Kumbe DIAMOND alitaka ngoma aliyoshirikishwa na MARIOO itolewe kwenye album,amempa kolabo CHINO KIDD

  Рет қаралды 32,637

Middle simba

Middle simba

Күн бұрын

Пікірлер: 182
@AIMEMAS-G
@AIMEMAS-G 11 күн бұрын
SIMBA DIAMOND PLATUNAMZ ❤ft. Chino
@VictoriaJoseFabiao
@VictoriaJoseFabiao 11 күн бұрын
Simba and chino ❤❤
@GastonvillaPalange
@GastonvillaPalange 10 күн бұрын
Makalioyako marioo . Acha usenge dogo utakosa vitu vingi ukileta upinzani na simba lamasimba dangote ❤.
@Chicoh.
@Chicoh. 10 күн бұрын
Kwani Simba ni mungu aliempandisha Simba ndio atampabdisha marioo akitaka
@Nihadshighadi
@Nihadshighadi 8 күн бұрын
He's doing good without him
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 5 күн бұрын
​@@Chicoh.Huyo dogo hawezi kufika hizo level kwasababu hata mondi mwenyewe imemchukua time,kama anataka shortcut ni vyema kutumia chibu ajifunze kwa jux ambae alikua anaenda kupotea ila karudi kama kaanza Jana
@MJB-Africa
@MJB-Africa 5 күн бұрын
@@GastonvillaPalange atamkosa PIDIDI??🤣🤣
@MJB-Africa
@MJB-Africa 5 күн бұрын
@@NgasaMaduhu dogo anasapotiwa na WATOTO WA 2000 , yy aende na wazes wenzake. Short cut ya puff dady
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 11 күн бұрын
Safi sana, ukinizingua na kuzingua mara dufu 🚶🏾🚶🏾🚶🏾#wcb4life
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 10 күн бұрын
@@ramazanitr8541 yeye ana penda ahabudiwe kama Mungu, kama alikataa wimbo alio shirikishwa na Marioo usitoke, Album ya Marioo ahi kuenda vizuri?.
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 9 күн бұрын
@@ramazanitr8541 inamana huyo wenu Freemason Diamond asi zinguliwe yeye ana Muungu wa kuabudiwa na wasani wote hapo Bongo? , mbona sasa haku msaidia Ila ana fanya mziki wake mzuri hit to hit and trended and trending , kwa nini yeye baazi ya wasani wake kuna wengine hawasikiki hata kusikika ? Diamond na wengine watu wasi mfanye Diamond kugeuka kuwa Mungu mgawa Riziki’s.
@rashidingole1588
@rashidingole1588 11 күн бұрын
Diamond alianza kumaind kweny yale maneno ya marioo kuhusu kusainiwa WCB! Nakumbuka marioo alimtupia kamdomo Diamond kwa kujifanya mkubwa😂😂😂
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 10 күн бұрын
@@rashidingole1588 sasa yeye Diamond ni mkubwa wa nani kati ya wasani wa Tanzania? , yeye ana lipia nani kwa ku rekodi nyimbo zake audio, na video, yeye ali mfanya nani kuwa Msanii? Mpaka mtu asi ongee kumuhusu, ti Marioo kusainiwa WCB alimtumia kamdomow , yeye Diamond ni Mungu wa Marioo, ? Kama WCB ili penda ku msaini na yeye alikataa shida iko wapi? , Marioo ali jiamini kimziki aka ona yeye haitaji mtu amshikilie kwenye muziki wake yeye ana jiweza, na kweli ana jiweza , Diamond aendelee na ushetani wake nakujiona yeye ni Mungu mgawa zawadi , siku zake zipo .
@Emmanuelgabriely
@Emmanuelgabriely 9 күн бұрын
Alafu tambua aliye sababisha marioo asisikike wcb kipindi anaanza alikua laiza projuza wa wcb kama uliifatilia intavyuu ya mariooo alisema nilienda wasaf kutoa nyimbo ili diamond anisikie lakini ayolaiza hakuiweka mtandaoni kwasababu alitaka ile hela ale mwenyewe bila diamondi kumshilikisha apo mwenye makosa ayolaiza
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston 7 күн бұрын
Hujakoseya kabissa
@MJB-Africa
@MJB-Africa 5 күн бұрын
@@rashidingole1588 atuachiie mtoto wetu wa2000
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 11 күн бұрын
🦁🦁 Simba
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 10 күн бұрын
Uzuri album ya marioo imeweza👏👏
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 күн бұрын
Sawa ila wimbo wetu umetolewa
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 10 күн бұрын
@@rajabdibwa6415 ndio hana shobo na Diamond juu yeye anaweza.
