Janja janja tu, musipogoma itaendelea kudanganywa na maneno ya kisiasa mpaka dunia itasimama
@SilasNdaisabha-gx8jo5 ай бұрын
Tz🇹🇿 mkuu wa mkoa ni mr p makonda❤
@hssanrubota38915 ай бұрын
Hapo umekosea sana tulikuwa tunakukubali lakini hapo umakosea huko ni kuwatisha watu wanaodai haki yao ss turiridhia kuwekeza bandari ili angalau kupunguza hizi kero za kodi zinazopa kila kukicha sasa faida ni ipi ya kuwa na wawekezaji na haya madi ndio unasababisha maisha kuwa magumu
@elias.e.urassa5 ай бұрын
People tend to Whisper when they say the truth and raise their voice when they lie.
@sportsnewjs43305 ай бұрын
Nikweli kuna viongozi wakoserikalini kwa bahati mbaya sana Hawana uwezo wakutatua changamoto badalayake wanauwezo wakuongeza changamoto
@SebushahuEzekiel5 ай бұрын
Hufai kuwa kiongozi kauli zako ni mbovu sana
@BarakaMagonya5 ай бұрын
Kweli mh kitu ambacho umekizungumza ni kweli hongera mh🤝🤝🤝🤝
@jullythedone86155 ай бұрын
Huyu bwana kapatwa na nini miaka ya 2019.../21 alikuwa kiongozi Bora Sasa Kawa Bora kiongozi
@StevenNyanguye5 ай бұрын
Ndio tatizo la viongozi wa bongo vitisho vingi kulikon elimu
@fahamnitwahir92495 ай бұрын
Yaan huyu ana kibri cha madaraka na anaringia police/Dola but Yana mwisho
@jitabojilala61625 ай бұрын
Bro hufai kuongoza Dar
@usembiphonedar56325 ай бұрын
Acha porojo za kusingizia vyama vya siasa, kwani hivyo vyama ndivyo vinawaletea chakula?
@Jafaryamily5 ай бұрын
Pumbavu kabisa aliyemwambia tatizo machinga ni nani? Au wachina wengi ni nani? Raia wanagoma kodi kubwa na nyingi.
@KaburuKimath-eu5nf5 ай бұрын
Mzee tatizo sii machinga tatizo tra
@a2core-wn2wk5 ай бұрын
Ww mkuu wa mkoa ongelea kinachojiri usiongelee serikali ya awamu ya tano.au umetumwa
@hadijauledi69955 ай бұрын
Kodi kubwa daaah 😭😭😭😭
@Stellastella-yi5vu5 ай бұрын
Jifunze kwa Jerry slaa jins ya kutatua changamoto sio kubweka tu
@salmakirundu20765 ай бұрын
Ttz sio wachina bhana ni kodi ya service lev
@chiefmajai93455 ай бұрын
Mtz ni ndiyo mzee sababu za kufunga biashara elezeni siyo amri
@Masebrain5 ай бұрын
Nice
@MohamedKinega-jt4vi5 ай бұрын
Hivi msaada wa kutatuliwa tatizo la kodi kwa viongozi wetu liko wapi?
@Jafaryamily5 ай бұрын
Anazungumzia siasa biashara haitaki siasa
@NardhisMhagama-sy3eq5 ай бұрын
Kumbe mungu anakuona
@marwasaid82835 ай бұрын
Ndugu mkuu wa mkoa eleza tatizo, acha kutisha watu
@user-Neema5 ай бұрын
Yan huyu baba kha
@carolihando62715 ай бұрын
Walifikia awamu ya tano ni wale mafisadi, rais wote tulimpenda na bado tunampenda sana hata hayupo, ila wewe sasa unaonyesha your true color. Hakuna anayekubali kuonewa kwa vijisenti..pole sana chalamila
@salmakirundu20765 ай бұрын
Kodi kibao toweni servicelev achani siasa mnawanyonya wananchi wenye mitaji midogo twendeni kwenye madini tukakusanye kodi
@willsonmsuya92615 ай бұрын
😮
@MsesefuChristopher5 ай бұрын
Kweli kabi
@SurprisedCheeseBoard-fh5nw5 ай бұрын
Jaman Hawa viongozi wetu wangejua jinsi ilivyo ngumu kuutafuta huo mtaji wangetuhumia kabisa lakini wao ni kuzunguka na Magali mafuta wawekewe na mwanainchi anaona maisha Bora kweli kweli
@ChazMakavu5 ай бұрын
Trendng no 1
@maryamsuleiman63405 ай бұрын
Nionavyo hapatakua nakiongozi hata 1 ataekua bora kwetu ,mana hata Magu alikua mbaya kwawengine ,ila nionalo kila mbuzi ale kwaurefu wakamba yake ,napia kunawtu wasiotutakia amani yanchi ,ndio wanashawishi wtu wajipotezee mda kw maslahi yao ,wala hamna lolot hata wakipata wao ,tuangalie wenzetu walijihashua hawa raha ktk nchizao
@ngambikomsu645 ай бұрын
Wewe ni serikali ipi??
@sponsor78825 ай бұрын
Wakenya wanajielewa sio kama watanzania
@NgaizaKimbeNgaizakimbe5 ай бұрын
Wanajielwa Nn We Mackenzie kale Unga Wa Nyas😂😂😂😂..
@KudraWanguvu-em1xw5 ай бұрын
Mchochezi hamia kenya
@officialshelomwangole2565 ай бұрын
Kwa lipi?🤫
@KitilaMndeme5 ай бұрын
Poleni Dar es salaam Tanzania
@ponsianomnyaru91405 ай бұрын
Ww kenge kwahiyo unataka kufananisha utawala wa magu na WA mama Ako hata ukimkataa magu kwasababu mama kakupa kibarua lkn magu bado tunampenda japo yupo kaburin
@Ambwene5 ай бұрын
Mpumbavu huyu mkuu wa mkoa
@faithstephen36905 ай бұрын
@@Ambwenekwa hiyo ndio atishie wananchi we mpuuzi sana
@lightmashauri17255 ай бұрын
Magu hafananishi na Hawa njaa,njaa
@JaliwaAdamu-wy4zi5 ай бұрын
Unatisha wa2 mh mikwala mingi kwa tanzania hii mmetuweza
@omanmobile57465 ай бұрын
Badala ukae chini mlitatue tatizo unwatishia sawa kwa kuwa wewe ni kiongozi basi wengine hawana kauli jui yako ila kumbuka kuna maisha baada ya uongozi🇴🇲
@EzekiaMtwale5 ай бұрын
Kaa mezan mzungumze co kuwachimba mkwara bro!
@pastorsthenksrojaskapunga68435 ай бұрын
Shida zaidi kuliko kawaida Kutoka 1:8,10 [8]Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. Now there arose up a new king over Egypt, which knew not Joseph. [10]Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii. Come on, let us deal wisely with them; lest they multiply, and it come to pass, that, when there falleth out any war, they join also unto our enemies, and fight against us, and so get them up out of the land.
@emanuelkilinga91965 ай бұрын
Safi sana rc
@shabaniramadhani80265 ай бұрын
Kachukue mawazo ya usuluhisho kwa Jerry Slaa yuko vizuri
@AlfredSenkondo-mi3wf5 ай бұрын
Ssa huyu kaenda kusuluhisha au kuwatishia watu mungu kamsaidia hakuwa kiongozi wakenya
@EzekiaMtwale5 ай бұрын
kweli ana bahat Yuko tz
@rajabukitego16625 ай бұрын
Daah,hii,nch,hicho,ndicho,kinacholalamikiwa,kwel?
@francisrutashoborwa96795 ай бұрын
Unafaa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Mkuu
@sebastianmwantuge55975 ай бұрын
Wewe siyo kiongozi wa kisiasa lakini maadamu umewekwa na mwanasiasa basi na wewe ni mwanasiasa. Hivyo ni vitisho,watu hawawezi kugoma bila sababu,wekeni mambo vizuri na si vitisho. Tanzania bado sana,kuna majitu yanapiga makofi hapo.
@Keyjop5 ай бұрын
Tunakoelekea Tanzania sijui ni wapi?
@GodfreyOsward5 ай бұрын
Pazuri tu tukisemezana, hakuna shida. Lazima tutatue matatizo yetu. Wakati tunakimbia viwandani, hatukujua kumbe na uchuuzi nao una karaha zake. Umachinga ni uchuuzi. Turuudishane viwandani na mashabani kibiashara. Machinga na dada, kaka poa tutawapunguza.
@jacobwarieba58415 ай бұрын
Unaongea hivyooo ufainkuiongoza daresalaamu hata rais wetu samia ajifikirie
@sskondopoleani96165 ай бұрын
Mlete baba yako awe mkuu wa mkoa.
@faithstephen36905 ай бұрын
@@sskondopoleani9616 babake anaingilia wapi hapa shoga mpevu wewe watu kama nyie ndo manafanya watanzania wanakandamizwa
@dennismwakilembe58005 ай бұрын
@@faithstephen3690 anakula kwa mama analala kwa baba atayajulia wapi huyo bwabwa
@adkajisi45365 ай бұрын
@@faithstephen3690 uvccm hiyo vijana wa hovyo.
@IsmailJuma-zb5ni5 ай бұрын
Mh!kasema sasa itakuaje?
@godynyoni35395 ай бұрын
Hapo kwenye awamu ya 5 ndo tiketi ya laana. Subiri matokeo
@user133755 ай бұрын
Biashara inakuhusu wapi ww😮😮😮???
@nyembobea72855 ай бұрын
Umeongea point sana mkuu hakika wewe ni mkuu mkoa muwazi hutishwi
@MsAggie55 ай бұрын
Anaongea pumba tu, vitisho vingi vya nini? Magu aliwakaba wafanya biashara wakubwa hawa wadodo aliwalegezea. Daktari na hawa kuna uhusiano gani. Ujinga tupu
@JaphetJairos-n4l5 ай бұрын
Amna serikal imekuwa kikwazooo sana
@MarcoMarki-wo5lg5 ай бұрын
Angalia Mzee sisi watoto wa 2000 tupo
@carolihando62715 ай бұрын
Ruleby iron hand lasts in chaos. Chalamila unaongoza au inatisha?
@davidsika52925 ай бұрын
Huyu mkuu wa mkoa safi sana hasa kwa wale wanao deka deka
@faustinombilinyi98095 ай бұрын
Albert chalamila bro nakwambia ukweli kuna maisha mengine nje siasa au uongozi wako angalia bro majivuo yanamwisho
@EzekiaMtwale5 ай бұрын
Watu wanatetea haki zao ww unasema habari ya wanajeshi kutumwa vitan?! hiyo ni siasa au watu wanatetea haki zao!
@Davidmalunga-19925 ай бұрын
Kwan mkuu ulivoitwa umeambiwa kariakoo kuna tatizogani? Labda tuanzie hapo. Ukute wamekupa taarifa isiyo sahihi
@GoldenchipsChips5 ай бұрын
😂😂😂maana kalipua lipua tu mpaka umuhimu wa yeye kwenda hapo hauonekani
@drallan68795 ай бұрын
be diplomatic usiwatishe!
@TimelyInspiration-qp7yi5 ай бұрын
Huyo mjinga akuje Kenya aongee hivo
@EliezaRichard5 ай бұрын
Mi naona kunamatatizo kati ya mfanyabiashara t,r,a selikari Sasa hapo kati t,r,a na mfanyabiashara Kuna mmoja anailetea usumbufu selikari inaonyesha t,r,a na ni mbabingwa wa kutengeneza mazingila ya rushwa wanasababisha mfanyabiashara aone afadhali atoe rushwa kuliko kiwango wao wanadai kinaenda selikalini Sasa Mimi ni mtaji wa ml 6 mnikute na tatizo mniambie faini ml 15 ni bola nitoe rushwa ml 2 au 3 maisha yaendelee selikali hapo inakuwa haija pata kitu
@ClementJacob-sd8lf5 ай бұрын
When do you think you will solve why it takes time to solve
@elbaricktv16325 ай бұрын
Tanzania nchi ya hovyo sana yan wanyonge ndo wanakandamizwa makodi kodi kibao ipo siku wananch watachoka wajichukulie sheria kama kenya
Achakutudanganya broo maisha nimagumu acheni kujidanganyia na siasa alie soma bajeti nichama kingine au niwaziri wa fedha maisha ayaitaji mzaa
@swalehemusa45465 ай бұрын
Africa kuna viongozi waginga sana ivi ninani kailoga africa
@ErnestMpigauzi5 ай бұрын
Kilajambo na wakati wake
@EsterSamwel-io9zq5 ай бұрын
Yaani najisikia hasira😢😢😢
@mishlay81645 ай бұрын
Ninyi vipi viongozi muwe na kauli ni nzuri
@Burange6665 ай бұрын
Huyu hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi maana anaongea ushuzi ushuzi anaongea kwa ukali utadhani anaongea na mbwa, kiongozi hatakiwi kuwa mkali anajifanya mtemi sana hajui kuwa wafanyabiashara wanaumia kwa kodi kubwa.
@YugoAlly5 ай бұрын
Afai kuwa kiongozi
@BLUBEENICE5 ай бұрын
Mmmmh jamani me sijamuelewa huyu anazungumzia nini vile!!!
@GoldenchipsChips5 ай бұрын
😅😅😅kazingua sana
@RutaEmmaMachumu5 ай бұрын
Namna hii..... MAKONDA itabidi uzunguke mikoa yote ya Tanzania ili uwanyoshee wenzio
@ObedMtui-o1z5 ай бұрын
😮 mgomo mgomo
@Jacklinejohn75 ай бұрын
Kwahio apo umeenda kuwatambia au kuwasaidia wote 😢
@mussamussa81815 ай бұрын
Uyu kenge kwel kutaja ser kal ya 5...kenge kabsa
@hamadsaburi35695 ай бұрын
Kodi Kodi Kodi kubwa mna WA bana masikini
@iddyissa81105 ай бұрын
Uyu jamaa sijamwelewa afafanui tatizo anawachimba biti tu
@NasilichandeChandenasili5 ай бұрын
Achaa kutishaa watuu wwee mzee his nchii niyawaonevuu, mafisadii na wapiga dilii rais alkuwa magufulii tuu maisha yawatanzania ni magumu Sanaa nyiee mnazidii kunenepa mashavu , MUNGUU wahaki yupoo mnatuonea ipo sikuu ccm watasaga menooo....ubaya unamwishoo wakee
@sultankivumbi92555 ай бұрын
Subir wakenya watuletee mugokaa tutafune utajua kama watanzania wanyonge kama unavyofikilia
@JumaRamadhani-uv1il5 ай бұрын
Huyu mwamba ndio alisema una fikisha miaka 40 huna hela mbona leo anataka watu wasitafute kimango
@bunzaristeven57725 ай бұрын
Tanzania watu wengi wanaogoma huwa hawaelewi wanagomea nini!!
@dulasele-ud8cw5 ай бұрын
Niko msumbiji nimeona changamoto yakuutoa mzigo kaliakoo adi temeke kuna ndugu yangu amechukuliwa mzigo na tialaei adi leo uluma tulijua tazani nchi y aman lakini kwahili la tiara ei tazania aina aman bola niende sauzi africa nikachukue mzigo
@MsAggie55 ай бұрын
Ningependa huyu chizi asome ujumbe wako. Sio wewe tu wafanya biashara wengi kutoka nchi za jirani wanalalamika juu ya hizo kodi na kuchukua mizigo yao
@modestusndunguru71835 ай бұрын
Kwani Kodi si zimewekwa kisheria au..tatizo ni wachukua kodi wanjiongezea kodi
@anatoliwema36645 ай бұрын
Uzuri wananchi wamekusikia na kukuelewa na maamuzi yapo juu yao tu na si vinginevyo na wote waliohudhuriakutano wameelewa vizuri sana, utendaji wao utakuwa majibu sahihi yatokanayo na mkutano husika
@mbarikiaally28145 ай бұрын
Hanachokiongea na kinacholalamikiwa haviendani
@AnnaMrsmoses5 ай бұрын
dah, mungu umewasaidia sana wakenya wanajielewa hawa tishiki kipumbavu wala hawaogopi mtu pi hawaruhusu akili ndogo kuikandamiza akili kubwa
@rosehaule67655 ай бұрын
Sio kweli.kodi nyingi tunaumia.aisee
@lamsinsolo13355 ай бұрын
Mnamuonea mama pindi mwamba yupo mbona mlofyata mikia?