MFANYABIASHARA ULOMI APOTEA, FAMILIA YAMSAKA HADI MOCHWARI, POLISI WATOA KAULI

  Рет қаралды 16,570

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 56
@rehemamahendeka-rm2ek
@rehemamahendeka-rm2ek 15 күн бұрын
Mungu wa huruma kwa nguvu zake amfanyie wepec ktk madhila/shida anayopitia na awajaze subra famili hususan Mkewe,Mungu tenda utukufu wako kwa kjn huyo arejee kwa salama kwa familia yako,Amin Amin Amin !
@NeemaJuma-xn9nw
@NeemaJuma-xn9nw 15 күн бұрын
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki,, tuwe na Imani atapatikana tu akiwa salama.
@hallin9561
@hallin9561 14 күн бұрын
Wew ndiye ulimuhifadhi au ndio lugha zenu za kuwapa faraja watu
@vero57
@vero57 15 күн бұрын
Inabidi sasa hivi usiwe unaenda kukutana na watu au mtu ukiwa mweyewe ongozana na mtu , hii ni hatari sana, ee mwenyezi mungu tusaidie
@Nanah18
@Nanah18 14 күн бұрын
Yaani sio kuongozana na mtu, uongozane na watu kabisa, hata sita, maana wawili watatu mtatekwa wote
@johnjplusfood2135
@johnjplusfood2135 15 күн бұрын
Atapatikana tu kikubwa ni kumuomba Mungu tuendelee kuwa karibu na Mungu tu...
@shaabanramadhan6770
@shaabanramadhan6770 15 күн бұрын
Ukiwa na Vicente kwa sasa tanzania si nchi salama kuishi
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 15 күн бұрын
Sema ukiwa unapenda mteremko ndio utakubali kuitwa kirahisi. Kama ni TRA ofisi zao zipo unaendaje hotel au bar kuongea na watu kama hao na ni matapeli tu. Mungu amsaidie apatikane salama.
@Eangle666
@Eangle666 15 күн бұрын
Hmmmm mamamaaaa mbn haya matukio ya nitisha jamani Yaarabi tunusuru waja wako🙏🙏🙏🙏
@masoudalriyamy6298
@masoudalriyamy6298 15 күн бұрын
Mungu tusaidie wajawako yarabii tujaalie salama
@Jacksonsaidyomary
@Jacksonsaidyomary 15 күн бұрын
Aya Mambo Yatakisha lini😤
@NeemaJuma-xn9nw
@NeemaJuma-xn9nw 15 күн бұрын
Kila kukicha linaibuka jipya😢
@EGM-TZ
@EGM-TZ 15 күн бұрын
From #EconomicallyGrowthMusicians Mungu ajaalie wepesi ktk hili 🙏
@mansoursabri4398
@mansoursabri4398 15 күн бұрын
Huu usenge utendelea mpaka lini hapa nnchini
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 15 күн бұрын
Tutakapo amua kufanya kama generation z ya kenya
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 15 күн бұрын
Mh tanzania pamechangamka pamechangamka sana , tutakapo amua kama generation Z wa kenya tutapona
@tonie5447
@tonie5447 15 күн бұрын
Kenya imewasaidia nini..?
@christinamwakibolwa3000
@christinamwakibolwa3000 15 күн бұрын
Eeh jamani😢
@WatagwainMan
@WatagwainMan 15 күн бұрын
Taarifa Azitoe Kwenye Serikali Ili Auliwe Kabisa!!?.
@khadijathani9064
@khadijathani9064 15 күн бұрын
Sasa mtandao imeshasema mara ta mwisho kupatikana alikuwa temeke basi temeke inajua alipo uyu mtu 😭😭😭😭😭
@edithajonathan8905
@edithajonathan8905 15 күн бұрын
Watu tujifunze unapoitwa sehemu nenda na na watu hata sita au kumi
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 15 күн бұрын
Kwenye magendo utaita mtu wanaona kugawana haifai
@HamisMghuna-fj3vz
@HamisMghuna-fj3vz 15 күн бұрын
Wt kijjj kabisa na sime ne ziwepo alaa
@mussakimaro5588
@mussakimaro5588 15 күн бұрын
Unaweza kuta yuko kwa aisha wa tabata kafungiwa ndani kama yule diwani
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 15 күн бұрын
Polen sana wana familia ktk kipind hich kigumu
@Mrmohadi.OFFICIAL
@Mrmohadi.OFFICIAL 15 күн бұрын
😢 nchi ngumu san
@EvelyneMsaki
@EvelyneMsaki 15 күн бұрын
Jamaninyumbu wameanza kututoaaa kwenye.reli lisu endelea.kufungukaa safari hii labda afe .wenyewe
@lilianmungure8374
@lilianmungure8374 15 күн бұрын
Shida utekaji umezidi,Mungu amguse huko aliko na awe mzima kwa jina la Yesu
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 15 күн бұрын
mungu wangu atuhurumie jaman
@kmotivation1130
@kmotivation1130 15 күн бұрын
Jeshi lenyewe linahitaji lichunguzwe
@saidtembele3070
@saidtembele3070 15 күн бұрын
Kalichunguze
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 15 күн бұрын
Huyo matapeli wamemnasa , ana uhakuka TRA ndo walipiga simu?