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 10 күн бұрын
@@rajabdibwa6415 bora wimbo umepigwa panga, angevimba "peace and money is coming 🤣🤣🤣" #wcb4life
@Swahili14
@Swahili14 10 күн бұрын
Yes ila SALIO TU🔥 though Sober is my favorite too
@Dr_Cayden_Official
@Dr_Cayden_Official 11 күн бұрын
Mwalimu ❤
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 11 күн бұрын
Its Ok, sometime better to bilieve in yourself. MOND NI Mond, na Marioo ni Marioo, kila mtu ana njia yake.
@Rizikialiamechannel763
@Rizikialiamechannel763 11 күн бұрын
Na Diamond ukimzingia mara moja anakuzingia mara 50
@adinanmkombozi351
@adinanmkombozi351 11 күн бұрын
Kabisa hatunaga kulemba
@MeshiliTemba
@MeshiliTemba 11 күн бұрын
Kulemba ndio nn??andikeni vizururi mnatuaibisha mtandaoni
@MeshiliTemba
@MeshiliTemba 11 күн бұрын
Mzingia au kumzingua ???watanzania hading aibu
@IbrahimIbla-d4w
@IbrahimIbla-d4w 11 күн бұрын
Kumbe diamond msanii nilikuw cjui
@IkoUwasi-it6qy
@IkoUwasi-it6qy 11 күн бұрын
​@@MeshiliTembaukijifanya mjuaji sana basi lzm Mungu akuumbue na wewe vizururi ndio nini 😂ni vizuri siyo vizururi eti hading aibu ni Hadi
@rahjommy
@rahjommy 11 күн бұрын
WATUACHIE NGULI WITH ❤❤❤❤❤
@ramayonline2281
@ramayonline2281 11 күн бұрын
I can’t wait ❤❤❤❤❤❤❤
@allymuhina-d1e
@allymuhina-d1e 4 күн бұрын
Kaka marioo fanya Kwa uwezo wako uwombe msamaha Kwa kaka diamond
@esikingamrperfume1997
@esikingamrperfume1997 11 күн бұрын
Anamind kwa nini kwani anashinda nae kwa angel ipi .....acheni kumshusha Mondi 🎉
@WizzyPrince-i8w
@WizzyPrince-i8w 11 күн бұрын
Middel simbaa🔥🔥🔥
@ameirzapy1318
@ameirzapy1318 8 күн бұрын
Mbona Album iko vizuri sana tuuu,, wala haina pengooo la Diamond, kwanza ni fleva mbili tofauti
@EricBahati-y6m
@EricBahati-y6m 10 күн бұрын
Safi kabisa
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 10 күн бұрын
Naamini yale yalio ongelewa eti huyo Diamond hapendi mwengine apate yuko pale kugandamiza wenzake ,ana jifanya yeye Mungu mgawa zawadi na pale una sema ana mbless Chino, hata haya hamna , na yeye Diamond hafanye kazi nzuri , kama hihi yake Holiday wala sio mwimbo, na zingine na zingine sio , amuache Marioo ana jiamini na kazi nzuri ata henda vizuri tu bila mchango wa huyo Muungu wenu Freemanson Diamo
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 күн бұрын
Kwahiyo huna adabu na bado uje unitumie
@MbalasaJRMwakabalile
@MbalasaJRMwakabalile 10 күн бұрын
😂😂😂
@emmanuermwashambwa8585
@emmanuermwashambwa8585 10 күн бұрын
Wewe ndo hautofautiani na freemason
@richarddaudymbogo-yg1tq
@richarddaudymbogo-yg1tq 10 күн бұрын
Siokweli shida madogo hawabebeki
@SadokiefrahimlindoLindo
@SadokiefrahimlindoLindo 8 күн бұрын
We unashida kubwa sana 😮😮
@IssaTayari
@IssaTayari 11 күн бұрын
Simba 1
@almasially6509
@almasially6509 10 күн бұрын
Hizi management zinawadanganya sana hawa wasanii, yani msanii akiwa na upepo kidogo tu wanamwambia ameshakuwa mkubwa kuliko mondi
@philipotieno9996
@philipotieno9996 10 күн бұрын
Simba 😂😂 mtu baaadiii sanaaaa.❤❤❤
@S2KTZ
@S2KTZ 10 күн бұрын
Sawa atatoa lakini marioo ni mnyama tunaomkubarii mariooo
