FRIJI BOVU SAITAKUAJE .ELIE MPANZU KUCHEZA KESHO DHIDI YA KEN GOLD? HIZI HAPA SABABU ZAKE#azamfc #football #footballclub #globaltvonline #live #millardayo #simba #wasafi #simbasc #yanga
Пікірлер: 21
@magrethsagini72572 сағат бұрын
Ingekuwa vyura siku nyingi tayari
@IsraelJacobo-r9r4 сағат бұрын
Ni uzembe kwa mujibu wa maelezo yako! Upo sahihi brother🎉🎉🎉
@KelvinMwela14 сағат бұрын
Unaoneje Simba wange msajili namba 6 wa Azam Adofu?
@geraldjoshua15554 сағат бұрын
Simba inaendeshwa kiswahili sana ,mimi ni simba na sipendi viongozi wetu wanakuwa sio wafuatiliaji kabisa ni wazembe sana
@omarkipotwile90522 сағат бұрын
Uongozi wa Simba kuna mahali inabidi ujitafakari sana, hii ni fedheha na sio sawaa
@magrethsagini72572 сағат бұрын
Viongozi wetu wazembe sana miezi mitatu yote tulijua tunamuona wanatuvunja moyo sana
Sasa walimsajiri wa kazi gani kama hadi hivi sasa bado hatacheza
@Benzeema_graphics13 сағат бұрын
Ss kaka mkubwa utamalizaj izo taratibu Kam dirisha halijafunguliwa au hujui km Kun barau lazim zitoke kwenye shirikisho...soma nakukubal San ila hap umefel kidg
@YusuphShabani-y5v2 сағат бұрын
Simba Aiwez kufatilia bila ya dilisha kufunguliwa kwahiyo viongoz wapo sahi mech ijayo Akikosa tunaweza tukawalaumu