Рет қаралды 15
TUCASA ni kifupisho cha maneno ya kiingereza Tanzania Universities and Colleges Adventist Students Association yaani umoja wa wanafunzi wa kiadventista katika vyuo vikuu na vyuo vya kati Tanzania. Ni chama kinachowalea vijana na kuwasaidia kuishi maisha bora hapa dunia na huku wakiwasaidia watu na hasa vijana wenzao katika vyuo kumfahamu Yesu.
Ungana nasi katika mitandao ya kijamii
Facebook: / ntuctucasa
Instagram: / tucasa_ntuc
KZbin: TUCASA NTUC
Website: www.ntuctucasa...