Madeleka wakili,msomi upo sawa kabisa hongera my brothet big up! Saidia wanyonge na mwenyezi mungu atakulipa in sha allah.
@DausonShensherwa9 ай бұрын
Mh madereka mungu akubaliki sana
@batashqiraa99369 ай бұрын
Kama huyo kijana ndiye angekuwa ndiyo mshitakiwa, tayari angekuwa anaozea jela, inasikitisha majaji wengi wanaidhalilisha mahakama kwa kutokuwa waadilifu
@leothardngonya48429 ай бұрын
Acha ujinga, ulifuatilia , Zile sms za yule mama Mwenyekiti wa Chadema na kakake Gekul? Madeleka ni Tapeli tuu.
@hoseazakayo37799 ай бұрын
Madeleka nimekuelewa vizuri ndo maana tunataka katiba mpya 😢😢
@hajihassan54339 ай бұрын
Kwani hapo kosa la Katiba iliyopo ni nini? Katiba yetu ipo vizuri KUTOKUHESHIMIWA au KUTOKUTEKELEZWA hilo sio suala la Katiba yenyewe hata Katiba Mpya ni kazi bure. Au hebu toa sample ya Ibara moja tu, tuone unataka iwe vipi. Haki na sheria ni vitu viwili tofauti.
@alizanzibar15869 ай бұрын
Waisilamu na Wakisisto MUOGOMPENI ALLAH LEO TUPO KWENYE MADARAKA KESHO UPO NYUMANI
@emanuelmargwe70874 ай бұрын
Allah ndo nani bana. Sema lugha tuyoielewa wote. Kama ni mungi au Mungu sema😢
@kinemorwangisho21689 ай бұрын
Poleni sana wanyonge tutafute pesa
@justinelukumay53089 ай бұрын
Mh Madeleka Mungu Atakupigania popote Maana Umesimama kumsaidia ndg yako Mtz
@MagrethMallya-we8ui9 ай бұрын
Majaji wa Tz bwana, kwani ujaji unapatikanaje,??? Wanyonge wananyongwa tuuu!!!
@gaspercharles22449 ай бұрын
Raisi kaona ana hatia kamtoa kwenye uteuzi mahakama inaona Hana hatia Asante makonda ulisema ukweli ww na Rostam pokeeni maua yenu
@gallusmbaga55229 ай бұрын
Kwani Kuna hatiabimethibitika hapo?
@samwelombeni68509 ай бұрын
Rais LAZIMA atengue uteuzi ili kuisafisha serekali dhidi ya Mambo yanayoendelea, lakini chombo kinachoshibitisha Hilo ni mahaka;
@RamadhaniOmary-z3p9 ай бұрын
Hakuna na maana hiyo aliacha sheria ifanye kaxi yake
@saturinimushi47469 ай бұрын
Hashimu Usiogope Tembea Kifua Mbele. Awamu ya Tano tuliahidiwa kwamba: Serikali yetu inawajali Wanyonge na Wananchi Maskini kule Vijijini. Ebo! Kumbe! Mambo yameshabadilika tena. Naipenda Tanzania❤.
@StamMagessa-uo3hk3 ай бұрын
Madeleka mungu akutunze tatizo la nchi hii bwana kutapa haki kama haki huwa inakuwa ngumu Nahii yote wana lindana kisa cheo daaah nchi hii ngumu sana
@rahabnkya82769 ай бұрын
Daaa maisha mpito na mapito na MAPIGO yako na mungu au shetani mzuiliaji Riziki. Basi tu.
@alexvenas26999 ай бұрын
Nchi yangu Tanzania watu wa maisha yachini kwanini tunaishi kama wakimbizi kwenye inchi yetu? Kwamba mwenye nacho anakinga? Ninacho amini mama yetu kipenzi ni mtu wa haki,ila kunawatu hapa chini wanatengeneza mazingira ya yeye kumchafua ionekane serikari anayoiongoza haitendi haki kumbe lahasha , ila tutambue jambo hili haki hata isipo patikana Duniani Iko siku tutakuwa mbele za kiti Cha enzi huko ndiko haki ya kweli hutolewa huko kile ulicho kipanda ndicho utakacho kivuna😢😢 but inaumiza sana.
@HijaSaid-xd7fg9 ай бұрын
Makonda na Rostam,, walisha sema ,pia haki haiombwi
@geraldgedi46579 ай бұрын
Nakuelewa sana wakili Madeleka. Kweli sie tusiokuwa na pesa maana yake tuhiari manyanyaso ya wale wavaa magwanda ya rangi ya mbogamboga.
