Kabisaa icho watuu tumekilia six wiki zaid yakuchizika yaaaniii...
@kennedygurusya7525 жыл бұрын
Safi Sana Hongereni JWTZ
@amrimussa76295 жыл бұрын
Good job jwtz
@abdallahshabani90465 жыл бұрын
Mh hatari tupu
@iviejustified81095 жыл бұрын
Word kanali... the Information Age!
@johnsonjusto95645 жыл бұрын
makeke tena zaidi yamakeke hapana chezea jeshi
@legendlaga5 жыл бұрын
Tanzania bado mko chini jeshi yenu bado iko chini #kenyasuperpowerofeastafrika
@jrumesele98435 жыл бұрын
Ww unataka iwe juu wapii kaka
@legendlaga5 жыл бұрын
Jrume Sele jeshi ikiwa strong na experience pamoja na silaha nzuri nyinyi RAIA mtakua salama.
@abdallahiddy63335 жыл бұрын
Mbona Kila siku kenya mnapigwa na bwanazenu wasomali
@chrismassawe3265 жыл бұрын
Hili ni jeshi usilete utani kulifananisha na mgambo wa kenya
@hassanisadiki8245 жыл бұрын
Weee jamaa fala sana mbona mabasha zenu wasomali kila siku wanamiua km kuku vile
@barnabasmboya76885 жыл бұрын
Nzuri hiyo kamanda
@ashritaabdallah64745 жыл бұрын
Mhe rais tuekee majeshi wakuu wa mikoa yote
@victorfocus78825 жыл бұрын
Goodspeech kamanda
@jafaribori6015 жыл бұрын
Nimeipenda kwakuwa Tanzania bado ni maskini siezi kubeza kabiza vivaa duni vya kivita tulivyonavyo japo kwawenzetu vimeekwa kwenye majumba ya makumbusho, najuwa vipo vyakisasa lakini inategemea na operation, NAWAPENDA WOTE WAKUU WA USALAMA NA VIJANA WENU, MUNGU IBARIKI NCHI YANGU TANZANIA
@rashyramy80665 жыл бұрын
Umewahi kutembelea hata ghala moja la silaha za kijeshi hapa Nchini..?
@jafaribori6015 жыл бұрын
@@rashyramy8066 hapana
@rashyramy80665 жыл бұрын
@@jafaribori601 kabla ya kuhitimisha mawazo yako jaribu kufanya kautafiti kwanza...! Pamoja tulipende jeshi letu
@jafaribori6015 жыл бұрын
Kwaraia ambae anaogopa jinahi hata kutembea nakisu mitaani sirahisi kufanya utafiti huo. Napia mi naona mwanzo WA utafiti huo ndio mwanzo wa uwasi, Kwanza kwa jinsi jeshi letu la tz pinavyotisha utaanzaje hata kuoji kitrnge hicho nicha Congo au cha Burundi?! Mi sibezi ila ningependa sana kutoka moyoni mwangu silaha hizo za kuchochea nakuvuta kamba zitengenezwe hapahapa kwetu ikiezekana SIDO napia vijana wetu na wataalam wakae chini waongezee uwezo hizohizo
@jafaribori6015 жыл бұрын
Ikiwa hizo mpaka uvute kamba basi tujatibu kufanya utafiti kuwe na ki gearbox kitakachotumia umeme wa berii ya gari ambacho ukibonyeza button nduo kizungurushe alafu watu wanavyatuwa, sio hiyo mara kamba imeteleza vita ya sikuhizi jasho kidogo ila matokeo makubwa
@harunimfaume62805 жыл бұрын
nalipenda saana jesh letu la tanzania
@pilatoonlinetv96605 жыл бұрын
Congo ndo kiboko yenu !! Endeleeni kufanya mazoezi ya kutosha siio mwanajeshi ana kitambi mm huwa naborekaga kweli inatakiwa sisi tuwe juu sana tena sana nchi zinazo tuzunguka zote ukitoa Kenya tumewazidi kiuchumi hivyo yatupasa kuimalisha jeshi letu mara dufu hatakama hatuna vita.
