea diamond
@AmmooSaliiАй бұрын
Wee hata lala kbxa
@tonygee5680Ай бұрын
Loliz lolizz 😂😂😂😂😂mbavu zangu jamani wa bongo jamani 😂😂😂
@harmon_254Ай бұрын
Anzani kueka tz shilings strong than Kenya
@BennyCrisantoАй бұрын
Kani nini nhini wa Tanzânia nunakula nini munajuwa Dunia Au África.diamondi ni Nani apa Africa.amevuja rekodi Gani apa africa.kwa apa munaota sana jamani...😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
@deoselcom9701Ай бұрын
❤❤❤❤ diamond is un stopperble namkubli diamond anaweza kwasabbu mziki kaweza ukimzungumza mtu unamkubali
@officialstone8056Ай бұрын
Akili auna wewe… una suport ujinga kama wa Baba yako diamond
@sylivestermwasile4203Ай бұрын
Angesema Tz sio Duniani bhaanaa
@RomanMwinyiАй бұрын
Ame wazoea wasenge wezake wauza makalio akina lokolee apo wana pagawaaa
@MeenaHassan-fd9vvАй бұрын
Muha mburundi diamond au ramberambe mchemsho au juma lokole anasapoti ushoga 😂😂
@eppiemodestАй бұрын
Ni ndoto zake tu. Imani inatengeneza. Kama ni mtu wa hali ya chini. Mbona Harmonize anadaiwa na kalipiwa na Mondi. Jambo ambalo hujajijua.
@KulindwaАй бұрын
Kila mtu ana ndoto zake, lakini si kila mtu huzitimiza ndoto zake kwa 100%
@merinakassembe118Ай бұрын
Msamee kashalamba huyo ile kitu.yake masiki😊ni muoneeni huruna
@humbleshoalАй бұрын
Ana ndoto hizo em mtieni moyo jamani
@merinakassembe118Ай бұрын
Ndege yenyewe mpaka lwo afithi za alinacha
@WilliamChubwaАй бұрын
Acha wivu we unanini kwanz make unaongea Hadi unakela
@adamcharo9327Ай бұрын
Naona watanzia wako na shida..... diamond hayo ni maoni yake
@AbuuMkabugoАй бұрын
Oya watanzania choyo duh Kama huyu dingano pua
@HamadiMgejaАй бұрын
Shidaako ww unawivu na maisha ya mond utapasuka kichwa tu pambania maisha yako mzee
@Hellen-i2yАй бұрын
DIamond endelea na ndoto zako wala usiwasikilize.jilinganishe na kila mtu kasoro Mungu usiogope. Wekeza kwenye kutengeneza vinywaji laini na hard, jenga shule au vyuo, real estate, tengeneza simu, hotels etc Wewe Acha kumshusha mwenzio mpe moyo.
@FESTUSFONDOАй бұрын
haaaa atakua tu
@sadimaliki7811Ай бұрын
Ndoto ya bunuaaasii hyooo9
@danielkipchumba2075Ай бұрын
Uooongoooo! Chameleone alianza mziki Kenya. Ngoma yake ya kwanza yaitwa Nagia walliimba na mwanamziki wa Kenya Redsan, producer alikuwa Ogopa DJS.
@Jal210Ай бұрын
Asiwada ganye Escallade M.200 tu
@MrkigomaАй бұрын
Mond kazingua vibaya mno et tajili wa Dunia 😂😂😂😂😂 acheni kutumia madawa 😂😂😂😂
@SadickHamis-vm1qiАй бұрын
Mbona unatumia nguvu nyingi kaka????
@denismigayi8513Ай бұрын
Wacha bana,unaamini Asake wa Tandale?
@AmiduArphanАй бұрын
Mondi atapata pesa akimaliza mafuta ya p dd
@AmiduArphanАй бұрын
@@denismigayi8513huyo ni mwali tu dem wa p dd Leo atapata wapi
@SamsonMsafiriАй бұрын
Nanyie watangazaj Muna hoji watu wario virugwa na maisha Muna abiisha ptv yenu huyu kenge simpendi na Mr pimbi mwishowe watakua wachawi🤕🤕
@NdenzakoSammyАй бұрын
Salim kutoka S.A,sema uyo monde ni mjinga, tajiri n.1 !!! Kisha marekani au wa Nigeria watakuwa wako wapi. Aache bangi
@fakihassan9021Ай бұрын
Atakua dajiri kilakitu kinasubira
@balexendersun2793Ай бұрын
Kweli hio ni ndoto tu lakini hawezi kuwa namba 1 duniani tuache Ufans tuseme kweli
@daylight1707Ай бұрын
Jamani si kila mtu anamatamanio yake kwani alisema vibaya si kila mtu ywaomba mazuri khaa
@ShanceBoseАй бұрын
Diamond ahache kufuta bangi
@PeterBondoriАй бұрын
Huo dingo hanafaida kwawatanzania ungekufa mujinga sana
@hanifaoman2972Ай бұрын
😂😂😅Pw ❤ ila ww kaka❤
@JordanRichard-s2dАй бұрын
Kwani kua tajiri namba 1 Kuna ubaya .
@AmiduArphanАй бұрын
Ndio ubaya pesa ya p dd Leo utapata wapi
@AmiduArphanАй бұрын
Hawezi kua tajiri tajiri ni p dd tu kama unabisha bisha chawa mondi ni demu wa p dd
@Patrickmaero-v8bАй бұрын
Diamond wacha ndoto
@TresorMajibu-t7wАй бұрын
Wewe diamond siku utamfikia burna boy Yani wasanii wachini anaweza watemea mate
@softrock7155Ай бұрын
Aanze kwanza kuwa tajiri Tanzania, Afrika mashariki, Afrika ili tumuone.
@RajabuSikabwe-rp1ljАй бұрын
Mtu ameshindwa kusaidiya mze aliyemkuza .Yani ndowalishaulia na mamayake kwamba mwanangu Leo nenda uongeyeivi jlanasibu bwana
@kevintuchi8027Ай бұрын
Kuwa tajiri Tanzania yote inawezekana lkn kuwa tajiri Duniani 😂😂😂hapo Sasa Mondi umechemsha na hakuna siku hata moja,maana kuna matajiri hii dunia na hawaongei na ukitaka kuwajuwa bas ingia uwanjani siku moja ndipo utajua kuna wenye Mali zao 👈👈
Tangu akutane na zuchu huyu jamaa hata mziki imemshinda😂
@Iddiamiri-c2wАй бұрын
Akiri hauna ww
@msafirimaulidi5054Ай бұрын
Awa wanatafuta kwenda mjini wasichokijua kila jambo linawezekana
@AdamAmos-rr6fgАй бұрын
Diamond aki ok ngea anawapa kula mheshimu
@flavourboykeАй бұрын
Simba anacheza na akili zenu alafu anawacha mkipiga makelele😂😂😂
@rivaalfanenengo7974Ай бұрын
Ndoto
@queenmilan2024Ай бұрын
NYIE NAE WAJINGA DIAMOND KAONGEA HIVYO OLI AZIME KIKI YA JUX. KAONA JUX ANA TREND ANATAKA AZIME KWA EIVU WAKE. AKIONA WENZAKE WANA TREND YEYE ANATAKA KUZIMA ILI WASIJULIKANE. FIAMOND NI MNAFIKI.
@deoselcom9701Ай бұрын
320k
@Sadiq-lu8xsАй бұрын
Lakini huyo amesema ndoto yke ni hiyo kila mtu yuko na ndoto yke so kama haikua si niswa kwanni wasema haiwezekani kwani wwe ni mungu
@djjailoskyelambeya6072Ай бұрын
I heard your english with rick Ross its very poor english my car show hahhaha
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
Ndoto kabisa
@feruzimuhibu6986Ай бұрын
Unafanya mahojiano na mtu kanyoa kiduku zama hizi then unatarajia Media ikue kweli Bro 🤣🤣🤣🤣🤣
@JovinmahembaАй бұрын
Ila Bongo haters wengi😂😂sasa kawakosea nini kusema anataka kua tajiri wa kwanza sini yeye kaamua kutaka na ww si unaweza waza utakavyo😂 ebu acheni
@bedabeda6348Ай бұрын
Unaongea sana wivuu umekujaa mpaka unasema Bandaranii
@Dawah99Ай бұрын
Mm siwaelewi wanaume wanaokaa kumuongelea mwanamme mwengine kwa chuki na wivu dah, kama hujasoma utaongea tu kama mwehu
@ashapearubart2624Ай бұрын
Sasa watoto wa baresa ni utajiri wa baba yao. acheni roho baya wa boko. Kili binadamu ana doto zake.hata
@Mjeda-q1mАй бұрын
Wewe digano ni mjinga unachuki binafsi mafanikio ya mtu huja kwa namna anavyofikili ata balesa akuzaliwa tajili lakini alikuwa na ndoto na akafanikiwa
@GeorgeJusto-y4vАй бұрын
Sio muongo tu ni pumba laana
@mremaelisenguoАй бұрын
Dingano ni shule inasumbua. Kuwa milinia si lazima utengeneza pesa through mziki. Kuwa milionea haina umri maalumu. Diversifications za Diamond za biashara zikiendea anawaza fika popote
@lawmaina78Ай бұрын
Mazumbukuku mnafikiri utajiri unaupata kwa shows tu? Anaweza akawekeza kwenye mambo mengi ikiwemo madini.
