MGANGA wa KIENYEJI ALIYETUHUMIWA KUMUUA MLINZI WAKE - ASIMULIA BABA'AKE KUUAWA na WENYE HASIRA KALI

  Рет қаралды 7,962

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@globaltv_online
@globaltv_online 8 сағат бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 2 сағат бұрын
Ni njama za manyau nyau hizo
@fediruben5009
@fediruben5009 7 сағат бұрын
Jana tu nimeulizia uko wapi Mungu ni mwema ni wivu tu haya yote yatapita wivu wa jitu moja tu lilikuundia njama na tunalijua lkn yote hayo yataisha pole sana Taz
@IsmailAlly-u3l
@IsmailAlly-u3l 53 минут бұрын
Haya ndo madhara ya kumfitinu mwenzako ili ww uwe juu.... Ulimfitini manyau sana....
@Kiyama-g8f
@Kiyama-g8f 3 сағат бұрын
kwa yaliyotokea huyu jamaa akae kimya,watu wana hasira naye sana kwa unyama alioufanya ,asianze kuanzisha hasira sasa hivi kipindi hiki cha wasiojulikana,itamgharimu.Hafai kabisa huyo,ni tapeli mkubwa.
@OfficialA83640
@OfficialA83640 8 сағат бұрын
Kwani alishikwa huyu eeh nilijua kakimbia mji😮 Asiongee sana wale pia wanaumia kuuliwa ndugu yao yy angenyamaza tu lkn sio kujitapa
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 5 сағат бұрын
@@OfficialA83640 Yaani huyo sifa ndio zinamponza ndio maana majirani zake hawampendi. Na walishasema akipelekwa polisi anatoka. Nilikuwa namfatilia sana nilijua kafungwa kumbe kama kawa katoka. Alimponza baba yake akauliwa na watu wenye hasira kwa sifa zake. Sasa subiri kesho utamsikia manyau nyau tucheke.😄😄😄😄😄nna hamu kweli kusikia tuwapandishe mjini.
@Eangle666
@Eangle666 5 сағат бұрын
Leo kwake kesho kwenu hakuna aijuae kesho yake hata hao waliyo fanya hivo iwe kwa uonevu au kwa halali nao watakufa vile vile
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 4 сағат бұрын
Umeongea point❤
@JescaMwakaponda
@JescaMwakaponda 4 сағат бұрын
Pole sana inasikitisha baba yako kuuwawa bila kosa
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 7 сағат бұрын
Yy alikua ayupo mke wake aliondoka na nan mbona ilisemakana ile siku yy alikimbia na familia yake
@Jamila-c7k
@Jamila-c7k 8 сағат бұрын
Kweli kabisa binadam wivu pole sana
@hassansaid3833
@hassansaid3833 7 сағат бұрын
Ipo hivi mlinzi mkuu ni ni mungu. Wew jifunze kuishi na majirani vizuri huwezi pata shida kokote kiburi dharau si ungwana
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 4 сағат бұрын
Pole sana ujui chchote rafk yako uliye nae mpak sasa hv ni adui wako kuanzia leo tunza comment yangu vzr
@AtifaIslam-t6g
@AtifaIslam-t6g 3 сағат бұрын
Swadakta uyi shida yake anaishi kwa kiburi sana ajifunze kuishi na watu vizur ata kama mungu anakupa neema ila nenda mwendo wa saba kua muugwana kaka dunia tunapita
@JohnNyari-k6d
@JohnNyari-k6d 6 сағат бұрын
Mbona kama haongi vzr kuna kitu hapa kwenye mahojiano naona bado hayupo vzr
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
We ni tapeli shanzi wewe duniani umeshinda lakini kwa mungu utajuta we mwenyewe laana itakuwa juu yako umeua wengi na umetapeli wengi shenzi weweee
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 7 сағат бұрын
Hapana kaka muogope Mungu,lile dude la wachina ulificha wachina wakaja kutafuta wakakuta iko kwako,Uliuwa kweli.Wananchi bado hujawajua vxuri
@HalimaMichael-x6x
@HalimaMichael-x6x 5 сағат бұрын
We ulikuwepo kipindi anaua
@Eangle666
@Eangle666 3 сағат бұрын
@@yukundapeter8200 Kuna watu midomo itatuponza hivi unajua damu ya mtu ni nzito kiasi ?pengine huyu mnae mtwisha huyu msaraba hajui ilikuwaje kuwaje na waliyo fanya wapo pale wameketi Wana kunywa BEER afu kijana wawatu ety anapenda misifa 😭😭😭😭jamani nyie muogopeni MUNGU
@aishajuma7813
@aishajuma7813 8 сағат бұрын
Mungu akupe nguvu yatapita tuu🙏🙏🙏
@WakiliHaule
@WakiliHaule 6 сағат бұрын
Hii nchi haki hakuna...rushwa ni adui wa haki...maelezo yake tu uyu inaonekana kuna mchezo mchafu umechezeka apa
@RemmyLymo
@RemmyLymo 6 сағат бұрын
Pole sana kijana
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 8 сағат бұрын
Ila ww sawq mungu yupo
@Nailaty564
@Nailaty564 6 сағат бұрын
Mungu hakimu wa haki
@JamesSichimata
@JamesSichimata 8 сағат бұрын
Watu waongo sana
@MayarashidiMayarashidi
@MayarashidiMayarashidi 7 сағат бұрын
Pole kaka
@ashamahadi5281
@ashamahadi5281 7 сағат бұрын
Mnataka Manyau Nyau akiwashe.😂😂😂😂Promo ya Nyau inaanzia hapo.