@lusanalusana-o3h
@lusanalusana-o3h 10 күн бұрын
Nakubari sana marioo but tunatamani atoke alipo aende kwenye hatua nyingine
@MozartAlinoti-l6d
@MozartAlinoti-l6d 11 күн бұрын
Lete mambooooo
@Michambonline
@Michambonline 11 күн бұрын
Nahitaji wakunikuna wapenzi wangu nimemic kukunwa vizuri jamni ❤❤❤
@VisionCreationManagementTV
@VisionCreationManagementTV 11 күн бұрын
Nipeee noo yakooo baasiii ety 😅😅😅😅😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣 hahahahahahahaha
@VannyPromax7
@VannyPromax7 10 күн бұрын
DM 😂
@geoufo2858
@geoufo2858 11 күн бұрын
Marioo alionesha dalili zakutaka chokochoko na mbosso ndomaana
@MohamedSwaleh-d2m
@MohamedSwaleh-d2m 8 күн бұрын
Ila mario ni mzuri kuliko diamond
@MariamHamis-d3n
@MariamHamis-d3n 5 күн бұрын
Tena co kdg
@Dinno_Dee
@Dinno_Dee 4 күн бұрын
Kwenye nin Maana hakuna jipya la Marioo ambalo Diamond hajawah kufanya kama nyimbo za mapenzi Diamond keshaimba sana yani ndo Alianzia huko saiv anafanya kazi kwa malengo ya kibiashara zaid sio kukufurahisha shabiki wa Buza pekee mwishowe nyimbo iishie bonyokwa Marioo hawezi fika hata robo ya Mondi
@MohamedSwaleh-d2m
@MohamedSwaleh-d2m 3 күн бұрын
@Dinno_Dee Kila mtu huimba usiangalie ukubwa wa mtu ila diamond hajui kupangilia mashahiri Mario kamzidi
@hezronjoseph405
@hezronjoseph405 9 күн бұрын
Safi
@wasafitv7388
@wasafitv7388 11 күн бұрын
Kamodomo marioo
@maxdesignspro
@maxdesignspro 11 күн бұрын
levo za diamond ni chino harmorapa
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 10 күн бұрын
@@maxdesignspro ndio kabisa , kwa sasa Diamond hafanyi chochote akuna wimbo nzuri myaka yote.
@AshaMfaki
@AshaMfaki 10 күн бұрын
​​@@daynesakulu3169uzuri chuku zako hazimpati hakujui haumjui
@giftprosper2355
@giftprosper2355 8 күн бұрын
Album ya marioo ni kali sna hat bila diamond ni mahit tu
@benedictomb
@benedictomb 11 күн бұрын
Sasa alipokataa alizani album ya marioo itabuma??? Sisi ma fans tunampandisha tunaetaka na tunamshusha tunaetaka. Marioo ame simama na mungu yengine ni ya kwenu
@-thegreat-zawadimmasa307
@-thegreat-zawadimmasa307 11 күн бұрын
Ndo maana album ya mario imepotea kbs. Usi fanye vita na Mondi ata siku moja
@Fantastic.-gm1eo
@Fantastic.-gm1eo 11 күн бұрын
Ni kweli album imenywea kimtindo, mond kapambana mpaka album imepoteana😂😂
@BenjaminFranklinGondwe
@BenjaminFranklinGondwe 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 10 күн бұрын
Yan kweli
@AdamMbwana-p6n
@AdamMbwana-p6n 10 күн бұрын
Tafuten pesa
@AshaMfaki
@AshaMfaki 10 күн бұрын
Hta ww tafuta pesa​@@AdamMbwana-p6n
@ChristopherKayombo-o5m
@ChristopherKayombo-o5m 11 күн бұрын
😅😅😅 ivii mdomo upojeee mdomo upojee😂😂
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 11 күн бұрын
Who is diamond uyo mind mwenyewe amfikiii marioo
@002RYE
@002RYE 11 күн бұрын
Jifunze kuandika kwanza
@nicksonmusa3457
@nicksonmusa3457 11 күн бұрын
Hujuii kuandika unajua tu kamdomooo
@Yohanankwabi-e9o
@Yohanankwabi-e9o 10 күн бұрын
Eleweka upo pande gan🇹🇿🇺🇲
@FrobyRobin
@FrobyRobin 10 күн бұрын
ndomana tumetoa song 😂😂
@LaimoSaide
@LaimoSaide 9 күн бұрын
Ngoma itachezwa sana
@OkSawa-e5m
@OkSawa-e5m 11 күн бұрын
Sema marioo anaiga akill za kina kondee hay bab
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 күн бұрын
Alikuwaga poa sana alivokutana na konde tu akaanza kuwa bangi kama konde
@Yummycuisine269_230
@Yummycuisine269_230 10 күн бұрын
No that was France not Morocco It was the day before his departure to Morocco
@Official_makwinya_memes
@Official_makwinya_memes 11 күн бұрын
Shida ya ndugu yetu marioo kesha ingia kwenye familia ya upande wa konde gang ye fishing na baba mkwe wake wa konde gang😂😂😂
@user-se5lo7cl2f
@user-se5lo7cl2f 10 күн бұрын
Daaaa😂😂😂😂😊😊
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 11 күн бұрын
Marioo kwny ukwel ww leta mdomo ko walete uzwazwa kisa wao wakubwa wao pia wanakunya na kukojoa kama ww yaan bnadam yoyote anae chuchumaa kama ww asikusumbue ridhk anatoa mungu sio hawa mbwa wengn
@OkSawa-e5m
@OkSawa-e5m 11 күн бұрын
Shida huelew marioo aliaanza kumtungia maneno mbosso mpak mbasso aka maindi jua huyo marioo kun watu wan mjaza
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 күн бұрын
Sawaa basi si umekosa adabu basi hatukupi colabo
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 10 күн бұрын
@@OkSawa-e5m kwan waliopewa collabo na diamond wako wap wapo wengn walishapotea mbn na album yake inafanya vzur bila chibu
@OkSawa-e5m
@OkSawa-e5m 10 күн бұрын
@ vizuri gani ssa unayo izungumza wew middle simba siyo mjinga kusema kamdomo marioo an kaunafk ndaniyake ukija ata upande wa reyvan tuna jua ray anag noma na mtu kila kitu anachukulia kawaida ila kwa marioo hawajawai kupatana yani kwann? Ata mbosso alisema
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 10 күн бұрын
@@OkSawa-e5m kama ww huon uzur wa album ya marioo we tulia Sasa middle Simba ye kama nan ko akisema unye na ww utakunya Sasa uyo si chawa wa uchafun alafu kila mtu na mapungufu yake
@munashabani
@munashabani 10 күн бұрын
Diamond 💎 😂😂😂anasema ukinizingua nakuzingua😂😂
@daynesakulu3169
@daynesakulu3169 10 күн бұрын
@@munashabani yeye ni Mungu? Yeye hana huwezo wakizingua mtu , Mungu peke yake ndo ana uwezo kwa kila mtu na kwa kila kitu, sio yeye bado naye ana omba dua Mwenyezi Mungu ambarki , haje naye abariki wengine ao kulani wengine? , Biblia inatuambia anaye jipandisha Mungu ata mshusha na anaye jishusha , Mungu ata mbariki, kuna walio kuwa matajiri , maarufu kumzidi yeye lakini umaarufu na utajiri vili kwisha sasa wana hishi maisha mabaya ya kawida saana
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 10 күн бұрын
@@daynesakulu3169 point kbs yaan watu wanataka kumfanya diamond ndio mungu kwa wasanii labda mungu wa mashetan lakn vina mwisho kwa mungu huyu huyu mgawa ridhk
@amaniofficielgang
@amaniofficielgang 10 күн бұрын
👑👑👑👑👑❤️❤️
@BennyOfficial-b1m
@BennyOfficial-b1m 8 күн бұрын
Colabo ni mbosso na chino
@RamaMponji
@RamaMponji 10 күн бұрын
Chino geng unyama
@MJB-Africa
@MJB-Africa 10 күн бұрын
MARIOO ANA HIT NYINGII KULIKO HUYO MONDI. THIS YEAR. SASAA MSAADA WA MONDI KWA MARIOO NINI?? THE GOD SON #SISI NI WATOTO WA MUNGU
@AshaMfaki
@AshaMfaki 10 күн бұрын
Hzo colabo zake z humu humu rest
@minhokid
@minhokid 8 күн бұрын
unaijua comasava basi izo ujinga zako zote zinamezwa umo
@MJB-Africa
@MJB-Africa 8 күн бұрын
@@minhokid ukitoa comasava nyengine hit..? But WATOTO wa2000 tuna hakuna matata, unanichekesha,wangu ft harmonize, daughter, Nairobi ft bien, SOBA ft king kibaaa. Na ww jee?? Bishana KWa fact Sisi NI WATOTO wa2000 hatuwezii mkataa MWENZETU tikamsikiliza alie zeeeka babu yake chingaa
@MJB-Africa
@MJB-Africa 8 күн бұрын
@@minhokid comasava yenyewe MAPAKA u puff dady
@RAZAKIMMALINDA
@RAZAKIMMALINDA 11 күн бұрын
Kamdomo😂😂😂😂😂
@paizinhosaide-cv9pm
@paizinhosaide-cv9pm 11 күн бұрын
Simbaaa
@MartinTsuma-t2t
@MartinTsuma-t2t 5 күн бұрын
Mond anatakakubudiwa,ukikosa kumuabudu basii mnakua mahaduii ona jux, bilinas,ommy dimpoz nawengineo wanaomuabudu
@nahimanajo8993
@nahimanajo8993 11 күн бұрын
Sasa uyo diamond ni Mungu acha ujinga weye middel simba uyo diamond tuki sema ana rombaya ukubali ni ju hanahoma Mario iko karibu n'a harmonazi uyo diamond anajipya na rombaya Mario mupole sana acha kwanza wakome kesho atawalika n'a watahenda hawana garoho ya tawakuta awa mujuwi uyo diamond ana rombaya sana
@joesplatnumz
@joesplatnumz 10 күн бұрын
Marioo awache kutegemea mtu afanye kazi zake kivyake na asifanye Collabo Tena na mondi
@MJB-Africa
@MJB-Africa 10 күн бұрын
KUMPANDISHA FULANI NA KUMSHUSHA FULANI . HUO NI UPIDIDI HAKUNA MAANA YA KUWA BIG BROH. Respect to king 👑 kiba
@Kulimagolddrc
@Kulimagolddrc 10 күн бұрын
I don’t believe that, marioo anaweza yumba kwaajili ya ayo. Ni wivu tu wa mwambino ule guys.
@adolphmwangoje2887
@adolphmwangoje2887 10 күн бұрын
😂😂😂😂 cjui kma kweli
@LilGida-d3j
@LilGida-d3j 9 күн бұрын
Wanaman gang , WCB
@RamaMponji
@RamaMponji 10 күн бұрын
Kuna mijitu inajifanya inahuluma kweli katoa ngoma mlio fanya bado nimpe sapoti tena huo uongo acheni kujitia mnahuruma za uongo
@JacksonKachila
@JacksonKachila 11 күн бұрын
Uoo niuongo kwan munaop tukana muko moyon mwa simba achen uchonganishi
@JoshuaSanga-k5h
@JoshuaSanga-k5h 10 күн бұрын
Kamdomo Kamdomo kamdomoooo marioo
@andulileissah7526
@andulileissah7526 11 күн бұрын
Kwan yy n nan mbn marioo ana nyimbo kali nyingi kumzidi asijione mwamba wakati kuna mda anatoaga uharoooo
@elishaelishaedward9454
@elishaelishaedward9454 11 күн бұрын
Acha dharau imba wewe
@munashabani
@munashabani 10 күн бұрын
Kabila ngani wewe sio mtazamia
@andulileissah7526
@andulileissah7526 10 күн бұрын
@@munashabani 😂😂😂 sasa kuna kiswahili n ngani hapo hamna kiswahili hapo inamaana ww sio mtanzania
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 10 күн бұрын
@@andulileissah7526 wameona wameshndwa kumuua marioo wameamua wasimpe collabo marioo anawasumbua sana wasanii ndio mana Wana mchukia
@AshaMfaki
@AshaMfaki 10 күн бұрын
​@andulileissah752ww shoga huyo marioo Hana hta nyimbo Iko n 100 million views shenzi ww
@BrunojnrMz
@BrunojnrMz 11 күн бұрын
Ww chawa tu kama machawa wengine
@Emmanuelgabriely
@Emmanuelgabriely 9 күн бұрын
Yani niliielewa ile nta vyuu ya mbosso kipindi alivyo enda king musc kutoa nyimbo na abdukiba alisema tatizo nyinyi watangazaji nakuza jambo dogo mnafanya liwe kubwa asa apa ndo nimeelewa colabo ya mondi na mariooo sawa imetoka lakini haija achiwa na kauli ya marioo alisema itaachiwa mwakani kuufungua mwaka aya nyinyi manasema diamondi kaizuiya
@NgasaMaduhu
@NgasaMaduhu 10 күн бұрын
Marioo ni mpumbavu kumpa mimba paula anajiona star😂
@FaustinidaudiDaudi
@FaustinidaudiDaudi 7 күн бұрын
Kamudomo kamudomo😂😂😂😂😂
@ShedrackSelestine
@ShedrackSelestine 11 күн бұрын
Sema ni upumbav some time inabid tuwek mabifu pembeni.diamond fany ngoma na Mario bana
@ramadhaniibrahim-zv1ci
@ramadhaniibrahim-zv1ci 10 күн бұрын
Kamdomo tatizo kamdomo
@kirajlovely8115
@kirajlovely8115 10 күн бұрын
Sasa kwani Mario tulimjua Kwa ajili Mondy ..? So ata bila kolabo yake Bado Badi atafanya vzuri ..cause alipotoka haukuwa Na collabo Wala mkono Wa mondy so acha Dogo afanye yake bila Mondy Wala hio collabo haipunguzi kitu... Mario sahii msaani mkubwa
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 күн бұрын
Sawaaa ila ndo hatutoi kolabo 😂
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 10 күн бұрын
@@malianonicass7029 sio lazm kwan na yy kawabembeleza mbn anatoboa tu bila shda yoyote
@Kalifikra
@Kalifikra 11 күн бұрын
Lazima atake hivyo maana ile album hakuna ngoma moto kwa ya Marioo na Aslay
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili 10 күн бұрын
Nimejifunza kitu
@BlessGovati-sw9cy
@BlessGovati-sw9cy 11 күн бұрын
Kamodomo ganini sasa
@chaba9109
@chaba9109 9 күн бұрын
asa mbona unasema tu marioo mdomo umemponza ila hausemi aliongea nn adi kufikia pabaya na diamond,jitahidi bc uwekage na reasoning chanel kubwa hii,watu tunategemea uhakika wa habari na sio mapindisho
@EliaEmedi-cl5ik
@EliaEmedi-cl5ik 8 күн бұрын
Marioo ni bumbafu
@wasafitv7388
@wasafitv7388 11 күн бұрын
Kamudomo
@eddyboycharming115
@eddyboycharming115 11 күн бұрын
Diamond akona utoto
@MariamHamis-d3n
@MariamHamis-d3n 5 күн бұрын
Wivu
@MarcellySumaye-bv5lh
@MarcellySumaye-bv5lh 11 күн бұрын
Kamdomo
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 11 күн бұрын
Sipati picha Daimond na chino wote wakiimba pamoja na madanca wote wachino na madanca wakina Daimond mmmhh itakuwa hatare...mapande juu ya mapande yani
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 10 күн бұрын
Hata huyo Chino pia atazinguliwa na Mondi Ni MDA tu utaskia😂
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 10 күн бұрын
Ila albam imeenda hata bila yeye so aache wivu mjinga huyo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 11 күн бұрын
Kwan huyo diamond ni Nan mbona kama mnatutisha? 🙄
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 11 күн бұрын
Chris Brown wa bongo😅😅😅😅😅
@NduwimanavovobiVovobi
@NduwimanavovobiVovobi 11 күн бұрын
😂😂😂😂😂pole ni brandi kubwa
@babalao3250
@babalao3250 11 күн бұрын
Hujui Ni simba la masimba danghote
@adinanmkombozi351
@adinanmkombozi351 11 күн бұрын
We zombiiiiii
@ibrahimfarha3853
@ibrahimfarha3853 11 күн бұрын
Baba la baba
@mellahbrain295
@mellahbrain295 7 күн бұрын
😅
@maxdesignspro
@maxdesignspro 11 күн бұрын
diamond ni kipaji kidogo sana kwa marioo.
@malianonicass7029
@malianonicass7029 10 күн бұрын
Sawaaa ndo hatutoi kolabo 😂
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 11 күн бұрын
Kwa hy ndio ameungana na chino amkomoe Marioo siyo 😅😅😅😅
@adinanmkombozi351
@adinanmkombozi351 11 күн бұрын
Hakomolewii balii mdomo mdomo ndio shida
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 11 күн бұрын
@@adinanmkombozi351 hkn cha mdm wala nini hampendi tu na hs kwa vile yuko na karibu na kiba na harmonize
@sosbrayantbenjamin9701
@sosbrayantbenjamin9701 11 күн бұрын
​Sio sababu hyo @@ASHAKHAMISMUSSA
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s 11 күн бұрын
Ziliungan midia zot lkn simba alishunda vita ,kuwa na kumbukumbu
@FrancoisFrances
@FrancoisFrances 11 күн бұрын
Usenge mtupu marioo hatari kwan diamond nan si tunajuwa kama shemeji yetu kwa pdidy
@NasumaYusuph
@NasumaYusuph 11 күн бұрын
Sawa mke Wang 2mekuelewa
@ShedrackSelestine
@ShedrackSelestine 11 күн бұрын
Chino ni msanii mnzur ila, diamond kumpa shavu chino ni kujishusha tu. Bado Ana viwango wa kupata kolabo na diamond.
@TravelerRommy
@TravelerRommy 11 күн бұрын
Jifunze kutoka Nigeria msanii mkubwa anambeba msanii mdogo kwahy watanzania sijui mkoje
@clementrobert-s5s
@clementrobert-s5s 11 күн бұрын
🤣🤣🤣
@HusseinLwambi-k6p
@HusseinLwambi-k6p 11 күн бұрын
Kumamaako middle simba
@aidaharuna5549
@aidaharuna5549 11 күн бұрын
Kwani diamond ndiyo nani aache roho mbaya awaachie wadogo zake nao watoke
@godfreymwikola8232
@godfreymwikola8232 11 күн бұрын
Kama wanazingua
@jomiAfrica
@jomiAfrica 11 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/fYLcknx7j5J0ntUsi=bQmOm5uhFtLBjRE4
@badeuxGérard-q8w
@badeuxGérard-q8w 11 күн бұрын
Simba atagagi musani akifanya KAZI n'a alikiba Ama amoh kwako kume Isha kwa kufanya KAZI n'a Simba, uondio ukweli wenyewe mutu kama jey melody asau kufanya KAZI n'a Simba tena kwasababu âme imba n'a alikiba, mujifunze kwa jux
@hajiabdallah7643
@hajiabdallah7643 11 күн бұрын
Haujui kitu angalia Album ya Barnaba shida ya Marioo ni Mdomo tu ndio umempoza hakuna kingine
@Stellah-i6v
@Stellah-i6v 11 күн бұрын
Na mbona rayvanny amefanya na alkiba na harmonize na still diamond amefanya collabo naye
@billbilalmsabah2099
@billbilalmsabah2099 11 күн бұрын
Alafu WE muandishi Auna akili kama marioo anaona vibaya via uyo midi wenu asisemi ye ninani punguza ujinga WE mshezi wangapi amesha imba nauyo modi wame fanya Nini puguzeni kuabudu binadau wenzio weshoga tu nyie punguzeni ushamba
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Quilt Challenge, No Skills, Just Luck#Funnyfamily #Partygames #Funny
00:32
Family Games Media
Рет қаралды 55 МЛН
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
ZAWADI YA DIAMONDI KWENYE BIRTHDAY YA SHILOLE
8:18
Ophoro Tube
Рет қаралды 25 М.
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН