Wewe mpira unajuwa yanga wamecheza mpira wakawaida sana namungu mbovu
@ernestkamata2555Күн бұрын
Huyu jamaa anaongea ukweli sana.
@jaffarishabaniКүн бұрын
😊sasa mara muna nijikanyaga na kauli zenu yanga ikifungwa hata ikiccheza vizuri munasema ikifunga hamtaki😅😅😅 waandishi mashabiki acheni unafki
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Mimi friji bovi nakukubali sana
@SalvatoryMtungaКүн бұрын
Kichwa tupuuuu hatariii.
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Kabunda masawe wote yanga
@RajabkhamisRajab2 күн бұрын
Wewe Kila kitu Cha Simba kizuri Cha yanga kibovu
@SaumuSaidi-z2vКүн бұрын
Mabeto anamchanganya
@SheikhMusa-z4e2 күн бұрын
Shida ya waandishi wa tz na wachambuzi munalazimisha yanga iwe kubwa wakati Haina ukubwa wowote, timu imecheza robo fainali Moja TU, lakini utazania imecheza failali mara tano, Kuna timu zimebeba ubingwa zaidi ya mara tano, lakini hawajigambi, wachaneni na bahasha yanga timu ndogo sana hata kumi Bora Africa hawako, Leo Kila kukicha yanga yanga, hamna timu hapo munaikuza tu
@WinnieJamesMichael-yi9jm2 күн бұрын
Uko sawa ila kimataifa tuwape2 heshima yao.maana sioni timu za ligi kuu zinazoweza kuleta ushindani tofauti na smb N yanga zingine porojo2
@stevensosipitaКүн бұрын
TUMEWAFILA MARA NGAPI NJE NDANI?TULIZA KIPAPA WEWE
@kiwakhalid4981Күн бұрын
Semaji la simba upooo? Huna jema lolote zuri kwa yanga?
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Engener hersi katumia akiri sana bila ya hivyo utoporo wangemto wangemkataa akiri nyinga na hongera hersi mjanja
@Josephtibu-l9eКүн бұрын
UBAYA UBWELA
@makameJuma-ex3psКүн бұрын
huyu jamaa anaipenda sana simba
@bahatimshali2731Күн бұрын
Ni kweli, ila anachosema sio kweli?
@ZabibuMwendaКүн бұрын
Bila kujidunga hamna kitu
@RashidSadala-f2q2 күн бұрын
Sio namungo wamedoda hapana bahasha hiyo
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Dube aombe msamaha kwa Azam fc
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Mimi namkubali sana musonda na wakimuacha simba wamchukue
@IsraelJacobo-r9rКүн бұрын
Mzee wa JVC, umenikumbusha Jana baada ya timu yangu ya ARSENAL kutoa dose mzito, kono la nyani! 👊
@sophiandumbaro170919 сағат бұрын
Et kuokota we mwehu nini?
@KosovoNaiiem2 күн бұрын
Bila ya ushindi leo engener hersi waswahili hao wangekukataa akili nyingi
@chiefnumborecords4819Күн бұрын
Eti yanga imechwza vibaya duuuuh ebwanaaeee ivi juzi ujaiona simba ilivyocheza nchecheme nchecheme uku sema simba wamecheza vibaya ila umeisifia pira lilili chezwa na yanga jana usifii unasema yanga imecheza vibaya ivi wewe unajitambuwa kweli?
@malietamalietКүн бұрын
😂😂😂😂hii bongo Ina mambo mmechukua ile sauti ya nyuma ya mwamposa tunayoisikiaga mmeileta kwenye uchambuzi wa mpira😂😂Endelea kuwapamba sai sioni mkizungumzia GSM marefa wanaotoa penat Kila mechi tukikutana mzunguko wa pili muanzishe mdomo wenu WACHA-MBUZI
@chiefnumborecords4819Күн бұрын
Tunasubiria tu nyie ropokeniii alafu tukiwafunga Tena mtaanza kulia na Gsm na kutaka kuhama nyie SI wachambuzi WA kuisifia simba tu pekee sawa ipo siku yenu na Mimi nawaaidi Tena mtashika nafasi ya NNE au ya Tano makolo mtalia sanaaa
@abubakarsaid73032 күн бұрын
Wachambuzi wengi wa tz wamekua kama waganga wajadi
@vicentsagudasheyi5642 күн бұрын
Chuki tu ndio umejaza moyonj mwako
@DuniaShabani-v7uКүн бұрын
Mbwa huyo ameumia sana
@RajabkhamisRajab2 күн бұрын
Wewe una chuki sana na yanga ila Kuna siku utaumbuka
@bahatimshali2731Күн бұрын
Watu hawaoendi ukweli. Kwani, Mwamnyeto hajafanya makosa mengi? Kwani, Ki hakucheza chini ya kiwango?
@stevensosipitaКүн бұрын
WAANDISHI ANGALIENI WATU WA KUHOJI UNAHOJI MTU ANAYEUMIA ROHO NA YANGA?UNADHANI ATAKUPA KITU GANI ZAIDI YA KUIPONDA YANGA
@GidionPeter-k8y2 күн бұрын
😂😂😂😂
@adamernest82262 күн бұрын
tupunguze story au mihemko mpira wa sasa sio maneno tupu bali ni taaluma tujuze kama mtaalamu wa soka na sio story tu
@kadirichannelonlinetv4258Күн бұрын
We kuma2 tengeneza timu yako tuone itafika wap mbwa ww
@Mtakujapaschal-yj8jeКүн бұрын
Acheni zenu kwani Simba anefika hats fainali CAF? Lakini mbona tambo nyingi sana yaani robo tano tu manenooooo