@juliuskitaluka12069 ай бұрын
Changamoto kubwa sana
@HumphreykirutuKirutu9 ай бұрын
Mahakama ni branch of govt
@gowekogoweko58039 ай бұрын
HAKI HAKI HAKI KATIBA MPYAA
@leothardngonya48429 ай бұрын
Hahahaaasaaaa...WaTz bhana wasaniii. Hivi katiba mpya ya mashoga. Acheni kuchezea amani yetu. Mmetembembeza watu kwenye jua na mambo kibao. Tutapambana na ninyi manyang'au. Au kwa vile Gekul alihama kwenye chama cha Magaidi.? Unajua Bado tunakumbukumbu ya Magaidi ya Mwanza, Amboni, Chamanzi, Rufiji na Mkuranga hadi walobabaki tukawamalizia MSUMBIJI walikokimbilia. Msitufanye wa TZ wajinga sasa tunawapumulia kisogoni.
@profs.a54129 ай бұрын
Nawakumbusha tu wanasheria kwamba, Sheria ilitungwa kwa ajili ya kudeal na masikini, Yani Sheria zipo ili kuwahukum masikiniii kumbukeni Hilo. So kwa nchi yetu hakuna haki kwa masikiniii ,🚶🚶 Yani masikini hana hakiii
@schniderlivin16 күн бұрын
NIMERUDI HAPA BAADA YA KIFO CHA UTATA CHA WAKILI HUYU JOSEPH MASANJA 😭😭
@JumaBakari-ld5rr9 ай бұрын
Mama mama mama nimekuita mala tatu hawa wanakuchafua haki itendeke
@TM-zs3rm9 ай бұрын
Anajichafua mwenyewe kwa kuteua watu wa sio na şifa. Pili inabidi wapendekezwe kwamba na si kuteua tu kama anavyofanya. KWa watanzania wasiojua kwa nini tunadai katiba mpya ili sheria ziheshimiwe na watu wale we haki zao. Katiba mpya lazima watanzania wote tujifunze kupitia mambo kama haya na kwa pamoja tuungane ukipata na kudai katiba mpya ili tupate haki zetu mahakamani. Katiba mpya ni sasa.
@petroyohana11269 ай бұрын
Hakuna mahakama tanzania
@WillKilulya4 ай бұрын
Sio kweli kuwa jaji anateuliwa na raisi wakati Kuna tume ya mahakama ya majaji wanaopendekeza majina ya majaji.siasa na taalum ni tatizo.
@elibarikimollel71499 ай бұрын
Hizo ni chenga za mahakama kukwepa kumtia hatiani mbunge/Waziri gekul ili kuepuka aibu waziri kutolewa hukumu ya kumtia hatiani kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi. Watapinga lakini baada ya uchaguzi...
@margarethsaramaki39669 ай бұрын
Endeleeni mbele na mwenyezi Mungu hatowaacha mfunikwe kwa damu ya Yesu mnamsimamia Hashim Ally mwenyezi Mungu awatangulie ktk kazi zenu za kila cku 🙏🏼🙏🏼
@SesiliaTemu9 ай бұрын
Mimi najiuliza kama huyu mama hana kosa😢 ni kwanini mama alimtengua fast??ni heri angeacha kesi iendelee apewe adhabu yake aitumikie!! angalizo kukaa kimya kwa mjinga sio kukubali kushindwa 😢😢
@obasjustus35929 ай бұрын
R.I.P JPM
@Mwigaa959 ай бұрын
Ifike mahali huyo waziri ajishushe tu ampange huyu madereka mtonyo wa nguvu mambo yaishe🙆🏽😄😃
@JifunzeNenoLaMungu9 ай бұрын
Tuombe Mungu atupiganie na tupate wanasheria hawapanguliwi kwa hoja moja tu.. kati ya tatu...kuna mbili
@mickzaid95229 ай бұрын
Mm ndo mana naunga mkono sheria mkononi. Hawa wakubwa akikuzingua malizana nae juu kwa juu.
@petroyohana11269 ай бұрын
Maskini hana haki nchii hii, shame on in judiciary
@Miraji-s2z9 ай бұрын
Mahakama kama inamtetea huyu katili mungu atamuadhibu ki vyovyote
@saleheinnocent76369 ай бұрын
Aibu Tz
@prospermalala66369 ай бұрын
MH wakili msomi Peter madeleka safari ya hiiiiiiii, CCM wameziba masikio hawataki kabisa kueshimu Sheria za nchi yetu, jaji kajitoa ufahamu Kwa jambo gumu, wanaisaliti Sheria za nchi yetu kulingana upumbavu wao
@RoseKimishabhalemi-oz9bn9 ай бұрын
Madeleka makonda alisema mahakama yatz si sehemu ya haki
@philimonmtweve45229 ай бұрын
Mama alishamwondoa kwenye nafasi ya uwaziri wakatiba na sheria
@deniccgabriel61539 ай бұрын
Wewe kamaujui ayo nimaigizo wanchiiíii....