@MarryMassawe-wr2zi
@MarryMassawe-wr2zi 15 күн бұрын
Yan walishamua
@witnessinary7807
@witnessinary7807 15 күн бұрын
Wafwatilie kwenye mawasiliano ya mwisho alikuwa akiongea na nani!
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 15 күн бұрын
Hivi sijasikia vizur mi au cm yake mawasiliano yake aliisia police TEMEKE ndugu wanaenda police TEMEKE hayupo mbona Kuna ukakasi hapo kati ya police na TRA Kuna jambo hapo sio bulee
@mdeeboy846
@mdeeboy846 15 күн бұрын
Siyo kila anyekuangalia anakupenda hii post wameangalia watu 5647 ila walio like 55 tu
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 15 күн бұрын
😂khaaaa
@MathaMsumi-l1b
@MathaMsumi-l1b 15 күн бұрын
Kila mtu na akili yake hii nchi
@gracemacha9357
@gracemacha9357 15 күн бұрын
Mkono wa Mungu umlete huko aliko na awe mzima
@dorothyminja8523
@dorothyminja8523 15 күн бұрын
Mkishaonanandiko la police ndio na nyie mnajitokeza.....kabla ya police mbona hamkutoa.
@MandoliiMoshi
@MandoliiMoshi 15 күн бұрын
mzungu tuongeze kukutana na watu sahihihi mbona wachaga wanaandamwa sana mwaka huu mara soka mara mlay mara tarimo mara kimaro fundi wa tabata dampo waote hawa wamepotea ila tarimo alinusurika
@machembazacharia6721
@machembazacharia6721 15 күн бұрын
Tusitoe matusi kikubwa kuombeana kwan mungu ndo mwamuzi ktk hali kama hizi
@alexaudax-rm8sz
@alexaudax-rm8sz 15 күн бұрын
Aya mambo ya ovyo mpaka lini
@AzizSalumu
@AzizSalumu 15 күн бұрын
Mzee magu alicema watu wakipotea nn kifanyike mnaofatilia khabar navipenz vya Baba yetu tujuane apo kwa comments
@shidamasuba4131
@shidamasuba4131 15 күн бұрын
Sielewi tunaelekea wapi sisi? 😭😭😭
@Jamesmwakisambwe
@Jamesmwakisambwe 15 күн бұрын
Tunaelekea kuandamana kuing'ia ccm madarakani mana wamekuwa mbwa wakubwa wanaokula vifaranga ili waishi akuna njia nyingine
@selemansaid9295
@selemansaid9295 15 күн бұрын
Mungu gan ambae anaruhusu matatzo kwa watu wake, uyu ni MUNGU asiejibu maombi
@MonicaMacha-q7y
@MonicaMacha-q7y 15 күн бұрын
Yaan daaa
@EstherKessy-m5g
@EstherKessy-m5g 15 күн бұрын
Jaman MUNGU asaidie aonekane pole kwa mke wake na familia yake
@dicksonkilupa2258
@dicksonkilupa2258 15 күн бұрын
KWANI TRA NAO WAMEKUWA WATEKAJI? JUZI TUMEAMBIWA TRA ALIYEULIWA HAKUWA MTEKAJI NA LEO TRA WAMEMPIGIA SIMU UROMI DESIRE AMEENDA KUPOTELEA KWAO, SASA MNATAKA TRA ISOMEKE VIPI? WAKUSANYA KODI AU ROHO?
@MustaphaKategile-rl2sk
@MustaphaKategile-rl2sk 15 күн бұрын
😂😂😂😂
@barakachibwana3708
@barakachibwana3708 15 күн бұрын
Hao TRA wanajiweka pabaya Sana watakuja uliwa tena watuhawatakuwa na Imani nao
@Polyn.123
@Polyn.123 15 күн бұрын
Ivi kwa warabu awatekwi ..ngozi nyeusi wengi dhuruma
@abeljohn8760
@abeljohn8760 15 күн бұрын
......... 🤭🤭🤭🤭
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
SIO BEGI LANGU
10:25
Joti TV
Рет қаралды 180 М.
MUME WA ALIYEFARIKI CHUMBANI NA MWANAJESHI  MSTAAFU TABORA AELEZA MAZITO
16:22
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН