Safi sana,shupavu sana,utapata cheo kwa uwezo wa allah 🙏🏿
@JosephinaKupuya Жыл бұрын
Yuko vzr ameongea point pia anaonesha kuipenda na kuithamini ajira yake hongera ndugu kwa kazi nzuri
@kayumbasosthenes35969 ай бұрын
Mimi pia nmempenda pia japokuwa hajajibu vema,jibu nihivi niheshima na nidhamu kwa mwenye kukuzid cheo,kapiga gwaride kwa kutanua njia watakqyopita na salute kwa wakuu big up
@Andrewbendera Жыл бұрын
Kazi kazi All the Best Soldier.. %
@ramadhanihamisi9393 Жыл бұрын
Hongera Sana jinsi ulivo ongoza msafara wa mweshimiwa rais Ally mwinyi mungu akutangulie Raha sana
@hassanrashid9436 Жыл бұрын
Safi kaka nakukubali uko vizuri umewakulisha vizuri kambi ya bomani pia big up.
@takrimumakame227111 ай бұрын
Hongera sana bro Nassir wew ni mchapa kazi, kazi iyendeleeeeeee
@AbbrahamChellah9 ай бұрын
Baba yako huko alipo anajivunia sana kaka na hata sisi wanatanga wenzako tunajivunia kupata habari nzuri kama hizi kaka, mwenyewzi Mungu zaidi kukubariki kuja boy. Kwaminchi umepata jembe
@hassanmsipi4094 Жыл бұрын
Aaaakh!!! Maa Shaa Allah Mwanangu Sana Tanga Moja hiyo
@Sampertz Жыл бұрын
Anko nassir mwanyevu pangarawe icon never give up mjomba🙏🏻
@fadhilplatnumz8474 Жыл бұрын
Nimemkubaali sana huyu mwamba 👍Apewe MAUA yake nimepja KAZI mahiri
@rithadonatus8110 Жыл бұрын
😂😂😂😂 maua
@sam-l3z9i9 ай бұрын
Trafic yupo vizuri sana ❤❤❤❤❤❤
@UstadhImran Жыл бұрын
Mashaallha kazi nzuri💯
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Halikuwezaaa kuzowelaas au hakika pigiwa pichaaa zikarushwaaa hivyooo alivyooo fanya ndioo utaratibu kazi nzuri kijana
Hakika uko vizuri nimeipenda hiyo uko makini na kazi yako
@athanasekiyoja8369 Жыл бұрын
Huyo ni askari, turn out yake, yuko sawia,mkakakamavu ,smart,uwezo kujieleza yuko safi.Kwa ujumla huyo Ni askari.
@ShabanisaidiMsangi-jg6uq8 ай бұрын
Ndio kazi inayompa maisha mjini
@edithaeugeni9695 Жыл бұрын
Na kukubali sana kamanda umejieleza vizuri sana
@ashiriiyulu6430 Жыл бұрын
Makini sana
@ibni_H2TL6r10 ай бұрын
MACECHU STAND UP ✌
@aminasaid4771 Жыл бұрын
Hongera sana
@Amourharoub-rf1tc9 ай бұрын
All the best Afisor
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Anapenda sifa mwambie sifa mbaya izotabia zakufukuza daladala kwa honda ili kulazimisha rushwa atapotea
@salmahalfani6307 Жыл бұрын
Kwa roho zenu mbaya.
@AsmaAmeir-l6w Жыл бұрын
Kama wew si konda au dereva lazima utasema kuwa tuna roho mbaya ila anaemjuwa huyo kama mim hiyo tabia ya kukufata na chombo anayo mim ashikamata sana tu anajita mandonga
@NasriyaYussuf9 ай бұрын
Hongera sana best wangu
@gimbagembeyale52529 ай бұрын
Bravo🎉🎉😮
@raymondcreditconsultant50678 ай бұрын
KAZI nzuri makanda
@KarimuYusuph9 ай бұрын
kazi ipo kwenye damu safi sana kaka
@mswaki_newstz10 ай бұрын
Very nice,, congratulation soldier
@nassormessi-zk5cz Жыл бұрын
Mungu Amjaalie apate cheo Amin ila Nchi hii ina Fitna sana na uchoyo Wonderfully Kamanda Piga kaz
@jebellwallace3509 Жыл бұрын
Cheo cha kazi Gani?
@mwajunassibu4192 Жыл бұрын
Mashalwahu kwa ulakamavu wako
@hassankaduara4369 ай бұрын
Nzur kak 🎉
@mohamedkondo-tq2bm Жыл бұрын
Hakika huyu askari sio mbinafsi akiongea asemi yeye anasema sisi. yaani askari wote wapo kama anavyo fanya yeye
@jelaategroup3750 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@boraimanijumamahenge7554 Жыл бұрын
Long life blood... Askari ameweza kinoma 😂
@AbuuKilave11 ай бұрын
Kamanda nakupa maua yako upo vinzur nakuombea kwamwenyezi mungu upate cheo kikubwa zaidi
@Lundege_Hips Жыл бұрын
Huyu Askari ni mnoko sana namchukia sana
@murattywamuratty9778 Жыл бұрын
Huo ndio uwaskari lazima uwe mnoko kwenye sheria kuzisimamia, maana ili askar awe mnoko aende kinyume na raiyaa anavyo taka
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Mnoko kweli aambiwe
@thomasgogomoka6404 Жыл бұрын
Unoko ndiyo uaskari wenyewe
@JumaMsukwa-bu5nt Жыл бұрын
Vizuri sana
@abdulkareemchacha2625 Жыл бұрын
Safi sana👍
@Lundege_Hips Жыл бұрын
Huyu jamaa ni mnoko balaa anaongoza kwa kulazmisha kula rushwa Ukweli namchukia sana
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Umeongea pwent broo
@aliiddi608 Жыл бұрын
Angalia account yako Ina picha Gani basi Kisha sema hisia zako. Njia unayotumia kujiweka huru sio salama kwako
@baaliyanuun416 Жыл бұрын
Wwe ni fala mbwa ww
@shabanihamis-lc3ww Жыл бұрын
Jina lako peke yake linashabihiana na tuhuma zako kwake kwamba nazo ni za mchongo!!😅😂
@dr.alexmagufwa9131 Жыл бұрын
Good job
@osodowilberforce2321 Жыл бұрын
Congratulations Corpral,very smart and very alert.
@allythabiti8150 Жыл бұрын
Kijana wangu, nakuona sheikh naona umeiva,,
@KadabraGadna-xu5ez11 ай бұрын
Namjuwa huyu Askari namjuwa,Hana tamaaa nimuelewa sanaaa,huyu jamaa sio mtu wa rushwa kabisa ila wapo hapo malindi sub Hana ALLAH
@feisalboy6702 Жыл бұрын
Nyny waandishi tafuteni habari za maana km hamna bora tulieni tu ss ndio kuna kipya gn alichokifanya hapo
@barackhussein312 Жыл бұрын
Tanzania unatrend ukifanya majukumu yako. Halafu haya yanatokea kwa kuwa hatuna standard za kuongoza hivi vitu so watu wanatumia utashi binafsi kufanya majukumu.
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Anapenda rushwa huyo
@YasrFak Жыл бұрын
Yuko vizuri kuna siku alinikaamata akanifahamisha tu bila pesa akaniachia hana Tamaa tofauti na askali wengine niliona kweli watu hatufanani
@othmannkya5837 Жыл бұрын
Ila hapo traffic akikosea upande wa msafara... Maamuzi yanakuwa yapi, watamfwata traffic, au wataendelea na protocol.. af wazungumze baadae issue ilikuwa ni nini
@nassorrashid2419 Жыл бұрын
Mashallah
@saumuothman7196 Жыл бұрын
upo vzr kaka,,ALLAH ATAKULINDA
@aminaaminahmuhammad8838 Жыл бұрын
Nice job
@mbarakazuberi7915 Жыл бұрын
Wabongo washamba sana ivi vitabia vya kuonyesha funguo za gari ndo nini si uiweke kwa mfuko tu
@alextanzania Жыл бұрын
Fanya yako
@salamasaidi6620 Жыл бұрын
We mshamba zaid ya watanzania wote 😁😁😁😁
@daudjohn752 Жыл бұрын
Funguo ya pikipiki TVS mzee wala sio gar Ako proud na pikpik yake😂😂
@mbarakazuberi7915 Жыл бұрын
@@salamasaidi6620 haha aya inawezekana nikawa mshamba ila uyu amenizidi na ndo munauzaga sura kwa kuonyesha onyesha funguo ulimbukeni utasema mtu mwenye miaka 18 kumbe jitu zima
@jumannemfaume Жыл бұрын
Very nice smart kabisa
@ErnestChrispin-ob2rn11 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@aloyceponela324910 ай бұрын
Safi sana maiki
@AbdallaJuma-ih4ib10 ай бұрын
Kazi iendelee
@ramadhanijumapugilaleo Жыл бұрын
hongeren sn
@waytvtz2549 Жыл бұрын
Mnakuza vitu vya kijinga Kwan Kuna maajabu gan kwa huyo Askari si yupo kwenye moja ya utekelezaji wa majukumu yake ujinga tu ndyo maana utendaji watanzania ni duni sana
@officealomarion8066 Жыл бұрын
Kbx yn kuna vitu muhimu hawajadil
@jamesjustine2811 Жыл бұрын
Sifaa zinatrend kuliko mambo yabandari
@saidrakwe8727 Жыл бұрын
👍🏿👍🏿❤️
@msellemseif3102 Жыл бұрын
Na mimi nimeyajua majina yake matatu kwani akinikata nimezidisha abiria hutuambia nipe majina yako matatu 👍👍👍🤣🤣
@hassanchudy Жыл бұрын
Hhhhh
@princes6045 Жыл бұрын
Good job son
@JamesLameck-n1v9 ай бұрын
Noma
@venitarugemalila9290 Жыл бұрын
Weweeeeeeeeee safiiiiiiiii kamanda hii ilikuwa ni kazi uliyoipenda from kumoyo hujalazimishwa
@kiyabolnjemu9646 Жыл бұрын
Kinyozi nzuri anayetumia wembe na kitana
@tausimwalimu9255 Жыл бұрын
Hahahahaaaaaaaaa
@mazeenipia8782 Жыл бұрын
Good job mkuu
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
gari kali.za.kifahari nchi.hoehae
@alexvenas2699 Жыл бұрын
Aibu
@MasiayaNganeni Жыл бұрын
Masiaya
@mohamedrishadiahmed. Жыл бұрын
Nzury sna kamanda wa polisi kwa unaa wako ulotuonesha tunaomba polisi wengine mfate km kamanda koja.
@msellemseif3102 Жыл бұрын
Bro. Hunaga makuu wewe af Jabir af Jahfar nk..ZANZIBAR OYEEEEEEE❤️❤️❤️🤣🤣🤣😂😂😂
@AhmadKhalifan-bf3ic Жыл бұрын
Hawa wajirekebishe zanzibar trafic wanafanya kazi kichuki ila kumbukeni nyinyi mlikuwa raia na baada ya kaazi utarudi kua raia
@KUPASteven Жыл бұрын
Good job offisa
@anthonymilambo6038 Жыл бұрын
Good kijana.
@aimanankya740510 ай бұрын
❤
@aminamrisho8878 Жыл бұрын
Congratulations
@kiazikitamu3985 Жыл бұрын
Hii kazi inawaweka kwenye hatari ya kifo any time we can do better than this huu mtindo ni wa kizamamni sana trafiki kisimama barabarani wekeni trafiki light zitawaongoza wapi pole sana askari kazi hujui kama utarudi nyumbani kila siku naona umasali usigongwe.
@rostamkamazima10128 ай бұрын
Ilimradi tu wajuaji hamkosekani
@papaamakolokolo386811 ай бұрын
Hizo nimbwembwe 2 kinacho kufanya tukuheshim niutendajiwako siyombwembwe hizo he upotimam kikazi?
@abdillahchikota4303 Жыл бұрын
katikati ya mji wa zanzibar kivip?
@adaboychibu1659 Жыл бұрын
Hivi mmeishiwa habari au?sasa hapo nn cha ajabu🤔
@hijazhija316 Жыл бұрын
Chuki wivu
@othmannkya5837 Жыл бұрын
Hapo ukijichenga inakuwa kama yule traffic aliyejiua kwa kukosea kuongoza msafara
@dullahrajabu64189 ай бұрын
Khoja
@khamisrubea508311 ай бұрын
Ki today kakiweka wp ?
@hafidhali302011 ай бұрын
Ali Mwingi ana msafara kama raisi kweli
@suleimanamourmohammed890 Жыл бұрын
Hakuna asiemjua kwa rushwa..hafiki popote huyo
@baaliyanuun416 Жыл бұрын
Fala ww
@kurumwagodfrey7052 Жыл бұрын
Safiiiii
@nassirali7499 Жыл бұрын
Interview za kipuuzi kabisa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe.
@jadenmsafi Жыл бұрын
Fanya ww isiwe ya kipuuzi
@cholosadi4352 Жыл бұрын
Bora usifanye lakin jamaa ovyo huyo Nasir
@nurisahim7898 Жыл бұрын
@@cholosadi4352mjinga ana sifa kwel kwel
@highvoltages4169 Жыл бұрын
Comment hii ya Nassiri Ali ni Comment ya kipuuzi kabisa kuwahi kutokea tangu dunia iumbwe