Asante sana Mungu awa bariki sana na Nina furai sana kabisa kwaio kazi mulio ifanya kwa kuonesha ukweli wa mulenge
@kibengetv2 жыл бұрын
ASanté, Ila tuna itaji mchango wenu ili ku endelesha kazi
@newheavenasumani74122 жыл бұрын
Kazi nzuri sana
@kibengetv2 жыл бұрын
ASanté kaka
@Jimmy-ht5bu2 жыл бұрын
Hapa siyo mulenge Brother
@kibengetv2 жыл бұрын
Niwapi
@Farajahelene230312 жыл бұрын
i love the song
@Farajahelene230312 жыл бұрын
baba wa asili ya bafuliru nakupenda sana na pia nawaangalia kutoka america kaka mtangazaji una maswali mazuri sana wewe ni mufuliru lakini haujuwi kifuliru vizuri
@kibengetv2 жыл бұрын
Tuna itaji sapoti kutoka kwako ili kurikisha TV mbali , nakuzidi kupata nguvu yaku Pata vipindi
@georgevenant34862 жыл бұрын
Bafuliru turambe
@byaruremakabemba75092 жыл бұрын
Asanteni sana vijana
@kibengetv2 жыл бұрын
ASanté, Ila tuna itaji mchango wenu ili ku endelesha kazi
@maimai48312 жыл бұрын
👍👍
@swalekhRamadhani Жыл бұрын
Nawaobeni mzingatie Hilo kwani Kuna mzee mwenye matoto wajukuu mpka vitukuu anatamani sana kuludi kwao Ila Hana pakuanzia
@mberaseba4667 Жыл бұрын
Nyinyi wapashahabari wa kibenge Muna ubaguzi kabisa ha mustahili kuwa watangazaji kabila la wanyamulenge wa meishi hapo kitambo sana bado wafuliro kuja hapo sahii hamuwezi kuwapata wako milima mirefu itombwe fizi na uvira hapo ndipo mutapata munyamurenge sahii
@nakishukamurande2 жыл бұрын
Akaya kitu ndaho munda kagagenda umunyarwanda atagakihasha tuliri biringini
@eddylutumba27752 жыл бұрын
aksanti
@maimai48312 жыл бұрын
Uko mwana ume
@espoirkilongoitel Жыл бұрын
Siku nyingi kabisa KIBENGE Wakati vijana walio jituma juu ya KIBENGE naona kabisa, kigogo ASUMANI ROSHA MAARUFU KAKA MJOMBA SHUKRANI KWAKIONGOZI ALIYE TUJALI kwa wakati huo BABA KA F
@swalekhRamadhani Жыл бұрын
Jamani je ss wafulilo tuliozaliwa Tanzania mnatusaidiaje maake tunapenda xna kuludi nyumbani lkin hatuna pakuanzia tunaomba msaada wenu Kwan hata kabila letu hatuwezi kliongea
@rodriguerema12132 жыл бұрын
Towa uchafu apa
@patrickkwibe44317 ай бұрын
Umeguswa kwa sababu wewe ni Munyarwanda unaye jiita kuwa ninyi ni wakongomani 😂 halafu mukajipatia jina eti ninyi ni wanyamulenge bila hata aibu
@princekid00111 ай бұрын
Wajinga nyinyi muko na ulemavu wa akili😂😂😂
@kwezymarley85522 жыл бұрын
Acheni ubaguzi nyie
@shukurumsebaloli2 жыл бұрын
Acha upumbavu watu wana leta mwanga kwenye giza wewe unasema eti ubaguzi acha ujinga