IRENE UWOYA KAJA NA JAMBO ZITO, KUACHA UCHUNGAJI.?

  Рет қаралды 17,467

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 98
@NoviaRaphael
@NoviaRaphael 9 күн бұрын
Haya piga kampen mama sisi tunakusikiliza 😂😂na kupotezea😅Yaani kilimo ulime ww harafu uwandiwe utusomee unatuona sis matako yako 😂😂
@Lake_zone
@Lake_zone 6 күн бұрын
Unatuona sisi kama matako yako
@hafsalucky1088
@hafsalucky1088 8 күн бұрын
Km kweli mbona unasoma, jambo ambalo umekuwa ukilifanya miaka yote hiyo bado unasoma karatasi mmh!!! wa Tz tuache kudanganyana Jameni.
@innorhilamethyst7800
@innorhilamethyst7800 6 күн бұрын
Kila presentation hua ni muhimu kuiandika ili kuepusha mawazo ya ghafla wakati wa uwasilishaji.
@EsterKimambo
@EsterKimambo 3 күн бұрын
Nakuelew sana my lovely sister
@husseiniddy9161
@husseiniddy9161 7 күн бұрын
Mafanikiyo yako unayasoma daaaaah hii nchi 😂😂😂😂
@OfficialA83640
@OfficialA83640 9 күн бұрын
Amependeza Maa'shaallah
@BeatriceChristian-t2d
@BeatriceChristian-t2d 9 күн бұрын
Vijana hakuna kioo kwenye maisha yako kioo chacho ni wewe mwenyewe hawa watu ni wahongo na nafki sana wakilipwa hela wapo ladhi kufanya chochote
@NjoziSofia
@NjoziSofia 9 күн бұрын
😂😂😂😂 huo ndo ukweli
@restitutaleshabari3451
@restitutaleshabari3451 9 күн бұрын
Hongera sana mwanangu.umeongea vema saana
@StevenMusa-j7v
@StevenMusa-j7v 9 күн бұрын
Elimu ni muhimu Sana kwa mwanadamu
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani 9 күн бұрын
Sema ni mzuriii😊
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 9 күн бұрын
Siku hizi hata bibi wa miaka 70 akipodolewa na kujazwa jazwa makunyanzi utamuona mzuri 😆😆
@MgeniRamadhani
@MgeniRamadhani 9 күн бұрын
@ tangu zamani tu ni mzuri sio leo tu
@MonicaMwoka
@MonicaMwoka 9 күн бұрын
Kenyata😂😂😂😮😮
@MkisiStylish
@MkisiStylish 9 күн бұрын
Sasa kulima umelima mwenyew ila sasa wamekuandikia kwenye karatasi ili utosomee kilimo chako ulicholima mwenyewe 😹😆😁
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@pendosailo1989
@pendosailo1989 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@BimenyimanaGerardine-rz9dk
@BimenyimanaGerardine-rz9dk 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@siaammo1104
@siaammo1104 9 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂hatariiii
@Zxodes
@Zxodes 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@StarMerinyo
@StarMerinyo 6 күн бұрын
Hongera sana
@SashaOscar
@SashaOscar 9 күн бұрын
Daaah 😅😅😅 ila kampeni za ccm haya bhana
@EsterJafari-tp1fm
@EsterJafari-tp1fm 2 күн бұрын
Nilijuwa tuu kama kapata ubalozi aje kutuchosha tuu
@victoriasweetbert1128
@victoriasweetbert1128 9 күн бұрын
Oiiiiii kirrrrrru !! Kilimoo !!! Umeandikiwa kweli kusoma kwenye karatasi ?¿???????? Haya, kilimoo hoyeeee!!
@lailafakhihaji
@lailafakhihaji 9 күн бұрын
Mama mchungaji hongera sana ongeza na ufugaji
@OmanSohar-d7z
@OmanSohar-d7z 9 күн бұрын
😂😂😂nimecheka
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 8 күн бұрын
Anafuga w’me
@EvodiaDominic
@EvodiaDominic 7 күн бұрын
Wewe sema umeandikiwa usome ili kutuhadaa sisi tupoteze pesa zetu shambani,, Sifanyi ujinga huo Ng'o!!!