@michaeleustarch32364 жыл бұрын
Waulize m23 acha unaa
@aidanfrancis44823 жыл бұрын
Acha kuongea utopolo Kwan m23 walikuwa waasi wa nchi gani?
@ahmedalmuftah62845 жыл бұрын
Kelele nyiiiingi
@Sabrina-rg7tu5 жыл бұрын
Kizazi sana
@benokikupila68325 жыл бұрын
mtoto mzuri :kweli ww ni mrembo america is america wacha upuuzi ww
@mpwanihalisi62575 жыл бұрын
Magufuli anza kufuta hawa wakubwa wa majeshi they r joking .ur enemies r laughing.training gani hii.wanakuchezea
@makiadijonasi68595 жыл бұрын
Wew nawe ujui kitu kaa kimyaaa
@tonnsimbasportsclub71685 жыл бұрын
Hongera kwa taarifa kaka KARIBUNI KWENYE ACOUNT YANGU JAMNI
@kusinimediatz67475 жыл бұрын
safi bro karibu kwenye account yangu pia
@tonnsimbasportsclub71685 жыл бұрын
kusini media Tz ok ni hii au
@tonnsimbasportsclub71685 жыл бұрын
Tayar nawew kwang pia
@georgelukuba76965 жыл бұрын
SHIKAMOO JWTZ
@salomepwele49625 жыл бұрын
Nazimia mimi nikiwaona hao make huwa hawakopeshi mambo
@benjaminfataki68985 жыл бұрын
sasa hawa ni kanali tena wa kuu wa wilaya mugu ni mwanajeshi kweli.yaani hawa jamaa wanalipwa mishaara mbili
@mrizzy54244 жыл бұрын
analipwa na kama mwanajexhi tu
@donaldelias66895 жыл бұрын
Kasulu ndo ndo mwiranvya
@swahiliforex5 жыл бұрын
Yanyukweee
@legendlaga5 жыл бұрын
Jeshi lenu linalinda pori wakati wengine wanapigana vita somalia nyinyi na askari wa forest hakuna tofauti.
@lemonadesoldier13775 жыл бұрын
Chokoza moto Ndio utajua ni forest auto foreign
@michaeleustarch32364 жыл бұрын
Wwe legend ni mnaa
@suratfrank62825 жыл бұрын
Mimi apenda jeshi Mimi #pia apenda kitenge cha kibabe hicho
@devidpanja1154 жыл бұрын
Usiichezee Jwtz hata kdg
@samsonmagesa39595 жыл бұрын
Wana Morali wanajeshi wetu
@fadhiliswidhun97795 жыл бұрын
Saf makamanda kwa kudumisha aman
@abulabbass96845 жыл бұрын
Hahahaaaaa kitenge kinaamani
@johnbm15 жыл бұрын
Uelewa wangu ni mdogo naomba msaada, iv mkuu wa wilaya ni mwanasiasa? ama, na anapoteuliwa akiwa a cheo kingine inakuaje apo...
@selemanikimbwene2795 жыл бұрын
ww Unejiita mtoto mzuri: Kwani haya mazoezi wanafanya hawa jw ni wamekwambia wanakufanyia ww, Au hujui Ulisemalo, Somalia wafuate nn,, Au ww ni mpiganaji wa al shabaab? Chokoza Jw Uone cha moto.
