FRIJI BOVU ANGUKO KUBWA KWA YANGA UBINGWA NDIO BASI TENA NJIA NYEUPE KWA SIMBA BYE BYE RAMOVIC #azamfc #football #footballclub #globaltvonline #live #millardayo #simbasc #wasafi #simba
Пікірлер: 56
@MalimaMalima-v2u4 күн бұрын
Kaka nakukubali sana unachambua vizur sana
@aginsagins-jf4vz5 күн бұрын
😂😂😂😂😂 alooo raha kwetu wana simba
@MwimbaKmai5 күн бұрын
Mimi Tayari nimehamia Simba ubaya ubwela
@MAJALIWABROWNMWAKIFUNA4 күн бұрын
Nafasi za kuhamia hatuna
@aminaabdalla-uo9zq4 күн бұрын
Nafac zimejaa😂😂Baki t huko
@abdallahshariff65554 күн бұрын
Mkaribisheni,sisi hatuna roho mbaya
@IsiraelMwandupe4 күн бұрын
Tusizuie mashabiki kujiunga nasi, ila tuwakaribishe kujumuika pa1 kula raha.😊@@aminaabdalla-uo9zq
@khadijahussein52984 күн бұрын
@MAJALIWABROWNMWAKIFUNA😂😂
@AmirSambala5 күн бұрын
We Brother Unatisha
@annamagayane25994 күн бұрын
Ameogopa sindano na uchawi😅😅😅😅😅😅
@fredgonga4 күн бұрын
Makolo hawajui hata wamuhonge nani! Maana kila kocha wanaempa hela anawakimbia.
@abdallahshariff65554 күн бұрын
Mlisema hafai,wenye mpira wao wanambeba,Mzungu hapendi hapendi ndumba😂😂😂😂
@VictorIshengoma-v4y5 күн бұрын
Ngoma ya watoto haikeshi. MAGOMA ANA HOJA
@HABIBHASSAN-wf5mr4 күн бұрын
WEWE ONGELEA HABARI ZENU ZA SIMBA
@IsiraelMwandupe4 күн бұрын
@@HABIBHASSAN-wf5mr Mbona mapovu mdomoni! Mpira raha mjombaaaa, masindano yanalevya, mzungu kuona mhhh ushindi lazima uwe wa mchongo!!
@PamelaHezron3 күн бұрын
Injinia anajua fika kocha hamna kitu ushindi wanapata kwa kununua mechi .
@emmanueljoshua47745 күн бұрын
Ubaya ubwela Wana tapatapa
@anthonymilinga86964 күн бұрын
Maji na mafuta vimesha anza kutengana. Pole pole tutaelewana tuuu.
@SamsoniKaka4 күн бұрын
🦁🏆🏆💪💪💪💪🙏🙏
@ZumaAmangu5 күн бұрын
Taharifa za nazani😂😂😂😂😂
@FaustaMahimbokisara5 күн бұрын
Huo ndio ubaya ubwela unawatafuna
@bartholomewasorael66164 күн бұрын
Kinacho wachanganya Yanga ni matokeo ya Simba SC hakuna kitu kingine😅😅😅 Ubaya ubwela wataelewa tu
@RodgerWaziri4 күн бұрын
Utopolo muache matusi muliomba wenyewe mcheze na maraika hao sasa fjibovu wambie hao mmbwa hayana akili nimatusi ndowanayo jua mpira aaaaah hamna kitu wasamehe bulle wamevurugwa
@raphaelnovatus70855 күн бұрын
Wamestukia mtego wa dabi kwa ramo tungewanya vibaya vibaya😂
@JohnsumlekLemayan4 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@paulmndeme4 күн бұрын
RAISI WA YANGA UKOWAPI UNAYARUHUSU HAYA
@abdallahshariff65554 күн бұрын
Bila ya Heris hakuna wa kumtimuwa,mtayamba na kukoyola
@AshaShariff-lr6ry4 күн бұрын
Sasa CV gani aliyopata yanga kuishia makundi ambayo gamond aliwafikisha acheni uongo na hiyo timu anayoenda hamna taarifa wamefukuza coach kwa sababu wameishia makundi wakachukue coach ambaye hawakuwapeleka uto robo inafikirisha acheni uongo
@fredrickkweka84734 күн бұрын
Point Moko tu,ndo habari ya town.ubaya ubwela
@AmirSambala5 күн бұрын
Acha Wapoteane2
@essaumapunda57664 күн бұрын
Ubaya ubwela unawatafuna utopolo
@MakarotiKamugisha4 күн бұрын
Kocha sio shida bali wachezaj wazee
@JonathanMGAIWA-ow4py4 күн бұрын
Watu wasichukulie matokeo anayopata yanga kwenye ligi sio uwezo wa kocha wala wachezaji, ni mipango ya nje ya uwanja. Kumbuka kauli ya kocha kuwa ligi dhaifu, huku timu ikifurumishwa kimataifa.
@AmeKhamis-ic8rf5 күн бұрын
Wengine machawatu siosimba waukweli
@MussaKhalf4 күн бұрын
Nenda katengeneze friji lako kwanza ndio uje na kilichobora 😡
@AkramIbrahim-m6x4 күн бұрын
Kwani Wewe Una Nafasi Gani Ktk Timu Ya Yanga Halafu Hawa Watu Washenzi Wanapenda Kutaka Kujuta Mambo Ya Ndani Ya Yanga Hamtoyajua Abadaan Mtabaki Na Hati Hati Ya Yanga Hamyapati
@kassongokittapa77624 күн бұрын
Hayo matokeo ni kwa sababu ya Kocha au BAHASHA?
@HawaMkomwele4 күн бұрын
Huyu kocha ni mcha Mungu sana hivyo hawezi kuendelea na uharamia unaofanywa na klabu ya yanga kupitia GSM hataki dhuluma Hilo nampongeza sana kwa kuona Kila kitu
@IbrahimAlharthi-i4d4 күн бұрын
Tunataka maoni ya Halima Kenge aliekuwa kila siku anamuandama Mnyama kwa matusi na maapizo,