@MarySimoni
@MarySimoni 8 күн бұрын
Yani history yake mtu anaisoma kweli
@WashingtonKomess-y8r
@WashingtonKomess-y8r 8 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@GeraldElias-s7j
@GeraldElias-s7j 9 күн бұрын
HII NCHI TUNAKOELEKEA KILA MTU ATAKUA CHAWA WA MAMA 😂😂😂😂😂
@OmanSohar-d7z
@OmanSohar-d7z 9 күн бұрын
😂😂
@Tee_plus_Tv
@Tee_plus_Tv 8 күн бұрын
Iga uone 😂😂😂😂hawa watu hawajawahi kuwa wakweli ni waongo balaaa😅😅 wadangaji mbwa hawa kuma zao na mikundu yao inateseka mpk wanatamani kutoa ushuhuda kwa mateso wanayopata 😢😢😢
@aysheraden7718
@aysheraden7718 8 күн бұрын
Imekua wasanii wa tz karibia wote ukiwauliza wanasema ni wakulima mmh 😂😂😂😂
@Anactersia
@Anactersia 7 күн бұрын
Irene acha kuchekesha basi yaan kitu ukifanye wewe afu kisahaulike hadi usome makaratas 😂😂😂😂 kwel mama mtumishi😢
@JacklineMshati
@JacklineMshati 4 күн бұрын
Shangaa na ww 😂😂😂
@ShamsaHassain
@ShamsaHassain 9 күн бұрын
Mimi saut yake tu the way anasoma kiswahili ❤
@meshacknkwama7432
@meshacknkwama7432 9 күн бұрын
😮
@CareenMinde-v3z
@CareenMinde-v3z 9 күн бұрын
❤🎉
@SaidBwanamkuu-d8j
@SaidBwanamkuu-d8j 9 күн бұрын
Ajaribu kuwa mganga sasa pengine kutamfaa vzuri
@AmonBora-ve5si
@AmonBora-ve5si 9 күн бұрын
Kha😂😂😂😂 aseh😊
@ziddyziddy2524
@ziddyziddy2524 9 күн бұрын
😅😅😅
@Sharmy_02
@Sharmy_02 9 күн бұрын
😂😂😂
@paulaminzi114
@paulaminzi114 9 күн бұрын
Mmmmh😂!! Nyie
@joycekato6784
@joycekato6784 7 күн бұрын
Anatetemeka wakat anaanza kuelezea chanzo chake cha mafanikio,.... Sidhan kama kuna ukweli
@Shakira-Nb
@Shakira-Nb 7 күн бұрын
Sasa mbn anasoma hv mm mafanikio yangu kama nataka kuwaelezea ndio niyaandike niwasomee ama ni kaandikiwa n mtu hawa wasanii hawa
@tumainimbwambo2402
@tumainimbwambo2402 7 күн бұрын
Kama nikweli nijambo zuri naomba mtaji nilime kabichi mwezi wa sita mm ni mwanamke eneo ninalo maji yapo ishu ni mbegu na dawa na nguvu kazi ya ziada
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 9 күн бұрын
Sikutegemea kwa kweli nimelia sana,
@suleimanikirassahassan9711
@suleimanikirassahassan9711 9 күн бұрын
Kampeni zimeanza
@OmanSohar-d7z
@OmanSohar-d7z 9 күн бұрын
😂
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 9 күн бұрын
Kilimo ndo ule bata zote zile Acha kutupiga Mama Mchungaji
@odhiaodhia9898
@odhiaodhia9898 9 күн бұрын
Kalime nani kakuzuia
@marymushi7923
@marymushi7923 9 күн бұрын
Mmmmmh!!
@NechLove
@NechLove 9 күн бұрын
Huuy ushuhuda wa maandishi nina masaka nao
@rickyjoe552
@rickyjoe552 7 күн бұрын
Unatuona wakuja eh??? unalima mapenz😂i
@Lake_zone
@Lake_zone 6 күн бұрын
Unatuona sisi kama matako yako
@Melissashiner
@Melissashiner 9 күн бұрын
Siyo tagawizi ni matunda kakosea 😂😂
@msafirimiracle6613
@msafirimiracle6613 9 күн бұрын
Tanzania nchi yangu ina mengi,kwa mara ya kwanza nimeona raia anasoma hasoling alizopitia mwenyewe, tena kama hotuba.sema watanzania wanavyonyamazaga unaweza ukadhani maboya kumbe ndio maana ya 'Bongo'
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 9 күн бұрын
😂😂😂😂
@Mwanah-cg3ie
@Mwanah-cg3ie 9 күн бұрын
😅😅😅😅😅😅😅sijui anatuonaje😅😅
@hamoudcreator6343
@hamoudcreator6343 9 күн бұрын
Sijaelewa hii nini😅
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 9 күн бұрын
Taahira wewe unasoma kwenye karatasi hiyo risala
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 8 күн бұрын
Kama kweli ndio maandeleo yako toka 2018 kwanini usome kama gazeti jitanganye mwenyewe
@florah-jw9wk
@florah-jw9wk 9 күн бұрын
Kumpokea yesu ciorahisii kama ukonanjia njingine. Wewmwenye. Ukubali kufanya mamusi. Usimsikilise. Huyu kasema unapowasikilisa. Watu usipomakini watakutoa kwenye njiailiyo sswahihi ambayo nikwayesu peke ndiye kilakitu
@GalaxGenzi-su7fh
@GalaxGenzi-su7fh 8 күн бұрын
Alipofika kwenye pongezi script nimestop na kuacha kupoteza bando langu
@TwahaYahyaShabani
@TwahaYahyaShabani 9 күн бұрын
😂 pumba tupu yani anasoma kwenye karatasi
@joojombi2341
@joojombi2341 9 күн бұрын
Kesha zoea kudanga na matungi Uchungaji c rahisi muongo mkubwa huyo
@Fear_Allah394
@Fear_Allah394 8 күн бұрын
Watu wanatafuta njia za kupatia pesa. Hakuna mchungaji wala mlimaji hapo
@saidkhalef2093
@saidkhalef2093 9 күн бұрын
Matango pori unatulisha,
@McT-m1m
@McT-m1m 9 күн бұрын
Ila ccm wajanja wadanganye ambao hawalimi ina maana nyie wa mjini ndo mnafaidika na kilomo kuliko sisi wakulima kwa mimi nimekataa kilimo huwezi kula bata vile
@hyasinthantuyeko1440
@hyasinthantuyeko1440 9 күн бұрын
Mmmh!!! Kampuni yako hiyo ya Kilimo inaitwaje? Sasa kwanini unatuonyesha picha za kusadikika? Si ungetuonyesha picha za shambani kwako na wafanyakazi wakiwa mzigoni ili tuhamasike zaidi? Khaaaaa!!!!
@NipaelPaul-gp9ip
@NipaelPaul-gp9ip 9 күн бұрын
Tunaomba mwenyezi Mungu asimame kwenye hili eneo na Mungu si Mwanadamu hata aseme uongo. Yehovya Ire , Ye hova shama, Yehovya adonai ingilia kati kama ni kweli
@GladnessSamson-xk2ii
@GladnessSamson-xk2ii 9 күн бұрын
Atuletee video akiwa shamban
@mulastar
@mulastar 9 күн бұрын
Mnaanzisha vitengo ili mpate faida kiuchumi
@medseba6908
@medseba6908 9 күн бұрын
Unatufanya sie wajinga?
@AishaIdrisa-s7v
@AishaIdrisa-s7v 9 күн бұрын
Kwann tena
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 9 күн бұрын
Eti, hata siku moja hajaonekana shambani.
@medseba6908
@medseba6908 9 күн бұрын
Kaandikiwa maelezo anasoma tu.
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c 9 күн бұрын
​@@medseba6908Anatuchukuliaje sijui
@RehemaMasunga-ml7kt
@RehemaMasunga-ml7kt 9 күн бұрын
​@@BenedictaMagantghata wewe unaweza kulima na usiingie shabani
@nashnene6326
@nashnene6326 9 күн бұрын
Kwan ni muvi gan hii ya bongomuvi?
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 9 күн бұрын
Ya kilimo
@aishalaizer8132
@aishalaizer8132 8 күн бұрын
Mafanikio yako unayasoma,mjinga wewe,usitufanye sisi wapuuzi
@joojombi2341
@joojombi2341 9 күн бұрын
Anacheza na dini fatani mkubwa huyo
@NeemaMasala-o7c
@NeemaMasala-o7c 9 күн бұрын
NI UONGO MTUPU
@icesue6613
@icesue6613 8 күн бұрын
Tuwekee na Ile video ya msambwanda Kwa buku jelo. Ulokole vipi tena ?
@jtheophil5499
@jtheophil5499 9 күн бұрын
Husituchoshe koo
@JudithGabriel-s8v
@JudithGabriel-s8v 9 күн бұрын
Bado kuwa mganga sasa
@SHIJADAVIS
@SHIJADAVIS 9 күн бұрын
Jamani hiki ni nini Sasa. Kulima sio changamoto Shughuli kwenye soko.
@amanlenatus9067
@amanlenatus9067 9 күн бұрын
Wakenya ni wajinga
@OmanSohar-d7z
@OmanSohar-d7z 9 күн бұрын
Kwa nink
@humbleshoal
@humbleshoal 9 күн бұрын
Ujinga wao nini
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
MCHUNGAJI HANANJA: MWANAMKE WA AINA HII HAFAI KUOLEWA NA MWANAMME WA HIVI HAFAI
27:05
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 183 М.
VUNJA BEI AFUNGUKA WHOZU KUONDOKA TOO MUCH MONEY, KUACHANA NA WEMA
19:45
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН