MGAHAWA WENYE ICE CREAM za AJABU WATIKISA ZANZIBAR, MREMBO ANAYEUMILIKI AFUNGUKA...

  Рет қаралды 7,871

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MGAHAWA WENYE ICE CREAM za AJABU WATIKISA ZANZIBAR, MREMBO ANAYEUMILIKI AFUNGUKA...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Пікірлер: 50
@globaltv_online
@globaltv_online Жыл бұрын
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@shaisoho9033
@shaisoho9033 Жыл бұрын
Nakubaliana sana na Manager,,,,mlinitibu sana,,,nilikuwa natoka kwangu ambapo ni jirani sana na hapo,,,,,tena nikiwa na stress kali,,,,siku zote nilikimbilia hapo nikapata coffee yenu,,,,,wallah niliondoka kwenu nikiwa nimepona,,,,,,vitu vyenu vitamu sana hadi black coffee nyie,,,na location yenu,,,,daaah,,ikumbukwe kwangu pia ninatoa huduma ya black coffee or milk coffee,,,ila hata wasaidizi wangu hawakunielewa kirahisi vile natoka kwetu nafuata huduma kwenu,,,,manager umetisha mno,,,naikubali huduma yenu,,,,sema nimehama jirani,,,,,Imelda umenikumbusha mbali sana,,,,nitakuja soon soon,,,proud of u Sophie
@winniemakolo8491
@winniemakolo8491 Жыл бұрын
Hongera Sana Sana madam Soph kweli smooth the best kwa ice cream Bora na zenye viwango, pia Mungu abariki Sana Sana biashara zako zipate kukua zaidi na zaidi ❤️🥰🥰
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Wazungu kwako wote hufanya kazi so hapo unafunzwa future na maisha ya kwao, kwahiyo dada tufungue waafrica wajikwamue Kwa kufanya kazi tucbweteke.
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Жыл бұрын
Asante da melida mungu akubariki
@essyrugomora4561
@essyrugomora4561 Жыл бұрын
Okay pale shukran
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Naishi uzunguni huku hata ukimpata mzungu mwenye pesa ni bahiri sana hawakupi hata pesa ya pedi pesa zote wanaweka benki labda wazungu wa Marekani ndiyo watakusaidia na hapa ulaya ukimpata mzungu mwenye kazi ya kawaida atakuazima pesa yalinitokea mimi kuna mzungu alitaka kuniazima pesa tena alinisumbua sana na mapenzi yakaisha nilimuacha
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Wambie Hao maana Mzungu sijui wanawachukuliaje? 😂🙏.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Sio wote wapo watoaji wenye huruma mim nilisomeshwa ns mtu atasimjui natumiwa tu pesa ulaya sio wote na pia wenzetu wanawake wakizungu kazi yan hawajazoea maisha yakumtegemea mwanaume akupe wanapendana tu so akikutana na mwafrika hiyo culture wengine hawajazoea ila wapo ambao wanahuelewa na pia wewe ufunguke bwana sis maisha yetu hivi nataka hivi usikae tu kimya nakuridhika sababu mzungu mwambie tuachane ataenda atakurudia tu
@ajfanofly7944
@ajfanofly7944 Жыл бұрын
Wameshazitia mapombe izo 😂 ndo mana unalala na unakuwa huna stress kwasababu unakuwa hujitambui🙄pombeeee
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Pombe huwezi weka kwenye icream maana maziwa tu ,nyingi wanatumia matunda kam vanilla unarelux jaribu tu kuweka kwenye maziwa ukiwa na stress
@zainabmohd6524
@zainabmohd6524 Жыл бұрын
Duh kumbe shambaa paje,mungu ajaalie mfike zanzibar mjini jamani inshaallh
@salmanassor8732
@salmanassor8732 Жыл бұрын
Karibu sana
@dayana5513story
@dayana5513story Жыл бұрын
Wow sofi congratulations wish you the best and miss you 😍
@peninashungu6633
@peninashungu6633 Жыл бұрын
Nimekupenda Sana Nina rafiki yangu amekaa tu kisa pesa za mzungu saiz mzungu Hana kazi mwanamke Ana mawazo mpaka anataman kujiuwa
@hamidahnassoro-12
@hamidahnassoro-12 Жыл бұрын
Congratulations mumy
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Hongera 😍
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Жыл бұрын
Masista duh mmeona wazungu wanawake wanaochukua sikiza ht lafudhi mtajua wenyewe sasa kkkk
@unknownbutterfly6310
@unknownbutterfly6310 Жыл бұрын
Hahahaaa......
@chajop6783
@chajop6783 Жыл бұрын
Sawa Manager now it's ice cream season tunakuja
@kalengashoppingcenter1108
@kalengashoppingcenter1108 Жыл бұрын
Iyo juice/ l cream ni ya Kiafrica?
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
Hao wa Zungu wenyewe wengine hata sisi tunajiweza,Wapo maskini wa kutupwa, Mzungu mzungu, Hata mimi babu yangu mzungu, Mimi wananiudhi, Ndiyo maana hata vyakwetu vinadharaulika kwa kuwapa kipaumbele Hao watu wenu.
@allthingdranabeauty
@allthingdranabeauty Жыл бұрын
Maskin ila I maskin wetu humezidi wenzetu wwkiwa awanakazi bado wanapokea mshaara wala hawawezi kukaa na njaa sijui kwa nchi zingine kwetu kumezidi nakukatalia😂
@oscarchiombola-4318
@oscarchiombola-4318 Жыл бұрын
Duuuuh mmetisha sana, ntafika hapo Paje!
@ombeninassary2151
@ombeninassary2151 Жыл бұрын
😅😅😅automatically
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
😁😁 nataka yakutoa mawazo
@ajfanofly7944
@ajfanofly7944 Жыл бұрын
Wameshazitia mapombe izo 😂 ndo mana unalala na kwa vile ni ulevi lazima utoke strees kwasababu unakuwa huna akili
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
@@ajfanofly7944 😁😁sema kwl
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
​@@ajfanofly7944 😂👏👏🙏
@aishaamwalimu2887
@aishaamwalimu2887 Жыл бұрын
​@@ajfanofly7944 😂👏👏🙏
@essyrugomora4561
@essyrugomora4561 Жыл бұрын
Iko zanzibar sehemu gan tuelekezen
@winniemakolo8491
@winniemakolo8491 Жыл бұрын
Sehemu ni paje round about ya kwenda jambian kutoka round about Hadi kufika hapo smooth Italian bar ni kama dakika 10 kwa miguu na gari dakika 5 tu kwani ipo barabarani kabisaa na Kuna vibao vimeandikwa Italian Ice cream bar
@richardvicenti2001
@richardvicenti2001 Жыл бұрын
Sawa manager nitakokea huko soon.
@salmaamani7328
@salmaamani7328 Жыл бұрын
Aaah kwenda ukoo usikute mzungu mwenyew kibabu
@nanaritho6850
@nanaritho6850 Жыл бұрын
Sasa ttz liko wapi!?mbona una huki ya kisenge!hovyoo
@shaisoho9033
@shaisoho9033 Жыл бұрын
Kwa hiyo wazee siyo watu?????hajafuata pesa,,ndo maana anapambana,,,mzee sawa hata ww ni mzee,,,wana watt 4 ukumbuke,,,ni mzee sawa huo ni mtazamo wako,,,ila husisahau ndo baba wa watt wake 4,,,,heshimu maisha ya watu
@shaisoho9033
@shaisoho9033 Жыл бұрын
Ndo uchawi unapoanziaga
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
@@shaisoho9033 wee hii uongo anachuna kulee anawekeza ni jambo jema
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Жыл бұрын
🤣🤣🤣 wivu tuu
@happynelson1180
@happynelson1180 Жыл бұрын
Mbona hizo ice cream za ajabu sijaziona
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa
@hadijastevenhart5676
@hadijastevenhart5676 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@fatmazullu4933
@fatmazullu4933 Жыл бұрын
@@hadijastevenhart5676 ilimradi tu tuangalie mweh
@hadijastevenhart5676
@hadijastevenhart5676 Жыл бұрын
@@fatmazullu4933 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kazi ipo.
拉了好大一坨#斗罗大陆#唐三小舞#小丑
00:11
超凡蜘蛛
Рет қаралды 16 МЛН
Angry Sigma Dog 🤣🤣 Aayush #momson #memes #funny #comedy
00:16
ASquare Crew
Рет қаралды 48 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 25 МЛН
Ndoto yageuka biashara kwa mtanzania
4:47
BBC News Swahili
Рет қаралды 32 М.
KIJANA ALIYELAWITIWA NA WATU 60 ZANZIBAR ATOA USHUHUDA (Episode 02)
15:46
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 81 М.