Oya nitumie namba yako harafu uwe unanitumia na link
@alverztv6272 Жыл бұрын
Chumvi Nyingi na Mambwende miamba ... Sasa humo humo msibanduke ... Kazi safi sana
@djpatruick Жыл бұрын
Napenda Mabwende akicheza na Chumvi Nyingi mnauwa kabx love from Burundi 🇧🇮
@abdallanachuli3771 Жыл бұрын
Kukanyagwa tn😅😅😅😅😅
@maryammohmmed6526 Жыл бұрын
Pesa unataka kukanyagwa hautakwi 😂😂😂😂
@hassaniharuna1010 Жыл бұрын
Bima mkali sana
@shabanipanya1033 Жыл бұрын
Mnaweza saana mkikaza mnaweza kuteka hisia za nchi nzima
@shikhabdeenmtenga Жыл бұрын
mabwende unatisha sana na mwanao chumvinyingi kazi kazi ty
@abelfrancis8437 Жыл бұрын
Hawajamaa nom
@blonekasereka6961 Жыл бұрын
Good job 🔥🔥🔥🔥 nimeipenda iyooh!👍👍
@MJINITv Жыл бұрын
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
@adamrajab539 Жыл бұрын
Nimeipenda sana hiyo♥️♥️♥️♥️♥️👍
@ateleteleecibalungumwenelo1423 Жыл бұрын
Watanzaniya munapenda kupata pesa zenye hamukutumikiya !!!
@marioarlindo5074 Жыл бұрын
good good
@nasibuukashaukasha8788 Жыл бұрын
Mwambwende ukanyagwe😂😂😂 masharti hayo nawafatilia nikiwa kenya
@nasibuukashaukasha8788 Жыл бұрын
Mwambwende Samahani Sana labda nitakua nimekosa Ila naomba namba yako plz plz plz kuna mengi nataka tuongee samahani Sana kama nitakua nimekoea nahitaji namba yako ya WhatsApp plx
@Mambwendekhan Жыл бұрын
0787395795
@nasibuukashaukasha8788 Жыл бұрын
@@Mambwendekhan thanks so much jazzak Allah Kheir nimeipata shukran
@aligatanga2458 Жыл бұрын
Mambwende mie n msanii kutoka kenya nina gang pia nlianzisha ila huku kwetu tuna kenya hakuna support mzee babaz naomba tuwasiliane....kaka unsaidie plz
@Mambwendekhan Жыл бұрын
@@aligatanga2458 Njoo Instagram
@bakarally3573 Жыл бұрын
Muko vizuri
@aggreymwacheda8011 Жыл бұрын
Chumvi unajua Sanaa kucheza madeal wataka kula kotekotee😂😂😂
@ShabanSimama-fi8gp Жыл бұрын
Kazi nzuri
@MJINITv Жыл бұрын
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
@muniraahmedawadh2619 Жыл бұрын
Pamoja 5
@ateleteleecibalungumwenelo1423 Жыл бұрын
Hata kama tanzaniya inafanana ukame kilimo kinafanyika kule kitaleta pesa mukivuma mizaho.( mimeya).
@ramadhansadiki1003 Жыл бұрын
Huyo mwana mke mzuri sana nimempenda ❤
@MJINITv Жыл бұрын
BABAMKWE WA MCHONGO. kurya boy & mzee msharo
@realclassicjuma128 Жыл бұрын
Mambwende nataka tufanye collaboration
@Mambwendekhan Жыл бұрын
NJOO Instagram
@mjukuuhizza8284 Жыл бұрын
Anataka ukanyagwe😂😂😂😂
@Mabangi123 Жыл бұрын
One love chumvi nyingi plus Athman bin mambwende bin mandumba.
@musamnene4790 Жыл бұрын
inaitwaje
@athumanisilaha9847 Жыл бұрын
Sasa kazi itaenda chumvi vs mambwende
@jumakandy2075 Жыл бұрын
Vizuri sana
@silasila3111 Жыл бұрын
Chuvi nyingi n'a mambwende muna uwa kweli kweli
@Hamino--media Жыл бұрын
Kwani hii clip ni ya paspot size mbona naona kuamzia kiuno kwenye juu amna full