Ila ndugu zetu wachaga punguzeni kutoana uhai kisa mali, muogopeni Mungu
@joycekaje87553 жыл бұрын
Ni mchaga?jamani yule mkaka wa migodini pia alikuwa mchaga
@pascalnicolaus69863 жыл бұрын
Ni mapema sana kupata mtuhumiwa halisi kwa ushahidi huu mdogo wa mazingira.Poleni sana kwa Kupoteza. Mwandishi baadae jaribu kuangalia jinsi ya kuuliza na jitahid kutunza kumbukumbu ya kile ulichokwishajibiwa.Na si kurudiarudia maswali unamkaraisha mfiwa .
@gabriellyadam94153 жыл бұрын
Mungu tusaidie.huu ukatili umezidi jamani Mungu 😭😭😭😭.
@Mbingu773 жыл бұрын
Ooooh my God Jamni Ruth daaa jamani loooo jamaniii dada alikua na moyo mzuri huyu jamanii daaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@patriciacarlo72363 жыл бұрын
God😭💔I can't judge any one here.sababu ya mtoto kuua mama anajua Mungu na sababu ya babaake huyo kijana kufa anajua Mungu pia,seems there's a lot behind the scene
@Mbingu773 жыл бұрын
Hapana nawafahamu kwa undani baba alifariki kwa kuugua mda mrefu tu na hao watoto walikua wadogo mno jamani msichume dhambi za bure
@akleiludovick98533 жыл бұрын
Unaweza kuwa unajua ila siri za familia usijue
@Mbingu773 жыл бұрын
@@akleiludovick9853sawa wwe unaejua basi elezea
@hassanmudy14352 жыл бұрын
Umezungumza kwa uweledi mno
@mwikamwika48513 жыл бұрын
Mwandishi Leo hauko vzuri Kwenye maswali. Umeniangusha sana
@williammbuzimai57443 жыл бұрын
Nimezika ndugu zangu wawili wote walioa wachaga" Nilipoambiwa ni michezo yao yakurithi pesa sikuamini,, Sasa kupitia hili naanza kupata picha
@zaizaitwaha66333 жыл бұрын
Daaah pole
@aminatanzanya74753 жыл бұрын
Pole Sana
@bahatibahati52173 жыл бұрын
Mimi mchaga hata nipewe Bure sitaki wabaya sana kwenye mali
@zaizaitwaha66333 жыл бұрын
@@bahatibahati5217 umeona eeeh yaan hostoria yao inatisha
@sadakhamis12613 жыл бұрын
Km hajakutoa roho anaweza kukukataa, kwa, mali mchaga sio mwenzio
@emmanuelkache46463 жыл бұрын
Na hii inawahalibia kwa ujumla tamaa ya pesa kuliko UTU. Sasa hivi watu tunaogopa hata kuoa UCHAGANI na tunakoelekea mabinti wa KICHAGA watakosa soko.
@miketzee8063 жыл бұрын
Muandishi swali la muhimu ungetakiwa kuuliza zaidi ni kuhusu maisha na uhusiano uliokuwa au hata na tabia ya huyo mtoto kutoka kwa ndugu na majirani mpaka marafiki, Waandishi wengine ni kama na nyie mmelewa au mmevamiwa na mizimu khaaaa.
@ashuraomar49353 жыл бұрын
Shuleee hakuna waandishi wengi wa Bongo ,ila kwa umbea wamejaaliwa
@ukhutfatumah11543 жыл бұрын
Innalillah wainnah illah raajiuun daaaaa Dunia ishakuwa ya moto wenyewe kwa wenyewe tunaogopana aise
Ila Wachaga ktk mali hawana utu kabisa. So shame kwakweli.
@teddygabriel56623 жыл бұрын
Kvp
@uledimtumwa24063 жыл бұрын
@@teddygabriel5662 Mnathamini mali kuliko Utu.