@selemanimasatu24219 ай бұрын
Ndo maana watu wanaamua kumroga mtu ili na yeye akipate cha mtema kuni, kama ni mm hapo ningemroga mpaka huyo hakimu.
@Officialjidaa-sn9cs9 ай бұрын
I seee ifike mahariii nao waone aibu kijana ananyimwa halii yake kabisaaa kisa ety gekul ni KIONGOZI amn haliii katika nchiii hiii bana 😢😢😢
@hancekasililika95329 ай бұрын
Madereka Mungu awe nawe
@olivajohn93019 ай бұрын
Mungu atamlipa gekul kupitia watoto wake
@johnsonsabanya58609 ай бұрын
Kama viongozi wakubwa wataendelea kukalia kimya ujinga km huu basi kutukanwa kutaendelea Sana maana inaumiza moyo imagine angekuwa mwanao jamani tuwe na ubinadamu zote tutakufa ha tuishi milelee😢
@fredrickmwakalinga63909 ай бұрын
Ccm ni janga la kitaifa. Katiba na tume huru lazima mama wa kambo sio wa kumwamini
@Lundege_Hips9 ай бұрын
Mahamkama za Tz hazipo ktk kutenda haki wanaangalia mwenye cheo au mwenye pesa
@obaidothmanalbulushi91969 ай бұрын
Mahakama ya icc ina haki au ndiyo hamjuwi hayo mbona hamdai
@simongwandu73929 ай бұрын
Mungu ni mkuu kuachiwa dada Gekul Pole Gekul.
@saididodi39889 ай бұрын
Kama gekul Hana makosa kwanin rais alimtengua kwenye nafas yke inaoekana mahakama haitendi haki kuna chakujifunza
@abedysteven49309 ай бұрын
Hyo haina haja ya rufaa mana nyie mntaka hela tu kwan aliyowafanyia wale wadogo nyie mlifurahia Ety kwendraaaa
@MagrethMallya-we8ui9 ай бұрын
Gekuli anahongea kodi za watanzania, Mungu yupo atakuhukulmu gekuli.
@OmbeniShoo-kg8dr9 ай бұрын
Hii Nchi iko gizani uovu unakuwa haki ukweli unapingwa hatuna Nchi nilisemaga Nyerere alipokufa aliondoka na Tanzania iliyopo ni kivuli cha Tanzania
@Flaviosafari9 ай бұрын
Nchi hii mwenye mamlaka au pesa yuko juu ya sheria? 😢
@joycekaishozi11779 ай бұрын
dah
@derrickmbaku47689 ай бұрын
Hakuna mwenye uhakika kuwa kweli Gekul ni mkosaji
@halimamasai22349 ай бұрын
Kila mtu ni msemaji hakuna mwenye uhakika na hii kisi tunasikia upanda moja tu
@dicksonkilupa22589 ай бұрын
@@halimamasai2234 Swali la msingi ni kwa sababu gani kila mara hawataki kesi iwepo ila wanaiondoa? Wewe jaribu kumtia mtu hiyo chupa ili kesi yako nayo ikaondolewe tuone.
@michaelkwatlema21249 ай бұрын
Peleka ushamba wako huko kwann kesi isisikilizwe kila mmoja alete vielelezo na ushahidi aonekane hana hatia kwann hataki kesi isikilizwe
@nicodemuswidambe51329 ай бұрын
Watu acheni kuchafua watu. Unapata nini kumchafua mtu huku ukijua ni uongo??
@DrjosephKingo9 ай бұрын
Pelekeni malalamiko human watch tz hakuna haki ni upumbavu mtupu unaendelea majaji wenyewe hovyooooo88
@tumlakimwaitumule9 ай бұрын
Kwanini hii kesi inarushwa rushwa tu
@anifamickidard45559 ай бұрын
Kibatala msaidie huyu kijana apate Haki Yake
@josephineokama22009 ай бұрын
yaani ukiwa na kesi ya mauwaji ya wazi ila kibatala akakusimamia hakika kesi itakua kuua bila kukusudia
@bakariwaziri35489 ай бұрын
Kama kuna ushahid huyu mama awajibike
@JumaBakari-ld5rr9 ай бұрын
Mama mm nipo upande wako hawa watu da had machoz
@WillKilulya4 ай бұрын
Ungeshinda wewe usingeyasema hayo kuwa hakuna Haki mahakamani.
@eliaschipanda20069 ай бұрын
Kwani kuna nchi nyingine zaidi ya hii?
@UmmuJauzan9 ай бұрын
Hamumfungi huyo mwenzenu anapesa pi ni chakula ya wakubwa
@Ernestlaiza9 ай бұрын
Sawa kabiza chakula cha wakubwa
@petroyohana11269 ай бұрын
Ooh my God, this country is heading where...
@ChristianMkumbo-ix2ke9 ай бұрын
Pambana wakili tuko nyuma yako
@ladislausriwa77689 ай бұрын
Wewe si ni ofisa wa mahakama? Sasa mbona unaituhumu ofisi yako. Kwa nini tuwe na mfumo wa mahakama sasa. Bora mahakama za jadi nyie wote mawakili mahakimu majaji wote wasanii tu
@boniventurehussein72769 ай бұрын
Mungu atamlipia huyu gekul ni mwanamke mwenye roho ya Nyoka muuwaji kweli maskin hana haki angekuwa anapesa gekul angefungwa
@ceciliamagalabajimmy43919 ай бұрын
Tutaungua mpaka Jumapili, Ijumaa hadi Jumamosi 😢😢😢😢
@abdulkarimabdallah95369 ай бұрын
.
@MasterJonass9 ай бұрын
Vijana wa TANZANIA wakichoka bas nchi itachafuka
@rizikiabdalla25019 ай бұрын
Chokeni basi mnasubiri nn
@abdunasiriathumani90119 ай бұрын
Kuna mtu yuko moshi familia yake yote imehukumiwa kunyongwa kwa sababu zisizoeleweka kwa vile hawana pesa lakini leo muheshimiwa ngekul pesa anayo anavuka tu kila mahakama,m!!ukiwa hauna pesa utadhalilika sana!!!!
@karolikisaka89919 ай бұрын
Kama kweli katenda yatarudi kwa watoto wake
@gaspercharles22449 ай бұрын
Hongo zimezidi jamani tumrudie Mungu ninyi mnaofanya hivyo kumbukeni Kuna siku Mungu atawauliza maswali jipangeni Mungu hayuko mbali je angekuwa mtoto wenu mngefanyaje?
@salama11139 ай бұрын
Kweli masikini hatuna haki makonda apewe mauwa yake💔💔💔
@paulheavyrain95849 ай бұрын
Haki za watanzania maskini ndio hazipo angekua tajiri haki angeipata mapema tu
@OpMagu9 ай бұрын
Mrufani kama kweli anaamini ameonewa awatafute wazee wakimila, wamuachie Mungu.
@nicholauskilosa53369 ай бұрын
Mahakama za Tanzania oyeeee!
@FadhiliMwaitete-ls2li9 ай бұрын
Atuna majaji kwa mtindo huu Tanzania mnatupeleka wapi mnataka tuanze kuchukuwe Sheria mkononi kwamtindo huu atunaimani na mahakama zetu kabisa niushenzi na kupotezeana muda kwa Sasa lazima tuanze kumizana Sheria Amna kwa wanyonge upumbavu huu kutotoa haki warahi Sasa tuwaone tu
@gilbertmathias75949 ай бұрын
Madeleka unatafuta kick nchini au una tatizo gani?
@hashimjumahassani52689 ай бұрын
anatumia taaluma yake...wananch tunamuunga mkono
@EnockKanduli-cv8yr9 ай бұрын
Gilbert una akili au
@richardmbasha14119 ай бұрын
Hana bongo huyu
@richardmbasha14119 ай бұрын
Unawazaje asee, kwa kichwa ama
@daudimchileg3079 ай бұрын
Shetani wewe
@petroyohana11269 ай бұрын
Vitu kama hivi ndio chanzo cha mange
@jacksonngusi41229 ай бұрын
Pesa hupindua haki
@halimamasai22349 ай бұрын
Mtasema sana lakini hii kesi imeka kishabiki kwa sababu tu huyu dada anitoka chadema ndo maana mnamkazia misuli hii kesi metengeneza nye chadema na hamtapata kitu washenzi nye
@AugustinoPeter-rn9bn9 ай бұрын
Kumbe wewe nawe nimkanyakaji wa haki za watu
@romanilyimo9 ай бұрын
Kumbe una akili kabisa chadema inausika na nini hapo ingekua ni mwanao hau ndugu yako ndio ungeongea kikwenu pumbavu kabisa ww. We utakua ni mijinga ya cm tu sio bure
@margarethsaramaki39669 ай бұрын
Huyu hayuko kwenye huu ulimwengu
@OscarKasalile-u4k9 ай бұрын
Kwenye kesi hii chadema inahusika nini mbona umekuwa chawa mpaka mnakera.
@NixonGerson9 ай бұрын
Huyu ni chupua
@NixonGerson9 ай бұрын
Wafundishe sheria hao waonea watu ..na wala kodi zetu stupid..