@angelohowas6725 жыл бұрын
Vipi dar tunataka mkuu wa mkoa mwanajeshi tumechoshwa na waimba taarabu
@ellyjacob98975 жыл бұрын
Hahahahahaha kitenge adimu hicho
@adammwiga64525 жыл бұрын
Nidhahir kuwa Tanzania inatawaliwa kijeshi na wala sio kisiasa hii nihatar mana siku moja wapo jeshi wakija kugoma kuondoka madarakan ndo vta vtaanzia hapo
@saidhussein11205 жыл бұрын
Pia Mwanza tunaomba mkuu wa mkoa mjeshi
@hassanchipua84545 жыл бұрын
Haya watumeni somali km ni wanajeshi kweli
@boyjopar87175 жыл бұрын
Baba unajua wale ni copy ee
@badmanvibees5 жыл бұрын
Awatume wakafanye nn
@erickmsilu63085 жыл бұрын
Hassan Chipua kwani Somalia wameitaji msaada wa kijeshi? Wakihitaji watapewa na wataenda
@nicholausmongi66895 жыл бұрын
Acha usenge ww
@hassanchipua84545 жыл бұрын
@@nicholausmongi6689 usenge kanifundisha mamako
@mpwanihalisi62575 жыл бұрын
Haha still laughing .this is not how army display their weapons.enemies wakiona hii video ni rahisi kuwavamia.silaha zenu duni sana hyo machine gun ilitumika wakati wa Idi amin dada mpaka leo iko haha.vita vya sasa ni vya kitechnologia
@kiluwajr59725 жыл бұрын
Omar Abdalla Hata ww ukivaa nguo kuna nguo huvai mpka sikukuu sasa kama unaamini hivo ndio vifaa vya mwisho ukihitaji kujua nenda jeshi
@mpwanihalisi62575 жыл бұрын
Kiluwa tuwache silaha . training gani hii kwani jeshi la tanzania ni marebel
@jamesfrancis985 жыл бұрын
@@kiluwajr5972 daah ndugu mbna unajua kueleza iviii "short and clear" saaaafi sana kk hatuwez kuonesha silaha hatari kwa mazoez km hayo ila kuna vitu hatari amour (jengo la kuhifadhi silaha)
@badmanvibees5 жыл бұрын
@@kiluwajr5972 bright
@rashyramy80665 жыл бұрын
@@kiluwajr5972 Safi sana mkuu.... Huyo anahisi mazoezi ya kijeshi ni sawa na mafunzo yakijeshi..! Hapo hapo nahisi anachukulia hayo mazoezi kama vile wasafi festival kwamba unaonesha ufundi wote jukwaani...! Ndio maana likaitwa jeshi.!
@ngalisoilaizer54385 жыл бұрын
Lakini kuna baadhi ya wanajeshi wanaonea RAIA mtaani kisa tu wao wanajeshi
@nasibugunda79275 жыл бұрын
Acha kulalamika chini chini fatilia ujue kambi yake na ukamripoti kwa wakuu wake wa kazi Ila usimuonee huruma wata kapoanza kumshughulikia
@ngalisoilaizer54385 жыл бұрын
@@nasibugunda7927 mbona umenipa tahadhari tena kuwa nisije waonea huruma
@nasibugunda79275 жыл бұрын
Dah wanapeana adhabu Kali sana hao jamaa
@dr.isihaka73935 жыл бұрын
824 kJ
@msaniamosi4384 жыл бұрын
Check me
@mtotomzuri88215 жыл бұрын
Ujeshi wenu kwa raia wasio na ata jiwe mkononi km wanaume nendeni somali uko alshababi wako uko kudadadeki kakimbia marekani anopita angani na ana kila kifaa cha kisasa
@johneegeorge37045 жыл бұрын
Mtoto mzuri Jitafakari
@jrumesele98435 жыл бұрын
Kuna wakati Amani ikiwepo mnakuwa vipofu unachokizungumza unakijua lkn
@geofreyngoloka20365 жыл бұрын
Yaani wewe unaamini somalia ndo hawafagi akili za move izo somalia siasa usifikili yale makundi hayawezi kupigwa kuna kinga
@noelnyingi86635 жыл бұрын
Nakubali mazee piga mzigo
@noelnyingi86635 жыл бұрын
Ujui lolote wewe tz kuna jeshi
@josephnjeno25825 жыл бұрын
Mnahamu na vita hiyo si ni chokochoko sasa
@bjzee19815 жыл бұрын
Mkuu. Unaita combat za kijeshi kitenge. To me is not right ila sijui kwa walio pitia jeshi
@katabazinelson21275 жыл бұрын
Consider deep meaning,not surface meaning! Thank me later!! in addition TPDF is the only army in africa haijawahi kupoteza battle!