@othmanshahib11153 жыл бұрын
Hizi mali mnazipenda zanini wakati tukifa tunaziacha yani uuwe mtu ili uishi vizuri hofu nayo ulivyo uwa itaishije yani hivi vitu viko kwetu waswahili sijui kwanini hofu ya mungu imetuishia yani mtu anaraisisha kufanya mauaji kama ana kuvywa maji😭😭😭
@neemaelieza69582 жыл бұрын
Na pia unapomuua mtu kwaajili ya kupata Mali ili uishi vizuri unajua muda wako wa kuishi umebaki kias gani
@subirajohn7282 жыл бұрын
@@neemaelieza6958 Yaani unaua mtu leo Kwa ajili ya mali kesho unakufa sijui utasema nini kwa Mungu!
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
@@subirajohn728 Hao wanaofanya hivo nafkr huwa hawaamini kuwa kuna Mungu, wanaamini kuwa kuna hela tu.
@shailabushiri45782 жыл бұрын
Daaah wamama huwa wanawapenda sana watoto wao wa kiume jaman huyu imekuaje amfanyie hivi mama yake na maisha yao yanaonekana ni mazuri tuu daaah so sad 😭😭😭😭
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
Inawezekana ni mtoto wake wa kambo
@oscarmtavangu30533 жыл бұрын
rip Dada, swala lipo kwenye vyombo vya dola, we mwana habari maswali gani hayo? mimi si mwanahabari, lakini kwa upeo wangu siwezi uliza hivyo?
@beatricesimon78523 жыл бұрын
Kuna shida sana kwenye waandishi wa Tanzania na namna wanauliza maswali aiseee. Mtu anauliza ni siku ngapi kuanzia kupotea kwake sasa ushambiwa mapema tar 11 ndio alikuwa hapatikani hewani . @Millard ayo ni wakati sasa hawa watu wawe na list ya Maswali elekezi kuna maswali kibao yenye tija hajauliza.
@geraldbenjamin93023 жыл бұрын
Kabisa
@tanzaniakwanza16993 жыл бұрын
Wafanyabiashara wengi wa madini ndio wanunuzi wa watoto wetu wanaopotea au kuibiwa wakiwa wadogo kabisa, lengo lao huwa ni kuwatoa kafara ili madini yaende. Sitamhukumu ila kama alifanya wa wenziwe lazima naye apate hasara mara mbili, kuuawa na kitanzi cha mwanawe. Inategemea nini kilikuwepo. Pia single mothers acheni kuwalea watoto wenu wa kiume kama waume zenu. Binadamu huwa anao wivu.
@nightwishisthegreatestband63552 жыл бұрын
Acha mambo ya kijinga ya ushirikina. Pia unasena masingle mothers wasiwadekeze watoto wao wa kiume. Baba zao wako wapi? Kwanini wanaume hasa wanaume weusi mnazalisha ovyo hamlei watoto wenu? Nyie ndo mnatakiwa uwafundishe wavulana kuwa wanaume.
@stainasimkoko7083 жыл бұрын
Mungu atusaidie tu watoto tunaozaa mengine Ni mashetani pumzika salama Dada Ruth mmasi
@thegreat.98692 жыл бұрын
Mashetani tunayaandaa wenyewe wazazi kwa kutotoa malezi bora..
@stainasimkoko7082 жыл бұрын
@@thegreat.9869 yaaan mungu atusaidie
@elyasafadhili74513 жыл бұрын
Dah inasikitisha Sana Ila yote kwa yote tubaki tukijua mbele yake nyuma yetu
@wittymasaidiva85172 жыл бұрын
R.i.p sis ulikuwa unaroho nzuriiii. Nakumbuka kweny harus yang ww na husna mlivyojitoa 💔💔💔💔
@hamoudcreator63433 жыл бұрын
Hapa Kuna Kitu Kipo Kikubwa.. Kwakweli Kesho Kwa Mungu, Kuna Makubwa ya kustaajabisha Wallah🥺🥺 Mungu atunusuru, Mali ni Mtihani Mkubwa Wallah... Mbaya huwez mtambua Kwa sura. Ila Duniani kuna watu Makatili🥺🥺 Wanaweza wakafanya chochote Kwa ajili ya Mali🥺🥺
@ramadhanimtetu72463 жыл бұрын
Nilifanya biashara ya Ushirika na Mama Mmoja (mchaga ) nilihadaika na Ulokole wake nikadhani upo mpaka Moyoni Aisee alichonifanyia Mungu Anajua Wachaga Mmmhhhh Namwachia Mungu
@ziadasalim14593 жыл бұрын
Huwajui eee pole
@vanessalaizer43633 жыл бұрын
Alikufanyaje?
@hadijamagufuli26613 жыл бұрын
Duh jamani mwanae Tena 😭😭😭au sijaeulewa
@chobushaka765010 ай бұрын
Wewe Patrick hukumu Yako. itatolewa na MWENYEZI MUNGU PEKEE😭😭😭😭😭😭😭😭 Mimi kama mzazi teena mama wa watoto 2 wakiume, nimeumizwa saaaana natukio hili😭😭😭😭😭😭 nimeliaaaa nimeumiaaa lakini Sina lakufanya
@surujajwie47683 жыл бұрын
inna illah waina illah rajiun Allah rehemakallh pole saaan mmh
@sanoureyaliwadoakaroyo16963 жыл бұрын
Cjui Kwann Wachaga Wanapenda kuuwana iv Tna hasa Wafanya Biashara wa madin
@barakadaudi57363 жыл бұрын
Ni Kweli Kabisa Ndugu mwandishi, Umeshindwa Kuuliza Walijuaje Kama yupo Kwenye shimo na Lilikuwa Limefunikwa?
@ashudahiza78713 жыл бұрын
Dunia sasahiv unatakiwa kutembea huku unaangalia nyuma kushoto kulia usojiamini
@geofreymsengi99713 жыл бұрын
😂🤣😂😂
@zozokulwa16272 жыл бұрын
😂😄😄😄
@keffajacob89522 жыл бұрын
mmmh...watoto!!!..sasa dunia imevaa kamatia chini😔😣😞
@salmaathuman91563 жыл бұрын
Imagine 😭yaan mpaka mtoto wako usimwamini
@arafakiloli7493 жыл бұрын
Innahlillah wainnah illah rajiun Allah amrehemu poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu 😭😭😭
@@ziadasalim1459 bora mlifanya hivo ndg yen angeuliwa hahaha wanapenda Mali kuliko utu
@oscaroscaroscar79742 жыл бұрын
Wamshikilie Boy friend wake Kwanza wamuoji vizuri
@camillahamis10693 жыл бұрын
Rafiki yangu mzungu anapesa mbaya kaoa mchaga hawana mtoto Sasa mzungu kachoshwa na Mambo ya mchaga anataka kutoa taraka kwa sababu walifunga ndoa ya serikali ....mdada huyo anahonga pesa huko taraka haitoki wanampga chenga mzungu kila siku ....na huyo dada pesa ya mwanaume ikiingia anaiona coz no ya acount anajua yani mshahara unaingia inagawanywa nusu mchaga nusu mzungu .....mzungu anaogopa kutoa hela nchi yake kuingia benk kuhofia mchaga ☺️☺️☺️
@lawmaina782 жыл бұрын
Lazima utaje makabila ya watu, mbona usisimulie kisa bila kutaja kabila.
@tausimwaluvalile64912 жыл бұрын
Daah dhambi sana
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Subhannallah
@levinaminja17442 жыл бұрын
1¹1
@hono12322 жыл бұрын
Kuna tukio lilitokea Dar miaka michache ilopita bahati nzuri nawajua hao watu tangu mwanzo wa maisha yao. Wlipata kuwa matajiri wakubwa sana wote walikuwa wachaga. Sasa moja anarudi nyumbani usiku mke kampa chakula kaweka na sumu mwanaime kula , mara kazidiwa kumpeleka hosptali kafa. Siku mwakamke kapambana wakazika kabla ya. Ndugu zake hawajafika toka Moshi . Na lilikuwa ili wasifanye uchunguzi. Ilisikiyisha sana. Unaweza jua, ni kheri wachawi wa kawaida kuliko hawa wauaji wa sumu kwa mali ulizotaguata kwa nguvu zako
@abrahamjoseph25893 жыл бұрын
Mtangazaji anashindwa kuuliza maswali kwa weredi mfano Kijana alikuwa anajishughulisha na nini,mahusiano na mama yake na kama alikuwa anatumia kilevi
@khadijahali48373 жыл бұрын
Innalilah wainailah rajioon
@adrianabellydancer52563 жыл бұрын
Wachaga Wanathamini sana pesa kuliko utu yaan wanasahau hizo pesa hawawezi kuzikwa nazo😏😏😏
@siriyangu47243 жыл бұрын
Innalilai wainna rajiunn poleni familia yani hii dunia imefika mwisho roho azina uruma watu kuuwana cku izi nikama kuchinja kku duh mungu tusamehe
@rinaldaoman78923 жыл бұрын
Yawezekana kweli hajui wanaweza waje wamtupe hapo maadui zake.
@AishaAisha-rh1fc3 жыл бұрын
Atq mm nina mashaka uyu mama kaletwa hapo kashakufa kwa kua wameona haelewani na mwanae Ukute ata ndugu hao hao wameona uyo kijana akiwa jera uyu binti atakua masoni nje wao watajifaidia mali, Wachaga wachaga
@leokamil62843 жыл бұрын
Najiuliza aliwezaje kumtumbukiza hapo mwenyewe?je inamaana aliuawa ndio akamtumbukiza?kama alimuua kwanza je Polisi wamechunguza damu ndani ya nyumba?.Kama hakuna damu basi huyo kijana hawezi mwenyewe aidha kuna msaada wa mtu au watu kurupushani mpaka umtumbukize mtu hapo sio ya kawaida. Je inamaana hakuna watumishi?
@rukiarukie61213 жыл бұрын
Ukatili umezidi paka naogopa 😭😭😭😭😭
@jumakhalid55543 жыл бұрын
Wachaga wanapendakuuwana kwamali inawezekana na yeye kamuuwa mumewe muuajinayeye huuliwa mshahara wazambi ni mauti
@azizaabeid20553 жыл бұрын
Pengine mtt kaja kusikia baba Ako alimuuwa baba yako roho yakuuwa nae ikamjia
@unclenjegeorgchina90623 жыл бұрын
Mawazo finyu kabisa pumbavu
@Mbingu773 жыл бұрын
Hapana kwanza hawa niwamasai wote pili msichume dhambi za bure baba aliuguaga mda mrefu tu akafariki na walikuawadogo
Rip jamani watoto wetu itabidi tuwaogope imekua hari huo mwezi wa kumi na mbili nimesikia visa vitaru wazizi kulipwa na watoto wao
@azzamahamdu70392 жыл бұрын
Ila WACHAGA PUNGUZENI ROHO MBAYAAAA.KIFO KILA MTU ATAKUFA.MALI NA KILA KITU TUNAACHA.TAMAA MBAYA KENGE NYIE.mmama wa wa2 mzuri mungu amsamehe makosa yke
@hassaniselemani82622 жыл бұрын
Aisee! Jaman tunapaswa kuhurumiana.
@amanabassi76992 жыл бұрын
Mh watu waduniani bwana mme mwailishia mama was watu mwaka mpya kwa tamaa zenu mungu anawaone poreni kwa msiba
@denlucky88502 жыл бұрын
Sure, there many secrets behind that Deth
@fatmasalima38472 жыл бұрын
So very sad 😔
@dollamtui58493 жыл бұрын
Acheni kuropoka jamani dunia ilipofikia sasa ni pagum vijana wengi siku hizi wanatafuta maisha ya mkato tuwaombee sana watoto wetu wengine wanadanywa na waganga, mambo ni mengi sana kwenye ulimwengu tulio nao
@bamsnames1493 жыл бұрын
LUCIFER ALIGOMA KUUMBWA KWA BINADAMU, KUMBE ALISHAJUA YOTE HAYA KWA BINADAMU SIO WATU NI HATARI TUU ITAKUWA HUKO DUNIANI🤔🥺
@stainasimkoko7083 жыл бұрын
Inatisha inatumiiza Ni kweli hatjui undani wake mungu tupe hekima tukiwa na Mali tuone kila mtu Ni wa thaman
@bahatibahati52173 жыл бұрын
Mimi wachaga nawaogopa mno jamani hata Bure noo noo nimeamini wachaga kwenye mali noma sana hawa wanafaaa hata kutumia utajili wa ndagu ?????? Poleni sana wanafamilia wote
Ni tishio hao watu .mmi ndgu yangu alioa mchaga akataka kujiitia kwenye Mali za familia na kugombanisha ndgu wew tulishtuka tulivunja ndoa kuaina na mbinu nying mno
@bahatibahati52173 жыл бұрын
@@leriq1 nyinyi mnaonekana mnazaliwa mmeshika pesa
@ramadhanchiiza92153 жыл бұрын
kuna sehem wilaya ya ngara tarafa ya Rulenge kuna mchaga mmoja alizamia huko miaka mingi akifanikiwa kuapata pesa sasa siku moja nikamuuliza kwanini umeoa huku usiende kuoa kwenu akaniambia hawezi kwasbabu mwanamke anawezamuua nikashangaa sana manake sikuwa nawajua wachaga kiundani lakini baadae kama baada ya miaka 20 yakatukuta na sie kuna kaka yetu alioa mchaga walipofanikiwa wakajenga nyumba ghorofa 2 yani haiukupita mwaka ndg yetu akafa ktk mazingira ya kutatanisha yani tokea hapo sina ham nao nikajaaribu kufuatilia nikaambiwa ni kawaida yao na kuna mzee wa kichaga hapa mwanza ameoa msukuma nilimuuliza khs kuoa mchaga akaniambia watanimaliza aiseeee
@emmanuelshayo47033 жыл бұрын
Maelezo yako yanakaukweli, ila unapoongelea wachaga tambua kuwa tumegawanyika, kuna wachaga wa Kibosho, Marangu, Rombo, Machame n.k. kwa hiyo sio wachaga wote wanahizo tabia.
@othmanshahib11153 жыл бұрын
@@emmanuelshayo4703 mangi tuambie wachaga wapi dangerous tujue mzee maana tunapenda kila mtu kumbe watu wako tofauti
@bahatibahati52173 жыл бұрын
Yani Mimi hata mchaga mwanamke nipewe Bure siwezi kabisa nimeshalizwa
@fainajaffary40703 жыл бұрын
@@bahatibahati5217 😃😃😃pole
@johnsonbagambi19083 жыл бұрын
Poleni sana dogo kalipiza
@nipautago85743 жыл бұрын
Eeee! Mungu tunusuru
@MarwaMarwa-kd1dm3 жыл бұрын
Kijana ana miaka 29 mama ana miaka 41 inamana mama alibeba mimba akiwa na miaka 11 akamzaa akiwa na 12 hapana hapa kuna jambo limejificha nyuma ya pazia yaweza kuwa huyo kijana huyu ni mama wa kambo alafu akaleta upendeleo ndo kijana akapiga ndefu hatuwezi jua but kuwa huyo ni mama ake mzazi sidhani
@latifachilala20152 жыл бұрын
Kuna nyumba moja nilipanga ya mchanga na mumewe mchanga basi uyo mama tukawa marafiki si akaniadisia kuwa mumewe alikuwa mlevi mbwa akaona isiwe tabu akampiga kijini mpaka Leo ajawai kurudi hapo yuko pekeake anakula Kodi😀
@gloryjulius11083 жыл бұрын
Ee Mungu tusaidie nihuzuni kwakweli
@TitusColgate093 жыл бұрын
Poleni sasa kwa msiba. Huyo kijana wachunguze akili zake. Mwaka jana humu Kenya kijana kama huyo aliwaua wazazi wake na ndugu zake. Pia wachunguze cults za ushetani
@eliakisiri66132 жыл бұрын
ayo naomba unitfe kuna habari nyeti unatakiwa uje likamba arusha ,mimi elia kusiri arusha
@czechzyamwaga10883 жыл бұрын
Ulitafuta singo mama na wajane, wengi ni wachaga, sasa sijuibwana shida gani jamaniiii,
@muzafarsharif94653 жыл бұрын
duh ..sasa kamkata na panga au alimrusha Kwa tember akiwa hai ??😭
@jacklinekayumbo61623 жыл бұрын
Muandishi hujui chochote yan hata mimi nisie somea ningepewa kazi ya kumuhoj huyu dada ningekufunika ..swali moja unauliza mala mbili yani kiufup hujui inacho kifanya yani hujui chochote..hapo swal kubwa ulitakiwa uulize mahusiano kati ya mtoto na mama yalikuaje enzi za uhai wake..napia waangalie upanda mwingine kuma watu wakisha ona wametenda zambie nyingi hua wana amua kujiua wenyewe msongo ule wa mawazo unawapelekea kupata roho chafu nakuamua hutoeaka dunian ..kwaiyo vitu kama hivyo hua vinatokea sanaa..,
@sixbertyjoseph59323 жыл бұрын
Mtu ajiue ajidumbukize kwenye chemba embu na ww acha kuwaza vibaya ww unaweza kujiua afu ujidumbukize kwenye chemba tena uvunje chemba ujidumbukize afu usakafie vizuri ww unaweza
@hangimakina12633 жыл бұрын
Huyo aliua mme wake ,ili arithi ata hili mama linaloongea hapa ni chawi tu ,malipo ni hapahapa
@daviesmwema48313 жыл бұрын
duuh hahahah ulijuaje kama lichawi?.
@ziadasalim14593 жыл бұрын
Wachaga wachaga mmh sithubutu ndgu tena kuoa mke mchaga haki hiyo ndoa itavunjika kiaina yeyote ile
@abdulrazakhassanor4983 жыл бұрын
umenikumbusha huyo jamaa kwenye dp
@janekikoti48003 жыл бұрын
Yaan unabeba mimba miezi 9 unamzaa unamtunza kwa shida na bado aje akuuwe Mungu tunusru na huu ukatili
@daviesmwema48313 жыл бұрын
unajua sababu ya kifo cha mume wake?
@janekikoti48003 жыл бұрын
@@daviesmwema4831 Hata Sijui
@daviesmwema48313 жыл бұрын
@@janekikoti4800 kwanza huyo mtoto sio wa huyo mama wa kumzaa,huyo mama alimkuta huyo mtoto na baba yake na mali za baba yake.Sasa nadhn utaelewa sasa.Mama anamiaka 41 na mtoto ana miaka 29,je anaweza kumzaa kweli.
@janekikoti48003 жыл бұрын
@@daviesmwema4831 Hapo nimeelewa sasa
@alikhamisog34223 жыл бұрын
Leo nimekua wa mwanzo Ku like na kukoment
@zainabkassim34993 жыл бұрын
Polen mama saidi
@Awatee3 жыл бұрын
Inna lilah wainna ilaih rajiuun
@vanessalaizer43633 жыл бұрын
Una uhakika?
@musso2382 жыл бұрын
Mwl. NYERERE alipo toa maelezo juu ya baadhi ya makabila yasipewe nchi Alisahau kusema hili swala la kuoa pia, kwamba hatufai kuwaowa wachaga .kina meku tatizo sana
@hono12323 жыл бұрын
Ndugu zanguni ,watu hatujui watoto wa kiume kama wewe ni tajiri. Siyo watoto wazuri kabisa.anaweza kukuuwa dakika yoyote.tena wengi wao wanapoona mzazi no tajiri hiwa hiwa wanatabia ya kuwa wavivu. Hakuna watoto wazuri kama wa kike mara nyingi msaada mkubwa sana kwa mzazi ambaye mi tajiri. Watoto wa kiume hawafai kabisa
@ilynpayne74913 жыл бұрын
Hahah kumbe 😀😂😂kuna ndugu yangu aliwahi mwambia babu ampe mali kipindi ana umwa daah watoto wa kiume balaa pesa mbele
@nightwishisthegreatestband63552 жыл бұрын
Ukweli mtupu
@rosepaul79013 жыл бұрын
Ningeshangaa kutosikia huyu mama ni single moma alofiwa mumewe kitambo, bado nashangaa eti mmiliki wa madini mwanamke mh......, kama aliuaga mumewe naye leo kauawa na mwanaye, ila wacha nisiseme sana lkn nasema vile nawajua hawa raia wa kuchaga asee🙌
Yani hapo bana pesa ndio chanzo kijana katumwa na waganga Ila mungu mkubwa ndio tujue jamaa kaumbuka
@sifasanga78663 жыл бұрын
Duuuuu kama ni kweli yeye ndiye ni hatari mno
@Globalsportschannel-ca3 жыл бұрын
Wanawake wengine wa kuogopa Wakikuyu
@kassimmurji28723 жыл бұрын
Duuu noma sana
@saudamattar7932 жыл бұрын
Ilijulikana vp kama yupo ndani ya shimo la chooo je kielelezo gani kilitumika kufaham mtoto wake ndie muuwaji ahojiwe mtoto vzr
@subirajohn7282 жыл бұрын
Hapo sasa walijuaje !
@subirajohn7282 жыл бұрын
Mimi nawasiwasi sana unatakiwa upelelezi wa kutosha
@superdupaproducer42943 жыл бұрын
Hivi Huyu 4:28 sio nakaya sumari
@happynelson11363 жыл бұрын
Huyo mama kazaliwa mwaka 1980 yaani ni bado alikuwa na umri mdogo tu dah inauma sana hizi mali hizi zinawafanya watoto waue wazazi wao kisa mali
@janekikoti48003 жыл бұрын
Yaan alikuwa bado mdogo tu hata me nimemzidi jaman hii Dunia ni shida
@happynelson11363 жыл бұрын
@@janekikoti4800 yaani mtu anajali mali kuliko uhai wa mtu yaani nashindwa kuelewa
@nassorhamad52253 жыл бұрын
Tatizo watanganyika mnapenda Mali kuliko uhai wa mtu na hamna utu kabisaaa kwenye Mali hamhofii kuua hata mamazenuuu doooh nawachukiaaa kupita maelezo na hamfai katka jamii cjui ata mmpo na rohogani ivi Mali ukiwanayo hufii au utazikwanayo
@neemanyove91303 жыл бұрын
@@nassorhamad5225 we nae shindwa usituchanganye watanganyika wote we vipi
@janekikoti48003 жыл бұрын
@@nassorhamad5225 Ndugu yangu usijumlishe kila mtu kuwa tuna tamaa ya mali hamuwezi kufanana tabia 1 nchi nzima au dunia yote hata huko uliko wauwaji watakuwepo tu so usituweke kundi moja tafadhali
@goodlackriwa67283 жыл бұрын
Pumzika kwa Amani Dada Mmasi. Comments nyingi hapa zinazungumzia Wachagga tuu . Jaribu kuelewa Sio wachagga tuu haya mambo yanaweza fanywa na kabila lolotee lile Duniani imebadilika. Swala kusema wachaggaa Sio vizuri inakuwa km Kuna wivu ndani yake. Mchagaa Ni Mtanzaniaa km Watanzania wengine .
@leehhams53932 жыл бұрын
Ni tabia iliokithiri kweny kabila hili tofaut na makabila mengine.
@ilynpayne74913 жыл бұрын
Kitendo cha kuua na kuficha maiti kwenye chamber ya choo hiyo ni mpango wa makusudi kabisa huyo kijana anyongwe
@denismvile64023 жыл бұрын
Mhh inauma sana mtoto wa kumzaa anafanya ivi kweli adui ulipo yupo
@samsonmagesa39593 жыл бұрын
Yaani hacha kabisa ndugu Mama Mzazi Duuuuuu
@daviesmwema48313 жыл бұрын
atakuwa amelipiza kisasi,itakuwa mama alimuua baba na akaanza kutembea na viben ten mtoto huku anaona mpka nyumbani
@omarymbeck77173 жыл бұрын
Mkuuu sio mama mzazi tuuu kuwa siohambozuri nawe ukiuwa naweelazima utaweweseka
@febyosward62563 жыл бұрын
Ndugu wanampakazia kesi mtoto! Wanataka wamfunge ili wapate mahali izo! Mtoto hawezi kumuua mama yake! Wakati Mali ni zake izo! Mtoto alisema mama kasafili labda waliongea nae akiwa safalini!
@sixbertyjoseph59323 жыл бұрын
Ndugu zake unawajua wewe? Ndugu zake wote ni matajiri dada yao mkubwa kaolewa na mfanyabiashara mkubwa wa madini arusha anaitwa sunda na ndugu wote wanamaisha mazuri sasa watake mali zipi hapo
@sashahauke20323 жыл бұрын
@@sixbertyjoseph5932 unajua nashangaa sana watu wanapoongea mambo wasiyo yajua yaani
@hamidauhuru8133 жыл бұрын
Huyu mtoto laana itamtafuna milele, kama alikuwa hana maelewano na mama yake basi angeenda kujitafutia maisha mwenyewe mtaani, kwanza mama yake alimzaa akiwa mdogo,kwa hesabu za haraka huyu mama alizaa akiwa na miaka 17 tu,leo hayo ndo malipo yake...inahuzunisha mno. Kweli kuzaa si kupata,kupata majaaliwa..Mungu atunusuru na vizazi vyetu Inshallah.
@derrikdesertman45642 жыл бұрын
Na nyie wanawake wakichaga mnavyoua nani hawajui
@nightwishisthegreatestband63552 жыл бұрын
Wanaume naomba uwalee watoto wenu. Mikasa kama hii hata marekani inatokea. Watoto wa kiume wanawauwa mama zao na kesi zinaongezeka kila siku.
@maswetabongomovie3023 жыл бұрын
Poleni sana
@sanoureyaliwadoakaroyo16963 жыл бұрын
Kabila Za Kuziogopa Hapa East Africa Community Usikuabi Kuoa Wala kuolea Wala Kumuozesha Mtto wako Wachaga {Tz} Wakikuyu {KENYA} Hizi Kabila Hata Shetani Mwenyewe Anaziogopa Sna Anazipisha Kushoto hiz kabila kuuwa Ama Kuchinja Kwao ni Jambo Dogo Sna Kwenye Issue Ya Pesa Ama Mali Walisha Laaniwa hawa
@neemamagoti10692 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@kevoowizzy122 жыл бұрын
Kuna Jambo Nyuma Ya Pazia Lmejificha Haiwezekani Mtoto Awe Na Miaka 29 Mama Kafa Awe Na Miaka 41 Inamaana Uyo Mama Kazaa Akiwa Na Miaka 12 Cna Iman Km Kwl Ni Mwanae Wa Kumzaa
@dottohamisi98443 жыл бұрын
Mtoto sizani kama anaweza kuhusika kumuua mama yake sizani chunguzeni vizuli
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
Inawezekana ni mtoto wake wa kambo, yaani mtoto wa mume wake alietangulia mbele za haki
@ezromndangalasi81643 жыл бұрын
Dunia simama nishuke! Hii inafafana na hii ya dada wa kitanzania kufanya hivyo hivyo huko marekani duuuu Mungu tuhurumie !
@rosemongi52733 жыл бұрын
Duu jamaniii
@leokamil62843 жыл бұрын
Alafu wamekazania wa kaskazini ebu waambie huyo wa Texas nae sjui wa kaskazini ni tabia ya mtu tu
@lugomemtamayaye95083 жыл бұрын
Kwa mujibu wa dini ambayo naiamini huyo mtoto automatically hana urithi tena,iwapo itathibitika amemuwa mama yake.
@africatoday8613 жыл бұрын
I cry....I cry....😢😢😢😢😢....GOD HELP
@aishaalbalushaishabalush82913 жыл бұрын
hivi swrkal inayongoza sasahivi hayaoni haya mauwaji yakila kukicha mbona hali mbaya tanzania kwanini kwa maghufuli. yaliisha asee aman ilajaa ila sahiv mmmmh ??
@mussanganda5053 жыл бұрын
Hatari sana,
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Ukute mwana na mama walikuwa wanakupeana timing wamalizane
@rumdeesonsoa18112 жыл бұрын
Siku hz watu wanauana kisa mali 😢
@MrCosmas152 жыл бұрын
Wamachame ndio hatari sana ukilinganisha na wachaga wengine.