@guilhermematiasbomtipo1416Ай бұрын
Akuna mtuu asiyo Taka utajili. Alisema anataka hawe tajili namba moja 🇲🇿🇲🇿
@timothmwakakusyu4563Ай бұрын
Katika wote ww ndo mwelewa na mwny akili ya kutathimini kwa kina. Maana yeye kasema ana matamanio na ndoto tu ya kuwa tajiri nashangaa wanaompinga, hajasema atakuwa namba moja
@AliAthman-fb6pmАй бұрын
Hata ww hapo ulipo una ndoto
@gabrielmwiya-xd6juАй бұрын
You yourself do have one 😅
@kelvinkatumbo3580Ай бұрын
Iyo ptv na uyo ding'ano wote wasenge kumbe
@eppiemodestАй бұрын
AMESEMA ANA NDOTO. BADOHAJAWA. ELEWA DINGANO WEWE PIA NI MENEJA FEKI
@AmiduArphanАй бұрын
Dingano anaongea kweli labda anapewa na p dd
@AmiduArphanАй бұрын
Ukibisha wote wasafi wanalipwa na p dd
@reganmaiko1644Ай бұрын
Kwani mtu kusema nandoto ya kuwa tajiri namba moja kunakosa gani dar ndo zidi kuamini mwamba anaadui wengi sana wangapi wanasema nataka kuwa kama fulani au kisa diamond acheni loho za kwanini kama huwezi ni wewe hata shuleni tuliambiwa waza kupata A ili ukifeli upate Two diamond juuuu
@nuhumaalim4976Ай бұрын
Hawa hawajui maana ya ndoto kazi yao kukurupuka tu kwakua kaongea diamond
@AmadeSalimoSalimo-gw8ijАй бұрын
Zinamsumbua bangue jama
@rashidmexes3629Ай бұрын
NDOTO YA MWENZAKO WEWE INAKUUMA NINI KWANI MUNGU NI WAKO WEWE WEWE MPUMBAV NDOTO YAKO NIKUWA CHAWA WA HARMONIZE
@JovinPeterАй бұрын
Ana laana ya baba ake . Mama ake malaya yeye nae malaya
@djjailoskyelambeya6072Ай бұрын
Diamond hawezi kuwa Tajili namba moja kwa mtano shows zake ni ndogo sanaa yaani yeye amshinde rick Ross na wengine wote kwa utajili hahahha hivyo ni ndoto za ujinga na ushamba diamond hana hela anaota tuu usingizini Tajili kwa kuonyes rick Ross gari lake la roy rizi hahajhaha hawezi kuwa kwasababu tunaona matajili wapo wakona dangote hawasema wakina billgati hawasemi hahah
@KennedyNgusaАй бұрын
Tatizo nini sasa
@CassimMalcolmАй бұрын
HUYU MJINGA ANA BONGE LA PUA ANAJITAHIDI KULIFICHA NA MIWANI
@omarymtotela3751Ай бұрын
Uongo bana 😂😂😂
@nuhumaalim4976Ай бұрын
Ivi huyu munamuhoji chizi kila siku inakuaje
@shadiwaigwa9230Ай бұрын
Watu wa harmo wengi ni WA vuta bangi
@saidkiplasta8853Ай бұрын
Kwani si kila binaadam ana ndoto sasa yeye kasema ana ndoto na sio tajiri wa dunia ila wabongo kwa chuki na uyo anaesema ivo anagaiwaa hela ya kula tu na harmonize
@MagrethEvaresth-dd1lbАй бұрын
I'll kwel
@HospiaceMataАй бұрын
Huyu akili haimtoshi kuliko MO tajili WA Kwanza Africa kijana lakini hakuwaza kuwa namba moja afrika
@timothmwakakusyu4563Ай бұрын
Nani kakukwambia hakuwaza? Uko ndani ya mawazo ya MO, tatizo lenu mmeshindwa kumwelewa mondi yeye hajasema atakuwa kasema ndoto yake au matamanio yake ni kuwa sio atakuwa... Ndoto kama hiyo ni ngumu kutimia ila Mungu akiamua bhana acha tu watu wanatoka mbali. Mimi nilikuwa na ndoto ya kumpata Irene Uwoya kama ilivyo kwa Dogo janja alivyokuwa na ndoto hiyo mwisho wa siku Dogo janja ndoto yake ilitimia na mimi haijatimia na kwasasa Wala simtamani Tena. Maana yake ndoto inaweza kutimia au la... Wengi Wana ndoto kubwa sana ispokuwa hawasemi hadharani, THINK BIG bro hata kama unaona mlima mbele yako. Sijajua kwanin wanampinga mondi kama sio chuki
@NathanielmwangemiАй бұрын
Nyote vichwa panzi,ishi maisha yako achana na simba,amesema ndoto zake wewe sio Mungu u-limit mafanikio yake
@nurdininurdinihetiАй бұрын
bwek mwambino
@barackmudi8728Ай бұрын
Unachanganikiwa na nini hiyo ni ndoto jamani msipagawe IPO siku ataoa amejikojolea