Mgomo wa Daladala Mbeya, "Hatutaondoa Bajaji Barabara Kuu":RC

  Рет қаралды 12,326

MbeyaYetuOnlineTV

MbeyaYetuOnlineTV

Күн бұрын

#MbeyaYetuTv

Пікірлер: 78
@faustinamsilanga6933
@faustinamsilanga6933 3 жыл бұрын
Big up Baba upo vizuri na jicho lako la tatu limeona mbaliiii !!
@mwinukafundibombanjombe
@mwinukafundibombanjombe 3 жыл бұрын
Viongozi wa JPM wote kawachagua kama yeye mwenyew like father like son.💪🏿 hao wadaladala waache mambo ya binafsi kwanza wanachelewesha san watu ..bajaji ziongezeke
@zabibumwashitete777
@zabibumwashitete777 3 жыл бұрын
Asante mh.mkuu wa mkoa🙏🙏
@ommyommy1970
@ommyommy1970 3 жыл бұрын
Kunywa bia moja Brother Chalamila 💪💪💪
@fataelipalangyo8992
@fataelipalangyo8992 3 жыл бұрын
Fataeli J Pallangyo poleni sana watanzania nisafari ya kila mtu aliye umbwa na mungu
@amiryhamza1984
@amiryhamza1984 3 жыл бұрын
sawa mkuu
@yudamgogo5752
@yudamgogo5752 3 жыл бұрын
Uko vizuri
@andulilemwakihabha2048
@andulilemwakihabha2048 3 жыл бұрын
Nakukubali mkuu 👏🏼👏🏼👏🏼
@kainimlowe7555
@kainimlowe7555 3 жыл бұрын
sema mkuu unakunywa bingwa au kitoko niwambie walete apo
@nsajigwamwasambili494
@nsajigwamwasambili494 3 жыл бұрын
Tungekua na viongoz kama ww kila mkoa tz ingefikambal
@lucholyungu4969
@lucholyungu4969 3 жыл бұрын
Veyaaa udzovile mkomi wangekuwa wanakupigia kula tukaa tukotovela dzongofu mtwa good advice
@geofreynoah9458
@geofreynoah9458 3 жыл бұрын
Sahihi kabisa mkuu
@ipyanangajilo226
@ipyanangajilo226 3 жыл бұрын
Sema .........KWENYE nauli ya elfu moja hapo yani
@enizetv5196
@enizetv5196 3 жыл бұрын
Ziendelee bajaji Daradara zina rara sana
@asifiwesolo1213
@asifiwesolo1213 3 жыл бұрын
Big up kiongozi
@luganomwakasole4063
@luganomwakasole4063 3 жыл бұрын
Nimemwelewa mheshimiwa
@dismassabinus7031
@dismassabinus7031 3 жыл бұрын
Safi kabisa mheshimiwa mkuu wa mkoa
@AlphonceMoro
@AlphonceMoro 3 жыл бұрын
Umesema baba🙏
@millitarybattalion7515
@millitarybattalion7515 3 жыл бұрын
Mbeya utakuwa mji wa kwanza wa BAJAJI NI aibu Sana kwa mkoa kujaza bajaji barabara kuu na kusababisha foleni zisizo na tija na ajali zisizo na maana acha siasa simamia weledi na kazi
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 3 жыл бұрын
Yaani nakupenda Sana R C tena kwa hili yaani safi sana
@andrewmteve7662
@andrewmteve7662 3 жыл бұрын
Tatizo nauli zabajaji uyole bajaj elfu 1000 daladala 400
@kessylukombe1811
@kessylukombe1811 3 жыл бұрын
Wape somo kiongozi
@tumainiezekia5873
@tumainiezekia5873 3 жыл бұрын
Tumekuewa baba
@yudamgogo5752
@yudamgogo5752 3 жыл бұрын
Safi mkuu
@manasemwakilasa5931
@manasemwakilasa5931 3 жыл бұрын
Mnawaonea sana wa dala dala
@tyaisontranko860
@tyaisontranko860 3 жыл бұрын
Naona leo umeamka vizuli
@f.a6043
@f.a6043 3 жыл бұрын
Vodacom kazi ni kwenu
@bigjunachezananyakatjj1539
@bigjunachezananyakatjj1539 3 жыл бұрын
Hajaniingia akilin.sumatra hawatoi usajili wa
@salehrashid6003
@salehrashid6003 3 жыл бұрын
👏👏👏👏
@brunomhume740
@brunomhume740 3 жыл бұрын
Hao wanataka kususa ugali kwa mama wa kambo!
@peterjairours7194
@peterjairours7194 3 жыл бұрын
Zinaweza kusababisha ajali hiz kitu ka unataka kuamin njoo mafiati pale
@zawadiaminamodestus5571
@zawadiaminamodestus5571 3 жыл бұрын
Mkuu unasema ukwelli kabisa
@eliahmwakasendeka8100