@RachelNathan-yv5zc
@RachelNathan-yv5zc 6 сағат бұрын
😂😂😂😂 usinivunje mbavu
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 8 сағат бұрын
Taz allah atakusimamia inshaallah
@HGvv-bh1ig
@HGvv-bh1ig 7 сағат бұрын
Pole san jifunz kufunga camera nyumbn kwakoo
@samsonkingdom-xc8cg
@samsonkingdom-xc8cg 6 сағат бұрын
We lopoka siku ya hukumu unawezakujikuta unabaki mazima unawajua vizuri mahakumu? Endelea kulopoka
@priskilawilliam5315
@priskilawilliam5315 7 сағат бұрын
pole sana kaka
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq 5 сағат бұрын
Polesana kaka mwehu kamahuyu
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 сағат бұрын
Anaejua ukweli ni Ww na Mungu. Na malipo yapo utayakuta sikuyoyote kama si Duniani ahra utalipwa lnshaallah
@priskilawilliam5315
@priskilawilliam5315 7 сағат бұрын
poa sana kaka
@RehemaSaid-ww1mm
@RehemaSaid-ww1mm 2 сағат бұрын
Amekonds
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
We mbona unaua na kutapeli wenzako shenzi wewee
@asinahussein2176
@asinahussein2176 8 сағат бұрын
Taz mw.mungu anakupenda usiache kumuomba.nimefurahi sana Taz kutoka.
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
Huyo tazi ni tapeli jinga wewee
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 7 сағат бұрын
Muwongo. Huyoo Kahonga pesa tunajuwa hamna haki aliye kufaa hana samani tena huyoo anastoria mbaya sana hivi huyoo kuachiwa kweli ndiyo maana watu wanachukuwa sheria mkononi huyuu lazima nae wasimuachee
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 7 сағат бұрын
😢adi nimepata mstuko uyu mtu mungu yupo
@priskilawilliam5315
@priskilawilliam5315 7 сағат бұрын
pole san kaka
@fediruben5009
@fediruben5009 7 сағат бұрын
Muongo kivipi wewe ndiyo unaujua ukweli au unabwabwaja tu
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
Huyu tapeli kahonga shenzi kabisa huyu
@Fatima1234-wl1nu
@Fatima1234-wl1nu 7 сағат бұрын
huyu kaka mu handsome boy jamani khaaa 🙌 nakupenda bila wewe naishi kwa shida😢
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 7 сағат бұрын
Nyie wanawake mbona mna akili ndogo huyu jamaa ni tapeli kufa
@dullahtechtz3422
@dullahtechtz3422 3 сағат бұрын
Acha tamaa
LAVROV's interview with Tucker CARLSON 😁 [Parody]
8:34
Юрий ВЕЛИКИЙ
Рет қаралды 282 М.
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 25 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 31 МЛН
Новости дня | 11 декабря - дневной выпуск
11:40
Euronews по-русски
Рет қаралды 87 М.
ANGRY PRESIDENT RUTO INSULTS KENYANS & THEY RESPOND IN KIND
20:50
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 53 МЛН