🛑FRIJI BOVU : SIMBA HAWAKATWI POINTS KISA KAGOMA , KAMATI NDIO IMEFELI

  Рет қаралды 13,058

MFALME WA SOKA

MFALME WA SOKA

Күн бұрын

FRIJI BOVU : SIMBA HAWAKATWI POINTS KISA KAGOMA , KAMATI NDIO IMEFELI #footballclub #globaltvonline #simba #simbasc #wasafi #yanga #azamfc #football #live #millardayo

Пікірлер: 41
@AbduliNassib
@AbduliNassib 8 күн бұрын
Nipewe like zangu kwakua wa Kwanza leo
@mohamedrashidi4172
@mohamedrashidi4172 8 күн бұрын
Tff wanapenda sana kuskilizwa yang wanaimiza Simba sana
@dominickiungulia1016
@dominickiungulia1016 7 күн бұрын
Friji Bovu Yuko sahihi , kweli kamati husika inashindwa kusimamia migogoro ya wachezaji kutokana na upenzi wa upande mmoja!
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 5 күн бұрын
nina shangaa sana aisee kamati wanaonaje juu ya yanga namna wanavyo ingilia utaratibu wa simba kamati ya ligi angalieni ihii mambo ina kuaje bwana
@user-wc6dl8kp9p
@user-wc6dl8kp9p 8 күн бұрын
Yanga ndio inaleta migogoro nchi hii na kamati ya TFF inakubali kuyumbishwa na Yanga TFF waangalie kuyumbishwa yumbishwa na Yanga.
@RedmiXiaomi-gm1tg
@RedmiXiaomi-gm1tg 7 күн бұрын
Kaka nakuelewa umeongea point na ndo soka lkn wasiwasi wangu ni huu unaurinzi kaka make nchi hii ukiwa umenyooka tu unatekwa na kupotelea kusipo julikana japo hatuogopi mapambano lkn ndo tulikofikua kwa sasa.
@israelmunuo7938
@israelmunuo7938 5 күн бұрын
Kamati ndiyo inafeli, naondoka na Neno lako Hilo👊
@jamesjames2368
@jamesjames2368 8 күн бұрын
Soka la bongo liko "captured" kuna mtu fulani ndo anaye liangamiza soka la bongo.
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 6 күн бұрын
Hakuna issue hapo Friji Bovu usipoteze muda, Kagoma ni Simba na atabaki kuwa Simba
@yohanamabula7088
@yohanamabula7088 7 күн бұрын
Mimi niulize kuna siku ngapi za kupeleka malalamiko kabla ya mchezaji kupitisha ili achezee timu nyingine na mpaka anacheza
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp 7 күн бұрын
Hii kamati ni yanga watupu
@frankkitomary3878
@frankkitomary3878 7 күн бұрын
kagoma sio mchezaji wa uto wao uto wana utoto mwingi sana
@MohdNguli
@MohdNguli 7 күн бұрын
Hiyo kamati haijui majukum yake ilitakiwa ivunjwe yote itafutwe watu wapya ambao ni wasomi na watu wa Mpira
@user-wc6dl8kp9p
@user-wc6dl8kp9p 8 күн бұрын
Lameki Lawi hakuwa na msimamo acheze tu Coast union Kiherehere chake wakati alisha pokea fedha Simba. Shida hapa TFF Wamekubali kuyumbishwa yumbishwa na Yanga.
@NgaivonNgaivon
@NgaivonNgaivon 8 күн бұрын
Yanga hawajui sheria ya Michezo
@EzyAutomotorsales2
@EzyAutomotorsales2 8 күн бұрын
Yanga inataka kuharibu mpira wa TANZANIA. Wana kiwewe na usajili wa simba msimu huu
@Esterkomba-ef7eb
@Esterkomba-ef7eb 7 күн бұрын
Rushwa imetawala huyo karia amechoka kasha lewa madaraka kidau ndiyo hovyoo.
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 7 күн бұрын
Yanga hawajielewi na hawajitambui na haji alisema yanga wenye akili ni wawili tu
@abdulshah918
@abdulshah918 8 күн бұрын
Utopolo uchawi na wizi na lushwa ndio mafanikio yao😂😂😂😂😂utopolo kweli akili 0
@AdamOmary-fm6gt
@AdamOmary-fm6gt 7 күн бұрын
Kaka tff wanahongwa nayanga na kamasivyo kwanini yanga wana jiamini sana na wanchokitaka yanga nimsamaha tu utagundua
@jofreykabula8973
@jofreykabula8973 8 күн бұрын
Yanga ni wahuni tu wawashitaki singida pia wao Wana makosa
@BarakaMwaikenda-ty1bt
@BarakaMwaikenda-ty1bt 7 күн бұрын
Yanga haina hela
@michaelrugaimukamu8732
@michaelrugaimukamu8732 7 күн бұрын
Kwa maelezo haya Kamati ndiyo inaharibu mpira wa nchi hii kwa kuacha matatizo ya vilabu na wachezaji hewani.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 8 күн бұрын
Ishara ya anguko ilo , waswahili usema masikini akipata tajiri anaweweseka , Yanga wameona usoni picha si nzuri sasa wana tega mtego wakitoto kwamakusudi
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 7 күн бұрын
Tff pia hawajielewi ndo maana GSM kazamini timu Saba wasenge pia
@ramadhanikimweri1240
@ramadhanikimweri1240 7 күн бұрын
Tatizo kamati ndani yake kunawatu wenye mapenzi Mayanga nakupokeahongo kutoka gsm ilikuikwamishasimba hiikamayi niyayanga siyavilabu
@mishlay8164
@mishlay8164 7 күн бұрын
Tatizo ni GSM na Yanga yake , wanapodhamini vilabu vingine ndiyo kosa , angalia wachezaji wanaowekewa vipingamizi ni wale ambao udhamini wao uko na GSM
@davidsimbeye1548
@davidsimbeye1548 7 күн бұрын
Mimi mwenyewe nimekuwa siwaelewi kabisa viongozi wa TFF hasahasa hiyo inayoitwa kamati ya maadili na hadhi za wachezaji. Yaani Simba wametengwa ni kama siyo timu ya Tanzania. Sijui kama viongozi hawa wana nia ya kuendeleza mpira ya nchi. Pamoja na mchango mkubwa wa Simba Katika kuliinua soka la nchi bado viongozi hawa wanasimama upande wa maadui
@user-cv4wh8sg5i
@user-cv4wh8sg5i 8 күн бұрын
Braza tatzo ni udhamin uo wa gsm unakuwag wa kukomoa timu, fikilia kwann Simba tuu wa ndn, anahalbu soka la bongo tff waangalie huo mwenendo xo mzuri
@MasudiAthumani-zj6fw
@MasudiAthumani-zj6fw 8 күн бұрын
Yani usajiri wa mwaka huu nikama mazingaobwe tu.
@mawazochaula3642
@mawazochaula3642 8 күн бұрын
TFF wanatakiwa kutoka na kukemea Kauli mbovu kama hizi, Tff wao wametoa hadi kibali cha Kagoma lakini Klabu inawapanda kichwani
@AshaNchira
@AshaNchira 7 күн бұрын
Tff watolewe wanasababisha migogoro Kwa I hao ni nani?
@waziribori2280
@waziribori2280 8 күн бұрын
TFF wanaigopa GSM yaani soka limeingiliwa RAIS WA TFF hivi sasa amekuwa pazia tu
@user-wc6dl8kp9p
@user-wc6dl8kp9p 8 күн бұрын
Kwa hili Simba wafungue kesi ya usajili wa Chama na Baleke kwenda yanga? Yanga wamesha Ingia na woga kwa ubora wa Simba wanahofia kuukosa ubingwa kwa ubora walio nao Simba. Yanga timu ya propaganda hapa ni kutaka kuwatoa Simba mchezoni. TFF Waingalie Yanga tabia yao hiyo Angalia Feisali mpaka Raisi aliingilia kati TFF Mjitafakari.
@Mpakauseme
@Mpakauseme 8 күн бұрын
Waswahili kwa sana
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 8 күн бұрын
Wewe nae vipi, Simba iadhibiwe kwa sababu ya kutokuweka pesa kwa wakati?, acha kulaumu Kamati, laumu Timu na wachezaji wanaosababisha haya matatizo
@januarysungura8119
@januarysungura8119 7 күн бұрын
Kamati ipo pale kwa shughuli gani?
@YahayaAbdallahMark
@YahayaAbdallahMark 7 күн бұрын
Tff ni taasisi ya nyuma mwiko.
@christianrukurugu4341
@christianrukurugu4341 8 күн бұрын
Wewe nae vipi, Simba iadhibiwe kwa sababu ya kutokuweka pesa kwa wakati?, acha kulaumu Kamati, laumu Timu na wachezaji wanaosababisha haya matatizo
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 8 күн бұрын
Kiazi huyooo😂
@januarysungura8119
@januarysungura8119 7 күн бұрын
Kamati ina kazi gani kama mambo yatakuwa sawasawa
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 19 МЛН
MO DEWJ  UBAYA UBWELA
10:50
KARIAKOO CONGO TV
Рет қаралды 2,5 М.
"PALE YANGA NAMBA YANGU IPO" MSIKIE FEISAL SALUM AKITEMA CHECHE
10:53
WOLFS SPORTS MEDIA
Рет қаралды 27 М.