@eliahmwakasendeka8100 3 жыл бұрын
Kwa uwelewa wangu ndogo nivigumu sana kuendelea kuziona bajaji balabala kuu maana daladala zipo kishelia na zimepangiwa je bajaji nazo zimepangiwa Yani zimelipia loute?
@jamessichimata3100
@jamessichimata3100 3 жыл бұрын
Wewe unajua bajaji haiko kisheria ebu nipe kifungu kinachoikataa bajaji kama sio chombo cha usafili.
@agapembukwa6185
@agapembukwa6185 3 жыл бұрын
Kwani bajaj hawana Sumatra?
@noelrichard8921
@noelrichard8921 3 жыл бұрын
Naona uko mbeya kwa wakwee zangu mmepata Kiongozi Bora..
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 3 жыл бұрын
Bajaj zinakimbia sana apo stendi ya kabwe akuna utalatibu mzuli niatal
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 3 жыл бұрын
Nadhani na huko Musoma walisikie hili
@faustinamsilanga6933
@faustinamsilanga6933 3 жыл бұрын
Tena hawajui kwamba wanawatesa wanafunzi hao daladala !
@jastininjano262
@jastininjano262 3 жыл бұрын
Wanatesaje wanafunz wakati bajaji ndo mpngo
@fetamusictz3690
@fetamusictz3690 3 жыл бұрын
Upo sahihi sikupingi
@jaydon3361
@jaydon3361 3 жыл бұрын
Nimefurahi ulivya wachana hao
@onesmojustice2348
@onesmojustice2348 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa nimekupata hapo kwenye online tv na tv za kawaida wakizubaa tu taarifa imesharuka online hapo mwenye masikio kaelewa
@davidchambulila3028
@davidchambulila3028 3 жыл бұрын
Miji yetu mingi imefeli kwenye barabara za pembeni ,kulitakiwa kuwe na barabara za pembeni mbili moja. Kushoto na nyingine kulia zitoke uyole Hadi mbalizi Kama ilivyo barabara kuu ,hizo mbili ndio wangepewa wa bajaji
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 3 жыл бұрын
Kwa hili mkuu chalamila nimekukubali saana kuhusu daladala
@emmanuelkyando2125
@emmanuelkyando2125 3 жыл бұрын
Ingiza hizo gar kesho xx hatutaki kusumbuka
@johnmuna7428
@johnmuna7428 3 жыл бұрын
Umenena baba wanataka bajaji wakale wapi? Alafu wakizingua tushushie magari yako baba
@frankjoshua6869
@frankjoshua6869 3 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa wetu bwana ananipa Raha kweli kweli
@feisalsalum1258
@feisalsalum1258 3 жыл бұрын
KUNA MWAKA ULITOKEA MGOMO KAMA HUU HUKO MUSOMA YAANI NILIBAKI NASHANGAA SANA KWA HUKUMU ALIYOPEWA BAJAJI,YAANI KWA MAJIBU YA LEO AISEE YAMENIFARIJI SANA TENA MKUU UKO SAHIHI SANA.
@davidchambulila3028
@davidchambulila3028 3 жыл бұрын
Nahiyo barabara imetengenezwa na Bibi yenu ?ndiheka nyela
@devotajofrey9345
@devotajofrey9345 3 жыл бұрын
Afadhali jamani awa daladala wanasumbua
@twiseghekisilu8845
@twiseghekisilu8845 3 жыл бұрын
Hizi longolongo zote ni miundo mbinu ya barabara ya mji wa Mbeya!
@stevenmaketa8051
@stevenmaketa8051 3 жыл бұрын
Ila waisheni barabara jmn mpanue ili jiji liwe zuuri
@nawaberno888
@nawaberno888 3 жыл бұрын
ilikuwa hayina haja kuita jiji kwa kauli hiyo
@eliahmwakasendeka8100
@eliahmwakasendeka8100 3 жыл бұрын
Naona jiji linaludi kuwa wilaya
@jamessichimata3100
@jamessichimata3100 3 жыл бұрын
Uongo wako aliyekudanganya kua bajaji ni za wilayani nani? Una miliki daladala au?
@petermachondo8285
@petermachondo8285 3 жыл бұрын
Sio kweli.
@tithomhagama
@tithomhagama 3 жыл бұрын
Kwakauli hii hawatagoma tena
@asueddy1465
@asueddy1465 3 жыл бұрын
Eti na hiyo barabara imetengenezwa na bibi yenu!?😃😃😃
@kambij2959
@kambij2959 3 жыл бұрын
Saf
@veronicatweve9015
@veronicatweve9015 3 жыл бұрын
Ila wewe????
@zeranchimbi2808
@zeranchimbi2808 3 жыл бұрын
Ila Mbeya imebadirika kinyama nilishangaaa bajaji nyomi dalaldala zimepotea bajaji toka kabwe mpaka mbalizi duuuuuh ila wezenu huku Mwanza bajaji na daladala shwali hakuna ugomvi
@janehenry2544
@janehenry2544 3 жыл бұрын
Upo vizuri chalamila siyo kama wengine wanawanyanyasa bajaji na wana wapeleka kwenye barabara mbovu
@janehenry2544
@janehenry2544 3 жыл бұрын
Kila m2 anapanda usafir anaotaka
@nostusmchilo5645
@nostusmchilo5645 3 жыл бұрын
Watembee uchochoroni
@bensonmwananchi7701
@bensonmwananchi7701 3 жыл бұрын
Watu tunagal za kutembelea tu.sajil tuingie barabaran mkuu wao c wanalinga
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
Jamani ndugu zangu mtafutaji siku zote hachoki. Nami nawaomba radhi kwa kuendelea kutafuta VIEWS kwa kuweka link zangu za VIVUTIO VYA WATALII nchini👇 kzbin.info/www/bejne/Y37Sap2gfZtsea8
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 3 жыл бұрын
ILI KIDHIBITI BAJAJI BARABARA KUU INATAKIWA BARABARA ZOOTE ZA MITAANI ZITENGENEZWE ILI BAJAJI WAFANYE KAZI KWA KUJIACHIA (BARA BARA ZA MTAANI NI MBOVU NDIOMAANA BAJAJI WANAONA UGUMU KUFANYA KAZI KWENYE BARABARA MBOVU)
@evelyneisambi7286
@evelyneisambi7286 3 жыл бұрын
Point
@petermachondo8285
@petermachondo8285 3 жыл бұрын
Umeongea vzuli
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
Jamani ndugu zangu mtafutaji siku zote hachoki. Nami nawaomba radhi kwa kuendelea kutafuta VIEWS kwa kuweka link zangu za VIVUTIO VYA WATALII nchini.👇 kzbin.info/www/bejne/Y37Sap2gfZtsea8
@jaydon3361
@jaydon3361 3 жыл бұрын
Wanazingua dalala
@saidibunduki7683
@saidibunduki7683 3 жыл бұрын
Jamani ndugu zangu mtafutaji siku zote hachoki. Nami nawaomba radhi kwa kuendelea kutafuta VIEWS kwa kuweka link zangu za VIVUTIO VYA WATALII nchini👇. kzbin.info/www/bejne/Y37Sap2gfZtsea8
@nostusmchilo5645
@nostusmchilo5645 3 жыл бұрын
Unaongea pumba wewe nawanafunzi watapanda bajaji vina sababisha ajali
@petermachondo8285
@petermachondo8285 3 жыл бұрын
Amesema vzuli sana.
@pewamwahalende7893
@pewamwahalende7893 3 жыл бұрын
Maana ya jiji Nini?
@nostusmchilo5645
@nostusmchilo5645 3 жыл бұрын
Ndohapo hata hivo iload international nyimumeweka bajaji
@davidchambulila3028
@davidchambulila3028 3 жыл бұрын
Miji yetu mingi imefeli kwenye barabara za pembeni ,kulitakiwa kuwe na barabara za pembeni mbili moja. Kushoto na nyingine kulia zitoke uyole Hadi mbalizi Kama ilivyo barabara kuu ,hizo mbili ndio wangepewa wa bajaji
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 15 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 45 МЛН
Worst flight ever
00:55
Adam W
Рет қаралды 33 МЛН
Which One Is The Best - From Small To Giant #katebrush #shorts
00:17
MADEREVA DALADALA WAGOMA MWANZA, SABABU YATAJWA, WAHANGA WAZUNGUMZA
9:34
Mwananchi Digital
Рет қаралды 2,1 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 583 М.
Mbeya: Watu  11 Wafariki, 20 Wajeruhiwa Katika Ajali ya Gari
5:50
MbeyaYetuOnlineTV
Рет қаралды 10 М.
Officer Rabbit is so bad. He made Luffy deaf. #funny #supersiblings #comedy
00:18
Funny superhero siblings
Рет қаралды 15 МЛН